MashaAllah Mwenyeez Mungu awape subra mashekh wetu kwa kuendelea kuwalingania wasiokuwa waislam kwakweli mnapitia mengi kuna watu wabishi hata kama mafundisho yameshawaingia na huyu msomaji wako shekh Ramadhan MashaAllah msomaji yuko vizuri nimeisikiliza mala 2 kwani hata nami nina daftari langu naandika na kujifunza taratibu
Mashaallah hii y Leo ilikuwa Kali y zote mana yesu kapewa majina yote niyke, Mungu, mtoto, roho , Baba , alhamdhullillahi kuwa muislamu na Allah awaongoze asikie maandiko wawe waislamu aamin aamin
WAKRISTO WATAJARIBU kujibu lakini hawataeza dhidi ya muislamu hata waamerika walio andika bibilia wanashindwa kujibu, itakuja kuwa waafrika hao ndio hawajijui wala hawajitambui majibu yao ovyo wajicheka wenyewe
Asalam aleykum nyote Sheikh ramadhaman mungu akuzidishee juhudi zako za daawa ila ni kazi ngumu nakutaka subra nawe naona mungu amekupa subra sana, Bali next time Akhi watu kaa hawa usiwape nafasi saana naona umewasikiza saana wakiwa wanaendelea na juhudi zao za kuhubiri kaa wako kanisani bali hawana chochote ila ugumu, sumun bukmun umyuun fahum laa jarjiuun,jaribu kuwapa chalenge wasiwe na time ya kuhubiri kwa maana nathani hapo kuna watu wengi washa elewa vitimbi vyao bali hawakukupa nafasi uwa eleze wanao sikiza , insha allah kheri na mungu atakuzidisha nguvu amiin. Waa aleykum salam.
No one is perfect before the eyes of the Lord... don't judge so that you may not be judged mathew7:1..kuna angano ya kale kabla ya kuzaliwa kwa yesu na kuna jipya ambayo ni baada ya kuzaliwa kwa yesu ambaye alikuja kuwaokoa wenye dhambi
Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada Reply
Hao wanajizuga tu ukweri wanajua wanajizugazugatu... Sijui sababu ya swadakaza waumini wao wanaogopa wakikibali uislam ni Dini ya haki hawatawaonakanisana na pesa zinawakosa .... Allah awaongoze
USTADH UNAJITAHID LAKINI UKIWAACHIA SANA HAO WAKIRISTO KUONGEA BILA MPANGILIO NA BILA MAANDIKO WANATUPOTEZEA MUDA NA HATUPATI FAIDA. KAMA HAWATAKI SIO LAZIMA WATUPOTEZEE MUDA
@@sulehassanshall6140 Sasa Mtume wako alimsilimisha shetani akawa Muislam na pia majini walisilimu pia wakawa waislam brother huoni wewe na Shetani kitu kimoja...... NJOO KWA YESU NJIA, UKWELI NA UZIMA WA MILELE 🙏 YESU KRISTO MUNGU MWENYE NGUVU 🎤🎤🎤
Asiyeikubali dini ya uislam ataenda motoni na huyo YESU atawakataa nyie amkeni acheni kisomewa vipengele vidogo vidogo ,tatizo lenu wakkristo hamsomi Bibilia kama waislam wanavyosoma Quran tangia wanapokuwa wadogo ndo maana wanajuwa wanamuabudu Mwenyezimungu wa haki ambae ni ,ALLAH,, katika QURAN anasema YEYE HAKUZAA WALA HAKUZALIWA NA HAKUNA ANAEFANANA NAE HATA MMOJA na kila kilochopo duniani ni cha kwake yeye
@@adamhasan8021 vizuri Sana umesema Quran inasema Mungu Hana Mwana na Bibilia katika Yohana 3:16 Mungu ako na Mwana... Swali kwako Bibilia na Quran gani ilitagulia? Ndio tujue nani anapinga Mungu kuwa na Mwana.
