❤✌🇹🇿 Mh.Tundulisu baba yetu ndugu yetu mzalendo wetu mungu akuepushe na kila mabalaa na wakutakihao mabaya wasifanikiwe siku zote ameeen WATANZANIA TUKO PAMOJA NA WWE BABA
Kila nikiziona story ya huyu baba Huwa naliaga.naukumbuka ule wimbo wa rose muondo na Anna stazia.nikikumbuka vidonda vyangu vilivyosababishwa na watu wa ulimwengu.mungu akulinde na akutunze jembe langu la taifa
Huna akili mwamba, unataka atoe ushuhuda upi, shuhuda zote za manabii walioko kwenye bibilia tunazisema kila siku na bibilia ipo miaka na miaka, fikiri kabla ya kutoa comment.
@@theempire4058 huko kwenye Biblia ni wapi umesoma Mungu alitoa ushuhuda? Wewe mwenyewe umeandika kwamba manabii walishihudua...dah ni rahisi kumuona mwingine mjinga lakini kumbe mambo ni tofauti kwenye ground
Lisu wewe ni kamanda wa jeshi la wokovu.hata hilo tukio baya kuwahi kutokea juu yako nikwasababu ya kupigania haki za Watanzania hasa wanyonge. Mungu akutunze daima milele. Amina.
Mheshimiwa, hiyo gari msitengeneze ni vyema ibaki kama ilivyo kama kumbukumbu ya kuonesha ukubwa wa Muumbaji jinsi anavyomlinda aliemuumba mpaka ifike siku yake na itimie ahadi yake ya kuwa kila mtu ataonja mauti
Ivi inawezekanaje mtu kutumia namba plate ya Gali lengine tokea izo siku adi sasa kama uyo mtu si waserikalikini nia yake ni nini kwanini asitafutwe na akamatwe mpaka sasa ameachwa?
Hii nchi hii mungu simama tumeona mkono wako mungu waliofanya hivyo damu iliyomwagika na ikawe juu ya vizazi vyao haijalishi ni nani ila mungu ukaneme juu yao
Hata hao polici basi washindwa hata kuihifadhi sehemu nzuri hata hawakuifinika yaani viti vicenza kwa jua na mvua nikama wal8tamaani waitupe lakini basi tu
Awe tu makini sio kutumia tumia tu watanzania saizi hatuaaminiani wasije tumika kumliza kabisa kupitia gari yake hiyo mana amekuwa mkosoaji mkuu wa utawala huu
tundu lisu hayo yote yalitokea wakat wa magufuli na uliposalimika na kifo hadi nchi uliikimbia,mama samia akakurejesha nchni na akakuhakikishia usalama wako,leo amekua mbaya kwako, ama kweli wazanzibar wanaosema muungano sasa basi ni haki yao,ikiwa watanganyika ndo mko ivo!!!!
Mungu akulinde milele mh tundulisu
Hiyo Gar Ibaki Makumbusho Makao Makuu Chadema Mh Lisuu Anunuliwe Gar jingine
MWENYEZI MUNGU HAO WATU WATAPATA MITIHANI KUTOKA KWA MWENYEZI MUNGU IPO SIKU IN SHAA ALLAH AMEEN 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
kura yangu kwa lisuuu me nafamilia yangu
Mungu akulinde daima Rais watanzania 2025
rais wa chadema au
😂😂😂😂
Umeongea nini na wewe?@@samwelsimon7392
@@ramsojimmykelly3379 ✌🇹🇿
Rais wa Mazese au?😅😅
Lisu shujaaaaaaaaaaaaaa❤❤❤❤❤❤
Pole sana kamanda
gali asitengeneze iyo aache wajukuu zake waje kuona itakua istory ata kisasi watalipa ila akitengeneza watasaau 😢
Mungu anampango na wewe ndiomaana akakuokoa 🙏
Mungu anakuona mkombozi wetu nakuombea kwa mungu uje ututowe kwenye hili garika la cccm
Mungu atakulinda milele mh tundulisu
Allah akusitiri,wameze wembe,
Pole sana ndugu
Da.pole kamanda mungu akikataa akuna. Ampingaye
Kamanda which
Huyu lissu inaonekana anapenda sana mambo ya kesi 😂😂😂😂
Wewe ungefanyaje ambaye hutaki mambo ya kesi?
Amefanya nini kuashiria kupenda kesi
Wewe wapenda sana wasichana au
Hujui kazi ya mwanasheria
Siyo Kesi tuu anapenda pia Kufirambwa Wasenge na Mashoga kama wewe
Mungu akulinde kaka angu tundulisu nakupenda mungu akupe umri mrefu
Love this man
Mungu yupo naww
Wangeshindana naye kwa hoja tu na si marisasi hivyo ..Nchi ya kidemokrasia huwa haiendi kwa marisasi..Pole sana Lisu na Mungu akupe nguvu daima 😢😢😢
Mungu ni Mkubwa wallah yani Risasi zote hizi
Aibu Aibu Aibu kwa Jeshi la polisi kushindwa kutatua jinai hii. Lakini tunaamini jinai haifi. Kuna siku kila kitu kitajulikana!!
