WEKEZA KWENYE HATI FUNGANI ZA SERIKALI ZA MUDA MFUPI NA ZA MUDA MREFU - BY LAWRENCE MLAKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 окт 2024
  • Hati Fungani za serikali ni fursa nzuri sana ya uwekezaji kwa kila Mtanzania. Ni yema kupata ujuzi wa jinsi zinavyofanya kazi ili uweze kuwekeza kwa amani zaidi. Video hii inaelezea mambo yote ya msingi juu ya uwekezaji kwenye hati fungani za muda mfupi na muda mrefu kama zilivyoelezewa na mtaalam Lawrence Mlaki.

Комментарии • 46

  • @archchina4705
    @archchina4705 3 года назад +9

    Thanks a lot (you and the whole team behind) for sharing your knowledge with us. I hope more Tanzanians can wake up and start learning. God bless you all!

  • @catherinemzurikwao3265
    @catherinemzurikwao3265 2 года назад +5

    Elimu nzuri kwa watanzania wenye nia ya kujua uwekezaji. Naomba kujua tafuatayo (1) kwa hiyo hizo bonds, nikitaka kununua at primary level ( mnada ukitangazwa) siruhusiwi kwenda ku- bid personally? Ni lazima nimtumie dalali? (Broker)? (2)Halafu pia, je kama nikimtumia dalali ni lazima nilipe hizo hela ninazo bid kwake kabla ya mnada, (as premium, at par au discount rate) kwa broker au ni mimi ndio naenda nazo mikononi, au inakuaje hapo? Na huyo dalali, ananicharge kiasi gani ili anihudumie? (Kuanzia process ya kubid mpaka kufunguliwa sijui account!!? ambayo ulisema hata bank yangu wanaweza kunisaidia?

  • @imaniseba
    @imaniseba 2 года назад +3

    God bless you...Very insightful knowledge

  • @Thatscene2024
    @Thatscene2024 Год назад +2

    Sasa apo unapo mfananisha UTT na BONDS haipo sawa kumbuka UTT anampokea mteja mwenye Tsh 10000
    Nyie bonds ni 1M nakurndelea..kubgekuwa na option ya chini hata kama ya kufanania na treasure bills watu wangevutika. MAIN POINT WAAMBIE WATU WAJAZE MZIGO UTT WAKIWA NA MITAJI YA KUTOSHA WAJE DIRECT INTO BOND..

  • @johwilly8723
    @johwilly8723 Год назад +1

    naomba kuuliza, kwa mfano nimewekeza mwaka huu million 2, mwakan naweza kuongeza tena pesa kwenye ile million 2 ya mwanzo au mpaka niBID tena kwenye mnada mwingine?

  • @onesmomwakaje2717
    @onesmomwakaje2717 2 года назад +2

    Ubarikiwe Mkuu, Elimu nzuri sana na imefafanunuliwa kitaalamu sana
    Be blessed

  • @mikaayo10
    @mikaayo10 Год назад +2

    Tunaenda ngazi nyingine saaa ❤ asante sana

  • @jacquelineshoo7859
    @jacquelineshoo7859 3 года назад +3

    Asante sana mwalimu...somo zuri sana

  • @godfrey279
    @godfrey279 3 года назад +3

    Je serikali ikisitisha Mambo ya bond itakuwaje?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 года назад +2

      Then utawekeza kwenye fursa zingine. Lakini sio rahisi kwa Serikali kufanya hivyo maana inahitaji hizo pesa kuendesha miradi mbali mbali kwenye nchi.

  • @creykulumula10
    @creykulumula10 2 года назад +2

    Very insightful and great session.

  • @johwilly8723
    @johwilly8723 Год назад +1

    kweli wewe ni mchumi, nimeelewa sana leo, kumbe Tanzania tuna wasomi aisee.

