Chadema iko vzr sana ina watu waliochunzwa na wako na maono makubwa wanastahili kuliongoza taifa hili tunawachelesha kwa sasa chadema haina mbadala. Mh Kigaila hongera
Ccm bila ya wizi wa kura awawezi kurudi madarakani, Asa kipindi cha uyu Mama watu mitaani wameichoka Serikali ya Ccm ila inatawala kwa vitisho kupitia chawa wao jeshi la police
Polepole alishasema nchi Ina wahuni wengi kuliko wanaoitakia mema,hapo zinapigwa hela shughuli inaisha na hakuna mabadiliko ya maana utakayoyaona,so sad!!
AFADHALI WANGEKUWA MABEPARI TUNGEKUWA TUNAAMBULIA HATA KODI YAO. NCHI INAONGOZWA NA WANYANG'ANYI!!! ( UBADHIRIFU, NA UWEZI WA KURA NI UNYANG'ANYI MBAYA KULIKO UNYANG'ANYI WA PANYA ROAD!!?)
Meza kuu hamtakiwi kuonyesha kabisa mko upande gani lakini kwa jinsi ninavyo ona kuna upande mnaegemea. Hii siyo sawa kama mnataka kuweka usawa, kutatua tatizo na kufanikisha malengo yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla hamtakiwi kuonyesha hata chembe ya ukereketwa wa upande wowote vinginevyo hamfai kuwepo hapo meza kuu.Mnao ongea nao siyo mazuzu mkafikiri nyie ndiyo bora NO hiyo ni nafasi tu
Nilibaitika kukutana na kigaila mwaka 2015 kipindi kile Cha uchaguzi, na sehem niliyokutana nae ilikuwa setro, pale kituo kikuu Cha polisi dodoma,. Ni moja Kati ya wazee wenye maono Makubwa sana pia Ni m2 mwenye kujali Sana, ongera Sana mzee
Sasa mmeitisha cha nini icho kikao chenu hovyooo mtu anatupa elimu nzuri alafu mmetoa dk chache ili mkiskia mtu anagonga msumali kwenye kidonda muanze basi dk zako zimeisha yaan nyinyi mmetuona mazuzu sana aisee ila kila kitu kina wakati wake
Umenena vyema Benson kigaila ubarikiwe japo sidhani kuna dhamira ya dhati kulingana na mwenendo mzima wa mchakato mzima wa marekebisho ya muswada wa sheria ya uchaguzi ila kwa presentation yako ujumbe umewafikia CCM ambao hiki chama wameshakifanya mali yao maana hawapo tayari kubadilika wala kubadilishana uzoefu na vyama vingine wakati nchi hii ni ya nyama vingi but its the matter of time Muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi
😂😂😂 kigaila kawapiga na kitu kizito mmno, huyo jamaa anae moderate mjadala ndio nani?.. ni mtu wa hovyo sana, ukisha muona mtu mzima ana vaa mapete mengi mkononi basi ujue ana matatizo ya afya ya akili. Kwa umri wake Ina stahabisha sana kumona na mapete yke hayo, ajitafakari.
Mimi kwa maoni yangu tuachane na mijadala badala yake tuchukuwe kopi ya Katiba ya nchi moja tunayoamini ina Katiba safi halafu tutowe yasiyotufaa na tuingize mazuri ya kwetu. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Zanzibar tayari siku nyingi imeichoka siku nyingi kukubali mkataba mpya HAIWEZEKANI.
