This lady can sing, she didnt come to play ……🙏🏿🙌🏾❤️🙌🏾🙌🏾🙌🏾hii siku nilijionea mwenyewe kwa Macho.Mungu ana watu wake bwana na huyu ni mmoja wao…Dada Mungu wa mbinguni akufunike kwa mbawa zake 🇹🇿🙏🏿❤️
*mimi ni chawa wa Yesu kila nikilisikia jina la Yesu lina tajwa lina sifiwa lina tangazwa ukuu wake una julikana najisikia amani moyoni mwangu amen amen*
Powerful song Mungu atukuzwe , ni ushuhuda nmejikuta natandika kitanda nauskilza huu wimbo nmejkuta nishapga magoti na lugha ishabadilika ni midomo tu inacheza nikitaka kuimba midomo ina nena tu , baada ya hapo nmejkuta ninacheka kicheko hakikatiki Naijulikane yeye ni Mungu Mkuu Be blessed 🙏🏾
Angel benard wewe ni zawadi tuliyopewa na Mungu katika nchi yetu am proud to be a Tanzanian just because of you !!!!! This is what we call worship JEHOVAH SABAOTH
@@AngelBenardWorship oukay sister I screen shoot your reply one I will you show you when we meet together at the top I love you a lot am also a gospel singer
Sister Angel kama nisingekufahamu kabla nisingeamini kuwa wewe ni Mtanzania Ila itoshe kusema Utukufu ni kwa Yesu Wewe ni Baraka Asante Tanzania 🇹🇿 Asante Angel 💯💯💯💯💯💯💯
Na Ujulikane Kama Uko Jehovah Sabaoth..... Haya Ni maombi yangu Jehovah Mungu Wa Mungu, Bwana Wa Mabwana. Tusamehe eehh Bwana... Tumekukosea Sana Jehovah. Tusikae mbali na Uso wako. Uturehemu Baba.
This day I just noticed God has let all to happen to make you this spiritual giant. Angel Mungu wako ni mkubwa sana, Mungu wako ni Waupendo haijawahi tokea, Mungu huyu akikupitisha kwenye moto unatoka unangaaa. I saw the light shining on you. I remember the prayer you prayed when u just first stepped on the stage shot and very powerful the kingdom of God was dwelling on the place. Keep on serving him keep on keep on. Usipumzike tena mpaka utakapo pumzishwa Angel.
How MoG Zoravo stayed at the back to let Min. Angel Bernard have her moment with the Father🥹🧡. Shows how much the desire is one: To see the Father alone be seen and glorified 💯🔥.
@@AngelBenardWorship And you too Woman of God.🥹🧡. You're a powerful minstrel and a wonderful role model to us🧡🔥. Thank you for teaching us to host God in our secret places for His glory alone 🧡💯☺️.
This is worshipping God not just video taking... people forgot about video and remember to worship the Mighty God..may God bless this ministers of God 🙌🏽
Powerful and Prophetic 🔥🔥🔥! Surely our Lord and King Jesus is revealed. Glory to the Lord of Heaven Armies, Jesus 🙌 🙌. Thankyou for this Song Ministers 🙏
I love so much this women,,,Kila nachokisikia kwako huwa kinauponyaji,,hata ile mistari ya bible unayotupostia Instagram,,it heals my soul ❤ love you Dear 🎉🎉🎉
Happy to see you Angel doing this wonderful song with zoravo, you've done a good job. Congratulations and keep soaring high.I am one of your greatest fun from Kenya
Please dada Angel usiache kuimba iwe live au kwa kurecord, you are still anointed and favored kwenye uimbaji. Wimbo wako ule wa KIU YANGU is still my best songs of Gospel hasa nikiwa nautafuta uso wa Mungu. Jehovah Sabaoth pia umeamsha roho yangu. BARIKIWA
Hallelujah! Indeed the enemies we see now we shall never see again because we have Jehovah Sabaoth with and for us. Powerful ministration watumishi Angel Benard & Zoravo. Baraka tele from Kenya💙❤
A woman who has made up her mind to stand in her place in the spirit is way more dangerous than thousands of soldiers! 🙌🙌🙌May God give you your daily bread dada angel!
❤❤🔥 Karibu tena Tz angel now gospel songs huku nyumban tz ziko fire fire 🔥 karibu tena kundini uongezee moto mtumishi mpaka shetani achuchumae akishika kidevu chake kwa mshangao , ah kwanza hata kidevu hana
Jeremiah 51:19 says, “The portion of Jacob is not like these, for he is the former of all things; including the tribe of his inheritance: the Lord of Hosts (Jehovah Sabaoth) is his name.” He is indeed the sovereign Lord and the Holy One of Israel.
