MZEE ANAYEDAI KUWA YOHANA MBATIZAJI AMZIMA PASTOR NDACHA KAMA MSHUMAA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 май 2023
  • Tafadhali subscribe kwenye channel yetu ya STRAIGHT PATH DAWAH ili uendelee kunufaika kupitia video zetu.
    Tazama part 1 hapa • MKRISTO APAMBANA NA "K...

Комментарии • 404

  • @zacheushamisi1338
    @zacheushamisi1338 Год назад +61

    Am a Christian, but I have to admit that I love Islam teachings
    .. I love what your doing bro.. Marshallah..

    • @shueb123
      @shueb123 Год назад +2

      Bro try to follow him and some other religious comparative scholars and you will able to make a choice inshaAllah

    • @dannysengata2298
      @dannysengata2298 Год назад +4

      Jesus is the only way that all human beings should submit their life to hime... because he is the only one who is offering eternal life..if u need the way to haven u should abide with him...If u need to see Father u should see him first...if u want righteousness and sin forgive u should submit to him as a high priest...
      There is no way that u can escape to Jesus..no way

    • @Adm9464
      @Adm9464 Год назад +7

      Uislamu ni njia ya Mola wako iliyo nyoyoka. Islam has no drama it’s a straight forward religion with all the answers to humanity. You ask you get the straight answer from the Koran.

    • @user-mq6lu2po3y
      @user-mq6lu2po3y Год назад +1

      Wow❤️❤️❤️❤️

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад +1

      Welcome to Islam dear wangu

  • @husseinibrahim5438
    @husseinibrahim5438 Год назад +15

    Ustadh Ramadhan May Allah Azza wajjal reward you abundantly Allahumma Ameen coz the work you’re doing is very tough and convincing people it is very challenging ,May Allah makes it easier for you akhi
    Allahumma AMEEN.

  • @nooor1120
    @nooor1120 Год назад +7

    Maa shaa Allah
    Sheikh Ramadhan Allah akutangulie kila khatwa yako.
    Mumependeza mukiwa na kaka Ndacha ataposilimu mutafanya kazi ya Allah pamoja.
    Ameen

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +37

    Ndugu zangu waislam.Tuombe saana ALLAH atufishe hali ya kuwa ni waislam wa kweli.Afadhar ukose mali, watoto lakini usiwe kwenye ukafir kama huu..Inauma sana ummat MUHAMMAD REHMA ZA ALLAH ZIWE JUU YAKE unapotea na kuangamia kwa kuipenda dunia.Laa haula walaaquwata illa billah.

    • @nooor1120
      @nooor1120 Год назад

      Allahumma aameen yaarabb al alamiin

    • @rabiba
      @rabiba Год назад +1

      Kweli ndugu...Allah atufishe ilhali tuwaislamu sisi na watoto wetu na waislamu kwa jumla

    • @alimaalim2454
      @alimaalim2454 Год назад +2

      Alhamdulilah kwa dini hii ya ukweli ya uislamu

    • @fatumamwalimu5765
      @fatumamwalimu5765 Год назад +1

      Aamin yarab

    • @Mboki2
      @Mboki2 Год назад

      Hehe kujichocha nayo 😂😂😂😂

  • @hamisijm8437
    @hamisijm8437 Год назад +3

    Masha allahy Sheikh Ramadhani Mungu akupatie nguvu zzaidi zakuwaelimisha dini yakweli

  • @aminajumale6805
    @aminajumale6805 Год назад +3

    Jazakallahu kheir sheikh Ramadan Allah awaongoze wajue ukweli

  • @aminayunis7545
    @aminayunis7545 4 месяца назад +1

    MashaAllah sheikh Ramadan kwa.kazi nzuri mungu atukupa kila la kheir kufundisha watu dini ya haki na ukweli na pia ni kazi ngumu manake kuna wale hata hawataki kuelewa

  • @user-gg5id2cx5m
    @user-gg5id2cx5m Год назад +1

    Asalam aleikum sheikh Ramadan tunakushuru sana Kwa hio kazi kubwa lakn Nina maoni yoyote akiuliza swali yake naomba lijibiwe vizuri apate kuulewa vizuri hayifayi kuruka na mwengine kama huyo ajaelewa vizuri Kwa nfano huo aliye ulizia kwanini Muna swali Kwa mikeka na Kwa Nini munavaa kanzu hokumpa jawabu vizuri apate kuulewa. Otherwise Kwa menging mengine tuna appreciate sana mola awazidishie Kila kheri.

