AFISA ELIMU ALIVYOZIMIA BAADA YA KUSIMAMISHWA KAZI RC MWANRI "KUZIMIA SIO ISHU"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 дек 2024

Комментарии •

  • @shukurukihwelo3084
    @shukurukihwelo3084 5 лет назад +3

    Safii sana kuu wa mkoa na upo vizuri ,nahuwa nakufatiria taarifa zako zote nakutatakia kazi njema

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 5 лет назад +275

    Eng usiniangalie kwa huruma ,dirisha umekunywa km umesikia hiyo gonga like

  • @nehemiahbudi5753
    @nehemiahbudi5753 5 лет назад +44

    Waliomchukua na kumkimbiza kituo Cha afya wamefanya kitu Cha maana, na watu hawa wana akiri sana.

    • @danielluka6353
      @danielluka6353 5 лет назад

      m'bunge wangu kageuka mbogo njoo uku siha mkuu waache hao hawakujui

  • @maulidkabogota5922
    @maulidkabogota5922 5 лет назад +1

    Nitafurahi sana Mh Mwanri akipanda cheo kuwa Waziri.Anatufaa sana katika kujenga nchi yetu,hakuna masihara hapa nyoosha tu watu.Safi sana Eeeh.

  • @japhetmasunga9980
    @japhetmasunga9980 5 лет назад +332

    😆😆😆😆😆😆Engineer ww usiniangalie kwa huruma dah kama unamkubali mkuu wa mkoa wa tabora gonga like apa twende saw

  • @elizakileo9125
    @elizakileo9125 5 лет назад +62

    Kuzimia lazima 😁😁😁😁na ukizinduka ukaskia tena sauti ya Mwanri unazimia ..

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 лет назад +13

    Safi sana huu ndiyo mpango bora kuondoa wavunja sheria sehemu zote

  • @efelimwambije708
    @efelimwambije708 5 лет назад +8

    njoo mbeya mheshimiwa, nimekubali kazi yako tena mungu akubariki.

  • @praxedadominic9864
    @praxedadominic9864 5 лет назад +45

    Kwa waliosoma ipuli sec Tabora kama umemuona sir sichone gonga like

  • @abednego3876
    @abednego3876 5 лет назад +31

    HUYU JAMAA AHAMISHIWE MTWARA AKAPAMBANAE NA KOROSHOW.. Maana Huyu ni Master

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 лет назад +1

      Abed nego watuachie mwanry wetu ainyooshe Tabora watoto sasa wanasoma

  • @simonringo4701
    @simonringo4701 5 лет назад +5

    Super Mwanry! Tofauti sana na hao vijana wanaoongoza kwa mihemko badala ya kutumia busara!

  • @josej9888
    @josej9888 5 лет назад +31

    Hapo kusimamishwa ni uongo, ndo kishaota nyasi hivo! Kama matani vile kumbe kweli!!

  • @histonezekiel8054
    @histonezekiel8054 5 лет назад +9

    Hizi kazi bora niangaike mwenyewe au mnasemaje wadau

    • @rosemshanga746
      @rosemshanga746 5 лет назад

      Histon Ezekiel umeonaee

    • @histonezekiel8054
      @histonezekiel8054 5 лет назад +1

      @@rosemshanga746 nimeona maana sasa utakufa bure na visivyo kuusu unaweza ukawa aujui chchct lkn likawa upande wako

    • @ramaccr7525
      @ramaccr7525 5 лет назад +1

      Histon Ezekiel apo lazima niangahike mitahani kwamaneno ayo na kwahizi asira ninazo bora niangaike

  • @anthonynhongokemalekela7707
    @anthonynhongokemalekela7707 4 года назад

    Asante mungu kwa kumuona mkuu wangu wa sekondari 2015 ziba sekondari pendo ndaki naombeni like zenu jamani

  • @msofelighitrider5748
    @msofelighitrider5748 5 лет назад +121

    Kwakweli nimshukuru mungu sipo serekalini mana ninavyo jijua ningesukumwa ndani 😂😂😂

    • @mudhakirudauda7933
      @mudhakirudauda7933 5 лет назад

      😂😂😂😂

    • @meena-ol6fo
      @meena-ol6fo 5 лет назад +1

      Yaani mie ningemskizaaaaaa kisha namuuliza umemaliza muheshimiwa?halafu namwambia nihivi baba mkundu wako wewe naaliokuleta hapa nyaga nyie yaani nitaongea haraka maana najua watanivamia

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 5 лет назад +1

      Hongela umegunduwa udhaifu wako.