Hatuna haja ya ku copy, tulishafanya kazi ya kuitengeneza katiba. Rssimu ipo inaitwa ya Warioba; na ni ya WanaNchi, kwasababu alizunguka Nchi nzima kuongea na wanaNchi
@davidkarani9811 Rasimu Jaji Warioba HAIKUBALIKI ilifanya kosa moja kubwa sana nalo ni KULAZIMISHA maoni yanayoukubali Muungano tume ilitakiwa kuwaacha watu huru ili kwanza tujuwe Muungano unakubalika au la kwa sababu kama haukubaliki kuzungumzia Katiba Mpya ni kujisumbua maana msingi wa Katiba ni Muungano. Waliotoa maoni kwamba hawautaki Muungano waliwekwa jela bila kesi bila Mahakama miaka 9 ni Jumuiya ya UAMSHO kule Zanzibar. Hivyo kwa utafiti usio rasmi Muungano Zanzibar ambayo ni 50% shareholder wa Tanzania HAWATAKI Muungano, watakubali vipi Katiba Mpya (Mkataba Mpya) wakati sababu zao za kuukataa Muungano hazitokani na Katiba iliyopo sana sana kutokuheshimiwa na kutekelezwa kwa Katiba mfano Ibara ya 133 - 144 imezungumzia masuala ya fedha ikiwemo misaada, mikopo nk pia mfuko wa pamoja yote hayo HAYAJATEKELEZWA na fedha ndio uchumi. Kuna mkawanyo wa Watumishi Kikatiba haiheshimiwi vizuri Zanzibar ilitakiwa ipate 4% kwenye kila aspect ya Muungano. Sasa kama Katiba iliyopo HAIHESHIMIWI wala HAITEKELEZWI hata hiyo mpya itakuwa na maana gani. Mimi naona tuzungumzie tunavunjaje Muungano, ikiwa Tanganyika ambayo ndio imebeba jina Tanzania nayo inaona inaonewa sijuwi na nani tumefika pabaya ni bora tu tutengane. Hatuwezi kupata Katiba Mpya nzuri kuliko hii iliyopo na ndio sababu kila anaejadili anashindwa kutuambia iwe je. Mfano issue ni Tume ya Uchaguzi, kwa Katiba ya sasa Ibara ya 74 (1) Mwenyekiti awe ni mtu mwenye sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa kwa kipindi cha miaka 15, hii maana yake hakupewa Ujaji na Rais aliyepo madarakani isitoshe ni Jaji ambae maamuzi yake yanaweza kutumika kutoa maamuzi nchi za Commonwealth ikiwemo Uingereza ikiwa bado tunahadili yadilifu wa mtu huyo tutampata mtu wa aina gani nyingine. Binafsi nawapongeza sana watiotengeneza Katiba iliyopo wamefanya kazi nzuri sana.
Absolutely wapo kimasilahi na kujipendekeza sio kesho nzuri ya watanzania wote ndio maana hakuna mabadiliko ya dhati wana kazi ya kula kodi za wananchi lkn hakuna jambo wanaloanzisha lifike mwisho huo ni mpango mkakati wa kuendelea kutafuna kodi za wananchi alafu waendelee kuteseka
Huyu kigaila ndo alisema wakati ule aliwataazalisha ccm namnukuu: MMETUCHAKACHUWA KWENYE SIKALI ZA MITAA NA MKITUCHAKACHUWA KWENYE UCHAGUZI MKUU TUTAWAINAMIA HATUTO KUBALI, mwisho wa kunukuu manenoyake msiyapuuze
Anazitoa wapi?? Mimi Huwa nawaomba wananchi wwenye Upeo wanisaidie KUSHANGAA SERIKALI ndiyo yenye KUTOA FEDHA siyo raisi. Anayekatwa tozo ni raia, Paye ni wafanyakazi. Ninapomsikia Ama afisa ama Dr ama Professor anasema namshukuru rais ametoa pesa!!!!nashangaa, kazipata wapi!! Huku KUJIKOMBA kupungue kama siyo KWISHA.
Kigaila nataka utambuwe kwamba Raisi ni mungu wa watu wote wasio ishi kwa kufanya mapenzi ya Mungu halisi.Ndiyo maana wote wasio mtegemea Mungu halisi wameweka matumaini yao kwa Raisi
Msimpe lawama mama,fateni msingi wa haki na sheria,magu katuachia mikopo ,na majivuno,mnataka nini....,kumbukeni kipindi hicho mlikua hamuingei tulieni ,...
@aliyageorge6794 Katiba iliyopo imezuwia nini? Tutofautishe kutokuheshimu/kutokutekelezwa na Katiba mbaya. Hata mpya isipoheshimiwa ni kazi bure. Wapinzani waeneze sera, falsafa na itikadi za vyama vyao waachane na matukio na kutegemea huruma ya CCM. Hivi sasa wananchi hatuoni sera, falsafa na itikadi za vyama hivyo. Uchaguzi ni wapigakura wa kutosha, ukiwa nao hakuna wa kukuzuwia. Kule Pemba Zanzibar tokea 1995 hadi leo kwa Katiba na Tume hiyo hiyo CCM hawana nafasi.