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 Год назад +6

    Ubarikiwe shehi ramadhan kwa sababu ndacha anatoka jasho kwa wakristo wezake mpaka ameshindwa kuutetea wala haelewi Léo yuko na hoyana mbatizaji eti

  • @faudhiasaidi3669
    @faudhiasaidi3669 Год назад +1

    Jazaakallah khayrii shekh

  • @rizikiali328
    @rizikiali328 Год назад +2

    Mashallah masheikh Allah awalipe dunia na akhira waislamu hatuna jibu kesho mbele ya Allah koz wengi hawajaijua dini

  • @HUSTLERS085
    @HUSTLERS085 Год назад +3

    Mshalah sheikh ramadan kuria bin kaguo umefikisha dawa watu wengi siku ya misho mungu anajua umefikisha

  • @marvelousofzanzibar9556
    @marvelousofzanzibar9556 Год назад +8

    Watching this from green and spice island Zanzibar, hatimae Ndacha anakutana na watu walio mzidi hapati jibu sahihi juu ya maswali yake. Ili Ndacha asiteseke awe muislamu tu.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Haingii uislam

    • @marvelousofzanzibar9556
      @marvelousofzanzibar9556 Год назад +2

      @@Catherine-mh8sw Hakuna ulazima wa kuingia ila ujumbe ni lazima kumfikishia.

    • @maundu441
      @maundu441 11 месяцев назад +1

      Mungu azidi kumpa hekima na asiingie uisilamu dini ya majini

  • @MOHDNASSOR-zv5cx
    @MOHDNASSOR-zv5cx Год назад +4

    MASHAA ALLAH ❤❤

  • @hassanmpemba5747
    @hassanmpemba5747 Год назад +4

    Masha Allah dawa inaendelea ishallah

  • @aliroro9344
    @aliroro9344 9 месяцев назад +2

    Alhamdhullilah Allah kunijalia kua Muislam 🤲 na nijalia kurudi kwako hali yakua badoo ni Muislamu

  • @shueb123
    @shueb123 Год назад +12

    Namuombea ndacha mungu amwinyeshe dini ya sahihi kwa hizi visa za kustaajabisha kwa sababu ndacha ni jamaa ako na akili

    • @chunaabdullah1333
      @chunaabdullah1333 Год назад

      Yani mi hata uwa simuelewi huyu ndacha cjui ako na matatizo gani.

  • @maymgaya4192
    @maymgaya4192 7 месяцев назад +2

    Allah akujaalie umri mrefu ndgu yet ktk imani🙏

  • @cishahayoali1136
    @cishahayoali1136 7 месяцев назад +2

    Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh,
    Allah awaongoze wasiyo kuwa waislam, na nyinyi Allah awapeni afya na nguvu, na awalindeni, Ameen!

  • @amanmyolo5359
    @amanmyolo5359 Месяц назад +1

    Mashallah ALLAH AKBAR

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 2 месяца назад

    Ustadh Ramadan mungu akulipe kheri inshallah usichoke kuwafundisha

  • @ndikumanainnnocent7796
    @ndikumanainnnocent7796 Год назад +3

    asalam alykum www siyo mutu wote anapata bahati yakuwa mwislam mungu njo anaongoza mwenye anataka ndacha abaki uko kanisani azidi kukufuru

  • @MteleShadia-lc6gi
    @MteleShadia-lc6gi Год назад +1

    Mashallah mashallah mashallah mashallah,, ramadhan kuria bin kaguoo,, Allah akuongoze vyemaaa kwa Kaz njema

  • @hajinkulunge8493
    @hajinkulunge8493 Год назад +1

    MASHA ALLAH

  • @Fatma-dg9vb
    @Fatma-dg9vb Год назад +1

    mashallah mashallah Allah akujaalie kher inshaallh

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Год назад +3

    Subhaana Allah!

