KIZAAZAA, BINTI YA YESU ADAI KUWA MJUKUU WA MUNGU 😢

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 395

  • @aishaissa2512
    @aishaissa2512 Год назад +4

    Mandiko yanasema lakini watu wana fanya kiburi kuelewa Allah atujalie mwisho mwema 🕋❤️❤️🤲

  • @ismailmohamed7730
    @ismailmohamed7730 11 месяцев назад +3

    AlhamduliAllah 💕 may Allah guide them

  • @udaudauda8594
    @udaudauda8594 Год назад +7

    Allah akutangulie sheikh Ramadhan kwa kujitoleya hivi ndivyo vipindi vya kuangalia yafaa tumjuwe mwenyezi mungu atuongoze njia iliyo nyooka siyo ya wale walio kasirikiwa wala ya wale walio poteya🤲

  • @saidhassanahmed4
    @saidhassanahmed4 Год назад +18

    Da shekhe ramadhan kama ulivosema utochoka kwenda apo mpaka aujue uislamu mungu amuongoze yeye na watu wake wawe waislamu inshaalah mungu akulipe shekhe shekhe ramadhan kuria bila ya hesabu na akupe pepo pamoja na mtume muhamad ww pamoja na familia yako inshaalah nakufatilia sana shekhe wangu from tanzania 🇹🇿

  • @aminaabdallah7702
    @aminaabdallah7702 Год назад +8

    Ubarikiwe ishallah kwa sababu wamepotea kweli kweli mpaka wamevunja mipaka ya mungu hâta yesu hakujidai kua yéyé nimjukuu wa mungu subuhana Allah mungu ya wawokoe ishallah

  • @twaine40
    @twaine40 Год назад +8

    Sub'haana Allah astaghfirullah eti Sifa na utukufu niza yesu😢😢 Mwenyeezi Mungu awasameh mana hawajui wanayoyatemda

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 Год назад +1

      Hhhmmmm kila mtu ataubeba mzigo wake mwenyewe uislam hautokubeba mbinguni ndugu hata ukristo hautotubeba mbinguni sema sisi wote tutabebwa na matendo yetu ndugu

    • @twaine40
      @twaine40 Год назад

      @@lilianeerica3318 Mwenyeezi Mungu akuongoze uijue haki

  • @zeinabuAchiengOkara
    @zeinabuAchiengOkara Год назад +9

    Waisilamu hatuambudu binadamu sisi tunajua Allah ndio mungu mbingu na aridhi

  • @shuwehaharuna6309
    @shuwehaharuna6309 Год назад +11

    Malaika wanakula ,wanaenda Choo na damu ya mwezi pia subhanallah wamepotea xna

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 9 месяцев назад +1

      Innalillah wainnalillah rajiun msiba mkubwa 😂😂😂😂😂😂wanafanya Kila kitu Hadi wajukuu wako subhanah allah

  • @patrickmshaughi4155
    @patrickmshaughi4155 Год назад +3

    Subah Allah, hapo Pana kazi Dawah yatakikana kwa nguvu hapo. Yarabbi Mungu awaongowe

  • @vincentlusige9532
    @vincentlusige9532 Год назад +1

    Waislamu wana viereere Sana wachaneni Na yesu wetu wa kiafrika and ata nyinyi hamwoni mmepotezwa na waarabu mliwaacha Mila zenu

    • @AssdfAssd-g3y
      @AssdfAssd-g3y 9 месяцев назад

      Mungu akuongoze katika njia iliyonyooka. Maana mnapotea ss waislamu hatufati kabila la waarabu tunafata dini ya kiislamu alhamdulillah

  • @zakariakiema621
    @zakariakiema621 Год назад +2

    Malaika wakiluyha na yesu 😅😅I enjoy this comedy,,Aminaaa, amina, aminaaa,,,halafu matamshi pia wololo 😄,,alitoka-alidoka, macho-majo nakadhalika

