Very blessed song nimeuona TikTok nikapost whatsup stutas ila nikaona niuangalie tena wote aisee umebeba maono na faraja kwanamna ya kipekee sana tukimtazama Mtumishi wa Mungu Yusuphu na mapitio yake. Kusudi la Mungu ni kubwa sana na inahitaji uvumilivu na subira.
Huu wimbo naupenda sana unanibariki mno nimeutafuta muda mrefu nashukuru leo nimewaona mnaimba Upendo TV nikajua jina la wimbo na jina la kikundi Mbarikiwe sana ❤
🇰🇪 ❤ you. Am attracted to your songs. Such good words of encouragement. No matter what, Gods purpose is the best. His will over mine. Nipingue Yesu ainuliwe. God bless you Bethlehem
Nimekuja kucoment hichi kuwa MUNGU huangalia kusudi zaidi Lakini pia shetani huangalia hatima yako ili auwe hatima ushindi huwa na asilimia 100% kwa mtu anaemtegemea Mungu . Kutokana na kile ninachopia wimbo huu umenipa nguvu ya kusonga mbele Zaidi Mungu ambariki mtunzi wa wimbo huu umekuwa baraka kwangu 😢japo inaumia .
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana hakika unabariki sana Lakini Kuna wadada wachache hapo mbele kama vile hawaelewi wanaimba nini 🤔 Mkovizuri na tunawaombea mfike mbali sana huu wimbo ni mkubwa Sanaa
Yaan nimeipenda mno hii nyimbo hongeren kwa ujumbe mzuri, nimeusikia leo na nimeuchukua siyumbishwi na hali nayopitia leo.
Kazi yenu ni njema mmebarikiwa
I have been waiting this song aiseeee mbarikiwe sanaaaaa wapendwa mmeimba vizuri sana
amen good job❤
Awesome,hakika Siyumbishwi🙏
Very blessed song nimeuona TikTok nikapost whatsup stutas ila nikaona niuangalie tena wote aisee umebeba maono na faraja kwanamna ya kipekee sana tukimtazama Mtumishi wa Mungu Yusuphu na mapitio yake. Kusudi la Mungu ni kubwa sana na inahitaji uvumilivu na subira.
Wow ongeren watumishi Kwa kaz nzur pia napenda dressing code yenu inampa Mungu sifa heshima na utukufu 👏👏👏🙏🙏🙏
Amen Amen
Nawapendaga mnooo❤
I just love the bond between drummer and bassist 🙇🏽♂️🙌🏽 u guys u have carried the song...🎉
Tunamtukuza Mungu pamoja nanyi sifa, hakika tusiyumbishwe na hali tunazipitia Bali tusimamie mapenzi ya Mungu, 🎉🎉
Amen amen.....hatuyumbishwi ❤ mbarikiww Sana watumishi wa MUNGU
Huu wimbo unatakiwa ufikishe kuanzia 2K likes na kuendelea, vocal, music, sololist alooooooo Mungu awabariki tu❤🎉🎉🎉
Nabarikiwa mno na kazi zenu, Mola awape Neema zaidi kuwabariki wengi ❤
#Nasimamia kusudi lako 🙏
Mungu awabariki Sana jinsi nilivyokuwa nasubiri nyimbo zenu kwa hamu hatimae BWANA kafanya🔥🔥🙌🙇🤗🔥🙌
Amen endelea kubarikiwa
Always n kwenda mbele tuuu I love u all ma choir
Huu wimbo naupenda sana unanibariki mno nimeutafuta muda mrefu nashukuru leo nimewaona mnaimba Upendo TV nikajua jina la wimbo na jina la kikundi Mbarikiwe sana ❤
AMEN 🙏 Kwa uimbaji mzuri huu ambao unatukomboa🙏
Hakika Siyumbishwi na hali niliyonayo leo,,,,,,Kesho Inakuja
Kazi yenu ni njema sana.
Mungu awabariki na kuwapa nguvu zaidi ya kuendelea kwa ngazi za juu zaidi na zaidi
Message ya hii nyimbo Iko vzr
Amen hakika nasimamamia kusudi la Mungu ,siyumbishwi na hali niyonayo...ooh halleluya sifa na utukufu kwa Mungu wa kweli na wa pekee.