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +2

    Walaikum salaam warahmatu-llahi wabarakatuh

  • @GeorgeWambogo
    @GeorgeWambogo Месяц назад

    Kwani apa kuna magombano ya Mungu AMA nijwae juu mimi na jwa JEHOVA numbe kuna Mungu mwingine Napenda YESU ONLY the way Waislamu ni mpinga CHRISTO

  • @MohammedShoba
    @MohammedShoba 5 месяцев назад +1

    Mashaallah 💯💯💯

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +2

    Assallam aleikum shekhe wangu woooi yani 100 percent ukristo sio dini yani wamechanganyikiwa wote hawana muelekeo haki wafundishe ukweli wa Quran na Allah akufungulie mlango wa peponi inshaaAllah

  • @user-uj6gw2cv2u
    @user-uj6gw2cv2u Год назад +2

    Mungu mjalie lamazan

  • @IsmailabdiIsmailabdiismail63
    @IsmailabdiIsmailabdiismail63 Год назад +1

    Mashallah Allah akujalie kila kheri kakaetu Ramadhan

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +5

    To a point the writers of the Bible we’re thinking to even come up with the name to call God. They had to think and debate, they took out thousands of names to come up with the present day bible.

  • @HARUN_MOHA
    @HARUN_MOHA Год назад +2

    Sheikh Ramadan pongezi sana Allah akupee Afyaa na muda mrefu

    • @simpsonisoe8994
      @simpsonisoe8994 Год назад

      Harun was Jewish, brother to Moses,, Jews more so Judaism the first religion, difference between Christianity and Islam is 700 years.but in Islam, infidels must be punished

    • @HARUN_MOHA
      @HARUN_MOHA Год назад

      @@simpsonisoe8994 Come to Islam the true religion of ALLAH

  • @mariamfritsi4943
    @mariamfritsi4943 Год назад +6

    Ndacha na Ramadhan wana hekima na maarifa sana kwa kuuliza maswali ,

  • @fatimaahmed8632
    @fatimaahmed8632 Год назад +4

    Asc ustadh ramadhan,, ManshaAllah best content,,,

  • @Awatee
    @Awatee 5 месяцев назад +1

    Waleykum salam warahmatullah wabarakatuh

  • @hamissuche6576
    @hamissuche6576 Год назад +2

    ivi vizee vimechanganyikiwa,.. njaa itawauwa washenzi nyie,.. mara yesu, mara nabii,. nabii anavaa kapelo, nabii anakuwa mchafu ivo puumbavu !! kwenye uislamu hakuna huu upuuzi,. proud to be a muslim haki

  • @murithimurega4165
    @murithimurega4165 Год назад +4

    I wish we could earnestly practise what we believe without trying to disapprove what others believe.

  • @Hamima-hf7ld
    @Hamima-hf7ld 21 час назад +1

    Yaan ningekua hapo ningekua nacheka tuu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @SethMalova
    @SethMalova Месяц назад +1

    YESU Ni MFALME wa wafalme na atatawala milele andaeni njia maana anarudi kuchukua wanao mtafuta kwa kweli, na ukijiunga na uislam jeanamu inakungoja😭😭😭😭😭😭 don't try it

  • @duhhuskie2698
    @duhhuskie2698 Год назад +1

    Kiswahili mufti kwa hawa watu wa Bungoma. Hongera

  • @user-zv4sx9iv8z
    @user-zv4sx9iv8z 4 месяца назад

    Assalam alaykum warahmatulullah wabarkatu, tume furai n'a Dawa

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +2

    😂😂😂😂😂 nimecheka hustadhi ramadhan nawaombeya tote ALLAH awaongoze kwanjia yahaki insha Allah