Pole Sana ndugu, Mungu aendelee kukulinda
Mungu ana jambo kubwa na mh lisu mungu akulinde daima
❤✌🇹🇿 Mh.Tundulisu baba yetu ndugu yetu mzalendo wetu mungu akuepushe na kila mabalaa na wakutakihao mabaya wasifanikiwe siku zote ameeen WATANZANIA TUKO PAMOJA NA WWE BABA
Mungu !!!! Wewe wajua.
Pole sana.
Ya Mungu mengi yamekua wanyaturu wa mezeee wembeee atraghunki mighuuu juu,,hilo fumbo c wanyaturu ,ww watajiju,wajifia,myampaaa,huna baya,
May god pay them malipo ni hapa duniani
Wanaume tunasema tunapambana ila huyu mwamba ndo mpambanaji aseeee. Real Man hana woga wala chuki na mtu!
Kuna mtu anaangalia mahali hili tukio huku nafsi inamsuta😮💨
Na anatamani sana amfuate Lisu ,amuombe japo samahani,ila anaanzaje sasa😢
Historia yako Lisu imeandikwa. Umeipambania nchi kuikomboa dhidi ya mabeberu ya ndani na mabaradhuli. Mungu awalipe stahili zake.
Aliyetuma hao wapigaji tujiulize yupo wapi? Tusimchezee Mungu au tusimfananishe na chochote,
huenda kashaZikwa
asante kwa kumkabidhi gari lake lissu
Ameeen
Kweli mungu ashukuriwe sana
WATANGANYIKA SIO UUNGWANA ,AKILI KAMA AFRICA KUSINI TABIA MVOVU KUUWA NDIO IBADA YAO NA WIZI NDIO WANAYOJUWA 😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢😢
Ndo basi tena gari lishakua shipa😅😂😂😂
😂😂😂
Kila nikiziona story ya huyu baba Huwa naliaga.naukumbuka ule wimbo wa rose muondo na Anna stazia.nikikumbuka vidonda vyangu vilivyosababishwa na watu wa ulimwengu.mungu akulinde na akutunze jembe langu la taifa
Pole sana mtani wangu
Pole Sanaa mheshimiwa
Mungu wetu ni mwaminifu.
Amen
Kamanda karudi
Malipo ni hapa Duniani
Mungu mwema
Mungu akubariki
When jah bless no man case ❤
Mungu akupe maisha marefu na kwann awaja kutengenezea jamani
Anavyo penda sifa kila mkutano atakua analionyesha .shukulu mungu amekuokoa
Ulitaka akuonyeshe wewe, acha kejeli za kipumnavu hivyo
Ushuhuda ni kwa wanadamu na siyo kwa MUNGU
Huna akili mwamba, unataka atoe ushuhuda upi, shuhuda zote za manabii walioko kwenye bibilia tunazisema kila siku na bibilia ipo miaka na miaka, fikiri kabla ya kutoa comment.
@@theempire4058 huko kwenye Biblia ni wapi umesoma Mungu alitoa ushuhuda? Wewe mwenyewe umeandika kwamba manabii walishihudua...dah ni rahisi kumuona mwingine mjinga lakini kumbe mambo ni tofauti kwenye ground
Mama yako mwambiye naye akatowe gar yake
Kawaida walipe hiyo ngali siwameitafuya wao
Lisu wewe ni kamanda wa jeshi la wokovu.hata hilo tukio baya kuwahi kutokea juu yako nikwasababu ya kupigania haki za Watanzania hasa wanyonge. Mungu akutunze daima milele. Amina.
Tunakupenda sana mbunge wetu wa zaman tujivunie wanasingida jembe tunalo tushindwe kulima
Ukweli walikuwa..wanakumalisa..sasa..itabiditu..wachane..na..siasa.mungu..Mali
. Amekutoa..murudietu..mungu
DUH MWAMBA HUYU HAPA
Ushauri wangu mh lissu gari iweke kumbumbu za taifa Ili watu waje waiangalie kama kumbukumbu za taifa
Mheshimiwa, hiyo gari msitengeneze ni vyema ibaki kama ilivyo kama kumbukumbu ya kuonesha ukubwa wa Muumbaji jinsi anavyomlinda aliemuumba mpaka ifike siku yake na itimie ahadi yake ya kuwa kila mtu ataonja mauti
Siku uliyopigwa risasi kaka angu nilipata mshtuko mpaka nikaenda kujifungua so nilijifungua mtoto wangu wa kwanza na akawa mtoto wa historia
Lissu mungu kakuacha anamakusudi na wewe tunakipenda lissu
Mungu mkuu sana
Siku zote hakulichukuA? Kwann
da hii nchi ina laana mpaka aibu
Amen
Msywiiiiii hii nchi hii basi tuu
MUNGU AKULINDE MH. LISSU....TUNAKUPENDA LISUU RAISI UNAEISHI MIOYONI MWA WATANZANIA..WOTEE
Eh haishi kwenye moyo wangu
Bora mpanga mashambulizi alikufa ndio maana mm nilifurahi sana
Ivi inawezekanaje mtu kutumia namba plate ya Gali lengine tokea izo siku adi sasa kama uyo mtu si waserikalikini nia yake ni nini kwanini asitafutwe na akamatwe mpaka sasa ameachwa?
