Kaka habari, samahani katika mfuko wa ukwasi kuna faida mtu anapata kila siku inategemea na kiwango cha hela alio wekeza. Swali langu je kuna ile asilimia mfano 15% kwa mwisho wa mwaka je hiyo faida wanakuja kukujumlishia na fedha yako ulio wekeza bila kujali ile faida unayo pata kila siku?
Karibu katika group letu kupata elimu ya kuwekeza bonyeza link hio
chat.whatsapp.com/F2SwBJp3l1E3gZA4jQ1C78
Niunge Kwa group
@@BONGOINMOTION bonyeza whatsapp Link hioo tuchat
Safi sema saut iko chin sn
Sawa nitafanya marekebisho
Thank you for the lesson
Thank you👍👍
thanks
Welcome🙏🏽🙏🏽
🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Thank you
Naomba uniunge group kaka wasap
Cheki namba hii 0752-855-067
Taarifa; mifuko iko 6 mkuu
Ya mkuu ndo nimetoa mmoja kama bonasi
Independent kutoa no mawasiliano ili tujifunze zaid
Karibu sana Jiunge kwenye group letu link ipo juu hapo description video
Kaka habari, samahani katika mfuko wa ukwasi kuna faida mtu anapata kila siku inategemea na kiwango cha hela alio wekeza. Swali langu je kuna ile asilimia mfano 15% kwa mwisho wa mwaka je hiyo faida wanakuja kukujumlishia na fedha yako ulio wekeza bila kujali ile faida unayo pata kila siku?
Hii asilimia 15 inakuwepo kwa ujumla kwa pesa inayongezeka kila siku
So kwa mwaka hela iliongezeka ndo riba yako mara nyingi inakuwa kati ya asilimia 13 hadi 15
p♥r♥o♥m♥o♥s♥m 💃
JOIN FREE MASTERCLASS: CONQUER YOUR WORKFLOW IN 3 DAYS LIMITED OFFER IN 3 DAY and get FREE TUTORIAL VIDEO
LINK: wa.me/message/ATXMQ3ZYQMVPE1
Huo mfuko wa ukwasi siwezi kuweka kidgo kdgo kma 10000 au 5000 na sio kwa laki moja
Kianzio cha mwanzo ni 100,000 unaweza ukatoa kuanzia 5000 kwenye mfuko wako ili ukuee
@@innocentmshindi nikiweka ni compounding? yaani 100,000 +5000 = 105,000 X15% au?
Unaweza nichekii kwa nambaa hii 0752-855-067