Kanuni ya Investment Annuity: Jinsi UTT AMIS Inavyosaidia Kuwekeza kwa Malengo

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии •

  • @anastazianyambita5534
    @anastazianyambita5534 9 дней назад +1

    Mimi naona hawa jamaa wajanjawajanja sana.....! Wana poor customer care....!

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  6 дней назад +1

      Kwa nini unasema hivyo?

    • @ndossiadventurestz.6796
      @ndossiadventurestz.6796 День назад +1

      Mwenyewe nilizani ivyo ila ukifika ofisini kwao ndo utajua wako busy sana inabidi waongeze matawi ili waweze kumudu idadi ya wateja.

    • @anastazianyambita5534
      @anastazianyambita5534 День назад

      @@mindsettinginitiative Yaani ukiwapigia simu hawapokei...! Ku - update bank details ni issue....! Kwa hiyo ukikaa mikoani inakuwa changamoto kubwa....! Sasa huu si ubabaishaji.....? Yaani badala ya mteja kutengenezewa mazingira ya kutatua challenges zake MWENYEWE lakini mteja anatengenezewa mazingira ya kupoteza pesa zaidi ( Nauli ya kwenda kwenye ofizi zao). Sasa kwa
      Mfamo Mimi natoka Ruvuma sasa nauli ya kwenda Dar analipia nani?? Ndio maana nasem hiyo poor customer care

  • @LatifaIddi-e8n
    @LatifaIddi-e8n 24 дня назад +1

    Unisaidie 400,000000/- baada ya miaka 16 nipigie hesabu nijue

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative  23 дня назад +1

      Katika tovuti ya UTT Amis kuna kikokotozi ambacho kinakusaidia kupata mahesabu kwa urahisi zaidi.
      Nitatengeneza video nyingine kukuonesha unawezaje kukitumia.