  • @samxx411
    @samxx411 Год назад +4

    Sheikh pole sana inanibidi nikupe pole, najua roho inakuuma ila unastahamili, basi ujue na mitume walipata mitihani hiyo hiyo na wengine walishindwa ila usichoke hiyo ndio kazi tuloachiwa na mitume

  • @nassersalim1283
    @nassersalim1283 Год назад +1

    Mashallah mashallah shekh Ramadhan.huyo yesu na manabii wake ni kiboko Ila inshallah ALLAH AKUONGOZE UZIDI KUWAPA DAWA

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 Год назад +6

    Inna Lilahi Wa Inna Ilaihi Rajiun, Allah awaongoze kwenye haki na waijue haki na Allah awaonyeshe shari waijue shari na waweze kuiepuka Allah Ummah Amiin

  • @omunilihanda2238
    @omunilihanda2238 Год назад

    I like the composure of this yesu and family...., hajakataa chochote n its good juu anasikiza. Hapo ndo tofauti ya waliopotezwa....., thummun bukmun...

  • @aminashabangonzi4020
    @aminashabangonzi4020 Год назад

    🤣🤣🤣 nacheka kama mazur ila hii dunia ina mamb jmn. Shukran sana shekh Rama na wenzak endeleen kuizindua dunia ukwel na uongo utajipambanua kwa wenye akili In Sha Allah

  • @maryamjuma1980
    @maryamjuma1980 Год назад +4

    Allah akulipe kheri sheikh Ramadhan pamoja na walinganiaji wenzio na Allah atufishe tukiwa waisilamu

  • @hitmanabelo3218
    @hitmanabelo3218 Год назад +1

    Uko so clear kwa maono zako,kulingana na hao wengine nikama wanajichanganya

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 Год назад +1

    Subhanaallah Hawa binadamu wanaleta maneno hayaeleweki. Inalilah wanaileh rajuuni

  • @mwanaishaakinyi-l3g
    @mwanaishaakinyi-l3g 9 месяцев назад

    Allahu Akbar.... Ya Allah tuongoze sote tuliopotea ameen yarabi inshaallah

  • @markmurunga5215
    @markmurunga5215 Год назад +4

    Sheikh today u got my subscription

  • @ftoomibrhoom7512
    @ftoomibrhoom7512 Год назад +11

    Mungu awaongoze wasilimu wawe waisilamu Tena kwa kupenda kwao nakujiridhisha kua mungu ni mmoja nahana mshiriki

    • @mushmorrytv
      @mushmorrytv Год назад

      Amini

    • @enockkorir6404
      @enockkorir6404 Год назад +1

      Huyu wife wa yesu ananisinya saaana!!!!!!!

    • @mushmorrytv
      @mushmorrytv Год назад

      @@enockkorir6404 waache ujinga watuambie majina Yao kamili😅😅

  • @abrahmanifarouckissa5662
    @abrahmanifarouckissa5662 Год назад

    Ramadhani Nakupenda kwa ajili ya Allah Mungu akupe elimu zaidi ya zaidi ilamic

  • @aminaadanaminaadan1359
    @aminaadanaminaadan1359 Год назад

    Ramadan Allah akujaze kheyr na umri na afya wa kufikisha da'awa ....watu Hawa wanaelewa bt hawataki watu kujua kwama ni uongo.... Allah awaongoze in shaa Allah

  • @innocentjay5844
    @innocentjay5844 Год назад +2

    Allah akupe afya njema sheikh Ramadan

  • @sakow747
    @sakow747 Год назад +5

    Mashaalah allah protect you keep going

  • @OmaryJuma-vj2on
    @OmaryJuma-vj2on Год назад +6

    Sheikh Ramadhani allah akuhifadhi Inshaallah

  • @amanikhalif9958
    @amanikhalif9958 Год назад +2

    Great job may God bless you sheikh Ramadhan❤

  • @binpodah6003
    @binpodah6003 Год назад +4

    Barakallah brother.