  • @user-nb2tb9zk5i
    @user-nb2tb9zk5i Год назад

    😮hawa watu wako sawa kweli subhaana Allah

  • @alishamlan7434
    @alishamlan7434 Год назад +2

    Ramadhan ALLAH SW akuhifadhi duniani na akhra maana wewe ni kiboko yao

  • @user-uy7br4io9b
    @user-uy7br4io9b 5 месяцев назад +1

  • @smadon5638
    @smadon5638 2 месяца назад +1

    Waluhya Mutatumaliza,eti Yesu na Yohana ni Waluhya

  • @ramadragon
    @ramadragon Год назад +1

    nimepend hyo conversation ya yohana ndacha ALLAH AKUZIDISHIE SHEIKH RAMADHAN

  • @husseinkonde7348
    @husseinkonde7348 Год назад +1

    Mzee anasema kaukweli kidogo😂❤❤

  • @nameno8608
    @nameno8608 11 месяцев назад

    Hongera Babu Yohana kwa kuongeza familia

  • @mwajumalubuva
    @mwajumalubuva 2 месяца назад

    😂😂😂😂jamani vituko mungu awape wepes inshallah musichoke kuwatembelea hao viumbe

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +3

    Ukristo is complicated haki. You see many weird stories.

  • @THOMASNYAGIROTV
    @THOMASNYAGIROTV Год назад

    Mungu hafi..mungu halali...yesu alikuja duniani akiwa na umbo la binadamu..ina maana alikuwa na madhaifu ya kibinadamu ndo maana akafa lakini akafufuka

  • @Njorogejohn5
    @Njorogejohn5 10 месяцев назад

    Aki western people full of comedys,,,u never dissapoints😂😂

  • @umazimwambezi8092
    @umazimwambezi8092 Год назад

    Allah Akbar sherk Ramadhan kazi unayo challenge ya msristo kwa mkristo

  • @augustinemwengi8779
    @augustinemwengi8779 10 месяцев назад +1

    With time ntaslimu inshallah 😊

  • @mahadabdullahi1746
    @mahadabdullahi1746 Год назад +2

    Hhhhh😅
    Ndacha ameshanga
    Na
    Ame chaganyikiwa
    Thanks akhaanaa ramadaan kuria
    فعلت ما بوسعك والله يهدى من يشاء وإليه المرجع والمئاب
    بارك الله فيك وأحسن إليك لا تحزنوا الله معنا
    الإسلام يعلو ولا يعلى عليه
    وصلى الله على نبينا محمد وآله وصحبه أجمعين

  • @nevilokuthe398
    @nevilokuthe398 Год назад +1

    Haya maneno anayosema huyu Yohana sio ya ukweli kamwe. Yesu ni mwana wa Mungu na ndiye mfalme wa wafalme. hakuna mwingine hila yeye ndiye njia ya uzima milele na milele. msidanganyike. haya ni mafunzo potovu.

  • @chiefmkalikibz1503
    @chiefmkalikibz1503 Год назад +3

    Assalam alleykum. Bin Kaguo, mpleke mperampera huyo Abujahal.... Lazima apate adhabu ya kusingizia Roho

  • @carendeborah5687
    @carendeborah5687 Год назад +2

    2Timothy2:14
    Remind others about this thing,and warn them before God not to argue over words.Arguing does not do any good but only destroy those who are listening.

  • @EIYEN
    @EIYEN 6 месяцев назад

    Mungu ako kwa utatu; mungu baba mungu mwana na roho mtakatifu

  • @SalumJuma-iz2gj
    @SalumJuma-iz2gj 2 дня назад

    Hahaha njaa bwana

  • @fegow-farmland8399
    @fegow-farmland8399 Год назад

    59:58mins Yaaani Yesu wetu ule wa Tongaren sio yesu

  • @michaeljacobo269
    @michaeljacobo269 11 месяцев назад +1

    Wasubiri hukum ya Mungu....maana wanamshuhudia Mungu uongo...na Mungu ni Mtakatifu....