Watz.msitegemee miujiza toka kwa chadema.Wanasiasa ni hao hao.Ahadi za Uongo siku zote.Wajinga ndio waliwao😮.Chadema ndio kituko na wahuni,wasaliti akiwemo Lema na Lissu.Wa maa n a ni Mbowe peke yake.Wengine wote wezi ,bila kusahau Chagadema😢😢.Hawana lolote hao.Madaraka tu ba hela ya bure ya Ubunge na marupurupu yake😢
Mbona Swala la Mwenyekiti linawasumbuwa sana? Hivi kweli mnayo dhamira njema ninyi? Unakumbuka Baba wa Taifa,baada ya kuanzisha TANU alikuwa mwenyekiti wake kwa miaka mingapi! Unafahamu Odinga pale Kenya amekuwa mwenyekiti wa Chama kwa miaka mingapi? Kwa kifupi,Vyama vya Siasa ambavyo havijawahi kushika dola na kujiimarisha sawasawa havibadilishi Viongozi wa juu ,hasa wale walioshiriki kuvianzisha. Kiulize:Hivi CHADEMA ikepewa Waitara au Mkumbo ( wote waliwahi kuwa viongozi CHADEMA), kuwa Mwenyekiti CHADEMA ingekuwepo leo?? Za kuambiwa changanya na zakwako.
Kaka watu wanazungumza mambo ya Taifa, tume ya uchanguzi ni ya Taifa, katiba mpya ni ya Taifa sasa je chadema ni ya taifa ujinga bado tunao ndio maana viongozi wanatuburuza
@@shafee9128 Kaka naweza kuwa mjinga kwa kuhoji ila lengo langu ni kwamba wanasia wa Afrika asilia 98 ni wabinafsi na hawana huruma na wewe na mimi wanachojali ni familia zao na rafiki zao. Wallah nakuapia tatizo sio katiba mpya wala chakavu bali roho mbaya ndio zimewaja. Kenya wanakatiba mpya tena very Update sasa tazama uchaguzi ukisogea jinsi mambo yanavyo kwenda mrama vifo, unyankanyi na ubakaji.
Kama kwenu wanaume wanabebaga mimba basi kwetu hawako hivyo kabebe mwenyewe mwenye uwezo wakufanya hivyo unalaana kwanza wewe naona unawaza ushetani tu naona hata dini yako imeshindwa kukusaidia
God bless you
Asante sanaaa Kigaila, mchango mzuri sana.
Chadema wanaakili nyingi sana
Asante Baba kwa kutema madini
I wonder where is mbowe...
Huyu ndio anafaa kupigania chadema akiongozwa na tundu lissu.....🎉👍🙌🇹🇿
Yupo sahihi
Baba kigaila maashallah tabarrak allah Allah akutuze umeongea point ❤❤
Kigaila ameupiga mwingi ila wasimamizi wote wamekwapua mpira na kuuweka kwapani kwa sababu wanaogopa
Umeeleza vzr sana hongera sana
Sana, no democracy.
Mwenye akili anagundua mapema..
Wale mambumbu ndio yamekaa kama mazombi...😂
@aliyageorge6794 kabisa
Bravo bravo bwana Masalamengi Kigaila Benson. Uk😅 vizuri saaana
Chadema iko vzr sana ina watu waliochunzwa na wako na maono makubwa wanastahili kuliongoza taifa hili tunawachelesha kwa sasa chadema haina mbadala. Mh Kigaila hongera
UKO SAHIHI SANA, CHADEMA IKIPEWA NCHI TANZANIA ITASONGA MBELE AJABU.
