Nimerudia rudia kuusikiliza wimbo huu hakika nimeguswa mno, maana wapo ndugu na rafiki zetu tulikuwa nao na sasa wameitwa mbinguni lakn kila nikiona na kutafakari kazi zao pindi wakiwa hai namwona Mungu kupitia wao, alooo nimetekewa. Let us glorify the name of almighty God in all situations
Emen, kweli nimetekewa na penzi lako Yesu, Berthelehem Mungu aendelee kuwainua Kwa kiwango cha juu tena na tena, Kwa mahubiri yenu Kwa njia ya uimbaji nasi tupone. Sifa na utukufu tunamrudishia aliyewakirimia hicho kipaji,kilindeni sana.
Siku zote Mungu ni mwaminifu haijalishi unapitia katika hali gani wewe mtumaini Mungu,mshukuru na mrudishie sifa Mungu...Hakika huu wimbo ni majibu wa wengi na wote wanaopitia changamoto mbambali na utawatia moyo...Wewe mrudishie Mungu sifa zake
The kind of love Christ Jesus ameniteka, I will not tired of praising him. Imgine Hata vinywa vikinyamaza, moyo tu utaziimba sifa zake Glory……glory…… my heart anthem🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Leo nimesikiliza huu wimbo - Daaah wallah nasema hii kwaya kuna namna wanajielewa sana..!! Kwa namna zote -- Kazeni sana kumuomba Mungu kuna mahali pakubwa sana mnaelekea..!!
Nimetekewa na pendo lako umenibeba hukuniacha hata Kwa udhaifu wangu hukuangalia heshima na utukufu viludi kwako yesu 🎉🎉🎉
Nimetekewa maana yake nini?
Kazi njema Sana Kaka mkubwa Mungu awabariki Sana watumishi wa Mungu kutoka Moshi kazi njema imenibariki 🔥🔥🔥🔥🔥
Tumebarikiwa. Ni kweli tumetekewa na pendo lako Yesu Kristo
Nimerudia rudia kuusikiliza wimbo huu hakika nimeguswa mno, maana wapo ndugu na rafiki zetu tulikuwa nao na sasa wameitwa mbinguni lakn kila nikiona na kutafakari kazi zao pindi wakiwa hai namwona Mungu kupitia wao, alooo nimetekewa. Let us glorify the name of almighty God in all situations
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Emen, kweli nimetekewa na penzi lako Yesu, Berthelehem Mungu aendelee kuwainua Kwa kiwango cha juu tena na tena, Kwa mahubiri yenu Kwa njia ya uimbaji nasi tupone. Sifa na utukufu tunamrudishia aliyewakirimia hicho kipaji,kilindeni sana.
YESU Ameniteka
Hhahahaaaa haaaaah nimetekewaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa🌹
Nimetekewa na pendo lako Yesu, Mbarikiwe sana
Nimetekewa na pendo Lako Yesu🙏
Mungu Awabariki sana Kwa kuubariki mwili wa Kristo na nyimbo za baraka 💪
Amina Rafiki zetu ❤
Ujibuye kwa moto, uketie sirini hakika twaziimba sifa zako eeh Yesu…! Hakika wewe ni wimbo wa mioyo yetu🙌🏻🙌🏻 Kazi nzuri watumishi wa Mungu
Amen
Siku zote Mungu ni mwaminifu haijalishi unapitia katika hali gani wewe mtumaini Mungu,mshukuru na mrudishie sifa Mungu...Hakika huu wimbo ni majibu wa wengi na wote wanaopitia changamoto mbambali na utawatia moyo...Wewe mrudishie Mungu sifa zake
Heko kwako teacher Steven sabugo ubarikiwe niliiisubiri sana (nitaimba sifa zako Yesu kwenye hali zote)
Amina Amina
Bado naendelea kutekewaa , Asante Yesu, mbarikiwe sana watumishi wa Mungu
Powerful song be blessed Bethlehem choir
Yaani wimbo naupenda sana huu niliusubili kwa hamu abarikiwe mtunzi mbarikiwe waimbaji
Amen Amen
😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊😊
🎉🎉🎉❤❤🔥🔥🔥🔥 Nimetekewana BWANA
Atukuzwe Mungu wa Mungu,Bwana WA mabwana...hakika pendo la Mungu ni la ajabu alifananishwi na chochote
Bethlehem choir sauti zenu zibarikiwe sana🙌🏾
Nitaimba sifa zako Yesu kristo mokozi wetu vile nimetekewa na pendo lako Yesu sitanyama🎉🎉🎉