  • @theresiamateru6426
    @theresiamateru6426 Год назад

    Ushindwe kwa jina La Yesu wewe siyo Yesu

  • @gloria_justgloria2013
    @gloria_justgloria2013 Год назад +19

    Wee,,am a Christian and I love your work Ramadhan,,,this is clearly ujinga of the highest level,,,we only know of one God,,muumba wa yote duniani,,,hizi zingine ni sarakasi na vipindi,,,Jesus went 2000 years ago,,huyu mwingine ni "yesu" bandia,,wanawake washaa kua manabii wanaume,,ATI,,Nuhu,,Ariel waah,,Jesu mgani amerejea duniani??watujibu,,this is idolatry period!

    • @stoispapi2380
      @stoispapi2380 Год назад

      Stop the cap.. You are a polytheist

    • @ufafanuzi4382
      @ufafanuzi4382 Год назад +5

      Tofauti yake na wewe ni sawa tu. Same story ya kusema yesu mara mungu mara mtu na yeye anatumia hiyo loop hole. Kama haumuelewi huna roho mtakatifu ! Ukiamini mtu ana uungu iwe yesu wa kweli ama huyu bandia , basi huombi Aliye kuumba na kumuumba yesu

    • @abcfisheries2865
      @abcfisheries2865 Год назад +3

      Hawa wote wamesema wako na 'ROHO', or led by the Holy Spirit.

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 Год назад +2

      Ujinga nuhu duh

    • @virusimbayajunior
      @virusimbayajunior Год назад

      You are not a Christian,, I pity you,, rethink and get saved

  • @hitmanabelo3218
    @hitmanabelo3218 Год назад

    Huyo yesu amechanganikiwa,kazi nzuri sana Mohammed,

  • @stellananyama5724
    @stellananyama5724 Год назад +7

    Sheikh thank you for the good preachings.

  • @THEPROBLEMCHILD_
    @THEPROBLEMCHILD_ Год назад +2

    Mashaalah Allah akujaliye Barak 😊

  • @kawtharalbarwani1337
    @kawtharalbarwani1337 Год назад +6

    Hatari mjukuu wa Mungu tena ama kweli mmepotea kabisa Mwenyezi Mungu awajalie ufahamu

  • @IbrahimJuma-y4q
    @IbrahimJuma-y4q Год назад

    Masha Allah shukran ya sheikh

  • @nakundwamkubwe7823
    @nakundwamkubwe7823 Год назад +9

    Shekhe Ramadhani inakuwaje hucheki wakati Yesu anapo kujibu ? Wallah me nacheka 😅😅alafu nawahurumia 😢. Mwenyezi Mungu awaongoze hawa ndugu zetu Amiin.

  • @nasra8436
    @nasra8436 Год назад +2

    Ramadhani Allah akulipe mema,Ramadhani karimu

  • @issackhussein356
    @issackhussein356 Год назад +4

    Kazi nzuri sana shehe wangu,God bless you and may Allah open the guess of your audience to see the right path InshaAllah!

  • @godfreyoluoch3832
    @godfreyoluoch3832 Год назад +6

    Allah rabila izza the most merciful may he guide you all.

    • @miraclesonke137
      @miraclesonke137 Год назад

      Ajitaarishe n lazima tumsulubishe huyo yesu wa tongereni

  • @paradisomwagala-jh3ki
    @paradisomwagala-jh3ki Год назад +1

    Awa wametoka wapi jamani shetani anahangaika 😅😅😅 mpaka aibu😅😅

  • @musaguga
    @musaguga Год назад +2

    Huyu mpuuzi sana, nach yetu Tanzania haijatokana na tanzia kama alivosema, Tanzania imetokana na muungano WA Tanganyika na Zanzibar, ikapatikana Herufi zenye neno TANZANIA, wawe makini wasipotoshe watu kwakutaja nchi yetu, naipenda TANZANIA yangu.