Kigaila safi sana
Mchango mzuri sana Mhe. Kigaila
Kweli kabisa ✌️✌️✌️✌️
Safi sana Baba nimekukubal sanaaa una Akili nyingi mnoo
Safi, sanaaaa
Mawazo ya mtanzania huyu ni sahihi sana
Mh kigaila uko vzr mungu akubaliki
Chama kikuu Cha upinzani Chadema tunawategemea hili kuikosea SERIKALI
One Day yes ❤❤❤❤❤❤
Safi sana 🤝🤝
Kigaila ndie alietowa mchango kwa niaba ya wananchi, kigaila hongera, ,chadema oyee
Kigaila umepiga angle muhimu tena Kwa muda mfupi mnoo 🙏🙏🙏
Akili kubwa
Ccm bila ya wizi wa kura awawezi kurudi madarakani, Asa kipindi cha uyu Mama watu mitaani wameichoka Serikali ya Ccm ila inatawala kwa vitisho kupitia chawa wao jeshi la police
❤❤❤🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤
😂😂😂😂😂 mzeeee umeongea kisomi.
❤
Polepole alishasema nchi Ina wahuni wengi kuliko wanaoitakia mema,hapo zinapigwa hela shughuli inaisha na hakuna mabadiliko ya maana utakayoyaona,so sad!!
Aha nimekuelewa mze
Chadema Ina vichwa vyenye akili sana yaan
True hii
Kigaila hongera ndo ulio toa maoni mzzur ambayo yanaweza kusaidia wananchi wake yan nchi hii inaongozwa na mabepari
AFADHALI WANGEKUWA MABEPARI TUNGEKUWA TUNAAMBULIA HATA KODI YAO. NCHI INAONGOZWA NA WANYANG'ANYI!!! ( UBADHIRIFU, NA UWEZI WA KURA NI UNYANG'ANYI MBAYA KULIKO UNYANG'ANYI WA PANYA ROAD!!?)
Masalamakali kama masamalamakali Kigaila shikamoo brother upewe maua yako
Meza kuu hamtakiwi kuonyesha kabisa mko upande gani lakini kwa jinsi ninavyo ona kuna upande mnaegemea. Hii siyo sawa kama mnataka kuweka usawa, kutatua tatizo na kufanikisha malengo yenye tija kwa taifa na wananchi kwa ujumla hamtakiwi kuonyesha hata chembe ya ukereketwa wa upande wowote vinginevyo hamfai kuwepo hapo meza kuu.Mnao ongea nao siyo mazuzu mkafikiri nyie ndiyo bora NO hiyo ni nafasi tu
Mihemko ni shda yaaaani hadi unasahau kuitambulisha mmmh hongera
Nilibaitika kukutana na kigaila mwaka 2015 kipindi kile Cha uchaguzi, na sehem niliyokutana nae ilikuwa setro, pale kituo kikuu Cha polisi dodoma,. Ni moja Kati ya wazee wenye maono Makubwa sana pia Ni m2 mwenye kujali Sana, ongera Sana mzee
2025 Mungu simama.🙏
Mwenyezi mungu atatusimamia tukijipigania...🇹🇿👍
Masala makali, maana yake akili kali sana, vivaa chadema
Sasa mmeitisha cha nini icho kikao chenu hovyooo mtu anatupa elimu nzuri alafu mmetoa dk chache ili mkiskia mtu anagonga msumali kwenye kidonda muanze basi dk zako zimeisha yaan nyinyi mmetuona mazuzu sana aisee ila kila kitu kina wakati wake
👊👊👊👊👊👊✌️📢
Hapo mandondocha wanatoa macho tuu . Hayaelewi . Sikilizeni point
TUNATAKA KATIBA YA MZEE WARIOBA! HII NCHI NI YETU SOTE!
Katiba ya Warioba unaijuwa au unashabikishwa? Wazanzibar HATUITAKI!
Hiyo ndo Chadema Aliyoisema Mstaafu Msuya Kwamba wako deep
Watu wakianza kufunga ukweli wananyamazishwa...
😔
Umeonae
Umenena vyema Benson kigaila ubarikiwe japo sidhani kuna dhamira ya dhati kulingana na mwenendo mzima wa mchakato mzima wa marekebisho ya muswada wa sheria ya uchaguzi ila kwa presentation yako ujumbe umewafikia CCM ambao hiki chama wameshakifanya mali yao maana hawapo tayari kubadilika wala kubadilishana uzoefu na vyama vingine wakati nchi hii ni ya nyama vingi but its the matter of time Muda ukifika kila kitu kitakuwa wazi
Hawa jamaa hawana dhamiri njema kabisa tume itoke mikononi kwa wanachi hapo sawa yeye.raisi atoe uhuru tuu
Wananchi wepi au vipi elezea kwa mfano, huyo Rais na Wajumbe wa Tume ni wananchi pia.
