Maaskofu TEC Mbele ya kamati ya BUNGE/Bila Uoga wawasilisha maoni kuhusu Muswada wa sheria uchaguzi

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 66

  • @ApolinaryBiyengo
    @ApolinaryBiyengo Год назад

    Hata watawala wasipo wapendwa Mwenyezi MUNGU anawapenda,Siyo wale wajipendekezao heti hawakulelewa kuipinga,katika ukweli semeni msiogope Mungu Yuko nanyi.

  • @stephanomwile9920
    @stephanomwile9920 Год назад +1

    Hongereni mababa Kwa maoni yenu mungu azid kuwabariki tunaomba maoni yafanyiwe kazi Ili amani idumu

  • @MagrethMwakalasya
    @MagrethMwakalasya Год назад

    Mungu atusaidie kwakweli peke yetu hatuwezi hongera sana baba

  • @felixpilly8564
    @felixpilly8564 Год назад

    Hui iko vizuri imechambuliwa na wasomi we theologia asanteni Maaskofu TEC

  • @venancshirima9103
    @venancshirima9103 Год назад

    Asante baba askofu kwakutetea taifa let mung akubariki saaaaaana

  • @isaacbm4932
    @isaacbm4932 Год назад

    Maoni mazuri👍

  • @kisakanzotah5861
    @kisakanzotah5861 Год назад

    Chuma na udongo.nyakati za mwisho hizi.Danieli7

  • @shiobaraka8544
    @shiobaraka8544 Год назад +1

    asantee baba Askofuu

  • @godfreyLaizer-s8r
    @godfreyLaizer-s8r Год назад

    Maaskofu Mungu awabariki kwa kuona nchi inakoelekea sio pazuri. Maoni yenu ni muhimu sana kwa sababu mnawakilisha mamilioni ya wananchi.

  • @ulayaz
    @ulayaz Год назад

    Roho mtakatifu awaingie katika nafsi zenu ili tabia za kishoga zikemewe vikali kuliko hata katiba maana hasira za mungu kwa hili naogopa sana. Mungu atunusuru

  • @DAVIDJOSEPH-u8r
    @DAVIDJOSEPH-u8r Год назад

    Hongera sana sana sana. Kwa harakati hizo

  • @patrinraura1397
    @patrinraura1397 Год назад +1

    ASANTE sana VIONGOZI wakiroho kwa kujitokeza kwenye kamati ya Bunge Nyie ndiyo jicho na Roho ya haki kwa Umma Mungu awe nanyi Daima

  • @neemasiwakwi6528
    @neemasiwakwi6528 Год назад +1

    Mungu saidia

  • @LeilaKanyinyi
    @LeilaKanyinyi Год назад +3

    Ndugu zangu waislam tuache kuudhalilisha uislam wetu mbna tumekuwa watu wa chuki sana hapa hoja ni mambo ya maslah kwa nchi yetu tena papa anatokea wap jaman acheni upuuzi huu

  • @issaalfani1030
    @issaalfani1030 Год назад +1

    Safi sana safi sana safi sana

  • @alphoncekivike2672
    @alphoncekivike2672 Год назад +1

    Naunga mkono maaskofu na mashehe wawe sehemu ya tume kwani ni viongozi walio na hofu ya Mungu na hawapendi dhuluma ya namna yeyote ile tofauti na watumishi wa serikali ambao hushinikizwa na wanasiasa.

  • @ramadhanabdala8611
    @ramadhanabdala8611 Год назад

    Namkumbuka Rais wangu Makufuli, angekuwepo hakungekuwepo na mbwa anayebweka bali kutikisa mkia tu.

  • @stephanomamasita8200
    @stephanomamasita8200 Год назад

    Mungu awasaidie Baba zetu wa Kiroho

  • @kwayaviwawaparokiayabashne9281

    Mungu Awasimamie Maaskofu wetu Mungu Awatetee Daima

  • @MelisaMerdad
    @MelisaMerdad Год назад

    Mungu awatanguliye

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 Год назад

    Safi c cm mwaka huu mnalo

  • @manfredmtitu6061
    @manfredmtitu6061 Год назад

    Mungu ni mwema

  • @DeogratiasSangu-n2n
    @DeogratiasSangu-n2n Год назад +1

    Tukubali Kushauliana Kwa Sababu Tume ya Uchaguzi ni Kwa Manufaa Ya Vyama Vyote,

  • @PatrickMatondwa
    @PatrickMatondwa 11 месяцев назад

    Hiyo ndiyo tec bwana

  • @EvaKiswaga-j2o
    @EvaKiswaga-j2o Год назад +1

    Ombi leta katiba mpya. Pia muitumie vizuri.

  • @MathewsSikazwe-up4qd
    @MathewsSikazwe-up4qd Год назад

    hivi ii serikari yata tz inaongozwa na nashetani au na binadamu wa Aina gani, mbona viti viko wazi lakini viongozi Wana tia pamba masikioni, Vita mbaya Sana ndugu zangu wa tz viongozi kuweni wa erewa Basi!.

  • @MelisaMerdad
    @MelisaMerdad Год назад

    Asante

  • @AsiweloChalanda
    @AsiweloChalanda Год назад

    Asantemama tuponyumayako

  • @VolvoMwamakula-ci2we
    @VolvoMwamakula-ci2we Год назад

    Saf sn hii nchi imekuwa kama chaka la mafisi naomba sn hii katiba imalizike ndani ya miezi mitatu bac tumechoka na mikataba ya zalula bungeni

  • @AntonnyRitte
    @AntonnyRitte Год назад

    Ongeleni sana

  • @pumarice2710
    @pumarice2710 Год назад

    Vzr sana maskofu na mashekhe ndo wawe kwenye tume.

