Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa. Hongera sana Baba askofu Kardinali Rugambwa na Baba Askofu Bagonza. Huu ndio Ukristo na nyie ndo mfano wa maisha ya Kristu🙌🏻🙌🏻
Watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tunawaombea msonge mbele katika kuhubiri neno la Mungu. Pia nasi tuzidi kukua kiroho. Kazi yenu sii bure. Fanyeni wito mlioitiwa na Bwana. ❤❤❤
@@bakaryngoneke5606ni kutimiza lengo la Bwana Wetu Yesu Kristo mwenyewe. Alisema: ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja Yoh 17:12 na pia alisema wako pia kondoo wangu wasiokuwa kwenye zizi hili...hao nao nitawakusanya.... ili lipate kuwa Kundi moja chini ya mchungaji mmoja Yoh 10:16. Mission ya Kristo ni dini moja ya kikristo. Madhehebu mengi ya kikristo ni mission ya shetani si ya Kristo. Propaganda ya kuwepo mpango wa siri wa kuiunganisha dunia yote kwenye dini moja mimi sijui imetokea wapi unaweza kuwauliza hao wenye nayo lakini mpango wa Kristo ni kuwepo Kundi moja chini ya mchungaji mmoja. Imani moja kanisa moja ubatizo mmoja tumaini moja ndani ya Kristo asiyegawanyika.
Mungu awabariki sana, Dr. Bagonza na Kardinali Rugambwa, mnaufanya mkoa wa kagera kuwa kati ya mikoa mizuri sana kiimani
@@stanymccary7136 Amen 🙏
Barikiwa sana Dr Bagonza na Kadinali Rugambwa! Hakika Mungu ni pendo apenda tu!❤
@@sambulugu9988 Mungu ni pendo
tazama inavyopendeza ndugu kukaa pamoja ......jambo nzuri lenye kufuharisha na kutia moyo
@@davidkobero6977 Amen
Hongereni sana. Bwana Mungu aendelee kuwabaribariki na kuwaongoza daima katika mahusiano yenu ya kindugu na Kiimani.
@@FRWPresscom Amen 🙏
Imependeza sana! Tunamshukuru Baba Askofu Bagonza kwakutuletea wageni dayosisini. Asante sana!
@@jovinsylivester3601 Ahsante pia
Hongereni sana ELCT KARAGWE Media kwa huu Uinjilishaji.Ni jambo jema sana undugu kama huu
@@ibanzatvonline Amen 🙏
Mahali ni pazuri ndugu wanapokaa. Hongera sana Baba askofu Kardinali Rugambwa na Baba Askofu Bagonza. Huu ndio Ukristo na nyie ndo mfano wa maisha ya Kristu🙌🏻🙌🏻
@@MWANDAMIZI Hakika
Huu ndio Ukristo ulio sahihi, Mwenyezi Mungu tupe Umoja utokao kwako
@@loishiyesamwel1374 Amen 🙏
Hongereni sana ELCT KARAGWE kutembelewa na Baba Kardinali Protase Rugambwa!!!
@@benernest5125 Shukrani
Ecumenical gathering; may we stay in Unity just as Our Lord Jesus Christ pleased!
@@godlovechagulilo6932 Amen 🙏
Mbarikiwe sana wa Dayosisi ya Karagwe kwa upendo huo mliyouonesha kwa mtumishi wa Mungu. Kristo ndiye tumaini letu.
@@machelemachele Amina
Really,,,,,
It is wonderful, with God's Love his people have no boundaries so 💋💋💋
@@JohnBosco-d3g Thank you
Huu ni mfano wa kuigwa hongereni sana wana Karagwe, mh kardinary Mungu akuzidishie upendo
Amen
Kwa kweli Mungu wetu ni Mmoja na anapenda tuwe pamoja katika kazi ya Mungu.
@@margarethhovokela2412 Hakika
Hongereni sana Mababa Askofu. Umoja wenu udumu daima
@@dicksonulotu7427 Ahsante
Ni ziara ya baraka sana
Kanisa la Mungu linahitaji Ushuhuda wa Jinsi hii.
@@begumisachristopher4697 Amen
Kristo!Uekumene ndio silaha yetu.Asante sana Mwadhama na Dr.Bagonza
@@AmanNdabatunga-l7b Amen 🙏
Askofu Lugambwa you are very humble. May God exalt you always
@@EfesoSichinsambwe Amen 🙏
Baba Cardinal Mungu akubariki sana
@@speratusrushekya8901 Amen 🙏
Ecumenical gathering. Be blessed
@@ananiaj.ndondole3664 Amen
Safi sana. Nimeipenda hiyo.
