Mashaa Allah yaani wanawatch straight path daawah wakiwa mashinani, mpaka wanangojea mtu aje awaelezee Uisilamu 😢😢 Allahu Akbar mwenyezi awafanyie rahisi hawa Ndugu zetu🤲
Nigeli pendekeza pia uwanbie maswala ya kula nguruwe pamoja na pombe kua ni kitu hakitakiwi pamoja na mambo mengine isije kua wamesha ingia kwenye imani ya kweli ikawa bado hufanya ama kula izo vitu in sha allah shukran
MashaAllah. Kumbe Wa Kalejin ni watu wazuri hivi! Na hawa WaMama are so sweet! Wako very interested. Further visits required with full force, pamoja na Ustad Yusuf! Kila Ustad a shike group lake laku towlea Dawah. Hata kina Salim wana weza ku letwa hapa. TabarakAllah team kwa ku fika hapa! MashaAllah kwa wote walio Silimu leo!
MashaAllah Team. Sija ona eneo nyengine Kenya mzima, ambao iko na NJAA sana ya Dini la Ki Islamu! WaIslamu anzeni ku changa pesa ya kuwa Saidia hawa watu, PAMOJA na ujenzi wa Markaz! MashaAllah, fundi wa Mave wa Markaz ni wajuzi sana. Good job, Stone Masons! TabarakAllah Team!
These ladies are so sweet. May God guide them to the truth. That He, ONE ALONE, is the Creator. The gentleman is so sweet too. A real gem. May Allah keep guiding him till he reaches Heaven. Amen. Ray from Canada
Asalam alaikum ustadh ramadhani huyu jama aliyesilimu aliyevaa koti jekundu na kofia yupo vizur sana pendelea sana uwe unafuatana nae kwasababu ana hima na kutaka kuuelewa uislam na kutaka kuwaeleza bazi ya waisio waislamu (nipo zanzibar nawafatilia sana allah atawalipa kheri)
Asalam,alaikum ustadh ramadhani kuna swali nahitaji uwaulize wakristo kwann wanawake wanapokwend kanisani wanapokua katika hali zao kwann wanakwend kufanya ibada wakati wanasema ile ni sehemu tukufu halafu kwann wanapofunga kwarazma siku 40 hebu watupe jibu kwann ikiwa kafunga mke na mume mbn wanajamina na wanasema funga haibatiliki
Asalamu aleikum warahmatullah wabarakatuh ya Ramadhan nakuomba inshallah mfike hata ukambani haswa makueni County huko hakuna waislam mjiandae mfike huko inshallah niliishi huko na nilitembea sehemu mbali mbali isipo kua places za Mombasa road pekee
Fikeni sotik pia inshallah ..nlislimu huu mwaka Alhamdulillah
ALLAHUAKBAR
@@jkewl999 God bless you too
@@fatumamwalimu5765 Allahu Akbar
Maashaallah tabarakallah
Masha'Allah. Welcome 2 Islam. May Allmighty Allah make everything easy for 4U.🙏👍
This is just inspiring...naona sisi waislamu ndio hatuwaambii watu..I need to do more Inshallah.
Mashaallah 🥰 Allah awalipe kheri duniani na akhera
Watching from Uganda
Thank you brother mashallah
Kazi nzuri sana kaka ramadhan ALLAH akupe nguvu na uwezo wa kuweza kubainisha katika njia ya ALLAH
Masha Allah Allah awalipie masheikh
Maashaallah tabarakallah mashehezetu. ....
Ma'sha Allah SHEIKH keep the Dawah going Insha Allah Allah will pay you in reward.
Allah wajalie kheri nyingi na wote wanao ukubali uislamu na waislamu wote kwa jumla.... Ameen
Allahumah Amiin 🤲
Ameen
Ameen
Ameen
MashaAllah Mwenyeez Mungu ampe umrefu shekh Ramadhan hata akifa Jannatfidaus yawe makazi yake hongera sana kwa kuendelea kuutangaza uislam
اللهم آمين يارب العالمين
Ameen
Amiin
Amin
Ameen yaarab
Mashalla alhabdulilai barakalla fih wajazakallahu haira ustaz 📖📿📖📿
Masha Allah . Allah akuhifadhi sheikh na akujalie kula kheir .
Allahumma Aamin 🤲
Mashallah shekh Ramadan Allah akupe nguvu na wepesi kwa kazi ngumu yakuelimisha wakiristo mpaka kuelewa ,jazakalaheri.