@@patrickmaina5459 MUNGU hawezi kukaa tumboni miezi tisa pia akakua na akatahiriwa kama binadamu wa kawaida kwa mungu hawezi kufnya vitu kama hivyo hebu kaa ufikirie kwa kina , MUNGU afenye hivyo mda huo Dunia itakuwa inaendeshwa na nani? BRO kama una muda jitahidi sana Japo usome kidgo Quran kuna vingi vya kujifunza kabisa hata Bibilia hasa agano la kale ukiisoma vizuri kuna mambo ya kiislam, na sio agano jipya sijuw inakuaje kitabu kipya nani kakiandika na pia jiulize kafunuliwa na nan hayo maneno
Isaiah 9:6, SIO tabiriwa Yesu, kwa sababu PRESENT TENCE ina sema huyo SON asha zaliwa ALREADY, 3200years ago! Isaiah 9:6 For unto us a child IS born, unto us a son IS given:
Kitabu kikiwa ni kilicho andikwa na mikono ya binadamu kamwe hakiwezi kuwa sawa mana kitabu wenyewe kinawapa tabu wafuasi wanao kifuata hakiwapi usahihi wa ushahidi
Kwa kweli wenzetu wa ki binaadamu wanahitaji msaada yaani paster anaongea yeye tu waumini wamsikilize kama redio, inna lillahi wainna ilayhi rajiun mhh Allah awaongoze.
Wakirosto kufuru tupu wanayoifanya et Mungu ni Yesu haya kama mungu mungu anatahiriwa jamn inalillah wainnah ilayh rajioun 😭 🤲 hawa wenzetu wapo akili zao duh kheri ya chizi
@@husna34562 hawa walisikia ukweli ila wanafaa kusoma maandiko...ni kweli yesu Kristo Mungu ila kama elimu hio huna hutajua kumueleza jinsi inavyo paswa...yesu ni Mungu hakika halipingiki ila elimu ndio hakuna
@@madetetv6576 asanta kafiri ww ama mm ? Kwanza pili angalia wamepewa mdaa wote but wajichanganya tuu hakuna maandiko hawataki maswali hio ndio shida but ukimpa muislam jibu atakupa Kwa maandiko na utaelewa hapo Mara yesu mungu mara Mtoto mara ndie roho
sometimes i find the other side very embarrassing simple concept soma andiko instead of interpreting what the church teaches,AM HAPPY FOR THE DAWAH ISLAM IS THE WAY LOVE IT OR LIVE IT.
mkristo yeyote ambae anakiri kwamba Yesu ni Mungu naomba nimpe challenge hii huwenda itamsaidia kumfungua akili kwa idhini ya Mwenyezi Mungu!!!! naomba aisome biblia alafu kila kwny neno Yesu” asilitumie neno Yesu atumie Mungu” au kama aamue asome kwenye kila sehemu neno “mungu” asilitumie aweke “Yesu”
Huyu jamaa ni maneno mengi ya mdomo bila maandiko ya vitabu anapoteza wakati tu hana anacho jua anaongea porojo nyingi hpo kuweni waisailamu ama mutaenda fanywa kuni za moto wakiristo munamkufuru Alllah (swt)
Walah napenda sana hii mihadhara mungu awatie nguvu mueneze daawah mitaani mnawapadoz sana hawajui maandiko
Allah bless you and your families masheikh wetu,
Dawaa mpk kieleweke,Allah akufanyieni wepesi.
Mashallah masheikh wetu mungu awabariki
Masha Allah ,Kwa kweli mnafanya kazi kubwa , ALLAH awape umri wenye barka ndani yake
Mungu gani Yesu anamwendea na yeye ni Mungu. Mungu wa Yesu ni Mungu wetu vile alisema.