Allahu Akbar
Hii nchi hii mungu simama tumeona mkono wako mungu waliofanya hivyo damu iliyomwagika na ikawe juu ya vizazi vyao haijalishi ni nani ila mungu ukaneme juu yao
Hata hao polici basi washindwa hata kuihifadhi sehemu nzuri hata hawakuifinika yaani viti vicenza kwa jua na mvua nikama wal8tamaani waitupe lakini basi tu
Ndo kukata tamaa kuwa atakufa paka namba za gari zikapewe mtu mwengine
tundu ana roho ngumu sana
Unabadilisha miwani linagara sana?
Hizo ni lensse
Lensse za macho au miwani?
Hakika mungu akisema hakuna wa kupinga
DAH KIONGOZ WETU FANYA MAZOEZ MZEE HICHO KITAMBI SI KIZURI
Dunia mduara, yatakukuta siku moja
@@AlexMkwama WE FARA SANA YAN MJINGA XX HAPO KOSA LIPI HDI UKIMBILIE DUNIA MDUARA MBWA PANYA BUKU JERO YAN MAJITU MENGNE CJUI MLI
@@AlexMkwamaKWANI LISSU ALIKUAGA NA KITAMBI CHOTE HICHO KUSEMA TU KIONGOZ WETU FANYA MAZOEZ Y TUMBO TYR USHALETA USHETANI WAKO PITA KULE
Nashauri hii gari isibadilishwe ilivyo,bali alijengee makumbusho nyumbani au ofisini kwake,libakie ukumbusho kwa vizazi vingi.
Dereva wake alihusika.Tena sana Lissu a n amfichia maovu yake.Wote tunafahamu.😮
Ulikuwepo? Mbona hukwenda kutoa ushahidi?
Gari hilo lisitengenezwe badala yake liifadhiwe kama lilivyo kama kumbukumbu kwa vizazi vijavyo humu nchini na nchi za nje!
Shetani hao mungu Hana baya damu yako haotaends bure
Najiuliza mbn gar walisema ipo salama sehem salama leo vioo hakuna??
Ipigwe risasi milangoni vioo viwepo?
Kumbe Risasi ni kitu cha kawaida.
Subiri yakukute
Huyu mupisani aede gm fuata siasa kama sa raila kenya saa hii baba akura ikulu
Giza haliwezi kushindana na Nuru
Au basi acha n nyamaze
Kudadadeki chupu chupu 😂😂😂
Natamani siku tuongee ata kidogo muheshimiwa
Risasi zote hizo nahujafa kweli mungu kama hataki uangamie huezi angamia
Kweli mm nna kaka ang alianguka juu yamnaz mref akavunjikavunjika lakni sasa kapona mzima .
@@FatumaMohamedi-t6t duuuh sio mchezo mungu mkubwa sanaaa
Serikali ya ccm haioni hata aibu. Sote tunapita dunia haina mwenyewe zaidi ya mungu. Oneni aibu
MUNGU ni mwema
🎉
Maadam upo hai wewe chukua gari lako ni ajali kama ajali nyingi acha siasa wewe sio wa kwanza ishia
Hii Dunia Ina Wapumbavu wengi sana lakini Kuna wengine siyo Wapumbavu tuu ni Ngombe kabisa ...unaweza kuwa kwenye hilo kundi
Mbona una chukua ushahidi, kwani kesi imeisha?
Vipi gari ni full insurance au bima ya patasote"??
Awe tu makini sio kutumia tumia tu watanzania saizi hatuaaminiani wasije tumika kumliza kabisa kupitia gari yake hiyo mana amekuwa mkosoaji mkuu wa utawala huu
Hili inafaa hata usilitumie liweke tu nyumban utakua utakumbuka ama wageni wakikutembelea utawaonyesha
MH LISU KALITOE SADAKA KANISANI ..
MUNGU ATAKUPA LINGINE KWANI MUNGU ALIKUWA UPANDE WAKO
Huyu mwamba hawezi kufa,mpaka ashuhudie wale wote walioshiriki katika njama za kutaka kumuua wafe,lazima ashuhudie kwanza,na hiyo ndo kanuni ya dunia
tundu lisu hayo yote yalitokea wakat wa magufuli na uliposalimika na kifo hadi nchi uliikimbia,mama samia akakurejesha nchni na akakuhakikishia usalama wako,leo amekua mbaya kwako, ama kweli wazanzibar wanaosema muungano sasa basi ni haki yao,ikiwa watanganyika ndo mko ivo!!!!
Mwamba anaishi na risasi
Tunataka walio fanya tukio wapo wapi? , jeshi la polisi munasema mupo makini na kazi yenu
Mupo kisiasa zaidi
Huyu mutu mumvumilie tu amepitia mazito sana Mungu ndo aliemuokoa hebu beba yangewafika nyie munemuona mkolofi
Hii kesi iliishia wapi tena