Mindsetting Initiative
Mindsetting Initiative
  • Видео 727
  • Просмотров 89 373
Namna 5 Utanufaika na Tabia ya Usomaji wa Vitabu
Hapa nimekueleza namna kuu tano ambazo unaweza kunufaika kwa kujihusisha na tabia ya usomaji wa vitabu.
Karibu ujifunze.
Kwa maoni, maswali ama uhitaji wa mafunzo zaidi, tafadhali wasiliana na mimi kwa email: ezekiel_kuhoga@outlook.com
Jiunge na group la usomaji wa vitabu hapa: chat.whatsapp.com/EZ8nzHS7BXV1pBCBO4uAww
CREDITS:
Podcast hii inafanyika kwa collaboration na Talent Hub Eastern Finland
#talenthubeasternfinland #talenthub #vitabu #usomaji #usomajivitabu
Просмотров: 53

Видео

An Important Tip for Job Seekers
Просмотров 4314 дней назад
An Important Tip for Job Seekers
How Do You Succeed in Any Area of Your Life?
Просмотров 6021 день назад
How Do You Succeed in Any Area of Your Life?
Uchambuzi wa Kampuni ya Nicol | Ammi Julian | Fortius Rutabingwa
Просмотров 64528 дней назад
Uchambuzi wa Kampuni ya Nicol | Ammi Julian | Fortius Rutabingwa
Hapa Ndipo Tulipofika | Mindsetting Initiative
Просмотров 200Месяц назад
Hapa Ndipo Tulipofika | Mindsetting Initiative
Faida na Hasara Kati ya Kuwekeza Moja kwa Moja ama Kupitia Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja
Просмотров 778Месяц назад
Faida na Hasara Kati ya Kuwekeza Moja kwa Moja ama Kupitia Mifuko ya Uwekezaji wa Pamoja
Mafanikio Halisi Huja kwa Kutoa Sio Kuchukua
Просмотров 142Месяц назад
Mafanikio Halisi Huja kwa Kutoa Sio Kuchukua
Je, Zipi ni #risks za kuwekeza Inuka Money Market Fund??
Просмотров 2422 месяца назад
Je, Zipi ni #risks za kuwekeza Inuka Money Market Fund??
Masterclass 2 | Sera ya Uwekezaji | Inuka Money Market Fund
Просмотров 1682 месяца назад
Masterclass 2 | Sera ya Uwekezaji | Inuka Money Market Fund
Masterclass 1 | Kwanini Kuwekeza Kupitia Mifuko ya Pamoja ni Muhimu | Inuka Money Market Fund
Просмотров 1572 месяца назад
Masterclass 1 | Kwanini Kuwekeza Kupitia Mifuko ya Pamoja ni Muhimu | Inuka Money Market Fund
Mchache kuhusu tukio la Uzinduzi | Inuka Money Market Fund | Orbit Securities
Просмотров 1702 месяца назад
Mchache kuhusu tukio la Uzinduzi | Inuka Money Market Fund | Orbit Securities
CRDB Investor Briefing | Quarter 2, 2024 | Fredrick Nshekanabo | Anna Mwasha | Orbit Securities
Просмотров 2952 месяца назад
CRDB Investor Briefing | Quarter 2, 2024 | Fredrick Nshekanabo | Anna Mwasha | Orbit Securities
Kitabu Teule | Atomic Habits | MI Reading Club July 2024
Просмотров 1224 месяца назад
Kitabu Teule | Atomic Habits | MI Reading Club July 2024
Taarifa na Maelekezo | MI Reading Club | July 2024
Просмотров 474 месяца назад
Taarifa na Maelekezo | MI Reading Club | July 2024
My Life Story as a Foreigner in Finland | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative
Просмотров 2094 месяца назад
My Life Story as a Foreigner in Finland | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative
UPDATE | Zoezi la kutafuta mawasiliano limeanza | UTT Amis
Просмотров 1744 месяца назад
UPDATE | Zoezi la kutafuta mawasiliano limeanza | UTT Amis
Episode 5 | Ijue UTT Amis | Huduma za Usimamiaji wa Uwekezaji na Kukuza Thamani
Просмотров 5214 месяца назад
Episode 5 | Ijue UTT Amis | Huduma za Usimamiaji wa Uwekezaji na Kukuza Thamani