    • @maryamjuma1980
      @maryamjuma1980 Год назад +1

      Tena ashukuru kazaliwa Kenya angekua anaishi Tanzania huyo angeshashuhulikiwa kitambo azungumze uongo wake tu asiingize nchi yetu

    • @Sandra39823
      @Sandra39823 Год назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂mimi nimecheka tu, cos anajichanganya

  • @mgeninaima9866
    @mgeninaima9866 Год назад +2

    Subhaana Allh mtihani mkubwa sana kwakweli

  • @Quietpost
    @Quietpost Год назад +1

    MashaAllah Ramadhan Allah akuhifadhi

  • @rihanakhatri1101
    @rihanakhatri1101 Год назад

    Subhanallah wababaisha sana lakini Allah yuko nanyie

  • @halimaa9367
    @halimaa9367 Год назад +4

    Mungu akuhifadhi mwalim ramadhan inshalha

  • @janetjay2020
    @janetjay2020 Год назад +4

    This man ,knows in and out of this word of God,salute you bro

  • @catherine7202
    @catherine7202 Год назад

    Yaani yesu amerudi na mke nawatoi wake iwonder😢😢😢😮

  • @issrahayattv1356
    @issrahayattv1356 Год назад

    Yani kenya aki ukikufa n pressure au stress ni we umejitakia mwenyewe,eti nuhu mjenga safina 🤣🤣🤣🤣🤣oh Allah okoa watu wko kabla waangamie,am great full to be Amuslim hii ujinga hautaii ona kw waislamu utapigwa bakora ushangae

  • @MarkMandare-sk6qu
    @MarkMandare-sk6qu Год назад

    Yesu wa tongeleni ana faa kusubiwa na kama ni mashada Niko tayali ulkusapot ❤

  • @saidramadhani9060
    @saidramadhani9060 Год назад

    Ramadhani mwenyezi mungu akusimamie hadi mwisho huyo mzee kishapote pamoja na familia yake niko pamoja na wewe nitazidi kukuombea dua ili mwenyezi mungu asimame na wewe hadi mwisho

  • @salhkasmm558
    @salhkasmm558 Год назад +2

    Ust wetu hongera hawa nivichwa ngumu kabisa.

    • @Sal.0
      @Sal.0 Год назад

      Kama Khoko la Nazi! 😅😅

  • @dorambaga2667
    @dorambaga2667 Год назад

    Yesu Kristo Wa mbinguni pekee ndo twaokolewa nae acha kusambaza uislamu

  • @metrinenyakoe1764
    @metrinenyakoe1764 Год назад

    Sheikh thanks tumejivunza mengi kuhusu biblia 🙏🙏

  • @laylasaid8406
    @laylasaid8406 Год назад +2

    Jamani kazi ipo Allah waoneshe njia

  • @marymukolwe5137
    @marymukolwe5137 Год назад +6

    Mungu anisamehe lkn kuna manabii wauongo na ni yeye,,mpaka mtoto mdogo wakike kaa shapotea mungu amuokoe uyu mtoto,,na mbn ni familia tuu ndio watumishi apo😮😮

  • @zainaal-nabhani9034
    @zainaal-nabhani9034 Год назад

    Hapa nakwambiya kazi ipo daa yani mungu akupe nguvu shehewetu na uzima najop lako inshallah akujaliye husni hatima

  • @momojr9749
    @momojr9749 Год назад

    SubhanAllah hiyi dunia, tuta ona mengi, Allah atu stiri na atu nusuru, awo wame potea, ivi wana amini jesus ndio huyo alio kaa pale

  • @halimahbwelele694
    @halimahbwelele694 Год назад +2

    MashaAllah ustadh,umeuliza swali zuri sana kuhs safina hta yy mwenyew hajui alilingania watu kwa miaka mingapi 😂😂 ila yesu amelipindua

    • @Awatee
      @Awatee Год назад

      😂Astaghfurullah huyu Yesu Mhh sidhani kama yupo sawa kama kachanganyikiwa

  • @yassinali3123
    @yassinali3123 Год назад +5

    MashaAllah my brother napenda unavo enda nao, Allah awaongoze waje kwa dini ya islam

  • @radhiamohaa3723
    @radhiamohaa3723 Год назад +1

    Sasa yesu leo Kawa mluya ,jamani dunia imeisha 😢😢😢😢😢😢😢

  • @alimatambwe3402
    @alimatambwe3402 Год назад +6

    Subkhanallah,Inalilahi wainailahi Rajiuni.