    • @joankunambi9992
      @joankunambi9992 5 лет назад

      Msofe Lighitrider hahahaaa

    • @kuchenavhe0028
      @kuchenavhe0028 5 лет назад

      Haaahaaa

  • @pelusiemanueli6926
    @pelusiemanueli6926 5 лет назад +2

    Hahahahahaha kama. Umesikia. Ety. Ili jengo kuisha mpka. YESU aludi yen gonga like twende

  • @shukurumgaya5950
    @shukurumgaya5950 5 лет назад +2

    Amezimia akianguka sawa tu huyu jamaaa ni hatarii gonga like

  • @mwanahalimamwachili9679
    @mwanahalimamwachili9679 5 лет назад +5

    Duuh Hongera sana Mkuu Maana huruma zaregesha nyuma,Poleni sana.

  • @abelsabibi6192
    @abelsabibi6192 5 лет назад

    Safi sana mzee Mwanri,unamsaidia vzr mh.Rais ili taifa letu lisonge mbele,hawa watu wameaminiwa na kupewa dhamana lakini hawatekelezi ipasavyo as a result wananch wanaichukia serikali yao.

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 лет назад +17

    Punda haeindi mpaka mijeredi. safi sana. mkoa wangu umepata mtu. sahihi.

  • @peterkyese4516
    @peterkyese4516 5 лет назад

    Eng usimwangalie mkuu wa mkoa kwa huruma kweli weee baba just love you from mbeya city

  • @barakastephano6144
    @barakastephano6144 5 лет назад

    Huyu mtu hunifurahisha sana, yaani huwatetemesha watumishi kama mzee magufuli tu. Big up kwako mh. Mwanri

  • @rashidmalilo3657
    @rashidmalilo3657 5 лет назад +107

    Mwanri wewe jembe Rais akupe cheo cha juu ukuu wa mkoa haukutoshi wewe ndio unaendana na kasi ya Rais.

  • @hihoonlinetvchannel1575
    @hihoonlinetvchannel1575 5 лет назад +27

    Namkubali sana mzeyeee..mfano wa kuigwa kwa viongozi wengine

    • @stellakashebo5052
      @stellakashebo5052 5 лет назад

      Du Sawa amekosea anazimia MTU amjali maisha ya MTU hayalingani na hill jengo duuu mungu tuhurumie

  • @2116-n
    @2116-n 5 лет назад +33

    Daaah Shule yangu kabsaaa huko Igunga, mliosomea Ziba sec. Niwafahamu

    • @mwanju3981
      @mwanju3981 5 лет назад

      mimi kongwa

    • @2116-n
      @2116-n 5 лет назад

      @@mwanju3981 Michael Kongwa!?

  • @happynescharles1511
    @happynescharles1511 5 лет назад +8

    Ndo maana sina mpango na ajira zao kufanya kazi kiroho juu juu duuu maisha yenyewe hayaaa

  • @Frankgamanuel
    @Frankgamanuel 5 лет назад

    Mh.Salute
    Hio nafasi sio staili yako unatakiwa mh.Rais akupandishe cheo zaidi Hili kuwatete watanzania wote .
    Nilicho kipenda hapo huchunguzi hufanyike hasie na kosa ataenderea na majukumu yake kama kawaida bila kumuonea mtu.
    Halafu hawa wanao taka kula kwa nini wanataka kula wenyewe bila kukushirikisha?
    Wakumbushe kazi haendi hivyo hata wewe unaitaji kula.

  • @robertjunior9916
    @robertjunior9916 5 лет назад +12

    Naomba CV ya Aggrey Mwanri

    • @marthapius5361
      @marthapius5361 5 лет назад

      Robert Junior LUGE alikataa kuangalia CV

  • @wanderaothumani4919
    @wanderaothumani4919 5 лет назад +51

    Bila hivi nchi haiendi

    • @aminasaleh6134
      @aminasaleh6134 5 лет назад

      huy mkuu wa mkowa angekuw rais wet wa zanzibar mwaka 2020 yaan zanzibar ingekuw nchi imara sana

  • @eunicemishel2562
    @eunicemishel2562 5 лет назад +3

    Eti Yesu atakaporudi.Hivi unajua siku atakayo rudi

  • @geraldgodsontv7982
    @geraldgodsontv7982 5 лет назад +2

    Kama unamkubali mwanri mpeni likes zake

  • @derricdeuc3628
    @derricdeuc3628 5 лет назад +94

    Hilo dirisha amekunywaa 😂😂

    • @denismrutu9655
      @denismrutu9655 5 лет назад

      Derric Deuc 😂😂😂😂😂

    • @mboga7
      @mboga7 4 года назад

      Nimekubali iyo

  • @ahmedissa7882
    @ahmedissa7882 2 года назад

    Kila la kheri muheshimiwa InshaaAllah

  • @ngaksthegreat732
    @ngaksthegreat732 5 лет назад +15

    Engineer:🙄😌
    Mwanri: usinitazame kwa jicho LA huruma hapa..!!
    ......................😂😂😂

