Salam aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kweli shekh Ramadhani kweli hapo kuumiza kichwa hata mpk kesho hatoi jibu. Allah akulipe kw kazi yako na nia yako
Mashallah...kwa mara ya kwanza umegonga ndipo...issa bin maryam ni kiumbe cha allah.....asifananishwe na Yesu Kristo ambaye ndiye muumbaji!! Maana kwake vitu vyote viliumbwa kila kitu duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: Wenye enzi, watawala, wakuu na wenye nguvu. Vyote viliumbwa kwake na kwa ajili yake. - Wakolosai 1:16
Yesu hawezi kufanya neno peke yke wala Yesu hawezi kufanya Miujiza wowote bila ya uwezo wa M/Mungu Mungu ndo anofanya Miujiza kupitia Yesu na Mitume wengine.
Napendaga sana mikutano hii ya maswali na majibu ya dini ,sheikh Ramadhan ana kazi kubwa sana na ana knowledge kubwa sana, ila mzee pia ni anaongea sana .
Really i like this pastor very much, he has valid points but problem he does not reply direct Ramadhan questions. and as Sh. Ramadhan says " huyu mzee mjanja".
Si mjanja Ramadhan is forcing points on him, especially akiona anaenda Kwa jawabu anamtwist ama anachukua point Kwa mraia yenye inadivert completely na anauliza wenye hawaelewi zaidi same question...
Hao wachungaji wako sawa kabisa 😂😂😂😂😂 KITANZI !!! 🫣WACHUNGAJI WAKUBALI KUWA NABII ISA (YESU) NI KIUMBE CHA ALLAH. Yesu Kristo sio issa ...hata kwa bahati mbaya!!
Internet ina umaliza uislam. Wakristo wajinga ndio wanao kubali kuwa Mungu wao ni sawa na mungu wa waislamu. Mungu wa Wakristo ni Roho Yohana 4:24 na mungu wa waislamu sio Roho ni kitu cha kufikirika na mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja. Pili kwa Wakristo Yesu ni Mungu. Tatu Yesu sio Isa kama waislamu wanavyo dai, maana ya isa kwa kiarabu ni shahawa za ngamia. Je maana Yesu ni sawa na maana inayo maanishwa na isa? Uislamu ni ya wanaojidanganya, wanaodanganya na wanaodanganywa. Hi ina maana Wakristo na waislamu wanaabudu Mungu tofauti.
@@Nora-v1m3p dini yako imejaa porojo na uongo. JE YESU WA KWENYE BIBLIA NDIYE ISSA WA KWENYE KORAN? JE YESU ALIKUWA MJUKUU WA IMRAN? JE MARIAM MAMA YAKE YESU ALIKUWA MTOTO WA IMRAN? JE MUSA NA HARUNI WALIKUWA WAJOMBA WA YESU? JE MARIAM MAMA YAKE YESU ALIKUWA DADA WA MUSA NA HARUNI? JE WAKRISTO WANAAMINI HIVYO? Hizi ndizo porojo za mungu wako. Ni mungu gani huyu anaye ruhusu kasichana ka miaka 6 kuolewa na jibaba la miaka kadhaa soma al talaq sura 65:4. Mungu wa Wakristo ni ROHO. JE mungu al lah wa waislamu ni ROHO? Jibu ni hapana, mungu al lah sio ROHO ana sehemu za mwili( has body parts) ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Kwa hiyo Wakristo na waislamu hawaabudu Mungu mmoja, Mungu wao sio mmoja. Ni mijitu mijinga( wawe waislamu au Wakristo) ndio inayo sema Mungu wetu ni mmoja. YESU SIO ISSA. INTERNET INAUA UISLAMU!!
