Mimi nikiona kwa stage kuna Jo, Elisha, Jonah, Sam bass, Chitete na Hagai. Kazi imeisha,, This is cruel ni kama Madrid fulani hivi kama cyo Yanga. but in a serious notice, this 6 individuals ni hatary sana. They are behind the change in music in live sessions. May the almighty God protect them and let the successplan exist for God loves seeing us praising his name and grateness.
anapigana BWANA wala sio mimi BWANA amenipigania amenipa kushinda hakika kaka Zangu Mmeupiga mwingi tupo pamoja nawaombea kwa MUNGU azidi kuwainua zaidi ya hapo mlipo sasa kaka zangu nyie nawapenda sana UTUKUFU KWA MUNGU
Wakenya tuko rada Sana ikitoka tu nayonayo wapi likes from tz
Hata Sisi ndio wa kwanza kusikiza
😂😂 Sisi ni wale wasee , we are everywhere.. Am blessed
tuuuuupoooooooooooo!,
Aminaaa
The Tanzanian musicians aise wako viwango vikubwa sana
One day I will perform like this... 😊😊
let it be in the might name of JESUS
You can do in the might name of Jesus Christ 🙏
No worries alafu tutacollaborate😁
unfortunately that is not performance but it's a Ministry
Yeees this is my prayer my dream one day we will get there ❤
After kuskia neema ya mungu.... Nimechange from what I was .... Nimewacha mambo ya Dunia Sai niko na kelele za ushindi coz haikuwa rahisi kuchange..
Welcome 🙏 in peace of everything
Exactly but song imetulia kelele za ushindi 😊
Bassist na Drummer wanaongeaa lugha mojaa🔥🔥🔥🔥🔥♥️.
Drummer na bass ni washkaji sana
Walai nawasikia mpaka nalala hawa ni mofire
Toka Goma DRC 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩munipe liké zangu APA
11:50 this song God bless them
Mimi nikiona kwa stage kuna Jo, Elisha, Jonah, Sam bass, Chitete na Hagai. Kazi imeisha,, This is cruel ni kama Madrid fulani hivi kama cyo Yanga. but in a serious notice, this 6 individuals ni hatary sana. They are behind the change in music in live sessions. May the almighty God protect them and let the successplan exist for God loves seeing us praising his name and grateness.
Kenyans in gulf kwanza kama Ibada...Glory to GOD❤
My Brothers Kazi Safi ! More more Grace , This is Really Amazing , The arrangements , combination Etc..
Our own we can't wait for this with them
Ila wewe jamaa kuna ngoma yako ni bora sana inanibariki sana #bule ulinikubali ni bonge la ngoma aisee
Mungu awabariki jamani makamanda wa Yesu na awatie nguvu wimbo umenibariki sana,. KAMA UMEBARIKIWA KAMA MIMI LIKE HAPA
Who is watching last day of 2024❤🙌31/12/2024
Singeweza bila wewe Yesu.
Ngoma hatari sana
🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪
From Nyeri Kenya
1/1/2025 tumevuka na kelele za ushindi coz God fought for us in 2024.
Apart from all this comments respect to brother Mujwahuki mixing inaongea 🙌🙌🙌🙌
Amepigana Yesu sio sii
Who's watching this event 18 Dec 2024
Andrew Chitete unanibariki sana🥁🥁🥁🇧🇮
🇹🇿 Mungu ametubariki sana
USHINDI 2024………………🎉🎉🎉🎉🎉 2025 SITAWEZA BILA WEWE YESU
Hata kufikia tamati ya mwaka, ni jambo la kusherehekea kwani Mungu amepigana mwaka mzima kwa ajili yangu
Wakenya tumejaa tele ku support tz
Hizi ni kelele za ushindiii, Dezembaaa🔥😅🙌
Nakumbuka mlikuja iringa mjini mkiwa 3 vivo hivyo miaka 7 iliyopita kwenye tamasha ,mmeanza kitambo Sana kwa asiewajua hongerenii
Arrangement iko vizuri sana kabisa👌👌👌👌👏👏
🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽
HIII NI MOOTO SANA FINALLY IN ONE STAGE 💯💯💯💯💯
Ameen Barikiwa sana Mtumishi wa Mungu ❤
Awiiiiii🎉🎉🎉🎉🎉
Awwwww baraka ziwamiminikie
Good Arrangement 😮
Aloooooo❤❤❤......hii combination huwa naikubaligiiii mnoooooo🔥🔥🔥🙌......Mungu azidi wainua viwango Hadi viwango PAUL, ZORAVO & JOHN🙏❤️
I wish I could like a million times coz this combo🙌🙌
iam in kenya its my prayer that one day and soon, i will meet you men of God in the same stage
And God hears your prayer.
@@LouizPs3 Amen
Combination ya korg,shemsanga na joe kwa kinanda nmekubali😂😂😂good job everyone 🎉🎉
The revival happening in East Africa only God to be given the glory
Anametupigania ametupa kuchinda.👏👏
Aisee Paul clement hajawahi kupoa.. Mungu aendelee kukuinua mno uko viwango vya juu hongera mno kwa kazi nzuri ..hapoi,haboi! Alleluia🙏
THE DAY WAS VERY AMAZING 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉 THIS IS HIT 🎉
What the Lord is doing in TZ ministry is extremely neeewwwwwww 💯💯💯💯💯 & very strong
Instrumentalists walienda shule 🔥
God is good 🙏barikiwa Mens of God
God sent ministers delivering a perfect image of what it will be in heaven...Thanks for He fought our battles.. We are victorious
Kelele za ushindi yieeeeeee🤗💥🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳🥳
Mziki umekutana na miamba yenyewe 💥💥💥.., mungu awabariki sana MINISTER JOEL ALFRED na wote mlio husika kumfanyia bwana ibada nzurii🙏🙏🙏🙏🙏🙏
KELELE ZA USHINDIIIIIII
hapo sawa😀😀😀😀
Unyama mwingi wakuu....