Wanafalsafa wamekutana... Dr Bagonza aliwahi kwenda Vatican
@@josephlorri431 Ilikuwa siku nzuri sana
@@elct-karagwediocese4244 episcopal Church (mnyoororo toka St Peter) na protestant Church wamekutana
HONGERA SANA ASKOFU DR. BAGONZA PAMOJA NA CARDINAL PROTAS LUGAMBWA,HII NI HEKIMA NA UPENDO WA AGAPE
@@tobanguvila8355 Amen 🙏
Hongera sana Baba Cardinary Rugambwa na Askofu Bagonza kutujenga umoja katika Kristo
@@angelomfilinge8662 Amen 🙏
Sasa ushirikiano kama huu utatupa matumaini wakristo wengi san ikiwemo mimi pongezi keen👍👍
@@maprosokelly2986 Amen 🙏
Waooooo❤ amazing
Thanks 🤗
Pia asante baba askofu Bagonza.mungu azidi kuwa tia nguvu ktk utume wenu.
@@EDWINNDYANABO Amen
Safi sana wana wa Mungu nina waelewa sn watumishi wenye mshikamano huu Mwenyezi Mungu azidi kuwapa ekima
Amen 🙏
Watumishi wa Bwana wetu Yesu Kristo. Tunawaombea msonge mbele katika kuhubiri neno la Mungu. Pia nasi tuzidi kukua kiroho. Kazi yenu sii bure. Fanyeni wito mlioitiwa na Bwana. ❤❤❤
@@gracemrema-y6t Amen 🙏
Wahaya historia yetu ni kubwa sana 👏👏
Hawa sio wahaya ni wanyambo usitudanganye
Lugambwa ni munyambo🥹
@@TibihikaGerad 🙏
Hiyo ni sawa na kusema kuja na njoo@@Registon-ed8sy
Wanyambo 🎉
Mungu awabariki sana tena sana.
@@YonahMwakalobo Amen 🙏
Safi sana karidinali kwa kudumisha upendo mbali na tofauti za madhehebu
@@paschalpaul3862 Ahsante
Ni Baraka kubwa sanaaaa! Mwenyezi Mungu umlinde
@@sarahkadugu4367 Amen 🙏
Nimependa sana hii viongozi wetu mmeonesha njia ya upendo wa kweli.Mungu awabariki sana .
@@kizitoshitah7853 🙏
Keep Shinning Omukama Bagonza
@@eliasmollel8017 Ahsante sana
Watumishi wa Mungu......
Hongereni sana,hakika Mungu ni Pendo daima.
@@fabianwenga8892 Amen 🙏
Asante baba
okay,huu ndio ukristo tunaotuka,
@@SebastianNgimba 🙏
Mungu ni mmoja, kikubwa makanisa yaabudu katika madhehebu ya kweli
@@geofreysamson6051 Hakika
Hongereni sana kwa upendo mkubwa sana
Asante kwa kuipasha kasheshe na karagwe kwa ujumla
@@FracksonPhilibert 🙏
Nmebarikiwa sana
@@aloycejames4862 Amen
Safi safi sana umoja
Wonderfully Get more together, God is good. Eimen
Amen 🙏
Mbarikiwe Baba katika kazi yenu hii takatifu.
@@JuliusMugyabuso Amen
Kutembelewa na Kadinari ilikuwa ni fursa na baraka ya pekee!
@@enockmlyuka6475 Hakika
Nimefurahi saaana ❤
🎉🎉🎉inapendeza Kumutangaza kristo Kama ndugu bila kutoonyesha udini.
@@aderickanatorypesha4004 Mungu ni wetu sote . Amen 🙏
Haleluyaaaaa 🙏 Ubarikiwe sanaaa
@@sarahkadugu4367 🙏
Amina sana, viongozi wetu wateule wa mungu mbarikiwe
@@IgulusiloPrimaryschool Amen 🙏
Safi nmependa sote niwamoja sote nindugu hongeren
@@TomasiklistophaMwinuka Amen 🙏
Mwenyezi mungu uwasaidie maaskofu wetu Hawa baba rugambwa pamoja na baba bagonza.amen
@@josephatdionisii Amen 🙏
Full hekima Mungu awalinde
@@chesconkwera2005 Amen 🙏
Imeniimarishia imani yangu katika Yesu Kristo.
@@Jlyamuya 🙏
Upendo,upendo upendo.
Ni ushindi Mkubwa ktk mwili wa Kristo.Ni Watu wachache wenye moyo Huu wa Umoja .Mungu Awabariki Sana
@@francismbotomrutu2784 Amen 🙏
❤❤hii nimependa
@@athanasevaristmahega7488 🙏
Hongeren saana mungu awabarik
@@DeomedasDanstani Amen 🙏
Mbarikiwe watumishi wa🙏🏼
@@GroryMwafulango 🙏
Great!!
Excellent
@@edsonkinimi5327 🙏
Watu wenye akili nyingi na wasomi wanapokutana,
Somo kunywa Sana hili
Undugu na upendo na kujishusha ili Kristo ainuliwe
Barikiweni sana
@@MurunguwetoshaDeheaven Hakika
Nawapenda sana
Hongereni kwa Ibadan njema
@@elietiniswimzava4757 Amen 🙏
Huu ndio upendo wa Kristo
@@paulfrancis1897 Amen 🙏
huyu cardinal duh kiukwel ana Mungu jamani Mungu atukuzwe kweli kwenu
@@emanuelmushi7257 Amen 🙏
Umoja ni nguvu utengano ni udhaifu Amina.
