KUITWA PASTOR SIO KAZI RAHISI 😂 || ALIYEDAI KUWA PASTOR APATA DOSE YAKE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 14 дек 2024

Комментарии • 87

  • @Fumokale
    @Fumokale Год назад +7

    Yaa shaikh hio jengo ni haswaa...mashaAllah umetoa khiyana (ambao huna) na ww Allah atakujengea nyumba ya akhira na hp duniani Allah akupe mpaka utosheke akujaalie na IKHLAS...amiin

  • @UMMYYFATMA
    @UMMYYFATMA Год назад +6

    SAFI SANA. MASHALLAH MASHALLAH ❤️ ALLAHU AKBAR ❤️ ♥️ 🤲🤲🤲

  • @hamisikitwana7957
    @hamisikitwana7957 Год назад +4

    Shekh Ramadhan Kulia Mungu akuongoze kwa baraka na mafundisho yako manzuri

  • @AhmedMohamed-um8ox
    @AhmedMohamed-um8ox Год назад +3

    Mashallah mashallah Allah akuhifadhi

  • @abdulzakaria4588
    @abdulzakaria4588 Год назад

    Baraka Allahu sheikh Ramadan, una fanya kazi nzito ya kuwa eleza wakiristo utamu na uweli ya kislamu na kwa huruma ya Allah uta faulu Duniyani na kesho Akhira. Ameen. Ameen. Ameen.

  • @abubakaralimohammed3388
    @abubakaralimohammed3388 Год назад +2

    Mashallah,Allah awabarkkie jobyenu na awape Umri wa kuwaelimisha Ummah❤

  • @hanifatanzania7258
    @hanifatanzania7258 Год назад +5

    Maashaallah tabarakallah

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Год назад +3

    Team yenu yanifurahisha mashaallah

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 Год назад +2

    MaaMaashaallah mashallah mashekhe wetu mungu awape afya njema

  • @marionoti5760
    @marionoti5760 Год назад

    Poleni sana, hivi tukiamua kuchambua uislamu kwa ukweli na historia yake najua hatutakaa. Tutashambuliwa. Imani sio kitabu, ni kuamini na kujisikia unawiwa.

  • @bentybenty2343
    @bentybenty2343 Год назад +4

    Masha ALLAH Tabarakallah. ALLAHU AKBAR..

  • @dlsfan9729
    @dlsfan9729 Год назад +7

    I love you for the sake of Allah ❤❤❤

  • @daudyussuf8180
    @daudyussuf8180 Год назад +3

    Mashallah ustadhi ramadhan

  • @Sai.Mo69
    @Sai.Mo69 Год назад +4

    TabarakAllah Team and local Team!
    Mafundisho Bora kabisa!

  • @hashimabdi
    @hashimabdi Год назад +1

    Mashallah ustadhi, keep up the good work sheikh Inshallah

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Год назад +4

    Masha Allah 🥰

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Год назад +3

    Mashalla Allah ❤❤❤

  • @sarahronoh540
    @sarahronoh540 Год назад +1

    Mashaalllah Allah awajalie kila la kheri

  • @abdikarim324
    @abdikarim324 Год назад +5

    Mimi nilikuwa msani, alimalufu washalom mukurinu, na nilisilim two weeks ago, uislam Dio jia ya kweri na dini ya mwenyezi mungu, TAQIBLII

    • @kamarhelo
      @kamarhelo Год назад +1

      Allahu akbaru

    • @BintiomariSwalehkimuswa
      @BintiomariSwalehkimuswa Год назад

      Allahu Akbaru

    • @Nora-v1m3p
      @Nora-v1m3p 9 месяцев назад

      Ma sha Allah tabaraka llah ndugu Allah akufishe ukiwa muislam n waislam wote

    • @ibruzah001
      @ibruzah001 6 месяцев назад

      Allahu Akbar ❤

    • @KKK-v6j
      @KKK-v6j 4 месяца назад

      Allah Aqbra

  • @ZulfahIbrah
    @ZulfahIbrah Год назад +1

    😂 hio roho imemu disappoint😂 pastor ako Facebook 😂

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Год назад +3

    Mmmmh Anakula Miraa Alafu Anaandisha Boda Boda Hivi Kweli Mtu Atakua Na Akili

  • @ramadhanisalum3548
    @ramadhanisalum3548 Год назад

    Allah Akbar hkka kapata kibano

  • @mwanaidiissa10
    @mwanaidiissa10 Год назад +2

    Mashallah

  • @HamzaAkilimali
    @HamzaAkilimali 10 месяцев назад +1

    Kazana tu Masheikh, wengi waliingia Mkumbo bila kujua ni njia gani iliyo sahihi ya kuwafikisha kwa Mwenyezi Mungu. Hii ni hatari jamani, waelimisheni msichoke. Inshaallah. (LINI BIN-ADAM AKAWA MUNGU 😂😂😂 !!??