MashaAllah Mwenyeez Mungu awape subra mashekh wetu kwa kuendelea kuwalingania wasiokuwa waislam kwakweli mnapitia mengi kuna watu wabishi hata kama mafundisho yameshawaingia na huyu msomaji wako shekh Ramadhan MashaAllah msomaji yuko vizuri nimeisikiliza mala 2 kwani hata nami nina daftari langu naandika na kujifunza taratibu
SUBUHANALLAH. ALLHAMDULILLAH KWA KUWA MUISLAM
Aki huu mjadala umekuw mtamu Sana I wish I was their mashallah we r really enjoying but also educated
Mashaallah hii y Leo ilikuwa Kali y zote mana yesu kapewa majina yote niyke,
Mungu, mtoto, roho , Baba , alhamdhullillahi kuwa muislamu na Allah awaongoze asikie maandiko wawe waislamu aamin aamin
Mashallah ya sheikh. That is why written in the Bible that wa Christopher wauwongo will come.
Mwenyezi mungu akufanyie wepesi katka kufkisha ujumbe inshaalah
May Allah bless you
Alhamdulillah hii kazi yaitaji moyo na subra unar roho ndogo kama yangu .pole sana mwenyezi mungu akulipe kheli
Allahumma Aamin 🤲
Nakwambia kwanza mm ningewazaba mimbao nikapaongoka
masha Allah Allah awajalie imani na afia wasilamu wachukue mfanowene
Nawafatilia kutoka Zanzibar ustadh ALLAH awape nguvu na awalipe zaidi
Hahaha Shekhe Ramadhani kiboko!! Umempa jamaa mick akapayuka weee mwisho wa siku unammalizaa na maandiko 😀😃.
Maskini some people akili zao hazina akili kabsaa Wallah imagine eti Mungu ni Yesu na anaye babaake *innalilah wainnailayh rajeoun*
MashaAllah Mashelhk wetu Mungu hawape afya njema na umuli mrefu lnshaallah
WAKRISTO WATAJARIBU kujibu lakini hawataeza dhidi ya muislamu hata waamerika walio andika bibilia wanashindwa kujibu, itakuja kuwa waafrika hao ndio hawajijui wala hawajitambui majibu yao ovyo wajicheka wenyewe
Asalam aleykum nyote Sheikh ramadhaman mungu akuzidishee juhudi zako za daawa ila ni kazi ngumu nakutaka subra nawe naona mungu amekupa subra sana, Bali next time Akhi watu kaa hawa usiwape nafasi saana naona umewasikiza saana wakiwa wanaendelea na juhudi zao za kuhubiri kaa wako kanisani bali hawana chochote ila ugumu, sumun bukmun umyuun fahum laa jarjiuun,jaribu kuwapa chalenge wasiwe na time ya kuhubiri kwa maana nathani hapo kuna watu wengi washa elewa vitimbi vyao bali hawakukupa nafasi uwa eleze wanao sikiza , insha allah kheri na mungu atakuzidisha nguvu amiin. Waa aleykum salam.
Sheikh wangu Allah akulipe
Mashallah Allah akuzidishie hikma na afya nguvu na Uwezo mkubwa wakupambania dini .
Asalam alaykum warahmatullahi wabarakatuh Sheikh Ramazani mjikaze mpeane Muda kuongeya Tara tibu
Leo nimepata toleo jipya YESU BABA AKE NI ROHO MTAKATIFU 😉😃 Wakristoooooo 😊😄.
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
🤣🤣😂😂😂
😂😂😂 wala sio yakucheka lkn inabidi tu
Karibu katika NURU YA UZIMA YA ULIMWENGU AMBAYE NI YESU KRISTO MWANA WA MUNGU ALIYE HAI
@@claudiabakisa8052 Umefurahishwa na nini?