About To Start Producing Podcasts with The City of Kuopio for The Internationals | Ezekiel Kuhoga
Просмотров 294 месяца назад
About To Start Producing Podcasts with The City of Kuopio for The Internationals | Ezekiel Kuhoga
Episode 4 | Mfuko wa Ukwasi | Mfuko wa Hatifungani | Ijue UTT Amis
Просмотров 3,1 тыс.5 месяцев назад
Episode 4 | Mfuko wa Ukwasi | Mfuko wa Hatifungani | Ijue UTT Amis
Episode 2 | Uchambuzi wa NMB Bank | Soko la Mitaji | Uwekezaji wa Hisa | Bernard Majollo
Просмотров 5625 месяцев назад
Episode 2 | Uchambuzi wa NMB Bank | Soko la Mitaji | Uwekezaji wa Hisa | Bernard Majollo
Jinsi ya kunufaika Kifedha Kupitia YouTube (Kwa mtanzania 2024)
Просмотров 1845 месяцев назад
Jinsi ya kunufaika Kifedha Kupitia RUclips (Kwa mtanzania 2024)
Episode 3 | Ijue UTT Amis (Mifuko ya uwekezaji)
Просмотров 3175 месяцев назад
Episode 3 | Ijue UTT Amis (Mifuko ya uwekezaji)
Maswali 7 ya Kumuuliza Dalali wako wa Hisa (Stock Broker)
Просмотров 5175 месяцев назад
Maswali 7 ya Kumuuliza Dalali wako wa Hisa (Stock Broker)
EPISODE 1 | Jinsi ya Kuchambua Kampuni ya Kuwekeza | Soko la Hisa la Dar es Salaam | Benard Majollo
Просмотров 4515 месяцев назад
EPISODE 1 | Jinsi ya Kuchambua Kampuni ya Kuwekeza | Soko la Hisa la Dar es Salaam | Benard Majollo
Episode 2 | Mfuko wa Umoja | Mfuko wa Maisha | UTT Amis | Ezekiel Kuhoga
Просмотров 9175 месяцев назад
Episode 2 | Mfuko wa Umoja | Mfuko wa Maisha | UTT Amis | Ezekiel Kuhoga
Episode 1 | Utangulizi | Fahamu Uwekezaji kupitia UTT Amis | Ezekiel Kuhoga
Просмотров 1,4 тыс.5 месяцев назад
Episode 1 | Utangulizi | Fahamu Uwekezaji kupitia UTT Amis | Ezekiel Kuhoga
Ifahamu Mindsetting Initiative | Know Mindsetting Initiative | Both in English and Swahili
Просмотров 2635 месяцев назад
Ifahamu Mindsetting Initiative | Know Mindsetting Initiative | Both in English and Swahili
This is How Negative Thoughts Affects You | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative
Просмотров 426 месяцев назад
This is How Negative Thoughts Affects You | Ezekiel Kuhoga | Mindsetting Initiative
Behind The Scene | Reason Behind Changing Tires Two times in Finland
Просмотров 546 месяцев назад
Behind The Scene | Reason Behind Changing Tires Two times in Finland
Something You May Not Know About The Weather In Finland 🇫🇮
Просмотров 556 месяцев назад
Something You May Not Know About The Weather In Finland 🇫🇮

Комментарии

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o День назад

    Hongera Ezekieli Kwa ubunifu Wa Uanzishwa Wa Session hii

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative День назад

      Shukrani sana Mr. Rubeni. Pole haukuweza kuungana na sisi. Tujaribu tena wakati ujao.

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o День назад

    🎉

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o День назад

    Usomaji Wa vitabu Je Ni Vtabu Vya Aina Gani Hasa Tuna Soma Kwa Faida Ya Wengine

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative День назад

      Tuna uwanja mpana wa vitabu vya kusoma. Hii ni kuanzia ujasiriamali, uongozi, mahusiano, falsafa na saikolojia za mafanikio, na kadhalika. Hatusomi vitabu vya shuleni (academic books), hatusomi riwaya, hatusomi vitabu vya dini, hatusomi vitabu vya siasa.