Wewe ni wimbo wa mioyo yetu 🎉🎉🎉🎉🎉 litukuzwe liiinuliwe jina lako YESU 🙌🙌🙌🙌💥💥💥💥💥
Wimbo wangu Unaonibariki sana❤❤❤❤❤
Amen barikiwa
Very powerful and healing ministry. Truely I am whelhealmely by your love Jesus.. Blessed my favorite Choir Bethlehem Choir-Moshi
Powerful song huchoki sikiliza👏👏 mbarikiwe sana watumishi
Kazi nzuri.hongereni kumtukuza Mungu kwa viwango. Hakika tumetekewa na pendo la Yesu
Amen good song grory to God 🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Nakukubali sana mdogo wangu na kwaya yenu mbarikiwe tu
The kind of love Christ Jesus ameniteka, I will not tired of praising him. Imgine
Hata vinywa vikinyamaza, moyo tu utaziimba sifa zake
Glory……glory…… my heart anthem🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
Vinywa vyetu vijapo nyamaza ...Mioyo itaimba sifa zako❤
tescher hongera sana
Barikiwa kaka yesse
Lord of Lords, who sit in secret, we sing your praises🙌🙌
Mbarikiwe sana Bethlehem Choir hakika Tumetekewa na pendo la Yesu
Amen Amen
Amen Amen
Amen 🙏🙏🙏 ooh hongera sana Kwa hii kazi nzuri
The healing song.Nitamwimbia Bwana Kwa Hali zote
hatimaye baada ya kuisubiri for the ages🎉🎉
Hakika Bwana wangu nimetekewa na pendo lako katka hali yoyote nitaimba sifa zako.🙌🙌🙌🙌 Mbarikiwe wateule wa baba.
Halelujahhh halelujahhh 🔥🔥
Nimetekewa sanaaa
Waow...uketiye sirini...twaziimba sifa zako
Leo nimesikiliza huu wimbo - Daaah wallah nasema hii kwaya kuna namna wanajielewa sana..!! Kwa namna zote -- Kazeni sana kumuomba Mungu kuna mahali pakubwa sana mnaelekea..!!
Nimetekewa na mimi!🙏🙏
Ujibuye kwa moto🙏🙏
Moto ni mkali mbarikiwe sana familia
Amen Amen
Nimeguswa sana na wimbo huu
Huu moto mwingine kabisa,,
Mbarikiwe sana family 🔥🙌
Hakika kwenye hari zote nitaziimba sifa zake maana nmetekewa na Bwana.
🎉 Mungu wa mbinguni akubarikini na kuzid
Safi sana
waooooh wimbo mzuri sana, MUNGU aendelee kuwa nanyi katika huduma hii nzuri,
Amen
Mbarikiwe watumishi wa Mungu
On fire🔥🔥🔥🔥 good sound
Mungu azidi kuwabariki kwa huduma nzurii kwaya yangu ya Bethlehem, nice song❤, nikikumbuka tulikoanzia hakika Mungu ni mwema
Ticha Steve Mungu aendelee kukutunza kwa ajili ya huduma yake
Haleluya haleluya haleluya,in all the situations
Absolutely amazing🙏🙏
Haleluya haleluya ❤
Amen nimebarikiwa sana na wimbo huu mubarikiwe sana watumishi wa mungu
@@mtafyahelena2288 Amen Amen
Amen nice song
I repeated this song this morning. you people are annointed
Glory Glory God bless You guys, Let the worship go through the miracle of God
Bethlehem choir, you are the choosen by God. The song blessing alot. B4 God wacha nitekewe. Sitanyamaza kamwe. Love uuuuu guys ❤❤❤❤❤
Mungu awabariki sana 🙏🙏🙏
🔥🔥🔥
Nimetekewa 🎉
Kwa yesu ni rahaa sanaa jamn daaah
Amen Amen
Ameeeen
Ooooooh yes😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭❤
Nimetekewa hahhaa wa pili ticha
Kwenye hali zozote😢 nitaimba sifa zako😊
vinywa vijapo nyamaza moyo utaimba sifa zako
🎉🎉🎉
Utukufu Kwa Mungu hallelujah 👐
Amen
Hallelujah
Hatimaye😁
Mungu awazidishie neema ndugu zangu
Barikiwa sana
Hongereni sana lakini nashauri next time mjitahidi KUTABASAMU tafadhali.
Huu wimbo nimeurudia kusikiliza zaidii ya mara 20 unifariji
Oooh Barikiwa sana Ndugu yetu
Kwenye hali zote nitaimba sifa zako
Sanaaa
Be blessed guys I Love you
Amen Amen
❤❤🎉🎉🎉
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Jaman kaz nzuri lakin piah nsaidieni namba ya kelvin
Nimebarikiwa
Amen
🔥🔥🔥🔥🙌🙌🙌
❤❤
Aweee nimesikiliza huu wimbo repetitively
Barikiwa
🎉🎉🎉🎉🎉🎉
🔥🔥🔥
🔥🔥
🔥🔥