Masha Allah
MashaAllah tabarakaAllah
Hii shekh ramadhani ulimuachia huyu jamaa sana atoe yaliyomo kichwani mwake sio maandiko alipoteza muda Sana wengine wasielewe
Mashallah shehewetu mungu akubariki akulinde akunyiye wepesi inshallah
No one is perfect before the eyes of the Lord... don't judge so that you may not be judged mathew7:1..kuna angano ya kale kabla ya kuzaliwa kwa yesu na kuna jipya ambayo ni baada ya kuzaliwa kwa yesu ambaye alikuja kuwaokoa wenye dhambi
Wote wakristo na wote wanatumia Biblia na wote hawaelewi 😄😄. Msiba huu
Masha Allah kazi munayo fanya kwa kweli siyo raisi ila insha Allah mwenyezi mungu ata zidi ku wapa nguvu
Thank you so much our Sheiks and also the Christian brothers and sisters. They, the Christians, are humble as Quran states. The Christian brother appears so close to Islam because of his passion. He will make a Good Muslim, God Willing. These sheikhs are working hard to save their brothers from the hell fire. They love their Christian brothers and sisters. They have good intentions, so please listen to them with an open heart. I am from Canada and your lectures strike lessons fairly deep into the heart. Your examples are sweet, and make one think of our short and GHAFLA { deceptive} lives on earth. Bless you my brother. Your knowledge amazes us! May our Christian brothers search for their Creator and accept the One who created them. It is the same God of Christians and Muslims and all humans and everything created. Let us not fight for the sake of holding on to our bias. The Truth stands alone, differences are many. Regards from Ray in Canada
Reply
MASHAALLAH
Allah awatawaezesha awape Subrah. AMEEN
Hao wanajizuga tu ukweri wanajua wanajizugazugatu... Sijui sababu ya swadakaza waumini wao wanaogopa wakikibali uislam ni Dini ya haki hawatawaonakanisana na pesa zinawakosa .... Allah awaongoze
MashaAllah
Jazakallahu kheiran
Mwalimu pole sana,Allah akuzidishie subra,hao watu wanajua ukweli hapo wanafanya ukaidituu
Anaongea sana uyo mzee hadi unachoka kumskiliza
Mashallah❤❤
Eti Yesu ndio ameumba Dunia 🤷🙌🙌 watu Wana kufuru hawa jamani 😱
Eti.Dam..Dam.inasafishaAuInachafua
Mashallah barakaallah
Shida wanatoa hadithi za hekaya,ustadhi Mungu akupe nguvu uzidi.
MashAallah
USTADH UNAJITAHID LAKINI UKIWAACHIA SANA HAO WAKIRISTO KUONGEA BILA MPANGILIO NA BILA MAANDIKO WANATUPOTEZEA MUDA NA HATUPATI FAIDA. KAMA HAWATAKI SIO LAZIMA WATUPOTEZEE MUDA
Masha Allah 😂 Hadi raha napenda ila skheh Ramadan kuria ahadi ulio itowa kuele hujenda Tena nakukumbusha na hapo ushatowa ahadi nyengine
Hapana Naima nilienda lakini mitambo ikazingua na video yote ikapotea. insha'Allah hapa nitarudi
@@StraightPathDawah kumbe ok sawa mungu awe pamoja nawe na kila mwenye Nia nzuri na hii chanali yetu pendwa
Assalamu aleykum aise mnakutana na watu aise hiyo ndio wanafanya katika makanisa hawaulizwi yaani akianza mpaka anamaliza hakuna Maswali
Inaumiza sana ndugu zetu kwa Nabii ADAM wapi mnafeli?mbona kila kitu kiko wazi?ALLAH tunakuomba wafungue mioyo yao.ndugu zetu kuna Moto wa milele
AaminaYaarab😭😭
MashaAllah kaka Ramma
Ooh head🙏🤲🤲
Allah A tu Reemu
Allah Barik..