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +2

    Huyu Yohana si mkristo. Alisema straight

  • @muhamedsawein-xm3cv
    @muhamedsawein-xm3cv Год назад +1

    Ramadani unafanya kazi mzuri

  • @DaimaKalebu
    @DaimaKalebu 8 месяцев назад

    Daaah!!! Yohana wamchongo huyo mwalimu ndacha Mungu akubaliki

  • @husha6372
    @husha6372 Год назад +1

    Assalamu Aleikum warahmatullahi wabarakatuhu Macedonia ni NCHI katika Europe karibu na Russia

  • @SalimuMbonyumukiza
    @SalimuMbonyumukiza 5 месяцев назад

    Nimuchapa kazi kweli kakini yohani 40wake gapi rakini watoto miyatanu wajuku 600

  • @ambarnelly6071
    @ambarnelly6071 Год назад +1

    Asalama alaikum mbona hatuoni ni giza tu hapa

  • @mercyonchuru1165
    @mercyonchuru1165 Год назад

    😂😂😂😂😂 you're killing

  • @abbiecox1
    @abbiecox1 3 месяца назад

    NABII MPENDA WANAWAKE HUYU JAMANI NI HATARI SANA

  • @munyokimakau.
    @munyokimakau. Год назад

    Hii bibilia ya kiswahili mnasoma ni version ngani nikainunue nimeipeda sana.plz reply

  • @xaliimacabdullahi-lb8iz
    @xaliimacabdullahi-lb8iz Год назад +2

    Yesu aliingia kanisa gani

  • @user-bm5ov6kx3c
    @user-bm5ov6kx3c 5 месяцев назад

    😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣duuuu jamani hiii dunia imeisha daaa yohana Ako na wake wangapi😝😝😝😝

  • @PeterMagoye
    @PeterMagoye 2 месяца назад

    Huko Kenya naona wazee wamezidisha bangi,, Yaani Kenya muwe na Yesu tena anaishi tongaren na huyo sasa Yohana mbatizaji

  • @amosemmanuel6872
    @amosemmanuel6872 6 месяцев назад

    dini moja

  • @daudilangat6123
    @daudilangat6123 5 месяцев назад

    Uyu mzee amezeeka na akili imejanganyikiwa ona anazinzia😅

  • @mcapolo-g2747
    @mcapolo-g2747 5 месяцев назад

    Waislamu wanujua sheria mbili tu, kuwsali na na kufunga. Watu roho mbaya, wenye matusi, wauaji, wajeuri, wasio na huruma etc

  • @rashidgona1808
    @rashidgona1808 Год назад

    Mwalimu ndacha mungu akuongoze kila hatua unayoichukuwa kwa kutetea Imani ya kwel

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      Bado nae hayupo imani ya sawa!!! Hakika dini ya haki mbele ya Mwenyez Mungu ni uislamu tu na hatokubaliwa mtu na dini nyingine tofaut na iyo

    • @CharoHarrison
      @CharoHarrison 4 месяца назад

      Hayo ni maneno ya mashetani

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Год назад

    Hapo hapo.

  • @HappyPeramiho
    @HappyPeramiho 11 месяцев назад

    Kenya Kenya Kenya nakuita mara tatu na ya nne Kenya ama kweli Wonders shall never end.dar jaman hizi ni nyakati za mwisho

  • @kombrashid-bn2gr
    @kombrashid-bn2gr Год назад

    Mwalim ramachandra,Allah akure maisha ref,kwasa7bu Dunia savi imefunikwa namapambo yadunia,halipo lile kundi alilolisema Allah yakwmba@liwepo kundi miongon menu wenye kuamrisha woman nakukatza machafu....

  • @isseamin2017
    @isseamin2017 Год назад

    Hhhh nimeshanga sana huyu mkristo anakata ukweli really hyu ni mjinga kabisa mungu aongoze

  • @joymwende851
    @joymwende851 Год назад +2

    I normally feel guda guda watching your show

  • @myunaniniahmad6463
    @myunaniniahmad6463 Год назад +1

    Swali la kizushi shekhe kwa malikia. 😂😂😂na anawaweza wote.

  • @beardedalade
    @beardedalade 10 месяцев назад

    Ndacha amepatana na joker mwenzake 😂😂😂

  • @naominzaomi1202
    @naominzaomi1202 Год назад +1

    Yesu na yohana wako sawa, Herode tu ndio amechele kumkata kichwa, na yesu wa tongaren asulubiwe.