  • @jamilaomari2444
    @jamilaomari2444 Год назад +1

    MashaAllah tabarkallah Mukrwein mashaAlla!

  • @kijakaparare2074
    @kijakaparare2074 Год назад +1

    MaaMaashaallah mashallah mungu mrefu

  • @azizashiundu5778
    @azizashiundu5778 Год назад +3

    Allah Akbar mashallah 💞

  • @malikdodo5190
    @malikdodo5190 Год назад +4

    Assalam alaikum warahmatu-llahi wabarakatuh

    • @bentybenty2343
      @bentybenty2343 Год назад

      Waaleykum salaam warahmatullah wabarakatuh

  • @jimjam-xg7rv
    @jimjam-xg7rv Год назад +2

    MASHA ALLAH 💚 💚💚

  • @ZayyanaBamuni
    @ZayyanaBamuni Год назад +1

    Subhana Allah
    Alhamduli llah
    Allah Akbar

  • @ZainabuMwambashi
    @ZainabuMwambashi Год назад

    Yan Bora TU uliondoka mapema Uislamu mzur

  • @jumanjenga7682
    @jumanjenga7682 Год назад

    Masha Allah Ustaz Gakuo.

  • @shabamuhidin634
    @shabamuhidin634 Год назад

    sheikh nimecheka apo mchungaji aliposema Paulo alikuja kabla ya Yesu,haha ulichoka akili mpaka ukapeana mic...Allah swt awalipe mema

  • @OmaryChipeta
    @OmaryChipeta Год назад +3

    inshallah

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Год назад +1

    Nimechekaa umemueza Pastor timothy

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara Год назад

    MASHALLAH MASHALLAH SHEIK

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +2

    Pastor amelelewa. Haja jipanga. Even with roho He can’t remember anything. Ajabu

  • @hamzayusuf1894
    @hamzayusuf1894 Год назад +3

    Atowe tu Andiko ukirsto ni dini feki hata hiyo atowe

  • @ChristianRamadhan-uf3ob
    @ChristianRamadhan-uf3ob Год назад +1

    ALLAH AKBAR

  • @salmanassor8732
    @salmanassor8732 Год назад

    Mashallah ❤

  • @jumahamad9463
    @jumahamad9463 Год назад +9

    KABISA SHEIKH RAMADHAN MTU ASIYE NDIO ANÀTAKA AFUNDISHWE NAKUFAHAMU SABABU WANAIJIDAI WANAJUA KUMBE NDIO HAO WANAPOTEZA WATU KWA MAANDIKO

    • @jumahamad9463
      @jumahamad9463 Год назад

      MTU ASIYEJUA NDIO ANATAKA AFUNDISHWE SIO KAMA MAFUNDISHO WANAYODAI KUFUNGA TU MPAKA KUFA NAKUZIKWA SHAKAHOLA

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 Год назад +1

    SUBHANNALLAH WALHAMDULLILLAH WALAHU AKBAR ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @AhmedAdow-h2q
    @AhmedAdow-h2q Год назад

    Wcs ww wa brothers waislamu

  • @zohramariga6678
    @zohramariga6678 Год назад +1

    Asalam alakumu mashala kazinzuri

  • @ukweliwauislamu9590
    @ukweliwauislamu9590 Год назад

    Ustadh Ramadhan kuria naomba ufike hata marsabit County haswa Moyale ❤

  • @ibruzah001
    @ibruzah001 6 месяцев назад

    Allahu Akbar ❤

  • @adanabdi5249
    @adanabdi5249 Год назад

    Hapo hapo.

  • @ndabarushimananuru7112
    @ndabarushimananuru7112 Год назад +2

    Nina swali apa ndugu zangu wengi ni wa kisto sijui wata kubali Islam lini. ili swali hua najiuliza sana

  • @samuelondieki9164
    @samuelondieki9164 Год назад

    Chungeni watakuja wengi waseme yesu hayuko huku hako mahali Fulani nawatapoteza wengi kuwapeleka muungue pamoja

    • @smadon5638
      @smadon5638 7 месяцев назад

      Haluna pahali kwenye biblia Yesu kasema yeye ni mkristo

    • @samuelondieki9164
      @samuelondieki9164 7 месяцев назад

      @@smadon5638 hakuna hapo kweli lakini alisema chungeni wengi watakuja Kwa Jina Hilo nawatapoteza

  • @smadon5638
    @smadon5638 7 месяцев назад

    Eti Timothy ni Muezalie na kumbe ni Mmeru wa kenya

  • @Adm9464
    @Adm9464 Год назад +2

    Un educated pastor. Very sad

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 Год назад

    ALLAHU AKBAR ❤❤❤❤❤

  • @fatimahrashid2356
    @fatimahrashid2356 Год назад +1

    ❤❤❤❤

  • @AbdikarimKassim-v6w
    @AbdikarimKassim-v6w 3 месяца назад

    Mlikua isiolo lini shekh?