    • @hahs3822
      @hahs3822 Год назад

      Komashetani kwajinala yesu uyo niyesu wawapi ndunia imeisha isha kabisa mwenye nziMugu tuulumie baba 🎉

  • @ahmedmattar4661
    @ahmedmattar4661 Год назад

    Shekhe unajitahidi sana kueneza dini mungu akusimamie inshaala 😊

  • @NassirHassan-zm8cb
    @NassirHassan-zm8cb Год назад +1

    We really love you brother Ramadhan may Allah give you strength and ability to spread the religion of ALLAH i.e islam

  • @khayangajomo7838
    @khayangajomo7838 Год назад

    Mungu atusamehe aki

  • @fadumabdullahi217
    @fadumabdullahi217 Год назад

    Masha Allah sheikh weto

  • @guenterernst5481
    @guenterernst5481 Год назад +2

    Wanajiona wanajua sana

  • @hassadube225
    @hassadube225 Год назад +1

    Subahaniallah upotove tu

  • @fauziajoseph643
    @fauziajoseph643 Год назад

    Jesu alikuwa anaingia kila mahali akiwahmbili neno la mungu ,i we nikwa musiti amwa kwa kanisa.

  • @vitelinenyambura5650
    @vitelinenyambura5650 Год назад

    Ni wito was Mungu ako nayo, but hakua na mfafanusi akamfafanulia

  • @ambbabu4122
    @ambbabu4122 Год назад +2

    Innalillahi wa innaillahi rajjiun ukweli huu n msiba mkubwa sana haki, mwenyezi mungu awaongoze wallahy,
    Sababu cjui huyu mzee aliwafanyaje hawa watu, yani hakuna hata mwenye nafuu haki yani woote akili zao zimelala

  • @yahyaadan3259
    @yahyaadan3259 Год назад

    SubhanaAllah

  • @FASSALEHALIB
    @FASSALEHALIB 8 месяцев назад

    MSIBA.
    INNA LILLAHI WA INNA ILAIHI RAAJI'UUN.

  • @khayangajomo7838
    @khayangajomo7838 Год назад

    Leo nimecheka sana

  • @SaidiHassani-vr3dd
    @SaidiHassani-vr3dd 8 месяцев назад

    Mungu kujaalie nguvu ya kuwaslimisha kaka

  • @victoryndugutse296
    @victoryndugutse296 Год назад

    Mungu akumbariki Ramadan kwakuwa hawawamepotea namungu awasamehe awafugue awawokoe

  • @ruthkamau4489
    @ruthkamau4489 Год назад +4

    Ati mpaka kuna grandchild wa mungu 😂😂😂😂mm nitaisha nikucheka...halafu nafurahia vile shekh anauliza maswali

  • @abdallahsaid1968
    @abdallahsaid1968 Год назад +1

    Allah aendelee kukutunza naakupe umri mlefu wenye manufaa

  • @isaiahyego
    @isaiahyego Год назад

    Umeolewa amina siuseme tw nimeolewa

  • @Catherine-mh8sw
    @Catherine-mh8sw Год назад +1

    Aminaa Aminaaa Aminaaa Aminaaaa

  • @ramoomar3699
    @ramoomar3699 Год назад +2

    My brother in faith, you're really doing a Great job, and honestly speaking, is not an easier job as people think it's, please! Remember that obstacles are always there, don't give up, and Allah will always find easier way for you to deliver His messages, and He will always shower you with His blessings whenever you step. Imagine someone to claim that He's Jesus the Prophet of Allah who was given a book of Injili, and he took the same book to read for his fellowship that Jesus said this while he claims that he's the one.