  • @rubenMbokwa-b3o
    @rubenMbokwa-b3o 3 дня назад

    Hongera sana Unajitahidi Sana Kutoa Elimu Ya Msingi Sana Ila WatunHata Ku like tunWanaona Gharama

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 3 дня назад

      Shukrani sana Mr. Ruben. Umekuwa supporter mkubwa sana wa Mindsetting Initiative na kwa hilo nashukuru sana.

  • @robert.joseph
    @robert.joseph 5 дней назад

    Nice interview keep it up

  • @asheriobadiah
    @asheriobadiah 8 дней назад

    Hongereni orbit kwa ushindi

  • @sarahsengerema8660
    @sarahsengerema8660 9 дней назад

    Google link sijaiona

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 5 дней назад

      Pole sana Sarah. Jaribu hapa: drive.google.com/file/d/1BPcGFj4mFxpXhBwW9KwQJOvFzXAMtHSN/view?usp=drivesdk

  • @ngasalagambi6585
    @ngasalagambi6585 9 дней назад

    Ni njia zipi naweza nikawekeza katka soko la hisa na upatikanaji wak😊

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 4 дня назад

      Njia kubwa za kuwekeza katika soko la hisa ni tatu. 1. Kununua hisa za kampuni moja kwa moja. 2. Kuwekeza kupitia mifuko ya wazi ya uwekezaji wa pamoja, kama UTT, Inuka Fund 3. Kuwekeza kupitia mifuko ya uwekezaji wa pamoja ambayo haiko wazi, kama NICOL. Ili kujua namna ya kuwekeza, tafadhali wasiliana na broker akupe ufafanuzi vizuri. Wako broker wengi, ila ninaopendekeza kwako ni Orbit Securities. Watafute kwa namba hii. +255 747 138 101 (Ammi Julian).

  • @emmanuelmmbaga4610
    @emmanuelmmbaga4610 9 дней назад

    Nashukuru sana kwa presentation hii.

  • @mkingageorge2641
    @mkingageorge2641 9 дней назад

    Hongeren sana orbit

  • @Anti-socialSocialClub
    @Anti-socialSocialClub 10 дней назад

    @Fortus , Ammi , Ezekiel. Tulipenda sana uchambuzi wa mabenki na ya Nicol na hii ya CRDB , lakini vipi KCB? There are some very exciting things happening there , why not make it the subject of your show one of these days?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 5 дней назад

      Tafadhali, unaweza kutufikishia info. Wakati mwingine tunapitwa na haya matukio. Ikiwa kuna jambo muhimu ambalo unaona linahitaji mjadala tafadhali nitumie email hapa: ezekiel_kuhoga@outlook.com

  • @Marksworld2550
    @Marksworld2550 10 дней назад

    Ninaomba maelekezo ya kuungwa group la uwekezaji

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 4 дня назад

      chat.whatsapp.com/Gfmcizm78eT5hE7p0Dlrk7 Jaribu kutumia link hapo juu ili.kujiunga kwenye group la kujifunza uwekezaji la Orbit Securities.

  • @aloycechavala2537
    @aloycechavala2537 10 дней назад

    Elimu nzuri sana

  • @KilomboiNguma
    @KilomboiNguma 10 дней назад

    Tunashukuru sna mnastahiliii😮

  • @FrankKorosso
    @FrankKorosso 10 дней назад

    Good

  • @ericbalige1781
    @ericbalige1781 10 дней назад

    Hongereni sana Orbit security kwa kushinda nafasi ya broker of the year. Kwa asilimia zote mnastahili kushinda. Mimi nimejifunza mengi sana kutoka kwenu (Ammi na Fortius)

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 4 дня назад

      Ahsante sana kaka Eric. Kweli umekuwa mmoja ya wafuatiliaji wakubwa. Tunashukuru kwa hilo.