Inshallah ipo siku watakubali uislam
Allah awaongoz maana awajui na ni wabishi shehk Allah akupe subra
Cha kuwapa sina ndugu zangu waisilamu.ila mungu atawalipeni..hakika daawa ifanywe maana ndugu zetu hawajielewi .wamefungwa akili.mungu awabariki.amina
Dua zenu muhimu ameen
Ndo mkirst w kwanz kunckia yesu kaumba dunia
Nyinyi wakiristo mumechanganyikiwa kweli
Auwawezi mana mungu ametegeneza monto😢😢😢😢
Mungu akuzidishie subra ustaadh kwani unaongea na vichaa wa imani
Allah huma Ameen
Allah akulipe pepo yake na akutanishe na vipenzi vyake manabii nawapenda sana nawafatilia Sana mnenifunza sana
Wakristo ni wagumu kuelewa🙉🙉🙉
Mashallah
Ukristo unamashaka kweli dini ya hakki ya Mungu uwislamu tuuuu
Alhamdulilah.MadhaAllah
Ma pastor wametoroka kabisa. The truth hurts.
Maa shaa allah
Yesu kristo Mungu Aliye Hai 🎤
Yesu simungu nahawezi kua mungu.yeye nimtu Kama wewe namimi...Achen ujinga wa Afrika Tumieni Akili ..wazungu walitudanganya kutuletea ukiristo Yashetan .wazungu Wengi hawaendi kanisani..Walipojua Ukiristo Nidini yashetan wameacha ukiristo...
@@sulehassanshall6140 Sasa Mtume wako alimsilimisha shetani akawa Muislam na pia majini walisilimu pia wakawa waislam brother huoni wewe na Shetani kitu kimoja...... NJOO KWA YESU NJIA, UKWELI NA UZIMA WA MILELE 🙏 YESU KRISTO MUNGU MWENYE NGUVU 🎤🎤🎤
Asiyeikubali dini ya uislam ataenda motoni na huyo YESU atawakataa nyie amkeni acheni kisomewa vipengele vidogo vidogo ,tatizo lenu wakkristo hamsomi Bibilia kama waislam wanavyosoma Quran tangia wanapokuwa wadogo ndo maana wanajuwa wanamuabudu Mwenyezimungu wa haki ambae ni ,ALLAH,, katika QURAN anasema YEYE HAKUZAA WALA HAKUZALIWA NA HAKUNA ANAEFANANA NAE HATA MMOJA na kila kilochopo duniani ni cha kwake yeye
@@adamhasan8021 vizuri Sana umesema Quran inasema Mungu Hana Mwana na Bibilia katika Yohana 3:16 Mungu ako na Mwana... Swali kwako Bibilia na Quran gani ilitagulia? Ndio tujue nani anapinga Mungu kuwa na Mwana.
@@patrickmaina5459 MUNGU hawezi kukaa tumboni miezi tisa pia akakua na akatahiriwa kama binadamu wa kawaida kwa mungu hawezi kufnya vitu kama hivyo hebu kaa ufikirie kwa kina , MUNGU afenye hivyo mda huo Dunia itakuwa inaendeshwa na nani? BRO kama una muda jitahidi sana Japo usome kidgo Quran kuna vingi vya kujifunza kabisa hata Bibilia hasa agano la kale ukiisoma vizuri kuna mambo ya kiislam, na sio agano jipya sijuw inakuaje kitabu kipya nani kakiandika na pia jiulize kafunuliwa na nan hayo maneno
Huyu mtu amezungumza sanaa na hanaa chochote Chamaana
Mpaka anakera
😂Mogoka sio halali lkn ni kama sukuma, aje ? ALLAH Awape hidaya wasiokuwa Waislam
Nimecheka
Hahahaaaaaa
Pastor maneno mengi hayana maana ashazoea kudanganya watu kanisani ALLAH awahidi hawa watu wanaona haki ila wanapinga
Amiin
Good job Allah Akbar
Musilo lijuwa litawasumbuwa kabla ya Ibrahim baba yetu yesu alikuwepo je unaamini hilo
Msiba!