Glory to God kazi nzuri watu wa Mungu ... Mungu azidi kuwainua viwango vingine
Amen Amen
Hallelujah kazi nzuri sana watumishi🙏🏻🙏🏻🙏🏻❤️
Amen Utukufu kwa MUNGU
🇰🇪 ❤ you. Am attracted to your songs. Such good words of encouragement. No matter what, Gods purpose is the best. His will over mine. Nipingue Yesu ainuliwe. God bless you Bethlehem
nasimamia Kusudi lako Mungu
Amina hatuyumbishwi
Haleluyaaaaaaa🎉🎉🎉🎉🎉
Amen.! Blessings ujumbe mzuri mno Mungu awainue zaidi kanuni ya kuinuliwa ni Unyenyekevu.Ameen.
Wow mbarikiwe na bwana
Tunajitia ujasiri ktk.Bwana.
Wimbo unatia moyo sana, usiumie na magumu unayopitia mtumaini Mungu pekee atasimamia kusudi lako
Ujumbe mzur Sana MUNGU wa mbingun azidi kuwatumia
So powerful
One of my favorite song ever 👏👏
Mungu azidi kuwabariki wapendwa
wimbo mxurii sana jamn,,unanitia sana moyo jmn,,,Mungu azidi kuwainua❤
wimbo unantia moyo sana , Mungu awainue ujumbe mzuri sana🙏🙏👏👏
🔥🔥😇 we waited for this 😇 God bless you 🙏
Kaka umeimbisha vizuri sana.Hakika Mungu wa mbinguni akuongezee kipaji
Nasimamia kusudi lako🙏
Nimekuja kucoment hichi kuwa MUNGU huangalia kusudi zaidi Lakini pia shetani huangalia hatima yako ili auwe hatima ushindi huwa na asilimia 100% kwa mtu anaemtegemea Mungu .
Kutokana na kile ninachopia wimbo huu umenipa nguvu ya kusonga mbele Zaidi Mungu ambariki mtunzi wa wimbo huu umekuwa baraka kwangu 😢japo inaumia .
Yaani huu wimbo nahisi kama unaondoa stress
Kila nikisikiliza napata faraja na amani
Stress za hela pembeni
Mungu awabariki sana, my favorite song 🎧 🔥🔥🔥
Mungu Awabariki sana
🎉
Amen Amen
Mungu awabariki sana bro kazi yenu ni njema sana from ROW🔥🔥🔥🎉
Hakika mmeitendea haki siku yangu ya leo...Glory to God
Mbalikiwe sana wimbo umetubariki,strong messager with power of GOD
Bless song
Mbarikiwe watumishi wa Mungu, tunavuka
🔥🔥🔥
Siyuwith na Hali niliyonayo Leo,mbarikiwe Sana.
Aloo siyumbishwi ati❤❤🎉
M'barikiwe sana 🙏🙏🙌
Mubarikiwe Wana waMungu Kwa huduma mnabaliki wengi.asanteni.
Wimbo mnzur, na ujumbe mzuri pia❤❤❤
MUNGU awabariki sana wimbo unamguso wa kimungu 😊
Wamtumanio Bwana no imara kama mlima Sayuni
Best song ever..
Great!
Indeed I stand for your purpose
Huu wimbo unanibariki sana ila unamiezi kumi cha ajabu nimeujua soon tu😢baada ya kuuona tiktok..MUNGU AWABARIKI SANA.
Amen
Wow I like this❤
Always loved this song❤
Ujumbe mzuri sana Mungu awabariki
Siyumbishwi na Hali niliyonayo Leo nasimamia kusudi lako Yesu.
MIMI NAWAPENDA NINYI HAPO 😭❤
Amen Amen
Mm sijawai acha imba huu wimbo na muda huu pia nauangalia had machoz Yana nitoka😟😟😟mbarikiwe mno my kwaya bethelehemu
❤❤❤
Family your Blessed indeed with HappyMhae
Be blessed indeed❤
Amen my situation am facing a lot but still waiting for my God amazing congrats ❤❤❤❤
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Safi sana jaman
❤🙌🙏
Wimbo mzuri sana Mungu awabariki sana hakika unabariki sana
Lakini Kuna wadada wachache hapo mbele kama vile hawaelewi wanaimba nini 🤔
Mkovizuri na tunawaombea mfike mbali sana huu wimbo ni mkubwa Sanaa
Ameeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeen
Nawapenda na kazi zenu pia
Good sin,g
🎉🎉🎉🎉
Nimebarikiwa saaaaana ,mbarikiwe lakini lyrics tafadhali
Pianist wanip raha san natamn kuw kam wew
Amen
🎉