@@Nora-v1m3p INTERNET INAUA UISLAMU. Waislamu wengi hawamjui mungu wao, ni dini ya wanaodanganya ( mashehe na maimamu), wanaodanganywa, na wanaojidanganya. Nenda Google wewe type Allah hands (mikono ya Allah ) utalikuta somo hilo la mungu wako al lah kuwa ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Au nenda RUclips tafuta Allah hands utawaona wanazuoni wa kiislam wanakuelezea mungu wa waislamu kuwa ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Dini yenu imejaa uongo na wengi waislamu walio kwenda shule wanaachana nayo kwa sababu uongo ulio wazi na hadith za mtume nyingi zikiwa za utata mpaka kufikia mtoto wa mfalme wa Saud arabia kufikia uamuzi wa kuzifuta baadhi na hata zilizo kuwa na sifa ya SAHIHI NA HASSAN. YESU SIO ISSA!!
Pastor bado amewakalima ten nil,you are just trying to out do him but hamuwezi..hamuwezi bishana three hours eti ukristo na Kristo...kama mtu anafuata Kristo si lazima uambiwe anaufuata ukristo. Nikama mtu aje na katiba Yao inasema uingereza akilazimisha mkenya aonyeshe katiba yake akisema ukenya...pastor amesema kunadiffernce Kwa maelezo ya Bible na Qur'an.
Hata ingawa huyu Pastor MJANJA ame SHINDWA kutoa andiko 'UKRISTO' ni Dini, WaFrika walio kusanyika, wako TAYARI ku fuata UWONGO wa huyu Pastor dangerous sana! Watu wa SHAKAHOLA wali ULIWA hivi hivi na UWONGO, kama huyu Pastor, William the LIAR!
Nlijua tu kuna mkosa Elim atatokea wakumuunga mkono huyo Mzee lkn mwenye akili timilifu hata akiwa Mtoto Mdogo hawezi muunga mkono yan anaongea mambo yasiyo eleweka kabisa😢
Mwalimu hiyo sehemu fanya tena urudi hpo siku nyengine wazakulewa hao na Allaha awaogoza inshallaha
sheikh ramadhani kazi unayo kweli kweli ila allah atakufanyia wepesi inshallah.hakika uongofu ni wa allah tu
Sheikh Ramadhan, Mashallah, namuomba Allah akuzidishie subra maana hawa jamaa....
Tukoo pmja Sanaa Allah akujazee kherii,,mtaalam,,nipo Tanzania,, nakelewa vizr snaaa
Maashaallah baarakallah wallahi hii ndio kazi ya watu wema waliotangulia nkazi ngumu mungu awajaze kheri nyote wahubiri wa dini ya hakki ya uislamu
Mashallah mashallah mashallah ramadhan kuria bin kaguoo,, kuletaa part three Allah akuhfz zaid
Asalam alakumu huyu mzee anaushubufu sana achana nae
Mungu akuzidishie ilmi ndungu wangu ramadhan♥️
Masha allahy Sheikh Ramaradhan
Salam aleykum warahmatullahi wabarakatu. Kweli shekh Ramadhani kweli hapo kuumiza kichwa hata mpk kesho hatoi jibu. Allah akulipe kw kazi yako na nia yako
Sh wangu hiyo ndio kazi ila fanta kwa ihklaswi alla atakulipa lnshaalla
Mashaalah
Masha Allah Ustaz.Kazi nzuri.watching from Boston USA
Masha allahy Sheikh Ramadhan
Mashallah sheikh mungu akubarek
Mashallaha
Amazing finish!!!!!
Masha Allah kazi nzur sana mwalimu wetu Allah akufanyiye mambo yako wepesi
Mashaa Allah
One Islam!!
Allah akupe afya njema n elimu n hekm uzidi kueneza dini yake
Mashallah...kwa mara ya kwanza umegonga ndipo...issa bin maryam ni kiumbe cha allah.....asifananishwe na Yesu Kristo ambaye ndiye muumbaji!!
Maana kwake vitu vyote viliumbwa kila kitu duniani na mbinguni, vitu vinavyoonekana na visivyoonekana: Wenye enzi, watawala, wakuu na wenye nguvu. Vyote viliumbwa kwake na kwa ajili yake. - Wakolosai 1:16
Yesu hawezi kufanya neno peke yke wala Yesu hawezi kufanya Miujiza wowote bila ya uwezo wa M/Mungu Mungu ndo anofanya Miujiza kupitia Yesu na Mitume wengine.