Nimjinga tu ndo atakaeamini kuwa Tanzania Kuna uchaghuzi
Pigianeni kikokotoo kipya hakifai Kwa watumishi wa umma ni dhambi kubwa ya unyang'anyi huu 😢
Ivi wazee. Ndio Wana jadili swala la katiba vijana Amna tutafika afu vija ndo kesho waje kuitumia wao mda huo awapo Atari Sana
😂😂😂 kigaila kawapiga na kitu kizito mmno, huyo jamaa anae moderate mjadala ndio nani?.. ni mtu wa hovyo sana, ukisha muona mtu mzima ana vaa mapete mengi mkononi basi ujue ana matatizo ya afya ya akili. Kwa umri wake Ina stahabisha sana kumona na mapete yke hayo, ajitafakari.
Mimi kwa maoni yangu tuachane na mijadala badala yake tuchukuwe kopi ya Katiba ya nchi moja tunayoamini ina Katiba safi halafu tutowe yasiyotufaa na tuingize mazuri ya kwetu. Tanzania ni Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ambapo Zanzibar tayari siku nyingi imeichoka siku nyingi kukubali mkataba mpya HAIWEZEKANI.
Hatuna haja ya ku copy, tulishafanya kazi ya kuitengeneza katiba. Rssimu ipo inaitwa ya Warioba; na ni ya WanaNchi, kwasababu alizunguka Nchi nzima kuongea na wanaNchi
@davidkarani9811 Rasimu Jaji Warioba HAIKUBALIKI ilifanya kosa moja kubwa sana nalo ni KULAZIMISHA maoni yanayoukubali Muungano tume ilitakiwa kuwaacha watu huru ili kwanza tujuwe Muungano unakubalika au la kwa sababu kama haukubaliki kuzungumzia Katiba Mpya ni kujisumbua maana msingi wa Katiba ni Muungano. Waliotoa maoni kwamba hawautaki Muungano waliwekwa jela bila kesi bila Mahakama miaka 9 ni Jumuiya ya UAMSHO kule Zanzibar. Hivyo kwa utafiti usio rasmi Muungano Zanzibar ambayo ni 50% shareholder wa Tanzania HAWATAKI Muungano, watakubali vipi Katiba Mpya (Mkataba Mpya) wakati sababu zao za kuukataa Muungano hazitokani na Katiba iliyopo sana sana kutokuheshimiwa na kutekelezwa kwa Katiba mfano Ibara ya 133 - 144 imezungumzia masuala ya fedha ikiwemo misaada, mikopo nk pia mfuko wa pamoja yote hayo HAYAJATEKELEZWA na fedha ndio uchumi. Kuna mkawanyo wa Watumishi Kikatiba haiheshimiwi vizuri Zanzibar ilitakiwa ipate 4% kwenye kila aspect ya Muungano. Sasa kama Katiba iliyopo HAIHESHIMIWI wala HAITEKELEZWI hata hiyo mpya itakuwa na maana gani. Mimi naona tuzungumzie tunavunjaje Muungano, ikiwa Tanganyika ambayo ndio imebeba jina Tanzania nayo inaona inaonewa sijuwi na nani tumefika pabaya ni bora tu tutengane. Hatuwezi kupata Katiba Mpya nzuri kuliko hii iliyopo na ndio sababu kila anaejadili anashindwa kutuambia iwe je. Mfano issue ni Tume ya Uchaguzi, kwa Katiba ya sasa Ibara ya 74 (1) Mwenyekiti awe ni mtu mwenye sifa ya kuwa Jaji wa Mahakama Kuu au Mahakama ya Rufaa kwa kipindi cha miaka 15, hii maana yake hakupewa Ujaji na Rais aliyepo madarakani isitoshe ni Jaji ambae maamuzi yake yanaweza kutumika kutoa maamuzi nchi za Commonwealth ikiwemo Uingereza ikiwa bado tunahadili yadilifu wa mtu huyo tutampata mtu wa aina gani nyingine. Binafsi nawapongeza sana watiotengeneza Katiba iliyopo wamefanya kazi nzuri sana.