Allahuma ameen 🤲
Aamin 🤲
Mashaallah sheikh wetu Allah akujalie mema yaliyo na kheir ndani yake inshallah
Allahumma Aamin 🤲
Mashaallah naomba pia mujaribu kufika upande za voi , taita wundanyi inshaallah
insha'Allah nguvu ikipatikana
Masha Allah takibir Alie silimu mungu amjalie asife Bali afe akiwa muisilamu Amini
Allahumma Aamin
Mansha allah sheikh ramadhan
Masha ALLAH Tabarakallah. Takbiiiiiir
ALLAH AKBAR
Wallahi hii nima kubwa. Uislamu inawapendeza watu wa hii mtaa. We need a mosque even if it’s a small one.
Yani Ina hitajika nguvuu ya Mtu Moja t kwanza ajitolee kupatikana eneo la msikiti Isha Allah mm naamini litapatikana
Masha Allah TabarakAllah..
JazakAllahu kheyran kakangu Ramadhan
Allah Akuhifadhi kakangu ...
Amin
Mashaa Allah yaani wanawatch straight path daawah wakiwa mashinani, mpaka wanangojea mtu aje awaelezee Uisilamu 😢😢 Allahu Akbar mwenyezi awafanyie rahisi hawa Ndugu zetu🤲
MashaAllah Allah awajalie kheir
Nigeli pendekeza pia uwanbie maswala ya kula nguruwe pamoja na pombe kua ni kitu hakitakiwi pamoja na mambo mengine isije kua wamesha ingia kwenye imani ya kweli ikawa bado hufanya ama kula izo vitu in sha allah shukran
Masha Allah mungu awaongoze wote walio silimu
MashaAllah sheikh wangu nakufuatilia sana hafidhwahullah nakupendeni sana kwa ajili ya ALLAH ❤
Masha Allah mbarikiwe sana shehe Ramadhan na wenzako.
Allahuma ameen 🤲
Truly i love you brother ramadhan for the sake of ALLAH natamani japo nakutana nawe siku moja
Duh dunia kubwa kuna sehemu hata dini hawaijui duh allah akbar
Mungu akujaalie Ramadhan inshallah
Wallahi huyo mzee Allah ampe haqi, muislamu ni haqi tu. Hamna kumfuata mtu, hila ni kweli pekee.
Maashaallah ALLAH hawaongoze.☝️☝️☝️
Masha Allah
Maa shaa Allah,majina ya kizungu ni ya mashetani🤣🤣
siku hizi mashaAllah kila sku vitu vipya
Mashallah ustadhi May Almighty Allah reward you
Sheikh njoo banana kiambu
Masha Allah 🥰
MashaAllah. Kumbe Wa Kalejin ni watu wazuri hivi!
Na hawa WaMama are so sweet! Wako very interested.
Further visits required with full force, pamoja na Ustad Yusuf!
Kila Ustad a shike group lake laku towlea Dawah.
Hata kina Salim wana weza ku letwa hapa.
TabarakAllah team kwa ku fika hapa!
MashaAllah kwa wote walio Silimu leo!
☝️❤الحمدلله على نعمة الاسلام
Assalam aleikum piga
Kijana musa limemlekea jina kwa ujasiri alionao MASHAALLAH
Allahu akbar mashaallah
Allah akubariki brother Ramadhan KTK kueneza DAWA juu ya DINI YA HAKI YA UISLAM
ALLAH atujalie na kizazi chetu akiongoze ktk kheri
Alhamdulillahi a3laa din Al Islam
Allah'hu Akbar Allah'hu Akbar ❤️❤️❤️❤️❤️👍🏼
😂Asc
Nakupenda kwa hajili ya Allah kwajuhudi zako zadini Allah akulipe kheri
Ila msiba huu eneo halina msikiti km hakuna mtajiri vile wakisilamu katika hii Dunia ila mungu atusaidie
Wamama n wazr Masha Allah Allah awaogoze amiin yarab
MashaAllah Team.
Sija ona eneo nyengine Kenya mzima, ambao iko na NJAA sana ya Dini la Ki Islamu!
WaIslamu anzeni ku changa pesa ya kuwa Saidia hawa watu, PAMOJA na ujenzi wa Markaz!
MashaAllah, fundi wa Mave wa Markaz ni wajuzi sana. Good job, Stone Masons!
TabarakAllah Team!
Kweli kabisa
These ladies are so sweet. May God guide them to the truth. That He, ONE ALONE, is the Creator. The gentleman is so sweet too. A real gem. May Allah keep guiding him till he reaches Heaven. Amen.