Kufur kubwa mnoo kusema Mungu n mtu kafa msalabani n kazikwa na kafufuka siku y tatu
Na yesu mwenye hajadai kua Mungu katu wala hakuwa kigeugeu leo mtu kesho Mungu alisema Mungu wangu ndie Mungu wenu mja wapekee
Tafakar ndugu ngu isome bibila yesu hajasema yeye ndo Mungu wala haezi fanya kitu ila Mungu yaani Ellah or Allah
Kwa kweli una subra Allah akulipe si mchezo
Mashallah Mashallah ramadhani Allah akupe umri
Napendaga sana mikutano hii ya maswali na majibu ya dini ,sheikh Ramadhan ana kazi kubwa sana na ana knowledge kubwa sana, ila mzee pia ni anaongea sana .
MASHA ALLAH ustad ramadhan
Mashallah barakaallah
Shekh unakazi Allah akupe nguvu
Mbona huyo shehe amastaki kwenye swali moja Mungu hajaleta dini
Mbona unauliza hapa kuna dini ngapi?siundai ukristo sio dini unajikanyaga kanyaga
Umekutana na vigongo
Dini sio dili la kupotezea watu muda .mbinguni hatuingii kwa kibali cha dini
Mavazi hayampeleki watu mbinguni
Huyo pastor ni master kweli
Watching this from green and spice island Zanzibar, kaka Ramadhani mtafute huyu mzee ili ajifunze tena uislamu.
Elimu ndogo hua hatari sana...pastor anahitaji mafunzo sana..
Niko pamoja na wewe ustadh kutoka Garissa county
Kwa kweli una subra Allah akulipe si mchezo. mimi singemvumulia huyu pastor na sauti yake ya utapeli
Huyo pasta ni pasua kichwa tu Allah amhidi aingie ktk uislam dini ya haki ,aamiin
😅😅et pasua kichwa
@@halimahbwelele694 😄😄😄
Dacwa Illalah
Really i like this pastor very much, he has valid points but problem he does not reply direct Ramadhan questions. and as Sh. Ramadhan says " huyu mzee mjanja".
Si mjanja Ramadhan is forcing points on him, especially akiona anaenda Kwa jawabu anamtwist ama anachukua point Kwa mraia yenye inadivert completely na anauliza wenye hawaelewi zaidi same question...
Huyu mzee anabore.
That's good hurry back.
Marshalla
Pongezi. Ustadh unafundisha vizuri
Mashaallah brother
Shekh RAMADHAN unakazi ngumu Sana ALLAH akulipe kheri insha'Allah 🤲 maana hawa watu kuwavumilia inataka moyo kweli 😅
MashaAllah ❤
Safi sana.
Mhh kazi ya daawa bado inahitajika ili iweze kuifufua mioyo Yao Allah akulipe kheri sheikh Ramadhan hio kazi ni ngumu mno. Allah awaongoze
Amesoma kwa kigugumizi mimi sijafahamu!!!
As salaam alaykum warahmatullahi wabarakatuh maalim achana na huyo Mzee atapotezea wengine mda yeye yuaficha mambo ili asikose sadaka
Masha, Allah, lakini huyo mzee anazingua
RAMADHAN huyu mzee unafaa ufanye kazi na yeye he’s very funny na anajua kusoma bible
Umeongopa mzee
Ameamua apoteze wakati ili watu wasifaidike na kujua uislamu.