  • @MrGregoryrober
    @MrGregoryrober 10 дней назад

    Can you upload the Google links please?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 5 дней назад

      drive.google.com/file/d/1BPcGFj4mFxpXhBwW9KwQJOvFzXAMtHSN/view?usp=drivesdk

  • @MrMujwahuki
    @MrMujwahuki 13 дней назад

    Less Brown❤

  • @calvinjonathan2199
    @calvinjonathan2199 20 дней назад

    powerfull message hope every job seeker need to change attitude through this video

  • @JVegaTV
    @JVegaTV 22 дня назад

    Great words of wisdom! 💯

  • @chriskirenga-p2p
    @chriskirenga-p2p 25 дней назад

    JE UTT AMIS ,NINAWEZAKUANZA KUWEKEZA KWANZIA SH=10,000

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 19 дней назад

      Pole kwa kuchelewa kujibu. Inawezekana kuanza na sh. 10,000. Iko mifuko sita na kila mfuko unakiwango chake cha chini cha kuwekeza. Pitia video zote nilizoweka kuhusu UTT Amis, ama tembelea website yao ili kuona kila mfuko na kiwango chake cha chini.

  • @Alonso-e4p
    @Alonso-e4p 26 дней назад

    Video nzuri, mimi ni mgeni katika ulimwengu wa uwekezaji, nimesikia mengi kuhusu fedha za siri, soko la hisa na aina nyingine za uwekezaji, na ningeshukuru ikiwa kuna mtu anaweza kuniongoza kuanza kuwekeza ili kuongeza kipato changu.

    • @AlshevinTah
      @AlshevinTah 26 дней назад

      Kila kitu unachohitaji kama mwanzilishi ili kuanza kupata faida nzuri kutokana na fedha fiche na mfanyabiashara mtaalamu anayefanya biashara kwa niaba yako, vinginevyo unaweza kuishia kupoteza.

    • @MarcoTunner-f6u
      @MarcoTunner-f6u 26 дней назад

      Hiyo ni kweli, unahitaji mfanyabiashara mwenye uzoefu ili kukutengenezea faida nzuri ya kufanya biashara ya sarafu za siri.

    • @Vandearhurt
      @Vandearhurt 26 дней назад

      Tafadhali, ninavutiwa sana. Je, unaweza kunipendekeza mfanyabiashara mwenye uzoefu? Tayari unajua kuwa wafanyabiashara wengi sio halali na nzuri ni ngumu sana kupata.

    • @LexingtonChristianAcademy-p8z
      @LexingtonChristianAcademy-p8z 26 дней назад

      Nitampendekeza mfanyabiashara wangu wa sasa Bw. Delbert Gutsaw, nimefanya naye biashara kwa karibu mwaka sasa na mikakati yake inaniletea faida kubwa kutokana na uwekezaji wangu kila siku.

    • @LexingtonChristianAcademy-p8z
      @LexingtonChristianAcademy-p8z 26 дней назад

      Telegram

  • @lucaspaul7208
    @lucaspaul7208 26 дней назад

    Kazi nzuri sana, endeleeni hii elimu muhimu sana

  • @mlunguonlinetv2067
    @mlunguonlinetv2067 29 дней назад

    Thanks for the session. Nimeelewa kwa kweli

  • @RamadhanMbwana-o1j
    @RamadhanMbwana-o1j Месяц назад

    Safi sana kwa elimu👍🏿

  • @catherinegideon4689
    @catherinegideon4689 Месяц назад

    Elimu nzuri mm nimeshaanza kuwekeza both kwenye UTT na nimeanza kununua hisa

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Ahsante sana kwa kufuatilia na kwa kutupatia mrejesho 🙏🙏🙏

  • @nyamizisimbachawene3292
    @nyamizisimbachawene3292 Месяц назад

    Mtu kazaa na wanawake 10 sasa mtaweza kuwa na mipango ya kifedha ya pamoja kweli ? Wakati mshahara wake umeshikiliwa dawati ili kutoa matumizi niseme tu kwenye ndoa kuna mambo mengi sana

  • @SamuelTemba
    @SamuelTemba Месяц назад

    Naomba no yako kiongozi ningependa kuwasiliana na ww tafadhali san

  • @evance.munisi
    @evance.munisi Месяц назад

    Ni factors gani zinazoweza pelekea NICOL market price kuchelewa ku trade near NAV?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Kiongozi, NICOL imejadiliwa vizuri sana kwenye Episode 16. Hapo utapata majibu zaidi ya hili swali.

