Kuna mtu amegundua kuwa ni hawahawa wawili walikuwa moja ya baraka kwenye maisha ya wengi mwaka 2016-2018. Cijui ni mm tu au😊😊❤ (Salama moyoni, Amenifanyia amani,....)
He's there when stressed He's there when worried He's there when depressed He's there when scared He's there when doubtful He's there through EVERYTHING"
Huu Wimbo una Nguvu za Mungu saana, Yaani ni Baraka zaidi ya Baraka, Ubarikiwe saana Kaka Paul na Dada Angel Huu Wimbo ukifika mwezi wa 12 utakuwa na viewers 10M
Jaman nipo kazin nimesikia hii nyimbo nimeshindwa kifanya kazi nasikia nguvu ya tofauti sana this is anointed have never experienced for so long time 🙏
Now we are waiting for Venessa Mdee to join these spiritual power houses coming from TZ. Romans 11:29 The gifts of God are without repentance. Maombi juu!! Love from 🇰🇪 🇨🇦
For sure usishindane na MTU kama hakukudhuru kwa lolote, your choosen ,anointed, blessed men, Let da groly belongs to Him! Keep on pressing on Zidini TU kukaa barazani pa Mungu, Yeremia 23:18 Kwakweli imbeni kwa akili na kwa roho, so beautiful , powerful and lovely song❤❤❤❤❤
Paul and Angel, tunawashukuru kwa kutuhudumia vizuri. Nyimbo huwa zinatuvusha na kutusogeza karibu sana na Mungu. Hii nyimbo ni msaada sana kwetu. Naamini Mungu ameipokea hii ibada. Mzidi kubarikiwa
What God requires of us as believers is to love Him with all our heart, soul, and mind, and to worship Him in spirit and in truth. Worship isn't just about the songs we sing-it's a lifestyle of surrender, adoration, and reverence. When we truly worship, we invite His presence into every moment of our lives. As Psalm 95:6 says, 'Come, let us bow down in worship, let us kneel before the Lord our Maker.' Our worship reaches the throne room of grace, and in return, we experience His peace, healing, and joy. Let’s worship Him at all times, for He alone is worthy of our praise!" PRAISE GOD
*asante pol na enjo naliona Jina la Yesu linatajwa naomba wale ambao wanaimba nyimbo kama wanatoa azana msikitini na jina lipitalo majina yote halitajwi jina Yesu Mfalme wa wa falme kwa Damu yake tumepata upatanisho na Mungu Muumba vyote amen amen huuu wimbo ufike mbali kwa Jina lipitalo majina yote Yesu kristo mkombozi wetu amen*
Jaman nipo kazin nimesikia hii nyimbo nimeshindwa kifanya kazi nasikia nguvu ya tofauti sana this is anointed have never experienced for so long time 🙏 please isiishie hapo iwe ndo muendelezo Dada Angel karibu Tena bila kuchoka
MTUMISHI PAUL NYIMBO ZAKO HUNIBARIKI NA KUNIFANYA NIENDELEE KUKAA KATIKA UWEPO WA MUNGU.MUNGU AZIDI KUKUINUA ZAIDI NI KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
Daaah Mungu ana watu sana thz song 😢😢😢😢 all the Glory to Jesus,,Paul Mungu akutunze tunakuhitaj sana thz generation,Angel ur something else Mubgu akutunze tunakuhitaj sana kwa hii generation❤
Reminds me of GLORIOUS CELEBRATION 😊❤❤❤ the glory is much more greater, blessings For the glory belongs to Him and we experience it daily and it is manifested through this song 🎉😮😊❤❤
Waoo Moyo wangu wa muazimisha Mungu,nguvu za Mungu zipo katika wimbo huu umenifanya niingie kwenye wingu la maombi mara moja, mbarikiwe sana kwa kazi hii nzurii Glory to God 🙌
Asante kwa kazi! Acha Mungu wa mbingu Awa zidishia tena naku wa tumia kuwa baraka kwetu. Paul and Angel you've been loved around here ever since DR Congo
Kuna mtu amegundua kuwa ni hawahawa wawili walikuwa moja ya baraka kwenye maisha ya wengi mwaka 2016-2018. Cijui ni mm tu au😊😊❤ (Salama moyoni, Amenifanyia amani,....)