  • @mwanamtotosaid702
    @mwanamtotosaid702 Год назад +2

    Masha Allah

  • @aishahazary4097
    @aishahazary4097 Год назад +1

    Ramadhan leo umemkamata sana Yesu mpaka anaanza kuwa na wasiwasi na wafuasi wake.Hawajiamini wanatafakar maandiko

  • @ZainabMamy-n5r
    @ZainabMamy-n5r 9 месяцев назад

    Maajabu

  • @yusufmwangichannel6692
    @yusufmwangichannel6692 Год назад

    Yani wanajichekea kumaanisha kuamini kwao ni upuuzi na ujinga ila Allah atawaongoza katika haki na waweze kuifuata Amiin Thumma Amiin

  • @shamsiyasalim6866
    @shamsiyasalim6866 Год назад

    Munadaganyana watu kwa akijili ya njaa zenu nyinyi hamujui kitu chochote mumepotea mungu awasamehe hamujui mutendalo tubuni dhambi zenu kabla hamajafa

  • @ummabubakar5319
    @ummabubakar5319 Год назад

    Islam iz da solutions

  • @HARUN_MOHA
    @HARUN_MOHA Год назад +1

    Ndugu nakupogeza Allah atakulipa

  • @saimongilala8938
    @saimongilala8938 Год назад

    Saf sana shee
    Uko vizuli

  • @stevenomondi3263
    @stevenomondi3263 Год назад +2

    Lakini binti wa yesu ni kienyeji safi😊

  • @eunicemoraa9293
    @eunicemoraa9293 Год назад +1

    Heeewe yesu tusamee mana watu wako wamepotea na kujifanya awajui na wanajua kuwa pudu pinadamu Ramadan sidi kulisa maswali adi hao watu wajitambue kuwa wamepotea wapadilike

  • @dorcanyarangi4814
    @dorcanyarangi4814 Год назад

    Hapo kwa roho ni wazimu wish Hosea .9:7

  • @naimaabuualii578
    @naimaabuualii578 Год назад +1

    Niulize ivi lini hizi subscribers zitaongezeka mwaka gani jamani igekua ni nyimbo za masitar wakubwa mugekua mushafikisha million subscribers na viws ni nyingi ila mimi nawakumbusha alie kua anapenda hii chanali halafu hasabscab mungu anamuona

  • @allywilson4155
    @allywilson4155 Год назад +3

    Hao watu wakachunguzwe akili
    Hapo sawa mentally..

  • @azinahramadhan8326
    @azinahramadhan8326 Год назад +1

    😂😂😂😂 Malaika Nuhu mjenga safina

  • @vitelinenyambura5650
    @vitelinenyambura5650 Год назад

    Huyo Ramadhani anasema ,ukiingia kua muisilamu usimshirikishe Mungu, kwani ukiwa mwislimu unamshirikisha Nani au shetani

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 Год назад

    Hilo ndiyo tatizo la wakristo leo Mungu anamtoto kesho MUNGU anawajukuu huo ndiyo ujinga mkubwa sana

  • @Lillian-qt6gi
    @Lillian-qt6gi 4 месяца назад

    Kweli kabisa hiyo ni njaa inayomsumbua huyo mzee kujiita Yesu. Anatafuta kiki ili naye awe mwanamziki au muigizaji 😂😂😂

  • @salmaali6605
    @salmaali6605 Год назад

    Allah ongoza watu wako wasipoteye mungu onesha miujiza watu wako.huyo yesu nipubafu wa togereni

  • @pungopungo411
    @pungopungo411 Год назад

    Mnayumbishwa na mpumbavu wakati Yesu anaingia sinagogi uisilamu haukuepo .sinagogi. au msikiti ulikua makutaniko wawayahudi sasa kwaakilizenu Muhammed alikuako kwenye hilo sinagogi