  • @SylvesterLuhamba-gi3bc
    @SylvesterLuhamba-gi3bc Месяц назад

    Unautaratibu mwinginwa wa kutoa mfundisho haya? mimi nimevutwa sana

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Ndio mkuu. Mipango bado iko mingi kwenye namna tutaendelea kutoa mafundisho kwa ubora zaidi. Endelea kufuatilia na kuwashirikisha wengine.

  • @Mboya120
    @Mboya120 Месяц назад

    Powerful

  • @mindsettinginitiative
    @mindsettinginitiative Месяц назад

    Habari za leo wadau! Hadi sasa groups za Elimu ya Hisa chini ya Orbit Securities ziko nne na zote zimejaa. Ngoja tuone kama wanaweza kufanya group lingine.

    • @ibu900tv
      @ibu900tv Месяц назад

      waki fungua grup jingine mtujulishe .

  • @yusuphmaganga8193
    @yusuphmaganga8193 Месяц назад

    Wewe ni shujaa, kupitia channel yako tumejifunza mengi juu ya uwekezaji, pasipo hata kulipa tuition fees. Endelea kukaza kiti chako kipo mbinguni bro.

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Nashukuru sana Mr. Maganga kwa maneno mazuri. Haya yananipa moyo na nguvu ya kufanya zaidi.

  • @simonjoh6801
    @simonjoh6801 Месяц назад

    hongera sana, kwako binafsi nimejifunza vingi hasas kuhusu pesa na uwekezaji

  • @nkusuvilamichael8412
    @nkusuvilamichael8412 Месяц назад

    channel hii inaendelea kutuongezea elimu juu ya soko la hisa na mitaji na fedha kiujumla

  • @jacobphilipotibaijuka9573
    @jacobphilipotibaijuka9573 Месяц назад

    Leo nimeangalia session yenu ya pili, kiufupi kazi mnayoifanya ni mfano wa kuigwa mnatupa kitu ambacho tumepita shule zaidi ya miaka 17 lakin sijajifunza haya nimeyapata hapa

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Tunashukuru sana kwa mrejesho mzuri sana. Nimefikisha salamu kwa Ammi na Fortius. Wanashukuru sana.

  • @neemashuma4302
    @neemashuma4302 Месяц назад

    Super

  • @RichardAlfan
    @RichardAlfan Месяц назад

    Hivi una jiungaje

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Kwenye eneo la maelezo hapo, kuna form ambayo pia inataarifa za kibenki. Unachofanya ni kuweka fedha bank, kisha unajaza hiyo form na kuituma Orbit Securities kwa kutumia email address iliyoandikwa chini kabisa kwenye hiyo form.

  • @DJDAVIDMOVIES
    @DJDAVIDMOVIES Месяц назад

    Asante sanaa Mungu kanikutanisha na hii channel nilikuwa nikiumiza sana akili kwa kweli

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative Месяц назад

      Karibu sana na ahsante sana kwa kutupatia feedback nzuri🙏🙏🙏

  • @ashery843
    @ashery843 Месяц назад

    Mawasiliano yako mkuu tunayapataje

  • @content_ai_
    @content_ai_ Месяц назад

    The problem with mutual funds is the price of the unit is set by the mutual fund company itself, while in stocks, the price is determined by the market. So I would advise that you park money in mutual funds as you think or wait for an opportunity to invest in stocks or bonds

  • @johnmichael3883
    @johnmichael3883 Месяц назад

    Soma zuri sana ila acheni kingereza kina waharibia tumieni kiswahili maana mnaongea na washwahili

  • @athumanimahmoud7530
    @athumanimahmoud7530 2 месяца назад

    Samahani ndugu Ezekiel, mara ya mwisho crdb walilipa kiasi gani gawio kwa hisa moja ,na huwa wanapendelea kulipa mwezi wa ngapi ...?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      drive.google.com/file/d/1kykjlBPHxlOkepZ3l1Y29t-98ERwFM0m/view

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      Ukifungua hii link, utapata pdf document. Nenda page ya tatu utaona taarifa kuhusu gawio (dividend). Ya mwisho ilikuwa ni sh. 50 na ililipwa June 5th.