Isaiah 9:6, SIO tabiriwa Yesu, kwa sababu PRESENT TENCE ina sema huyo SON asha zaliwa ALREADY, 3200years ago!
Isaiah 9:6
For unto us a child IS born, unto us a son IS given:
Kwaifo kwa akili zako, inatabiri NANI????? Ama utasema mohamed??
Assalam alaikum, sheikh sauti mbona hakuna
Jamaa amepandisha maruhani hahahahaha
may allah bless brother
Kitabu kikiwa ni kilicho andikwa na mikono ya binadamu kamwe hakiwezi kuwa sawa mana kitabu wenyewe kinawapa tabu wafuasi wanao kifuata hakiwapi usahihi wa ushahidi
Uyu hanyoshi maelezo vizuri
Huyo macho nne hana hata hoja kelele tu hafai hata kupewa mic anapoteza mda mtu
Kwa kweli wenzetu wa ki binaadamu wanahitaji msaada yaani paster anaongea yeye tu waumini wamsikilize kama redio, inna lillahi wainna ilayhi rajiun mhh Allah awaongoze.
Msomaji amebaki tu kutabasam😊
Wa Afrika wanadanganywa nawazungu .wazungu Wengi hawaamini ukiristo nahawaamini Nabii Isa Ni Mungu wala nimtoto wa Mungu.
Wakirosto kufuru tupu wanayoifanya et Mungu ni Yesu haya kama mungu mungu anatahiriwa jamn inalillah wainnah ilayh rajioun 😭 🤲 hawa wenzetu wapo akili zao duh kheri ya chizi
Maashaallah, jazaakallah lkheir.. Ni bora usimpe muda mrefu kuongea uyo Pasta anaongea pumba tu bored
Masha Allah❤
hii story ya yesu Kristo watu wengi inawachanganya sana
Hawa viumbe wengi wanajua ila ubishi asojua skijua anaslimu
@@husna34562 hawa walisikia ukweli ila wanafaa kusoma maandiko...ni kweli yesu Kristo Mungu ila kama elimu hio huna hutajua kumueleza jinsi inavyo paswa...yesu ni Mungu hakika halipingiki ila elimu ndio hakuna
Nyote mmepangawa na dimoni ukue Mkristo au Muislamu
Mike iko hukuu🤣🤣🤣🤣
Hao wanapoteza MDA tu
Imani ya wakristo niyahovyo sana mtu umeumbwa na Allah umepewa akili unashindwa kuitumia namwiaho wake wasipo badilika wataingia motoni
❤❤❤
Wakumbavu waeleweshana wenyewe kwa wenyewe😂😂😂 lakini hawataki kusoma kwakuelewa.
Sheikh usiwape MDA namna hivyo huyu hata ametuchosha muhimu nihao wengine wapate elimu yy akihubiri huzidi kuwapoteza kabisaa
Hapa ndipo inadhihirisha wazi ukafiri wako asipewe muda ili muingize ajenda zenu za ukafiri?
@@madetetv6576 asanta kafiri ww ama mm ? Kwanza pili angalia wamepewa mdaa wote but wajichanganya tuu hakuna maandiko hawataki maswali hio ndio shida but ukimpa muislam jibu atakupa Kwa maandiko na utaelewa hapo Mara yesu mungu mara Mtoto mara ndie roho
This is not a rule of the debate... both sides must have time to talk.. but clearly wakristo wanabambanya bambanya maandiko...
@@madetetv6576 Ukona answers ama? Nilete maswali... unaweza niuliza pia.
Mungu peke yake ndio nawaweeza kuwalipa
sometimes i find the other side very embarrassing simple concept soma andiko instead of interpreting what the church teaches,AM HAPPY FOR THE DAWAH ISLAM IS THE WAY LOVE IT OR LIVE IT.
Sio njia rahisi kumlingania mtu ila Allah awafanyie wepesi inshaAllah
M.A