@@raphaelchua6478 Amen 🙏
Mfano wa kuigwa kabisa mbarikiwe sana
@@KelvinMwakibinga-q4n Amen 🙏
Ongera saana kwa Hekima hiyo.Faida kusoma na kumtegemea MUNGU ni faida.
@@LucasMwijage-oc5nx 🙏
Tazama ilivyo vema na kupendeza ndugu wake pamoja Kwa umoja
Maneno ya hekima. Sifa na utukufu ni Kwake Yeye atuwezeshaye!
@@BoayHotay Amen
This is wonderful
@@emmanuelyoabu3400 Thank you
Ahsante kwa upendo uliotukuka kwa viongozi wetu wa kiroho
@@KaningoGoldian 🙏
Nimependezwa sana na hili tukio.
@@gabrielgwawu4026 Karibu
Hakika huyu ni mtumishi wa Mungu naenjoy kumsikiliza
@@shamslukumay2627 Amen
Asante baba kardinari Rugambwa
@@EDWINNDYANABO 🙏
Mungu awabariki
@@KbKabakama 🙏
Inampendeza Mungu ndugu wakikaa pamoja Kwa umoja
Maneno ya hekima na faraway. Sifa na utukufu ni kwake atuwezeshaye!
@@merinachalinze-rn2cc Amen
Hallelujah!!!!
Nyegera waitu , Nyakutununta Rugambwa katonda akuwe emigisha.
@@liberatusmpaka3847 🙏
Wakatoliki na Walutheri wanapenda umoja na ni ndugu .
@@eliasnganira7661 Hakika
Nyote tunajifunza kwenye mahusiano mazuri ya kimadhehebu ya kikristo.
@@MlawavictorWairinga Hakika
Ecumenism. Good
@@mathewnyachoti9325 Thank you
Tusali pamoja
@@eliasnganira7661 Amen
Sura sahihi ya ukristo na umoja wa binadamu kiimani.
Nilifika maeneo hayo. Ningejua ni makao ya Walutheri na anapohudumu Bagonza ningepita hapo kumsalinu Ba Bagonza. Nilifika hapo Kanisa la Kayanga.
@@eliasnganira7661 Karibu sana
Ongera sana
@@StevenRichard-b6w Ahsante
Jambo jema nililokutana nalo mtandaoni leo ni hili.
@@alexanderhaule7667 Amen 🙏
KKKT mi nawapenda hasa hizo ibada na tenzi zao.
@@innocensiapius Amen 🙏
Amina,inapendeza sana
@@orestussakweli9284 🙏
Upendo wa kristo
@@oscarurio1176 🙏
Very good event!
@@JeftaSiyao-o6g thank you
Nimefrahi sana kuwaona mababa Askofu hawa
🙏
Mpangilio wa sauti zisizo na mazoezi ya maandalizi ya kuimba wimbo husika umenivutia sana. Mko juu wana KAD
@@NiwagiraIlamulira Ahsante sana
Dunia mpya dini moja
@@bakaryngoneke5606 Amen 🙏
Kwani hupendi dini ya kikristo iwe moja? Kihistoria dini ya kikristo ilikuwa moja muanzilishi wa Lutheran ni padre mkatoliki.
@@celestinshayo7295 Sawa lakini lengo mahususi la hiyo dini moja ni nini?
@@bakaryngoneke5606ni kutimiza lengo la Bwana Wetu Yesu Kristo mwenyewe. Alisema: ili wawe na umoja kama sisi tulivyo umoja Yoh 17:12 na pia alisema wako pia kondoo wangu wasiokuwa kwenye zizi hili...hao nao nitawakusanya.... ili lipate kuwa Kundi moja chini ya mchungaji mmoja Yoh 10:16. Mission ya Kristo ni dini moja ya kikristo. Madhehebu mengi ya kikristo ni mission ya shetani si ya Kristo. Propaganda ya kuwepo mpango wa siri wa kuiunganisha dunia yote kwenye dini moja mimi sijui imetokea wapi unaweza kuwauliza hao wenye nayo lakini mpango wa Kristo ni kuwepo Kundi moja chini ya mchungaji mmoja. Imani moja kanisa moja ubatizo mmoja tumaini moja ndani ya Kristo asiyegawanyika.
Nimefurahishwa sana na huu ushirika wa maaskofu wetu. Hakika wametuonesha njia iliyo Bora.
@@raphaelami760 Kabisa
Nzuri hii
Iiii inapendeza sanaaa
@@dedoxinmatola2811 Ahsante
PROTASE RUGAMBWA MOJA KATI YA MTU MWENYE NIDHAMU YA HALI YA JUU.
@@LEWISKAANA Hakika
Ongereni wanakaragwe kwa imani ya RC na KKKT
@@anthonympemba8262 Ahsante