Mungu awabariki sana wanaume wanamwimbia Mungu kwakweli Mungu awabariki, zavo, clement, John Mungu awatumie zaidi mno ❤❤❤❤
Glory to our Gracious Lord Jesus
Be blessing kaka Paul Ila Bro zoravo yey ni mtumishi mzur wa Mungu ni vizur awe na mwonekano mzuri wa nywele zake yeye ni kioo kwetu..
YaweZekana Ana matendo mazuri kuliko weww
Hizi Ni Kelele za Ushidi 🙌🏾✊🏾💫🤲🏾🙏🏾🕸
Nilikuwa nasuburi live ya kelele za ushindi , utukufu kwa BWANA YESU 🎉🎉❤
Sam Bass, Andrew ,Jonathan,makuzo, and baba Yao Elisha Korg... Mko juu sana watu wa mungu, huku Kenya 🇰🇪 more love
This song🙌🙌🙌
Yeah, strong anointing, Still Jesus lives forever to fight for our victory... especially my victory...
The heart of Thanksgiving.....❤...I give unto God.
wow I was really waiting for this song as live performed🎸🎺🥁🎤
Powerful praise session 🔥🔥🔥🔥
Ametupigania zaidi mara 10000000000000000000.👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏🙏
I think nmeona kaka Paul akiizungusha mic 7:06 that was epic😂😂😂 nimependa
nikajua nimeona pekee yangu😅😅
🎉🎉🎉 Sounds of Victory. Blessed Gospel artistry raising standards day 2 day. From glory 2 glory ❤❤❤
Mungu awa bariki🎉🎉🎉🎉🎉 izi ni kelele za ushindi🥳🥳🥳🥳
Watu tuko busy tunasubiria jiwe lishuke😂🔥🔥🔥
Chuma😂😂😂❤
😂😂😂😂😂🫡🫡🫡
Anachelewa sana
Brothers Duo 💪🏽🙌🏽😊♥️👍🏼
Congratulations 🎉
I am indeed blessed with this...🙌🏼
Humu ndani miziki imelia aisee. GOD BLESS ALL MINISTER'S
indeed ni kelele za ushindi
Big up boys
From kenya
What a blessing this praise medley is neema ya MUNGU izidi kuwatosha Watumishi wa MUNGU ❤❤❤
Kinda Nigerian kinda, Swahili ooh Praise on other levels. Good music Clement ft Zoravo 🎉
❤❤❤🎉🎉🎉🎉
It's God who has fought our battles and won
Glory
Wakuu apa Niko nafurahi na huyu YESU wetu 🎉❤😂 kwa YESU kuna Raha sana. MUNGU awabariki Sana watumish Bwana kaka Paul na hao vijana wako kina zoravo 🎉🎉
Kumbe poul hawa ni wadogo zake hapa nimekuapata 😢
Kazi safi..from kenya🎉🎉❤
From kenya utachekwaaa weweee
Watu Wang niwapendao wote wame kutana acha niombe juuyenu
Mungu wabariki watokapo na waingiyapo aamina
🙌🙌
Kaka paul clement nakukubali kwa kila kitu katika wasani wote wa nyimbo xa injili wewe una wokovu ila wengine wanafanyia sifa tu
Utukufu kwa Bwana 🎉❤
❤❤❤❤ bwana anatupigania siku zote
anapigana BWANA wala sio mimi
BWANA amenipigania amenipa kushinda
hakika kaka Zangu Mmeupiga mwingi
tupo pamoja nawaombea kwa MUNGU azidi kuwainua zaidi ya hapo mlipo sasa kaka zangu nyie
nawapenda sana
UTUKUFU KWA MUNGU
Waaaaat the sound is topnotch
Oyaaa mizikii imeliaa🔥🔥🔥
Yesu ni mzuri sana jamani mpka raha
Eiiiiiiii., Hallelujah..Much love from Kenya
Geeezz🥹🥹🥹💥💥💥 woww! Blew up on this🔥 so good❣️❣️❣️
Daah huu mziki umepigwa kwenye huu wimbo naogopa am criying for a joy Glory to God the Most High God! Bless You Paul Clement and Zoravo
Goosebumps all-over... All my battles ni God amenipigania
Amen 🙏🙏
All Glory and Honor belongs to Jesus Christ❤
Much love ❤️ Paul clement and zoravo
ni wewe yesu , usie shindwa... asante
🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿 Ameeeen Mungu azidi kuwainua sana kuliinua jina la Bwana hadi kieleweke
Anyone else notice the little flick Clement does with the mike at 7: 11
Amazing sana🎉🎉🎉
I am blessed by your ministry. Keep on being a blessing to me and others from God. From grace to grace glory to glory.
It was a powerful Friday overnight 🎉🔥
This two are so blessed and fireeeeee
I thank Lord for enabling me turn a year older,this ministration is a testimony unto my life❤❤❤
Paul clement na wapigaji wake ni 🔥🔥🔥🔥🔥🔥 wana ubunifu usio na mfano