Huyu ni mjanja na anapoteza wakati
Yesu ni mungu hakuna dini inahitwa ukristo na hakuna yesu katika dini lakini Isa ni WA dini
Hao wakristo wanajizonga tu hawana uhakika na dini yao
Kabisaaa
kabisa makelele tu
Huyo Mzee nimuongo na anapiga kelele hakuna dini inayoitwa ukiristo hakuna dini hiyowala sio dini
It’s sad Wakristo can’t even Agee on anything anymore
HUYU MZEE ATAA SAUTI YAKE NI YA UTAPELI NAPIA MACK ANAFANYA KAMA PEREMENDE
Hao niwachungujii wango,mbe ni sawa wakubali hajui wasemacho
Huyo Mzee mjanja kweli ! Alisema anawakilisha wakristo wote halafu baadaye akamsema mtu kuwa yeye ni SDA ambaye ni wapinzani wake 😳
Huyo mzee ni msumbufu ungewachana na yeye
Yuafunga wakristo macho ili asikose sadaka 😂
😂weee mzee nimshindani
Huyu mchungaji ni majanga kwa kweli
❤❤❤👏🏾👏🏾
Huyu mzee ni mbishi anapotosha watu hakuna neno issa lamau ni maneno yake amejiwekelea tu mungu amshinde na vitimbi vyake
😂😂😂mzee ajichanganya na mwerevu wakudanganya mwenyewe na watu😂😂😂
Huyo mzee ndio hovyo haswaa
Nadhani sheikh Ramadhan mzee kama huyo huo yupo kwa ajili ya kupoteza muda sio kwa ajili ya kutoa hoja..
issa bin maryam, kama kweli alikuwepo...ndio kiumbe cha Yesu Kristo.
Fahamu Yesu Kristo alikuwa nani kabla kufanyika mwili!!
Mungu aje aishi n watu ale achoke alale iyo inamake sense
Sote tulikua kw Mungu ilo lisiwe shaka kwako
Hao wachungaji wako sawa kabisa 😂😂😂😂😂 KITANZI !!! 🫣WACHUNGAJI WAKUBALI KUWA NABII ISA (YESU) NI KIUMBE CHA ALLAH.
Yesu Kristo sio issa ...hata kwa bahati mbaya!!
Issa Bin Maryam ndie Yesu Kristo wazungu ndo wamekujakubabaisha watu wasiutambue ukweli
Walo wengi wanataka kudilimu huku Gilgil
Zilongwa mbali zitendwa mbali
Hapo hupati kitu shehe wote wameiva
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂allah akufanyie wepesi
😂😂😂😂😂😂😂😅😅😅😅😅😅😅😅 leo ramazani amekutana na mashine yani haelewi mtu
Wakiristo ndio wanao vaa mavazi mafupi kanisani je wanamaana gani? Au mavazi hayo yanakubaliwa na mavazi hayo
Huyu pastor mkora ,maneno mengi hayana maana yoyote
😂😂😂😂😂😂😂😂
Huyo mzee anapoteza tu muda, achana naye.
Assallam Allaikum umeambiwa maana ya Islam ni isa Sallam kwanini wapinga😂😂
Wewe wacha kudanganya watu wakirito ndio wanaovaa mavazi
Internet ina umaliza uislam. Wakristo wajinga ndio wanao kubali kuwa Mungu wao ni sawa na mungu wa waislamu. Mungu wa Wakristo ni Roho Yohana 4:24 na mungu wa waislamu sio Roho ni kitu cha kufikirika na mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja. Pili kwa Wakristo Yesu ni Mungu. Tatu Yesu sio Isa kama waislamu wanavyo dai, maana ya isa kwa kiarabu ni shahawa za ngamia. Je maana Yesu ni sawa na maana inayo maanishwa na isa? Uislamu ni ya wanaojidanganya, wanaodanganya na wanaodanganywa. Hi ina maana Wakristo na waislamu wanaabudu Mungu tofauti.