  • @bonifacejohanes895
    @bonifacejohanes895 Год назад +1

    Baba umenena vema. kama kweli serikali ina dhamira ya kufanya tume iwe huru na ya haki maoni yenu yote yatatekelezwa.

  • @gregorymajenga9072
    @gregorymajenga9072 Год назад +1

    Maoni mazuri ili kudumisha amani ya Tanzania

  • @aliyageorge6794
    @aliyageorge6794 Год назад +2

    Raisi samia tafadhali tupe katiba mpya..🎉😂

  • @IssaYoro-rw5ob
    @IssaYoro-rw5ob Год назад

    Hii inaonyesha tangu zaman serikali ilikuwa chini ya watu gani sasa inataka kuwapushi ndio wanajitokeza live dah! mwenye macho haambiwi tazama

  • @timothymwalongo7028
    @timothymwalongo7028 Год назад +1

    Tupewe katiba mpya yetu mbona mizunguko ming

  • @frankjohn8706
    @frankjohn8706 Год назад

    Mfumo wa UCHAGUZi. sio wa viongozi wa dini kuburutwa siku ya kuapishwa hao wasemwao ndio wateuliwa bila woga kwamba Mungu anaona..KATAENI KUSHURIKI UBATILI

  • @aud548
    @aud548 Год назад

    Hivi Vichwa vya habari vimekaa sio kiuweledi ...sasa neno UOGA la nini???

  • @felixpilly8564
    @felixpilly8564 Год назад

    Uchambuzi makini maoni makini

  • @KushahaLaban-co1un
    @KushahaLaban-co1un Год назад

    Tatizo lenu mnataka kumwinua mpiga kirsto

    • @JulianaCelestine-o1f
      @JulianaCelestine-o1f Год назад

      Hayo ni mawazo yako finyu sana. Mwenyezi Mungu hana ubaguzi binadamu tuna shida Mungu atusaidie

  • @BernardBahatiMallya
    @BernardBahatiMallya Год назад

    ASANTE TEC KWA UCHAMBUZI WENU MLIOUOELEKA KWENYE KAMATI YA BUNGW KUHUSU SHERIA YA UCHAGUZI 20/23. NIMEELEWA VIZURI UCHAMBUZI HUYO NA NAISHAURI KAMATI YA BUNGE KUIAFIKI BILA KIGUGUMUZI.

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 Год назад

    Ukimaliza hilo la miswada ya serikali tuandikiie lile la Papa kuhusu ushoga.

  • @zabronmwaipungu2212
    @zabronmwaipungu2212 Год назад

    Sasa mmeanza kufumbua macho, mmepigwa kitu kizito

  • @rebekakulwa6159
    @rebekakulwa6159 Год назад

    Ccm mtaleta balaa safari hii

  • @TitoRufizi-xb2ub
    @TitoRufizi-xb2ub Год назад

    CCM munataka damu imwagike ndo mkubali ushauli wa wananchi,msipo jilekebisha ipo siku mtajuta nyie na famlia zenu

  • @Thwahasopayiikaji
    @Thwahasopayiikaji Год назад

    Nawaona mbwa mwitu walivyo vaa various la upendo bali wao ni mbwa mwitu waumao vikali nakumbuka 1994 Ruanda na Burundi this wolf 🐕 dogs 🐕 was killing a lots people I know well this ghost

  • @FilbertKalembe-fy4oq
    @FilbertKalembe-fy4oq Год назад

    Pamoja na malejeo hayo napendekeza maasikofu na mashehe ndio wawe kwenye tume hiyo

  • @alhajiMbwambo-et2cb
    @alhajiMbwambo-et2cb Год назад

    Nyie mmekuwa nani kila kitu nyie kuwa nyie ndio dini pekee tanzania viongoz wadini acheni siasa fanyeni kaz za kidin

    • @LastdayJesu4153
      @LastdayJesu4153 Год назад

      Alhaji wakatolik ni wengi na ndiyo dhehebu kubwa na ustaarabu wa umishenari ulianza na wao ni kama kungekuwa na sali Suni wengi pengine wangekuwa wanawasemea mfano tu usighathibike ndg yangu ni bora watu watoe maoni kuliko kuanza ya Rwanda.

  • @maulidipingika4452
    @maulidipingika4452 Год назад

    Mbona hawakujitokeza kukemea amrinya papa kubariki ushoga?au ndio hayo yanakubalika na kanisa?😂😂😂😂

    • @hellenmroso6786
      @hellenmroso6786 Год назад

      😢😢😢

    • @mditimalandoj.4704
      @mditimalandoj.4704 Год назад +2

      Interest za kidini zinatakiwa sisemwe kwenye dini na interest za kitaifa hazipaswi kufuata dini so sheh shame on yout🎉

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 Год назад

      @@mditimalandoj.4704 mbona hizo interest za dini hazikusemwa au ndio mfumo wenyewe wa kanisa ni kubariki ushoga?

    • @stpatrickschoir-mo4wf
      @stpatrickschoir-mo4wf Год назад +1

      Uko nyuma ya wakati

    • @maulidipingika4452
      @maulidipingika4452 Год назад

      @@stpatrickschoir-mo4wf kumbe ukibariki mashoga unakuwa uko ndani ya Wakt sio?

  • @MelisaMerdad
    @MelisaMerdad Год назад

    Mungu awatanguliye

  • @MelisaMerdad
    @MelisaMerdad Год назад

    Mungu awatanguliye