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Год назад +2

    HUYU YOHANA NA YESU NIWASANI NANIWATU HAWASHINDWI NALAKUJIBU KAMA KAZI MUNGU MAPENZI YA MUNGU NANDIO HIVYO HIVYO

  • @yusufsong7993
    @yusufsong7993 Год назад

    Ndacha anakupigia Duuuuu🤣🤣🤣

  • @michaelmagwaza-bc6mk
    @michaelmagwaza-bc6mk Год назад

    Umemkuta Mamuma Mwenzio Yesu ; Yesu alipokuja Duniani alivaa mwili

  • @zakiaanwar677
    @zakiaanwar677 Год назад +1

    Ndacha anakubali huyu ni yohana mbatizaji 😂😂 wa amemkubali yohana kwa njia ya kando😊

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +11

    Shekhe Ramadhani mbona Ndacha kakuganda vipi ataka atowe shahada nini ? Namuombea kwa Allah Ndacha amuongoze Ndacha atoke kwenye shirki na kufru kabla ya umauti kumfika In shaa Allah.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      Ila hatoki ukristo

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Год назад

      @@Catherine-mh8sw ukristo ni biashara siku akichoka kufanya biashara haramu ya kula sadaka za wakristo ataslim in shaa Allah.

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw Год назад

      @@nakundwamkubwe7823 mwenyezi Mungu amuongoze

    • @nakundwamkubwe7823
      @nakundwamkubwe7823 Год назад +1

      @@Catherine-mh8sw Amiin

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 Год назад

      Bila kumkiri yesu kua ndo mwokozi njia ya pekee iliyonyooka waislam wote moton ila atakaemfanya yesu kua ndo njia ya pekee huyo ataiona pepo

  • @JephthahNangai
    @JephthahNangai 3 месяца назад

    Huyo jamaa mrefu wa T-Shirt amechanganyikiwa. Hakuna kanisa liitwalo Pentecostal Apostle of God.

  • @seiphyahya5353
    @seiphyahya5353 Год назад +3

    Sheikh Ramadhan tafadhali muonyesha Mheshimwa Ndacha na wengineo mahala Nabii Issa bin Mariam aliposema Mtume wa Mwisho Nabii Mhamad atatumwa na Allah
    Kuleta Amani na kuondoa Dhuluma na kurekebisha yote yaliyobadilishwa kwenye Zaburi, Taurati na Injili.

    • @felixgitonga6783
      @felixgitonga6783 Год назад

      Hio torati na zaburi na hinjili,uko na oringino na iliariviwa Hama utuo haya hinasema mwemedi Dio wa mwizo waslimu ni makafiri unasema mungu Hana mwana Quran himeteremucwa na adui wa jivile

    • @hassanjuma2772
      @hassanjuma2772 Год назад

      @@felixgitonga6783 hata uandishi wako haueleweki ni kiswahili au kizungu naona uwemo tu na wewe ikiwa huelewi kaa kimya

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      Sidhan km inapendeza mtu anaeitia watu kwny ukafiri ukamwita mheshimiwa

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf Год назад

      @@felixgitonga6783 jitahd kwnz ujifunze kusoma alaf ujifunze maandiko ndo sasa uje kucomment

    • @elbaricktv1632
      @elbaricktv1632 Год назад +1

      Bila yesu hakuna atakaeiona pepo enyi ndugu zangu waislam yesu ndyo njia hata Quran imeandikwa kasome uelewe

  • @samuelwafula9334
    @samuelwafula9334 5 месяцев назад +1

    Mimi kama mkristo nakubaliana na KAZI ya Ramadhan japo siamini uislamu ni njia ya mungu

    • @StraightPathDawah
      @StraightPathDawah  5 месяцев назад

      Itabidi usome zaidi na uweke akili waazi kabisa kukubali ukweli

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +3

    But Jesus called Peter sheitani. So much contradiction here.

  • @elbaricktv1632
    @elbaricktv1632 Год назад

    Napenda hiki kipndi kutoka Dodoma Tanzania

  • @samuelmiryango3524
    @samuelmiryango3524 Год назад

    Kila ukipatana na ndocha anakushinda sasa wew utatakiwa kuwa mkristo to .