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Год назад +1

    Wakati mukimaliza na daawah muuwaambie watizame RUclips Straight path wajisikize popote

  • @benwambua902
    @benwambua902 8 месяцев назад +1

    I see confusion everywhere. The two groups here are only religious depending o the family/country/place they have been raised. Before you come and approach someone, i will ask you one question. Who wrote quran? Who wrote the bible. If it's God, then i will be ready to answer. So long as it's manuscript, I'm not there. Africanism defines me. Im not religious, i don't need bible neither quran to live, I need God in my life who knows how I came here on earth and how I will get out of here. Period

  • @jubail73
    @jubail73 Год назад

    RAMADHAN MPE NAFASI HUYO MWENZAKO ATOE SOMO KILA AKIANZA KUONGEA UNAMOKONYA MIKE NA UMEFANYA HIVYO MARA NYINGI SISI TUNAFATILIA KWA MAKINI MIDAHALO YAKO HEBU FANYA UADILIFU

    • @huseinshedrack6180
      @huseinshedrack6180 Год назад

      Mm nataman muda wote awe anaongea Ramadhan sababu anajua sn namna ya kuwabana kwa hoja hao makafir

  • @onesimevyizigiro3173
    @onesimevyizigiro3173 Год назад

    Wa slim kwanini mntaka kufahamisha vitu zingine complicated mnajipanga alafu mna surprise watu alafu mnataka kusema ety sijui wakatholik si watu wazuli na nyinyi mnasoma musitali mumoja badala ya kusoma content wacha niwambie
    1Corinthians 16:5
    1corinthians 15:23
    Galantians 3:29
    Galantians 5:24
    inatuonesha vizuli kwamba sisi niwa kristo mwokozi wetu,,,,, je nyinyi niwa Muhammad ama?

    • @Sai.Mo69
      @Sai.Mo69 Год назад +1

      Toa ANDIKO anao sema:
      UKRISTO ni......!
      Kwani mashikeo zako hazi listen?

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад +2

      Reurey, hatu taki BARUA za Mu ROMA Paul!
      Tuna taka andiko anao taja UKRISTO ni Dini ya yeso!
      Towa gasia from your Ears!

    • @sheemaryam
      @sheemaryam Год назад +1

      Kwani bibilia ilisahau kuna dini inaitwa ukristo? Alafu lazima mtu ajipange ndio atetee dini yake? $si inafaaa kitabu kikutetee ? Twataka andiko liseme "Ukristo ni Dini hivyo tu
      Na pia wapi yesu alikuwa mkristo jina la mtu laweza kuwa dini ? Leo tena yesu ni mwokozi? Sio MUNGU tena😂😂😂😂😂 aki sijui paulo aliwafanyia wakristo nn hawajielewi

  • @morrismulowayi2152
    @morrismulowayi2152 Год назад

    Why you lie jessu was not Muslim bro,

  • @NathanielNathan-m4o
    @NathanielNathan-m4o Год назад +1

    Christians ni wafuasi wa Christo everyone knows this.Ndio ni dini Hata Qur'an inajua hili.

    • @RamadanPaul
      @RamadanPaul Год назад

      Ni kwer yesu ni njia ya kwenda kwa Mungu, sio yesu tu, mitume wote ni njia ya kwenda kwa Mungu. Ukimkataa YESU hutoboi, ukimkataa mohamad, Musa, Ibrahim, NUHU, luti n.k. hutoboi mjomba,,,,, shida yenu mnamuabudu YESU nyie ni wanafik. Marko 7:6-7,8,9

  • @abdullahibaris7182
    @abdullahibaris7182 Год назад

    MANSHALLAH ❤❤❤❤❤

  • @HUSTLERS085
    @HUSTLERS085 Год назад +1

    ❤❤❤❤

  • @moussa992
    @moussa992 Год назад

    MashaALLAH ❤️❤️❤️

  • @zahororashid-tw3hz
    @zahororashid-tw3hz Год назад

    ❤❤❤