  • @athumanimahmoud7530
    @athumanimahmoud7530 2 месяца назад

    Naomba msaada wa kujua gawio (dividend) za CRDB wanatoa mara ngapi? na Kila baada ya muda gani Kwa mwaka ?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      Hadi sasa kwa taarifa niliyonayo ni kwamba CRDB wanalipa gawio lao mara moja kwa mwaka.

    • @athumanimahmoud7530
      @athumanimahmoud7530 2 месяца назад

      ​okay shukran, na mara ya mwisho walilipa bei gani Kwa hisa moja ...?

    • @athumanimahmoud7530
      @athumanimahmoud7530 2 месяца назад

      na hua wanapendelea kulipa mwezi wa ngapi ...?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      @@athumanimahmoud7530 Kwa sasa huwa wanalipa mwezi wa saba.

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      @@athumanimahmoud7530 Hadi sasa wanalipa sh. 50 kwa hisa moja

  • @imaniseba
    @imaniseba 2 месяца назад

    Unafanya kitu kizuri sana...natamani vijana wengi zaidi wajue na kufuatilia hii channel

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      Shukrani sana Imani kwa kuitambua kazi huu kuwa ni kitu kizuri . Tuendelee kushare na wengine waweze kujifunza.

  • @mindsettinginitiative
    @mindsettinginitiative 2 месяца назад

    Kulikuwa na uhitahi wa mawasiliano. Haya ni mawasiliano ya Fortius Rutabingwa: +255 620 650 616; rutabingwa@orbit.co.tz; Haya ni mawasiliano ya Ammi Julian: ammi.mwamunyi@orbit.co.tz: +255 747 138 101 Na haya ni mawasiliano ya Ezekiel Kuhoga: kuhogaezekiel@gmail.com; +358 41 75 78 763

  • @lussubm3745
    @lussubm3745 2 месяца назад

    Kipindi kizuri. Nimejifunza Sana

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      Ahsante sana kwa feedback. Ubarikiwe.

    • @lussubm3745
      @lussubm3745 2 месяца назад

      @@mindsettinginitiative But naomba kupata mawasiliano ya Ammi Julian na Ezekiel kuhoga. Ili kupata elimu zaidi ya uwekezaji.

  • @filberthendry2651
    @filberthendry2651 2 месяца назад

    Mmeelezea vzr, lkn hamjaongea n faida % ngp itakayopatikana kwa kutokana na uwekezaji

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      Kwa mujibu wa maelezo ya wataalamu, hawawezi kuwaambia mtapata asilimia ngapi ya return, hiyo inaweza tafsiriwa kama utapeli kwa sababu mfuko huu ni mpya na haujaakisi tabia ya uwekezaji bado. Labda baada ya mwaka mmoja, matokeo ya mwaka unaoisha yanaweza kutumika kuweka matarajio kwa mwaka unaofuata.

  • @godfaithjohn2833
    @godfaithjohn2833 2 месяца назад

    Kwenye hu uwekuzaji wa mfuko wa inuka fund, hakuna hasara kabisa? Imean there is no risk 100%?

    • @mindsettinginitiative
      @mindsettinginitiative 2 месяца назад

      Swali zuri sana. Risks za uwekezaji zipo, na za kimkakati pia zipo. Ila tofauti ni kwamba sehemu kubwa ya risks zinapunguzwa kwa mwekezaji na kusimamiwa na msimamizi wa mfuko. Hii ni tofauti na kama mwekezaji anawekeza moja kwa moja kwenye kampuni kwa sababu kuwekeza moja kwa moja pamoja na risks ya uwekezaji, bado risks za kimkakati ambazo zinahitaji utashi katika nyanja hiyo ni kubwa sana hasa kwa mwekezaji wa kawaida.