Hayo ndo majibu yanayotakiwa kujibiwa na viongozi (safi Sana mzee wetu) hakika una karama ya uongozi, Mungu aendelee kukutia nguvu na akuongezee hekima katika uongozi na pia akupe Maisha marefu ili wananchi tuzidi kuzifaidi busara zako na uongozi wako uliotukuka.
Ki-ukweli wana Tabora tunajivunia kwa kuwa na kiongozi huyu. Wasio Tabora wanaweza wasijue hasa alichokifanya Mkuu wetu wa mkoa, Proud of you Hon. Agrey Mwanry
Inaonekana kuna watu walimuhasidi ndo maana akamua kumuachia mungu na Kweli muachie mungu hao ni mahasidi tu hawata kuweza na riziki ni mungu anatoa we wache tu wamijisahao. Chapa kazi wengi tunakupenda na mungu akupe maisha marefu
Mtangazaji Mungu akutetee sana nimetokea kukupaa hongera maana umemuhoji kwa busara kubwa sana bila hata uchokonozi wa mambo yasiyokuwa na msingi. Una taaruma nzuri na nimetokea kukuelewa sana.
Huyu mtangazaji mpumbafu sana, anamlazimisha Mwanri atuvuruge wafuasi wake! Mwanri ana akiri sana hataki kuwagawa washabiki wake maana ashajua anafagiliwa na watu wa vyama vyote. Endelea hivyo hivyo mzee tabia njema ni siraha huwezi jua kesho kutatokea nini. Tawala huwa zinabadirika ghafla.

Mungu akupe maisha marefu Mkuu
Mungu akutie nguvu RC wa Tabora Amen
Ki-ukweli wana Tabora tunajivunia kwa kuwa na kiongozi huyu. Wasio Tabora wanaweza wasijue hasa alichokifanya Mkuu wetu wa mkoa, Proud of you Hon. Agrey Mwanry
Kumcha Mungu ndo mwanzo wa Hekima.Love u Mwandry
Huyu mzeee anajua kujibu kwa hekima sana
Huyu mzee ni genius👏👏👏, majibu kuntu.
Mungu akuongoze kwenye njia sahihi inayompendeza yeye!!!mkuu wa mkoa wa Tabora.
JEREMIAH ISSAYA ZERIANA
Mkuu uko vizuri tunakuombea neema zaidi
Ni jambo la hero kuona kiongozi kama wewe unamtegemea Mungu kwa kila ufanyalo na kulipitia @Aggrey mwanri
We mtu wa mkowa huyo atakuponza ndio huyoyo tunabishana nae hapa. Hatakupa majibu ya kichwani mmake arafu badae tukimbizane hapa. gonga like kwake
Inaonekana kuna watu walimuhasidi ndo maana akamua kumuachia mungu na Kweli muachie mungu hao ni mahasidi tu hawata kuweza na riziki ni mungu anatoa we wache tu wamijisahao. Chapa kazi wengi tunakupenda na mungu akupe maisha marefu
Kazi kazini ndio sababu mzee
Mimi ni mkenya na nampongeza sana mkuu wa mkoa . Yeye ni mchapa kazi na mzalendo chupavu.
Mungu akutangulie kwenye kazi zako mkuu
Mkuu huyuu yupo POA sana nimkweeli sana.
So bright guy.
Engineer soma hiyooooooo
Mzee wa hekima. Injinia somaaa hiyoooo!!
Mzee wang nakuelewaga sana
Sukuma Ndanii Wote
Very nice mkuu wa Mkoa
safiiiiii......Rc
Haahaa embu jifanye unajikuna,shika sukuma ndani
Very intelligent Mheshmiwa
Diamond
Jifanye unajikuna jifanye unajikuna, injinia somaiyoooo!
Aggrey Mwanri ana Mungu ndani yake.
Nice RC Tabora
Engineer Soma hiyooooooooo
😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂
😂😂😂😂
Engineer somaaaa!! 😀😀😀😀😀
Sisi tunamuomba agrey mwaniley agombee urais hata kama ni kwa tiketi ya CCM sisi wananchi tutampa kula zetu
Mtangazaji Mungu akutetee sana nimetokea kukupaa hongera maana umemuhoji kwa busara kubwa sana bila hata uchokonozi wa mambo yasiyokuwa na msingi. Una taaruma nzuri na nimetokea kukuelewa sana.
Safi Sana
Good
Una hekima na busara unajibu vema
Soma hiiyoo
Nomaa
Jifanye kama unajikuna!
Good
asisome huyo atakuingiza mkenge,soma hiyooo
Sukuma ndan
mwisho wa kunuku hahahaha
Jifanye kama unajikuna
Fyekereaaaaaa mbaliiii
Amen
Wspi part two
.
Mwisho wa kunukuu
engender soma hiyo hahahaa!!!???
King dome Wei's Dom:
Huyu mtangazaji mpumbafu sana, anamlazimisha Mwanri atuvuruge wafuasi wake! Mwanri ana akiri sana hataki kuwagawa washabiki wake maana ashajua anafagiliwa na watu wa vyama vyote. Endelea hivyo hivyo mzee tabia njema ni siraha huwezi jua kesho kutatokea nini. Tawala huwa zinabadirika ghafla.
mi napenda jinsi unavyoongea kwa kutoa macho ili kusisitiza jambo
hahaha
sukuma ndani hahahaha
acheni uongo nyie
kumbe huyu mpuuzi!
fu.....
hii hapa trap song ya RC mwanri ruclips.net/video/8XPNuDaqjV8/видео.html
Tupo pamoja+974🇶🇦🇶🇦🇶🇦
Pa1 968
Jaman mtangazaji yuko hovyo,boring
SUKUMA NDANI
Kamata wote tupa ndan
Just stop nose poking in the public mkuu it’s weird 🤮...otherwise God bless!
I thought I was the only one who noticed. Poking nose in other cultures is as nasty as picking ass😁
Jon anderson 😂😂😂 yooh!! Its so nasty! Mbaya sanaaa