From them UMENIFANYA IBADA days in Glorious celebration, Mungu amewatoa mbali and they keep lifting HIM higher , the Glory and Power is indeed His
Yeah, ni kweli, Nikumbushe wema wako, umenifanya ibada
Hawa nimevuka nao katika nyakati nyingi sana
Niguse niguse ukinigusa wewe nitakua salama ❤
Umenifanya ibada ilikuwa moto na mpaka sasa ni moto kwa kweli @@gloriousnp
This is the song of the spirit 🙌🙌🙌🇰🇪
Nyieee watu wawili neema ya kristo iwe nanyiii naomba kutoka moyoni
Ila Dada Angel❤❤🔥🔥
The song is on another Level naah🔥🙌
Ila angel benard jmn 🙌🏿🙌🏿 hana mbwembwe she is cool yani anaimba kwa utulivu mpka rahaa
Surely 🤲🏾
Anajua sana sana,halafu ni mnyenyekevu sana
She is very cute, cool, calm and collected 😍😍🇹🇿🙏🏿🙏🏿❤️
@@gloriousnp sanaa
Wamekutana 🎉🎉🎉🎉
He's there when stressed He's there when worried He's there when depressed He's there when scared He's there when doubtful He's there through EVERYTHING"
Turn notification on, mafundi wamekutana🔥
Tyari nishafanya ivo
Huu Wimbo una Nguvu za Mungu saana, Yaani ni Baraka zaidi ya Baraka, Ubarikiwe saana Kaka Paul na Dada Angel
Huu Wimbo ukifika mwezi wa 12 utakuwa na viewers 10M
Una nguvu mnoo!
My gooosh...Talodabire🙌...this song will get more than 4 million views
That Angel's round turn at 4:52 is heavenly🙌😅
Yes! Yes! Yes!
Utukufu wote ni wako BWANA
Asanteni watumishi ,oooh!! My!!!
Jaman nipo kazin nimesikia hii nyimbo nimeshindwa kifanya kazi nasikia nguvu ya tofauti sana this is anointed have never experienced for so long time 🙏
Angel benard #cecewinans 🕵️🔥🔥
Cece haja divorce
Anyway God forgives
Am early today, Kwa kweli from January till now tumeona nguvu zako Mungu, utukufu wote ni wako.
MAFUNDI WAMEKUTANA 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Kwakweli ni mafundi kabisa, hasa Paul clement ame nifunza ku jiamini ❤❤❤❤❤❤
Now we are waiting for Venessa Mdee to join these spiritual power houses coming from TZ.
Romans 11:29 The gifts of God are without repentance.
Maombi juu!! Love from 🇰🇪 🇨🇦
Pls add Rubby to the list too 🙏🏿❤️
Angel. Benard has such a strong voice
Good Job my Brother @PaulClement Na sister @Angelbernard you did a Good Job 🇰🇪👌
For sure usishindane na MTU kama hakukudhuru kwa lolote, your choosen ,anointed, blessed men, Let da groly belongs to Him!