Full mjadala naipatia wapi?
Nasikia Samia anampango wa kuhama CCM na kujiunga CHADEMA
Nyinyi mamodereta sura zenu zinaonyesha unafiki wa kujipendekeza.
Absolutely wapo kimasilahi na kujipendekeza sio kesho nzuri ya watanzania wote ndio maana hakuna mabadiliko ya dhati wana kazi ya kula kodi za wananchi lkn hakuna jambo wanaloanzisha lifike mwisho huo ni mpango mkakati wa kuendelea kutafuna kodi za wananchi alafu waendelee kuteseka
Wambie kigaila
Huyu kigaila ndo alisema wakati ule aliwataazalisha ccm namnukuu: MMETUCHAKACHUWA KWENYE SIKALI ZA MITAA NA MKITUCHAKACHUWA KWENYE UCHAGUZI MKUU TUTAWAINAMIA HATUTO KUBALI, mwisho wa kunukuu manenoyake msiyapuuze
Misukule ya ccm inabeza haijitambui
Kigaila umenena,atakayepinga au kukubeza analake jambo.
Sana chadema wanaangushwa na mbowe mlamba asali...
Kwani huo mjadala ni Chadematuu?
Upo ule umoja wa vyama kumi na tatu haumuelewi kigaila
Mim ata huwa nawashangaa sana watu wansema wanamshukuru rais sijui ametoa hela za kujenga bara bara nk.. ivi haswa wabunge..
Anazitoa wapi??
Mimi Huwa nawaomba wananchi wwenye Upeo wanisaidie KUSHANGAA
SERIKALI ndiyo yenye KUTOA FEDHA siyo raisi.
Anayekatwa tozo ni raia, Paye ni wafanyakazi.
Ninapomsikia Ama afisa ama Dr ama Professor anasema namshukuru rais ametoa pesa!!!!nashangaa, kazipata wapi!!
Huku KUJIKOMBA kupungue kama siyo KWISHA.
Ukosahihi Kigaila
Kigaila nataka utambuwe kwamba Raisi ni mungu wa watu wote wasio ishi kwa kufanya mapenzi ya Mungu halisi.Ndiyo maana wote wasio mtegemea Mungu halisi wameweka matumaini yao kwa Raisi
Wewe unajielewa kweli? Binadamu umfananishe na mungu umerogwa au huna utimamu wa akili?
000000!😅
Rais ni mungu wako weee pole
Raisi ni mungu?
Hujielew labda ni mungu wako
Mkiwa pamoja tume inapatika kitiba impya hii inchi tunanaka katiba
Msimpe lawama mama,fateni msingi wa haki na sheria,magu katuachia mikopo ,na majivuno,mnataka nini....,kumbukeni kipindi hicho mlikua hamuingei tulieni ,...
Hapo ni wapi alipolaumiwa mama? Kwasababu nyuma walikuwa hawaongei haina maana wanapopata nafasi ya kuongea wasikosoe.
Mama Samia tunataka katiba mpya na tume huru vinginevyo utaleta shida
Amekatilia katiba mpya hataki kutoa katiba mpya
Wanajua wakitoa katiba mpya wamekwisha...😂
@aliyageorge6794 Katiba iliyopo imezuwia nini? Tutofautishe kutokuheshimu/kutokutekelezwa na Katiba mbaya. Hata mpya isipoheshimiwa ni kazi bure. Wapinzani waeneze sera, falsafa na itikadi za vyama vyao waachane na matukio na kutegemea huruma ya CCM. Hivi sasa wananchi hatuoni sera, falsafa na itikadi za vyama hivyo. Uchaguzi ni wapigakura wa kutosha, ukiwa nao hakuna wa kukuzuwia. Kule Pemba Zanzibar tokea 1995 hadi leo kwa Katiba na Tume hiyo hiyo CCM hawana nafasi.
