SINGIDA: MKUU WA MKOA AGOMA KUFUNGUA BWENI LA WASICHANA.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 июн 2024
  • #VIDEO: Mkuu wa Mkoa wa Singida, Halima Dendego, amekataa kufungua bweni la wanafunzi wa kike katika Shule ya Sekondari Mtenkente, iliyopo wilayani Iramba, mkoani Singida, lililo jengwa kwa gharama ya shilingi milioni 180, baada ya kubaini ujenzi wa bweni pamoja na jiko upo chini ya kiwango.

Комментарии •