Sawa sawa mkuu! Umesomeka vizuri. Neno 'suitability' ambalo nililitafsiri kama 'ufaaji' ni tofauti na matakwa ya mtu. Hutokea mfuko fulani ukawa una nafasi nzuri zaidi ya kuwa na faida zaidi kwa mtu fulani kuliko mfuko mwingine. Na hii ni tofauti na mtu kutaka mfuko mmoja au mwingine. Ili kuweza kujua huo mfuko ambao unafaa zaidi (more suitable), basi mwekezaji anapaswa apitie maelezo vizuri kwenye website ya UTT Amis..
Mh Ezekiel Kuhoga shukrani sana kwa somo la leo nimekuelewa vizuri sana, BLESSED
Ahsante sana kwa mrejesho kiongozi🙏🙏🙏
Nivigezo gan vya kujiunga na hizo hisa
Big up Sana mkuu
🙏🙏🙏🙏🙏
Vipi kuhusu Inuka Fund ya orbit securities bado tu hawajatengeneza Application ili kutuwezesha kuingia moja kwa moja kuangalia uwekezaji wetu ?
@@AmosLugatangya Kwa taarifa nilizonazo, App ilishapatikana. Ila nitafuatilia kujua taarifa zaidi kisha nitawa julisha kwa sasa hali ikoje.
Hakuna kingereza cha switability bwana,we sema kwamba mifuko yote iko bora ila inategemeana na matakwa ya mtu binafsi😢
Sawa sawa mkuu! Umesomeka vizuri.
Neno 'suitability' ambalo nililitafsiri kama 'ufaaji' ni tofauti na matakwa ya mtu.
Hutokea mfuko fulani ukawa una nafasi nzuri zaidi ya kuwa na faida zaidi kwa mtu fulani kuliko mfuko mwingine. Na hii ni tofauti na mtu kutaka mfuko mmoja au mwingine.
Ili kuweza kujua huo mfuko ambao unafaa zaidi (more suitable), basi mwekezaji anapaswa apitie maelezo vizuri kwenye website ya UTT Amis..
Almanisha suitability...yenye maana ya kitu kinachokufaa zaidi
@edgerlema2976 Ahsante sana kwa uelewa wako mzuri.