Huyu ndo Angel ninayemjua sasa, very powerful and anointed Singer!! Ulikuwa wapi sikuzote Mtu wa Mungu??? Sasa Mungu akupandishe viwango na viwango
😭Amen nimepokea 🙏
Revival is coming in you may GOD increase your annoiting oil@@AngelBenardWorship
Alikuwa Tarshishi
@@AngelBenardWorshipNakupenda Angel.... Usirudi. Nyuma songa mbele mdogo wangu usitishwe na kelele zozote
@@AngelBenardWorshipMungu anathibitisha mafuta yako haukufumba macho ulikua unaomba
This lady can sing, she didnt come to play ……🙏🏿🙌🏾❤️🙌🏾🙌🏾🙌🏾hii siku nilijionea mwenyewe kwa Macho.Mungu ana watu wake bwana na huyu ni mmoja wao…Dada Mungu wa mbinguni akufunike kwa mbawa zake 🇹🇿🙏🏿❤️
Aya bhn tushajua kua ulienda
👏👏👏👏
@@thedailydose.pm1 who hurt you , you need to heal sweetheart😍🙏🏿
YESU ATUKUZWE SANA SANA
God bless you my sister in Christ Jesus❤❤❤
This is powerful worship
Africa has risen in worship very powerful take all the glory King of the Universe
HALELUYAAAHHH🙌🏼🙌🏼🙌🏼
*mimi ni chawa wa Yesu kila nikilisikia jina la Yesu lina tajwa lina sifiwa lina tangazwa ukuu wake una julikana najisikia amani moyoni mwangu amen amen*
Amen.kama mimi nikisikia jina la Yesu ni burudani kabisa
@@deusemmanuel7979jina Yesu halikutajwa
Powerful song
Mungu atukuzwe , ni ushuhuda nmejikuta natandika kitanda nauskilza huu wimbo nmejkuta nishapga magoti na lugha ishabadilika ni midomo tu inacheza nikitaka kuimba midomo ina nena tu , baada ya hapo nmejkuta ninacheka kicheko hakikatiki
Naijulikane yeye ni Mungu Mkuu
Be blessed 🙏🏾
Halleluyaaahh
Angel benard wewe ni zawadi tuliyopewa na Mungu katika nchi yetu am proud to be a Tanzanian just because of you !!!!! This is what we call worship JEHOVAH SABAOTH
GLORY TO KING JESUS 🙌🏼🙌🏼
@@AngelBenardWorship oukay sister I screen shoot your reply one I will you show you when we meet together at the top I love you a lot am also a gospel singer
From Kenya 🇰🇪 we cannot control our tears 😭 and pouring our souls to Christ lifting our voices to sing Jehovah Sabaoth 🙌🙌🙌🥺🥰
Amen Amen Amen 🙏 thank you for being here
It's not a song, it's a prayer
Ofcourse
😢😢😢😢 My sister Angel is back. Thank you Lord for my Sister
ATUKUZWE SANA BWANA YESU 🙌🏼
Sister Angel kama nisingekufahamu kabla nisingeamini kuwa wewe ni Mtanzania
Ila itoshe kusema Utukufu ni kwa Yesu
Wewe ni Baraka
Asante Tanzania 🇹🇿
Asante Angel 💯💯💯💯💯💯💯
HALELUYAAAHH KWA BWANA YESU 🙌🏼🙌🏼🙌🏼
Watanzania tukoje?
Hadi mwili unasisimka
Always loved you Angel ❤ Tangu ziku za 'need you to Reign ' song 👌 Mungu ako nawe na anakutumia 😇
Bwana Yesu hatutanyamaza mpaka tukuone uso kwa uso Kings of the Kings,Man of wars.....I love you Jesus ❤🙌
Tujitaidi kuna jina la YESU maana ndilo jina lipitalo majina yote kutaja yawe cyo dhambi ila zaidi Kwasasiv jina la YESU niyote katika yote
True
Namtukuza MUNGU aliyekuumba na kukupa anoint ya ajabu
Kwel weng wanaweza kuimba lkn wewe ni una huduma ya uponyaji yenye nguvu kubwa mno
Be blessed ❤
Na Ujulikane Kama Uko Jehovah Sabaoth..... Haya Ni maombi yangu Jehovah Mungu Wa Mungu, Bwana Wa Mabwana. Tusamehe eehh Bwana... Tumekukosea Sana Jehovah.
Tusikae mbali na Uso wako.
Uturehemu Baba.
This day I just noticed God has let all to happen to make you this spiritual giant. Angel Mungu wako ni mkubwa sana, Mungu wako ni Waupendo haijawahi tokea, Mungu huyu akikupitisha kwenye moto unatoka unangaaa. I saw the light shining on you. I remember the prayer you prayed when u just first stepped on the stage shot and very powerful the kingdom of God was dwelling on the place. Keep on serving him keep on keep on. Usipumzike tena mpaka utakapo pumzishwa Angel.
😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭😭. YESU UTUKUZWE BABA YANGU 🙌🏼
@@anoldissangya1458 this comment 🥲🙌🏾🙏🏿🙏🏿😍😭😭
Yer Dady is worthy my sister.
Angel BENARD na Zoravo this is just 🔥🔥 oh'my goodness I can't stop my tears 😭 😭 powerful watu wa Mungu 😢😢😢😢more grace 🙏 from KENYA 🇰🇪❤️🔥
Halleluyah Woman of GOD , Glory to God🙌🏼
Who ever advised you to start doing live music he /she is your best advisor you're so blessed with the talent of singing keep it up Angel
Yes the ANGEL is BACK sifa na utukufu kwa Yesu ❤❤❤
Hongera Angel ! Sofa na utukufu kwa aliyekuumba! Usirudi nyuma! Move forward in Jesus!
The song "kiu yangu" was in my spirit, so I came to listen to it, only to find this, Oh God! I j
This song😢😢😢😢😢😢😢😢😢sis Angel Najisikia kulia tu huu wimbo😢😢😢😢😢😢
Si wimbo ni maombi🔥🔥🙌
Angel where have you been mama😭😭😭 we miss this, we need more of this mama you are so anointed
The atmosphere of prayer in this song is another thing! Jehovah Sabaoth, Yahweh🙌🙌
How MoG Zoravo stayed at the back to let Min. Angel Bernard have her moment with the Father🥹🧡. Shows how much the desire is one: To see the Father alone be seen and glorified 💯🔥.
He is a powerful vessel in the KINGDOM
@@AngelBenardWorship And you too Woman of God.🥹🧡. You're a powerful minstrel and a wonderful role model to us🧡🔥. Thank you for teaching us to host God in our secret places for His glory alone 🧡💯☺️.
Amen❤
What an honor to read this. Glory to God🙌🏼
@@AngelBenardWorshipAmen amen Woman of God 🧡.
Woman of fireeeeee this is another level glory to God.
I can feel the power coming down right here seated. Heaven is coming down. Please bless with more of this. Take us to the saviour!!!
Mungu azidi kukuinua Angel Bernard you are the best 👌 👍 😍
Powerful i feel fire kabla sijaanza kusikilizaaaa uwiiiiii
Big one in the year 2024 Mungu anajivunia ninyi watumishi, hongereni sana kwa kazi hii nzuri na kubwa sana!❤🎉
This is worshipping God not just video taking... people forgot about video and remember to worship the Mighty God..may God bless this ministers of God 🙌🏽
Awesome ❤❤i will never be silenced i will call you JEHOVAH SABAOTH until i see you 🙌🙌
Next level of worshipping God ,level level 🔥🔥🔥🔥
Mungu awatunze Mungu wa majeshi ya malaika aendelee kuwatetea❤.
I just missed you.....your music has mentored me so much my sister. I am glad for this uplifting sound. Jehova Be Praised
Hii ni mara ya kumi narudia kuskiliza haya maombi...kiukwel yananibarik sn...siteketei mpaka sabaoth this is higher level sister angel..be blessed
Kazi yenu ni njema mno
Mapenzi ya Mungu yatimie maishani mwenu😍🙏
Ayayayaaaaa SABAOTH IS ON MY CASE
Mungu akusaidie usonge mbele usirudi nyuma kamwe kama baadhi ya waimbaji w gospel nimaombi yangu uzidi kupaa
I love you Angel nafurahi kusikia sauti yako yenye upako
Powerful and Prophetic 🔥🔥🔥! Surely our Lord and King Jesus is revealed. Glory to the Lord of Heaven Armies, Jesus 🙌 🙌. Thankyou for this Song Ministers 🙏
Glory be to God! Giver of grace and mercy. 🙏
Bwana Yesu Akutunze, huduma yako na iambatane na Idhihirisho wa Mungu Roho Mtakatifu
I love so much this women,,,Kila nachokisikia kwako huwa kinauponyaji,,hata ile mistari ya bible unayotupostia Instagram,,it heals my soul ❤ love you Dear 🎉🎉🎉
I love you. Keep me in your prayers please
Happy to see you Angel doing this wonderful song with zoravo, you've done a good job. Congratulations and keep soaring high.I am one of your greatest fun from Kenya
Wow..blessed annointed duo. Powerful song. Listening from 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪..Zoravo..God is lifting you higher.. naysayers will be ashamed.
Na ijulikane WEWE NI MKUU MUNGU WETU❤❤❤❤
Ow..like "Yahweh Sabaoth" by Nathaniel Basey! Powerful prayer indeed Glory to God!
Powerful hymner and anointed gospel singer . May Almighty God bless you legend.