Well said
Allah akuogoze wapi ulipata et Mungu wa waislam ana mikono n mguu.kaa huna lakusema zip domo kimya
Izo n porojo hazina ushahidi kaa utue
@@Nora-v1m3p dini yako imejaa porojo na uongo. JE YESU WA KWENYE BIBLIA NDIYE ISSA WA KWENYE KORAN? JE YESU ALIKUWA MJUKUU WA IMRAN? JE MARIAM MAMA YAKE YESU ALIKUWA MTOTO WA IMRAN? JE MUSA NA HARUNI WALIKUWA WAJOMBA WA YESU? JE MARIAM MAMA YAKE YESU ALIKUWA DADA WA MUSA NA HARUNI? JE WAKRISTO WANAAMINI HIVYO? Hizi ndizo porojo za mungu wako. Ni mungu gani huyu anaye ruhusu kasichana ka miaka 6 kuolewa na jibaba la miaka kadhaa soma al talaq sura 65:4. Mungu wa Wakristo ni ROHO. JE mungu al lah wa waislamu ni ROHO? Jibu ni hapana, mungu al lah sio ROHO ana sehemu za mwili( has body parts) ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Kwa hiyo Wakristo na waislamu hawaabudu Mungu mmoja, Mungu wao sio mmoja. Ni mijitu mijinga( wawe waislamu au Wakristo) ndio inayo sema Mungu wetu ni mmoja. YESU SIO ISSA. INTERNET INAUA UISLAMU!!
@@Nora-v1m3p INTERNET INAUA UISLAMU. Waislamu wengi hawamjui mungu wao, ni dini ya wanaodanganya ( mashehe na maimamu), wanaodanganywa, na wanaojidanganya. Nenda Google wewe type Allah hands (mikono ya Allah ) utalikuta somo hilo la mungu wako al lah kuwa ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Au nenda RUclips tafuta Allah hands utawaona wanazuoni wa kiislam wanakuelezea mungu wa waislamu kuwa ana mikono miwili na yote iko upande wa kulia na ana mguu mmoja na Vidole vitano. Dini yenu imejaa uongo na wengi waislamu walio kwenda shule wanaachana nayo kwa sababu uongo ulio wazi na hadith za mtume nyingi zikiwa za utata mpaka kufikia mtoto wa mfalme wa Saud arabia kufikia uamuzi wa kuzifuta baadhi na hata zilizo kuwa na sifa ya SAHIHI NA HASSAN. YESU SIO ISSA!!
Allah anaemswalia mtume wake?
Unajua maana ya kumswalia Mtume kwanza?
@@dulividuli5237 Najua kumswalia inatokana na neno sala au kiarab salat ikimaanisha omba ko kumswalia ni kuombea
Shekh hekma zimekuzid sn,una mpa nafas ya kuongea huyo kafir mpk anaona kamaliza
Anaongea sana iliapoteze wakati.
Pastor bado amewakalima ten nil,you are just trying to out do him but hamuwezi..hamuwezi bishana three hours eti ukristo na Kristo...kama mtu anafuata Kristo si lazima uambiwe anaufuata ukristo. Nikama mtu aje na katiba Yao inasema uingereza akilazimisha mkenya aonyeshe katiba yake akisema ukenya...pastor amesema kunadiffernce Kwa maelezo ya Bible na Qur'an.
Hata ingawa huyu Pastor MJANJA ame SHINDWA kutoa andiko 'UKRISTO' ni Dini, WaFrika walio kusanyika, wako TAYARI ku fuata UWONGO wa huyu Pastor dangerous sana!
Watu wa SHAKAHOLA wali ULIWA hivi hivi na UWONGO, kama huyu Pastor, William the LIAR!
Eti isaya lol. Anasema uongo akijua hao maskini hapo wata muamini
Huyu pastor mkweli kabisa...story ya spelling ajana nayo Ramadan, umejibiwa kwelikweli...
Nlijua tu kuna mkosa Elim atatokea wakumuunga mkono huyo Mzee lkn mwenye akili timilifu hata akiwa Mtoto Mdogo hawezi muunga mkono yan anaongea mambo yasiyo eleweka kabisa😢
Huwezi amulia mtu dini yake ewe kaka,mbona ukambeni ivo?,but to be sincere origin of Islam is Catholicism!!!
@@emmanueltoroitich8244ukatoliki na Uislamu ni vitu viwili tofaut wakatoliki ni dhehebu miongoni mwa madhehebu ya kikristo.
Wee hungonji upewe mandiko waislamu mwapotosha watu
Wanapumbaza watu hao muwe makini nao wanamiliki majini
Mashallah