Hapa ni shuleni haswaa... Big up kwenu....but nadhani kila anaemaliza form four alipaswa kua na knowledge ka hizi kuachilia mbali combination anayokaririshwa....Elimu hizi ni za muhimu mno I think...
Aisee hapa na swalo kdg kwa mfano mm nimetaka kuwekeza milioni 20 kwa t.bond ya miaka 10 ambayo riba yake ni 10.25% na malipo ya kuponi ni 6months*2 kwa maana hiyo hiyo riba ya 10.25% itakuwa in apply kila mwaka kwenye hiyo miaka 10? au itakuwa ina apply mara moja kwa mkupuo
Hapa ni shuleni haswaa... Big up kwenu....but nadhani kila anaemaliza form four alipaswa kua na knowledge ka hizi kuachilia mbali combination anayokaririshwa....Elimu hizi ni za muhimu mno I think...
Tuko pamojaaa🎉
Hii elimu kubwa sana mbarikiwe sanaaa
Tuko pamoja sir❤🎉
Soma zuri sana. Vyema kuchangamkia fursa hz
Yap unasikika mentor
Very informative. Thanks very much for sharing. Be. Blessed
I'm so happy
Nakusikia
Very useful infos @the right time😊
Nmeelewa kabisaa
tuko pamoja
Uko vzr punguza kingereza
Ubarikiwe
SeeYouAtTheTop
Tupo pamoja kiongozi
Unasikika
🔥🔥
Tunapata vipi taarifa kwa wakati hii minada inapotokea?
Unasikika vema
Unasikika
Unaskika
huyu mtu ni mtaalam, anaijua sana finance
Naweza kupata link ya zoom?
Aisee hapa na swalo kdg kwa mfano mm nimetaka kuwekeza milioni 20 kwa t.bond ya miaka 10 ambayo riba yake ni 10.25% na malipo ya kuponi ni 6months*2 kwa maana hiyo hiyo riba ya 10.25% itakuwa in apply kila mwaka kwenye hiyo miaka 10? au itakuwa ina apply mara moja kwa mkupuo
10.25% in appy kila Mwaka
Bora hata nyie wasomi mtuokoe ambao hatuna elimu ya shule
Swali langu wanaho takiwa kuweza ni watu wa aina ipi? Je kwa mfanya biasha mdgo pia anaweza kuwekeza kwenye HATI fungani
kabisa wote wanaweza kuwekeza bila kujali alipotokea maadam ana walau million 1 atawekeza