Ili jamaa nalielewaga sana 😂😂
Watz.msitegemee miujiza toka kwa chadema.Wanasiasa ni hao hao.Ahadi za Uongo siku zote.Wajinga ndio waliwao😮.Chadema ndio kituko na wahuni,wasaliti akiwemo Lema na Lissu.Wa maa n a ni Mbowe peke yake.Wengine wote wezi ,bila kusahau Chagadema😢😢.Hawana lolote hao.Madaraka tu ba hela ya bure ya Ubunge na marupurupu yake😢
Hovyo kabisa
Raisi sio mungu acha ujinga liccm
Hivi msaafu unasema akuna mkamilifu polepole anasema wauni bado wapo ccm na vyama vya upinzani wauni hawamo
Maneno mazuri sana na hoja za busara kabisa Mze ila sasa ndani Ya Chadema kwenye Vipi kuhusu mwenye kiti???
Mbona Swala la Mwenyekiti linawasumbuwa sana? Hivi kweli mnayo dhamira njema ninyi?
Unakumbuka Baba wa Taifa,baada ya kuanzisha TANU alikuwa mwenyekiti wake kwa miaka mingapi!
Unafahamu Odinga pale Kenya amekuwa mwenyekiti wa Chama kwa miaka mingapi?
Kwa kifupi,Vyama vya Siasa ambavyo havijawahi kushika dola na kujiimarisha sawasawa havibadilishi Viongozi wa juu ,hasa wale walioshiriki kuvianzisha.
Kiulize:Hivi CHADEMA ikepewa Waitara au Mkumbo ( wote waliwahi kuwa viongozi CHADEMA), kuwa Mwenyekiti CHADEMA ingekuwepo leo??
Za kuambiwa changanya na zakwako.
Kaka watu wanazungumza mambo ya Taifa, tume ya uchanguzi ni ya Taifa, katiba mpya ni ya Taifa sasa je chadema ni ya taifa ujinga bado tunao ndio maana viongozi wanatuburuza
Kaka Kama nyumba nzima inavuja unaanza na Dirisha Kinachojadiliwa hapo ni maslahi ya Taifa sio chama chochote
@@shafee9128
Kaka naweza kuwa mjinga kwa kuhoji ila lengo langu ni kwamba wanasia wa Afrika asilia 98 ni wabinafsi na hawana huruma na wewe na mimi wanachojali ni familia zao na rafiki zao.
Wallah nakuapia tatizo sio katiba mpya wala chakavu bali roho mbaya ndio zimewaja.
Kenya wanakatiba mpya tena very Update sasa tazama uchaguzi ukisogea jinsi mambo yanavyo kwenda mrama vifo, unyankanyi na ubakaji.
@@bsmonline8482
Asante ila subiri wapewe nchi na wao utakuja kunikumbuka.
Sioni lolote jipya litakalotokea kwenchi hii watawala wana lao jambo hii yote geresha toto
Kila la heri mama Samia suluuu
Hiki kichwa haswa.
Vp kigaila umekunywa ngap leo😂😂😂😂
Mlevi wewe tu.
@said Ally kweli kabisa huyu bonge la shoga ccm oyeeeee chapa kazi ccm
Ushoga wake upo wapi? Wacha upumbavu
Chawa wewe wa ccm.
Ugumu wakatiba nn , hasa
WANAOFAA KUTOA MAONI NIKAMA HUYU SIO WA LICCM HAWANA MAPYA
Kuikosoa na Si kuikosea
Ccm wanajifanya wanajua wakati pumba tu
Msomi
Tuko na wewe mama mpaka 2030
Fala tu we chawa.
@jeremiha mwalukosiya kabebe mimba ya mwenyekiti mbowe kama una ubooo
Kama kwenu wanaume wanabebaga mimba basi kwetu hawako hivyo kabebe mwenyewe mwenye uwezo wakufanya hivyo unalaana kwanza wewe naona unawaza ushetani tu naona hata dini yako imeshindwa kukusaidia
Ukiona MTU anaitwa PUNDA MAJIBU YAKE UNATEGEMEA YATAKUA VIPI? KILA MTANZANIA ANAJUWA CCM HAWAITAKI KATIBA MPYA, ,WAKAIKUBALI TU WAMEKWISHA
@@Yussuph-r2c 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
ashem on you
Shoga tu wewe.
Huyu mlevi tu hana lolote
fala ww
We sidhani kama uko sawasawa na nyie ndio mnaotufanya watz tuonekane wehu wehu ni wachache tuu kama ww
Mchumia tumbo kigaila Benson mbwa koko