Keep on pressing on Zidini TU kukaa barazani pa Mungu, Yeremia 23:18
Kwakweli imbeni kwa akili na kwa roho, so beautiful , powerful and lovely song❤❤❤❤❤
Paul and Angel, tunawashukuru kwa kutuhudumia vizuri. Nyimbo huwa zinatuvusha na kutusogeza karibu sana na Mungu. Hii nyimbo ni msaada sana kwetu. Naamini Mungu ameipokea hii ibada. Mzidi kubarikiwa
What God requires of us as believers is to love Him with all our heart, soul, and mind, and to worship Him in spirit and in truth. Worship isn't just about the songs we sing-it's a lifestyle of surrender, adoration, and reverence. When we truly worship, we invite His presence into every moment of our lives. As Psalm 95:6 says, 'Come, let us bow down in worship, let us kneel before the Lord our Maker.' Our worship reaches the throne room of grace, and in return, we experience His peace, healing, and joy. Let’s worship Him at all times, for He alone is worthy of our praise!" PRAISE GOD
I love this
Talodabire 😇😭
Kila nikiiirudia kuangalia na kusikiliza hii nyimbo ni kama sikuwah kuiangalia...ooh God ,all Glory belongs to you❤❤😂
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥 Nakupenda saana YESU KRISTO MWANA WA YEHOVA MUNGU MWEZA YOTE 💯💯💯
Been yoh fan since Glorious Celebration Power✌ let's Glorify the Holy name of Lord Jesus Christ.... Fireeee 🔥🔥🔥🔥
Umenikumbusha ukizingatia walikuwa wote Glorious Celebration 🙌🙌🙌🙌
*asante pol na enjo naliona Jina la Yesu linatajwa naomba wale ambao wanaimba nyimbo kama wanatoa azana msikitini na jina lipitalo majina yote halitajwi jina Yesu Mfalme wa wa falme kwa Damu yake tumepata upatanisho na Mungu Muumba vyote amen amen huuu wimbo ufike mbali kwa Jina lipitalo majina yote Yesu kristo mkombozi wetu amen*
Sure... Me pia napenda sana ktka Mungu atajwe ktk Yesu... Aaa nabarikiwa
Best of 2024🎉
Tuna subiri apa wimbo uhu utakuwa spcial kwa wote tukutane apa kwa like🎉🎉🎉🎉🎉🎉
What a song 🥰🥰
wooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooooow
Kwa wale tuliomkariri Angel jmn came in different glory here❤ hata ningesikia redion ningekataa❤
🙌🙌🙌 All the Glory belongs to you Lord
🔥🔥🔥 kiukwelii munafanya kitu ambacho MUNGU ameweka ndani yenu
Huu wimbo umekua bora kwangu,,,kla siku asubui lazima niusikilize.Natamani ata ningekua naweza kulike zaidi ya mara 1
God do you well #Min.PaulClement and Min Angelbenard
Jaman nipo kazin nimesikia hii nyimbo nimeshindwa kifanya kazi nasikia nguvu ya tofauti sana this is anointed have never experienced for so long time 🙏 please isiishie hapo iwe ndo muendelezo Dada Angel karibu Tena bila kuchoka
Blessed by the Musician too great job MD Joel Alfred.
Angel bernad cece winans wa Bongo🎉🎉
Amen,all glory belongs to you God
Moyo wangu umetulia sasa nimeusubiri sana huu wimbo 🙌 I've seen his glory 🙇♀️
😍😍glorious
Glorious indeed
Utukufu wa mwisho utakua mkuu kuliko wa Kwanzaa ❤❤❤ tulikua nao kwenye joyous cerebrat now tuko Ni viwango had viwangooo
Keep it please don't change,,we can't forget the song called neema yamungu very true gospel
From glorious celebration wakaseparate now kwa mar nyingin wamekutan hawa watu daah kitambo kirefu kidg kimepita MUNGU Apewe sifa
MTUMISHI PAUL NYIMBO ZAKO HUNIBARIKI NA KUNIFANYA NIENDELEE KUKAA KATIKA UWEPO WA MUNGU.MUNGU AZIDI KUKUINUA ZAIDI NI KWA AJILI YA UTUKUFU WA JINA LAKE
Ameen
Daaah Mungu ana watu sana thz song 😢😢😢😢 all the Glory to Jesus,,Paul Mungu akutunze tunakuhitaj sana thz generation,Angel ur something else Mubgu akutunze tunakuhitaj sana kwa hii generation❤
All the glory belongs to Jesus from the beginning🙌
Moto ni mkali mnoo 🔥🔥🙌
I love you my people❤.
God bless you for using you to raise this powerful sound.
Amen❤
That's my Angel!!!!
