VIDEO:MAFURIKO MANYARA, KUARIBU VYANZO VYA UTALII MAJI YA FUNIKA HOTELI YA MOJA BILIONEA HUYU..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 май 2024
  • 𝑪𝒐𝒑𝒚𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕 ©2024 𝑾𝒂𝒔𝒂𝒇𝒊 𝑴𝒆𝒅𝒊𝒂. 𝑨𝒍𝒍 𝒓𝒊𝒈𝒉𝒕𝒔 𝒓𝒆𝒔𝒆𝒓𝒗𝒆𝒅.
    #wasafi #wasafitv #wasafifm
  • РазвлеченияРазвлечения

Комментарии • 46

  • @deusraphael2954
    @deusraphael2954 25 дней назад +23

    Hii interview bado inamhitaji mtulivu mmoja ivi ili Mr Chambulo atupe madini yake ipasavyo, amegrow vipi, kapita ktk njia zipi, akaunti zake zilifungwa kwasabbu gani, wakati zimefungwa maisha yake yalikuwaje, zilifungwa ktk utawala gani na alichukua jitihada zipi mpaka akauti kufunguliwa nk

    • @user-nb6yh2bn9y
      @user-nb6yh2bn9y 25 дней назад

      Duu unaakili kama computer 👍👍👍😮😮😮

    • @noelngatunga112
      @noelngatunga112 24 дня назад +1

      Kabisa.........
      Najiuliza Zungu Safari ya Dar mpaka Manyara icho ndo ameona kinatosha. Kunaaja yakujitafakari waandishi wetu umekua ugonjwa content zinakua na ombwe, jaribuni kumaliza kiu yawatazamaji, tuone tija ya vyombo vyetu vyahabari tusisubiri BBC na watu kutoka nje ndo wafanye iyokazi yakumaliza kiu yawatazamaji.

    • @boscokikoti
      @boscokikoti 24 дня назад

      Wewe jamaa unafaa kuwa mhariri...uko vzr..fupi sana

    • @Burner_Acc
      @Burner_Acc 23 дня назад

      Yes

    • @EstomineEzekiely
      @EstomineEzekiely 18 дней назад

      Yaaa

  • @Badvoice707
    @Badvoice707 25 дней назад +4

    Tajiri hana mbambamba big up 🎉🎉🎉

  • @husseinkonz5192
    @husseinkonz5192 25 дней назад +8

    Babu chambulo yuko smart Sana hana mbamba mba

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 дней назад +5

    Iyo ni safi sana sijuwi kama umenielewa

  • @godfreymokoki1027
    @godfreymokoki1027 25 дней назад +5

    " MAMA HATAKI DHULMA" nimeipenda kwani Imeandikwa na Imamu Abu Hurayra; "Dua ya mdhulumiwa hupokelewa, kuhakikiwa na kurudishwa duniani haraka kwa utekelezaji wa mapigo dhahiri kwa dhulumati machoni pa walimwengu kabla ya hukumu yake Akhera ambayo ni fidia kwa madhambi binafsi ya Mdhulumiwa kupitia amali njema ya Sala, suna, sadaka na zaka za Dhulumati alizojiwekea duniani wakati wa uhai wake"

  • @user-ou8sp5bb7n
    @user-ou8sp5bb7n 25 дней назад +4

    Wewe mwandishi umesoma wapi hata kuandika lugha yako ya kiswahili hujui, 'kuaribu' maana yake nini

  • @charlesmwambinga4355
    @charlesmwambinga4355 25 дней назад +1

    Jamaa Yupo very Smart...

  • @aishakambenga6191
    @aishakambenga6191 25 дней назад +2

    Nimempenda ❤

  • @munilsunil7776
    @munilsunil7776 25 дней назад +2

    Very smart

  • @bilid4128
    @bilid4128 25 дней назад +3

    ❤❤

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 25 дней назад +1

    Masha Allah ❤❤❤nilifatilia❤

  • @PeterNMzee
    @PeterNMzee 25 дней назад +2

    Ayo angekuwa tungepata nondo za kutosha kwa huyu smart man

  • @ayoubshoo
    @ayoubshoo 25 дней назад +5

    Mzee yuko straight sana, hana mbanga mingi, hana uongo uongo wa kipuuzi

  • @hezronjoseph405
    @hezronjoseph405 25 дней назад +2

    Zungu vipi bana vitu vyamaana unaweka dk 2,,,zuchu akibeba mabegi siku mbili online,,zalau izo

  • @josephmkindi4633
    @josephmkindi4633 25 дней назад +1

    mtangazaji kuna sehem umetukatili hii ilikua ni nafas ya kujifunza mambo mengi zaid

  • @seneu.2128
    @seneu.2128 24 дня назад +2

    Mr chambulo anapaswa kuhojiwa na Millard Ayo au Mr Lambert wa dar mpya TV ndio tutapata madini stahiki.