  • @Thonythomas
    @Thonythomas Год назад +1

    Information ni kitu cha muhimu sana mkuu

  • @idrisaramadhan8274
    @idrisaramadhan8274 3 года назад +4

    Tunaomba Mawasiliano yako. 🤗

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 года назад +2

      Lawrence Mlaki anapatikana kwa namba 0763600556

    • @sherianabdul1354
      @sherianabdul1354 2 года назад

      Mi ninayo.sasa nataka kukopa .nifanyaje?

    • @MariaMathew-l7z
      @MariaMathew-l7z 27 дней назад

      Nafatilia video zako kuna kitu najifunza

  • @sajuckdabrother4119
    @sajuckdabrother4119 3 месяца назад

    That is the problems when it comes iterms of terminalogies

  • @bonifaceidindil792
    @bonifaceidindil792 Год назад +1

    Ahsante sana kwa Elimu hii.

  • @gessanabuu2099
    @gessanabuu2099 Год назад

    Huyu jamaa ni mkufunz mzur sana.
    Mim nauliza ukinunua bond Kwa 101% , bid anapataje faida?

  • @pikanaauntzuu1466
    @pikanaauntzuu1466 10 месяцев назад

    Asante sana nimehamsika Inshaallah namie nitenda kuwekeza huko❤❤❤

  • @godfrey279
    @godfrey279 3 года назад +2

    Ukiuza bond yako, utarudishiwa pesa yako yote?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 года назад

      Ndio unapata pesa yako uliyoweka. Kama una Bond ya 100m na kipindi chako kikiisha unapata pesa yako kama ilivyo.

    • @imtiazvisram8800
      @imtiazvisram8800 2 года назад

      Amekuuliza uki uza bond. May be after 3 years. Labda una hitaji hela je utapata principal amount ?

    • @BIDIIKATUMAINI
      @BIDIIKATUMAINI 2 месяца назад

      Ndyo​@@imtiazvisram8800

  • @royalmirage2005
    @royalmirage2005 2 года назад +1

    Office zako zipo wapi

  • @mohammedrashid2906
    @mohammedrashid2906 2 года назад +1

    Nice

  • @ZachariaMbonge
    @ZachariaMbonge Месяц назад

    Tusaidie

  • @athumanirugami4230
    @athumanirugami4230 2 года назад +1

    Ahsante brother

    • @moseskizondo5888
      @moseskizondo5888 2 года назад

      Mwalimu nilikuwa na swali moja umesema kwamba unapokuwa umenunua bond kwa bei ya punguza kwa maana ya chini ya 100% na baada ya mataokeo ya huo mnada ikawa waliopata ni wale wa at per na premium peke je ile pesa yako iliyoweka itarudshwa au ndo itakuwa imepotea?

  • @edwardpeter8569
    @edwardpeter8569 2 года назад +1

    Ed naomba namba yako kaka

  • @ramadhanshiganza4926
    @ramadhanshiganza4926 3 года назад

    Mkuu NAWEZA PATA VITABU VYAKE?

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 года назад

      Hana vitabu kwa sasa. Lakini ni kuangalia kwenye bookshops kama kuna vitabu vya Hati Fungani.

  • @kelvinmsokwa6365
    @kelvinmsokwa6365 Год назад

    Kwenye Bonds unaweza uka compound interest ? Usi withdraw au interest ni lazima uichukue?
    So far Great content and very informative . Bingo!

  • @ramadhanshiganza4926
    @ramadhanshiganza4926 3 года назад

    Mkuu bado Sijaelewa.

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 года назад

      Ni vyema ukauliza swali ili uelezewe zaidi.

  • @nataliamhina9583
    @nataliamhina9583 3 года назад +2

    Asante kwa elimu🙏🙏

    • @EdmundMunyagi
      @EdmundMunyagi  3 года назад +2

      Karibu Natalia, Usisahau ku like, comment, subscribe na kushare na wengine.

  • @joycejames6709
    @joycejames6709 3 года назад

    Tressury bills zina tax?