Missed you@Angel Bernard all the same all the Glory belongs to God ..... 🇰🇪Mfuasi wenu asante
kwa kuusikiliza huu wimbo I feel the presence of holyspirit all the glory to our living God 🙌🙌🧎🧎
He is a way maker a miracle working God ❤ A faithful God... He listens when we call unto Him. Bless His Mighty name🙌 all the glory belong to Him
THIS IS BEYOND A SONG💥💥💥
We've seen your Glory🙌🏾
We've seen your power...Tunakuinua🙌🏾
Yessir 🔥🔥🔥🔥🔥🔥
I see even angels dancing n praising God through this song ie so powerful...glory to God 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏
Talodabire😭😭😭😭🙌🏾😭🙌🏾🙌🏾🙌🏾🙌🏾 we lift you higher all the glory belongs to you🇰🇪🇰🇪🇰🇪🔥 God bless you ministers of Yaweh
Watching this song from Southern highlands of Tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿. So powerful, I can feel the heaven gates ate opening 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥❤
The heart of worship in its purest form. Thank you Ministers of Christ
Paul&Angel Mungu awabariki sana mna kitu hamjui tuu Mioyo yetu inamtukuza Mungu sana
What a delight to see Angel Bernard doing this again!! God bless ya'll for answering the call ❤
I glorify His Holy Name, this song so powerful😢
Too much oil 🔥🔥
We seems your groly, power, nothing God like you!!!
Hatua hatua mpka mwisho🎉🎉
Mungu Asante kwa kunipa siku nyingine Tena yakuishi chini ya juu 🙏🙏🙏🙌🏽🙌🏽🙌🏽❤️
What a perfect combo.. what a song.. I have always loved Angel Bernard sijui alipotelea wapi.. God bless you all for making a masterpiece
The best collaboration of the year ❤❤❤❤❤
🎉🎉🎉🎉🎉 wimbo bora
AMEN.SIJAONA MUNGU WA NEEMA NA REHEMA KUU KAMA WEWE NA NDIPOSA TUNAKUINUA JUU,JUU SAANA.NABARIKIWA NKIWA KENYA
Hatari sana kaka Mungu akuinue zaidi na zaidi
Indeed all the glory belongs to God. Thank you for this testimony...
High glory, high quality
It's just amazing 🎉🎉
Amen
Umenibariki sana kweli
Back vocals mbn hazi sikiki vzr au ni masikio yangu tu ndo hayasikii vzr
Simu yako jombaaa
Blame it on your phone or whatever you are using
Nimesikiliza kwenye simu mbili tofauti...utofauti wa sound quality ni mkubwa mno. Inategemea na simu unaayotumia
Kweli, background vocals.. sound haiko sawa vile sana
All the glory belongs to you God
Kumekuuuuucha hapo sasaaaa
Amen 🙏 barikiwa
So powerful song
Waiting
Reminds me of GLORIOUS CELEBRATION 😊❤❤❤ the glory is much more greater, blessings For the glory belongs to Him and we experience it daily and it is manifested through this song 🎉😮😊❤❤
Be blessed 🙌 my mentor Paul clement
Waoo Moyo wangu wa muazimisha Mungu,nguvu za Mungu zipo katika wimbo huu umenifanya niingie kwenye wingu la maombi mara moja, mbarikiwe sana kwa kazi hii nzurii
Glory to God 🙌
5:45 🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Bless you men of God
Asante kwa kazi!
Acha Mungu wa mbingu Awa zidishia tena naku wa tumia kuwa baraka kwetu. Paul and Angel you've been loved around here ever since DR Congo
Tusikanyagane pole pole ooohoo haleluyaaaaa
From the oldie Ninalia to this one, you're an amazing duet.
Barikiwa kabisa Minister Paul
Such a powerful song. Indeed all the Glory belongs to Jesus Christ. He alone deserves all the praise, honor and adoration 🙌🏾🙇🏾♀️🥰😍❤️🥳💯
Glory Glory Glory 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻🙌🏻
Wow
Awesome awesome awesome 👌🙏
❤❤❤
Mungu awabariki Watumishi wimbo huu ni mzuri Jina la Yesu litukuzwe Milele🙌🏾❤️
Tumeona Utukufu wako 🙌🏾🙌🏾
God take ur GLORY
All the glory belongs to God🙌🙌eeei..more grace minister Paul and Angel
I see his Glory 🙌🏼🙌🏼🙌🏼🙌🏼