Ray from Canada
Asalam alaikum ustadh ramadhani huyu jama aliyesilimu aliyevaa koti jekundu na kofia yupo vizur sana pendelea sana uwe unafuatana nae kwasababu ana hima na kutaka kuuelewa uislam na kutaka kuwaeleza bazi ya waisio waislamu (nipo zanzibar nawafatilia sana allah atawalipa kheri)
Asalam,alaikum ustadh ramadhani kuna swali nahitaji uwaulize wakristo kwann wanawake wanapokwend kanisani wanapokua katika hali zao kwann wanakwend kufanya ibada wakati wanasema ile ni sehemu tukufu halafu kwann wanapofunga kwarazma siku 40 hebu watupe jibu kwann ikiwa kafunga mke na mume mbn wanajamina na wanasema funga haibatiliki
Ma shaa Allah bro nice, barakallah
Mashallah
Mungu akusadie ndugu sheik Ramathan
Maa shaa Allah ❤❤❤
Shekh njooo huku Tanzania maana waadhir wa huku wamepoa sana
Kama ulikuwepo kwenye mawazo yangu yani natamani aje tanzania maana waadhili kwa kwenu hawana mwamko kabisa
😂😂kwani ss
TenaAngeFikaMkoaWaMbeyaKyelaNaTukuyuKijijiChaKatumbaHapafai.watuWaendaChooNaViguziVyaMahindi
ALLAHU AKBAR TAZAMENI MAJABU YA ALLAH ❤
Asc Ramadan nitumie number ya hao wenye wameslimu niwatumie ya eid washehereke
Salallahu Alaihi Wasalam ❤️❤️❤️
nawapa pole sana wote walio batili dini ukweli nilikua muisilam aaaaaa!! Nilipate shida kubadilisha
Shekhe uje tz ukipita Tanga mjini kuanzia sehemu moja unaitwa mtapwa maramba mpaka loko huko kumeoza haswa 😢
Shida Hela. My ya safari
Mum wachekesha rahaa, wako sharp
Mola ni mkuu, Allah Akbar
Alahu akbar Mashaalah
Jazaakallah khayrii shekh
May i know where is Ramadan this three days? He had not uploaded anything video. We missed you brother
Kazi ipo, mambo yamewakorogokea sana Wakristo
IN SHAA ALLAH CHEPYONGA KUTAPATIKANA MSKITI
Asc Ramadan unafanya Kazi mzuri
Asalam aleikum sheikh naomba kuwe n msikiti n madrasa apo karbu hata nikuchagia waislam in Sha Allah
Hamina ustaz
Wellcome mombasa
Mashaallah
ramadhani weka namba ya cm tuchangie utafute mwalimu wafundiswe
Mach lave from EMBU
Mum msomi sana
Asalamu aleikum warahmatullah wabarakatuh ya Ramadhan nakuomba inshallah mfike hata ukambani haswa makueni County huko hakuna waislam mjiandae mfike huko inshallah niliishi huko na nilitembea sehemu mbali mbali isipo kua places za
Mombasa road pekee
Allahu akbar
Duniani Kuna lugha nyingi mashallah
MashaAllah
Nasha Allah
Bola atafutwe mwalim tumchangie ili afundishe wanao silim hapo maana wakisilim bilayakusoma. Mafi faida
maneno yako kweli
insha'Allah utaratibu unaendelea
mpaka utawadhe kusema jina ya mji hii
Asc
Ila hii sehemu ikuwezekan urudi Tena maana watu wapo hapo hawajuwi Kuhusu uisilamu.
Asalam mwaleykum
Unapotosha watu Sana yesu ndio njia
Wanawake wamenichekesha
Wakalee na kiswahili ni kama maji na mafuta gaiii 😅😅😅 na vile waluhya ni waswahili sanifu .. waluhya wanapenda kutumia neno ndiposa 😅😅😅
awa watu waiii sehemu nimewapenda bure watu wa maana kabisa
Nimefurahi mzee anachekesha😂😂😂😂
Chepnyogaa tatizo ni lugha wakieleweshwa wengi wataslim
❤
Ata waisramu wanatambua Yesu wewe wacha Ku ndaganya watu Yesu ndiye njia ya Uzima
Yesu alikuwa muislamu sio mukuristo
Iv shkhe hawa watu washapata mwalimu kweli
Kama unaweza kuja😂 Huku kwetu manjego Nairobi
Hivi hivyo wanaongea hua ndio wazungumza hivyo ama tayari wapo tungi😂😂😂😂 mana nimecheka wallah
Hawa wamama ni watamu kweli😂
Wachungaji why hawaambii wakristo ukweli na they know very well.???
Maskin mzee miaka imeenda hajui kama sijda iko kwa biblia yesu kamsujudu mungu wke Allah. asema aona kwa tv waisilamu wanafanya
Ila hao wamama ni shiiiidaah mana sio kwakuongea huko salaaaala 🤭🤭🤭🤭🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Hawa wamama wanachekesha sana🤣🤣