    • @dunstunnchimbi7994
      @dunstunnchimbi7994 22 дня назад

      Kabisa. Inabidi tupate interview ya dakika 40 uso kwa uso kati ya Millard Ayo na Wilbert Chambulo.

  • @richardbegga6679
    @richardbegga6679 25 дней назад +2

    Warudishe huo Mkondo wa Maji kule Mdori mana Mfaransa ndo aliba Korongo maji yakahama

  • @allymanyika3502
    @allymanyika3502 19 дней назад

    Naombeni like zenu sijui kama mmenielewa😅

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 дней назад +3

    Nikwamba na omba kaz hapo sijuwi kama umenielewa

  • @Kim19onlinetv
    @Kim19onlinetv 22 дня назад

    Lambert anahitajika huku amhoji huyu mzeee. Lambert popote ulipo jitokeze

  • @mohamedsaid2882
    @mohamedsaid2882 25 дней назад +1

    Mwamba nakubali sana huyu

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 дней назад +2

    Nitumie nafas hii kuomba kaz kwa jamaaa hapo

  • @godfreymasabwida4064
    @godfreymasabwida4064 25 дней назад +1

    Pembe za ndovu na meno ya tembo apo vipi?

    • @felixmathias6362
      @felixmathias6362 25 дней назад +5

      Jamaa ni namba nyingine. Acha wivu, kama unataka kujifunza maisha kafanye kazi kwake. Jamaa ni jembe. Nadhani wewe ni mgeni wa arusha

    • @hadijamandanje6189
      @hadijamandanje6189 25 дней назад

      ​@@felixmathias6362tatizo la watanzania hawaamini Kama uwezekano wa kufanya kazi ukapata pesa upo hivyo kila wanaemuona anaefanikiwa si kwa Hali ya kawaida

    • @edwinalexander1170
      @edwinalexander1170 25 дней назад +3

      Jamaa anafanya kazi huyu aisee acha kabisa ni mtu wa juhudi kubwa sana. Hana mizengwe

    • @augustuss4503
      @augustuss4503 25 дней назад +3

      Hayo ndo matatizo ya Watanzania wengu , hata huku Ulaya, wakikuona unajituma na unamaendeleo , yanaanza majungu na wivu, lakini unaweza ukajifunza kitu kutoka kwa huyu mfanyabiashara .

  • @yusuphtwaha8386
    @yusuphtwaha8386 25 дней назад +3

    Mbona fupi sana

  • @dunstunnchimbi7994
    @dunstunnchimbi7994 22 дня назад

    "Sijui kama umenielewa" Hii naichukua. Naanza kuitumia tangu leo terehe 26/05/2025. Naanza leo sijui kama umenielewa hapo.

  • @user-qv3gm4yo4r
    @user-qv3gm4yo4r 25 дней назад

    Mtangazaj anasaut yakutangaz

  • @noelngatunga112
    @noelngatunga112 24 дня назад +2

    Najiuliza Zungu na team yote, Safari ya Dar mpaka Manyara icho ndo mmeona kinatosha. Kunaaja yakujitafakari waandishi wetu umekua ugonjwa content zinakua na ombwe, jaribuni kumaliza kiu yawatazamaji, tuone tija ya vyombo vyetu vyahabari tusisubiri BBC na watu kutoka nje ndo wafanye iyokazi yakumaliza kiu yawatazamaji.

  • @user-eb2el9kw6m
    @user-eb2el9kw6m 15 дней назад

    Unapata nafasi ya kuongea na mtu mkubwa kama huyu alafu una wenge na kujifanya mjuaji. Failed interview

  • @kwisa4899
    @kwisa4899 25 дней назад

    zungu chukua maua yako

  • @Boniphaceshayo5
    @Boniphaceshayo5 25 дней назад +2

    Hapo ni kijiji cha mdori karibu na minjingu