Halleluyah 🙌🏼
Please dada Angel usiache kuimba iwe live au kwa kurecord, you are still anointed and favored kwenye uimbaji. Wimbo wako ule wa KIU YANGU is still my best songs of Gospel hasa nikiwa nautafuta uso wa Mungu.
Jehovah Sabaoth pia umeamsha roho yangu. BARIKIWA
Bwana Yesu anisaidie. Asante kwa huu ujumbe. Tuombeane 🙏
Mungu uliye hai, ndiwe Jehova Sabaoth!
Tunakupenda Ee Bwana!❤❤
Awasome, jehova sabaoth Ndiwe uliye Mungu wetu♥️🙏🙏
The Queen is Back
She's back.
Hallelujah! Indeed the enemies we see now we shall never see again because we have Jehovah Sabaoth with and for us.
Powerful ministration watumishi Angel Benard & Zoravo. Baraka tele from Kenya💙❤
Glory to GOD 🙌🏼
Hakika this is worship kweli Mungu yuko
"Huu sio wimbo, haya ni maombi" God bless you Angel🙏🏻
Powerful sound, hallelujah 🙌
A woman who has made up her mind to stand in her place in the spirit is way more dangerous than thousands of soldiers! 🙌🙌🙌May God give you your daily bread dada angel!
Ooooh Yesu weeee...❤❤❤❤ utukufu wote chukua mwenywe..❤❤❤
❤❤🔥 Karibu tena Tz angel now gospel songs huku nyumban tz ziko fire fire 🔥 karibu tena kundini uongezee moto mtumishi mpaka shetani achuchumae akishika kidevu chake kwa mshangao , ah kwanza hata kidevu hana
Glory Glory Glory To GOD🎉🎉🎉
This song is powerful 😢🤗🤗
You are such a blessing to the body of CHRIST,soo annointed aaaaish🔥🔥🔥🔥Much love from Kenya,we love you Woman of GOD @Minister Angel Benard❤❤
Jeremiah 51:19 says, “The portion of Jacob is not like these, for he is the former of all things; including the tribe of his inheritance: the Lord of Hosts (Jehovah Sabaoth) is his name.” He is indeed the sovereign Lord and the Holy One of Israel.
Nimeisubiri hali ya ibada kama hii Tanzania Kwa muda mrefu,waabuduo watamwabudu Mungu ktk roho na kweli.yehova sabaoth
All glory to God for this powerful ministration WOG🎉🎉Its giving Sunmisola vibes
Ahsante Mungu wa maisha yangu 🙏🙌
Una sauti nzuri Min Angel 😩✨
Heavenly Sound.God bless you❤🇰🇪
Nshapata wimbo wangu wa wiki.
Nakupenda Angle toka zamani. Wewe ni minister kabisa go go go go my love❤
Kuanzia Mavazi Mpaka Wimbo Wenyewe Ni ❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Powerful❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Glory to God!
Huu wimbo nimesikiliza Mpk nywele zinasimama vile naona ukuu wa Mungu kwenye maisha yangu 🙇🙇🙇🙇
Powerful sound 🎉❤
BWANA WA VITA…this is more than a song 🔥🔥🔥
Huu sio Wimbo ni Maombi..🙏🏿🤲🏾
thank you Jesus 🙏🙏🙏
Hallelujah Glory🙌🙌🙌🙏
Testimony arising in your presence God ✨️
Glory to Jesus, I felt very strong power of God through this song
kipekee na mshukuru sana Mungu kwa ajili yako nimelia machozi ya furaha afu naamini kitu kipya kimeundwa upya ndani yangu
Mungu akutunzee
Huyu dada angebaki bongo aaaah cijui mm
🙌🙌🙌🙌 MUNGU KWELI YUPO HALISI
This woman is a blessing to me❤
This is Anointed Angel Benard we knw ❤
YESU AINULIWE❤❤
What an anointing Minister Angel 🔥🔥🔥. This is so powerful ✨✨ Eish 🙌🙌🙌👏👏👏👏. I celebrate you
Glory to KING JESUS
God bless you brother Zoravo and sister Angel!
Powerful sana, Glory to Jesus
Sis Angel 🙌🏾🔥🔥🔥🔥 Glory to God
Ww dada ukitulia nibalaa😊
Glory be to God, Your songs are ablessing to many souls servant of God.
Tanzania at the Top
I'm very proudly to be Tanzanian
Aseee 🔥 🔥 🔥
Angel Mungu aendelee kukutumia
Angel you are very underrated but God is taking higher and higher, take over the territory dear.That voice wow🥰🥰🥰🥰🥰
Utukufu kwa Mungu ubarikiwe sana Mtumishi wa Mungu
Powerful collaboration.mubarikiwe zaidi
Wow WOW wow i love this hallelujah hossana