  • @joelkidunye7270
    @joelkidunye7270 5 лет назад +8

    Ujue ukiachana na maswala ya kuwa wameajiriwa na serikali,lakin kwa Tanzania watumishi wa uma wanaongoza kua na stress,mi nahisi icho ndo kitu kinachowafanya washindwe kutimiza majukumu yao,hawana furaha na hawana confidence pia dooh

    • @janestauffer111
      @janestauffer111 5 лет назад

      Sio kweli ukifatwa maelekezo na sheria za kazi stress zitatoka wapi

    • @joelkidunye7270
      @joelkidunye7270 5 лет назад

      @@janestauffer111 Jane moja kati ya sifa za mfanyakazi bora ni,,,anatakiwa awe anafanya kazi without any pressure, sasa sku izi kila public servant yupo under pressure

    • @janestauffer111
      @janestauffer111 5 лет назад

      @@joelkidunye7270 why wanakuwa na pressure what's a reason behind...... Hivi ukifuata majukumu yako kuna mtu atakuingilia I think who a are not faithful in such ndio wanakuwa under pressure sana take this example ww ni mtoto unakaa na wazazi wako ukikosea na unamjua baba yako vile alivyo ukisikuia baba Huyo anarudi nahis unaweza kuzimia all the time unawaza baba akija nn kitatokea but kama hauna kosi wala unakuwa comfortable

    • @joelkidunye7270
      @joelkidunye7270 5 лет назад

      @@janestauffer111 a goo example but let me make it to be more relevant,,, there are different processes and procedures before terminating or demoting a public servant try to search them,but I gues I need to explain it more to you

  • @boniphacenyamhanga9395
    @boniphacenyamhanga9395 5 лет назад +3

    Piga kazi baba wewe na Magufuri nawakubali sana kuliko viongozi wote nchini Tanzania Nyamhanga from Italian

  • @mcmifukotz7267
    @mcmifukotz7267 5 лет назад +83

    INJINIA USINIANGALIE KWA HURUMAA 😂😂😂

  • @fratebongole1827
    @fratebongole1827 5 лет назад

    Mungu amlinde jaman rc mwanri ni jembe

  • @wakavengaog9016
    @wakavengaog9016 5 лет назад +8

    Huyu Km Ni Babaako Aseeeeee............Utajuta Kuzaliwa Nae🤣

  • @andrewmsunga9425
    @andrewmsunga9425 5 лет назад +12

    😁😁😁😁😁 eti jambo halitaisha mpaka Yesu atakaporudi

  • @edisonkayaman8851
    @edisonkayaman8851 5 лет назад +1

    Nakukubali piga kaz mungu atakuongoza

  • @williamkeita1519
    @williamkeita1519 5 лет назад

    Mh mwary anachekesha sana kwa maneno yake.na anapiga kazi baraa.MIMI mtu akianguka its okey,mzee njoo hapa hii haihitaji elimu ya chuo kikuuu.Usiniangalie kwa huruma dirisha umekunywa

  • @diamondmwenga9518
    @diamondmwenga9518 5 лет назад +31

    Nyie Bodi njoon hapa,
    Usinangalie kwa huruma

  • @tabiafataki8917
    @tabiafataki8917 5 лет назад +36

    Mkuu wa mkoa uyo tungeletewa mkoa Moro ingekua vzr kuna madd mengi uku

    • @peterkyese4516
      @peterkyese4516 5 лет назад

      Umeonaaa eeh haswaa kilombero Kuna mavi mavi tyuu sijui rais hua aoniii 🙄

    • @merrymeshack3813
      @merrymeshack3813 4 года назад

      Tena uko kwetu matombo jamani njoo uku baba

  • @aliciusalistides6748
    @aliciusalistides6748 5 лет назад +8

    Kazi za kuajiriwa na serikari hatari bora uajiriwe na kampuni maana unakuwepo ujijui utang'olewa link ase Mimi napiga MOBISOL safi

    • @J4UPro
      @J4UPro 5 лет назад

      Hajang'olewa kasimamishwa kupisha uchunguzi.

  • @eliamwalukisa4173
    @eliamwalukisa4173 5 лет назад +2

    Tukimpa nchi Huyu mzee tumekwishaaaa aisee

  • @ndarogamba191
    @ndarogamba191 5 лет назад +1

    Nakukubali kwa kuwa u muwazi japo majuzi hapa uliboronga kwa kumtaka Mungu amshukuru Magufuli ila tulikusamehe kwa kuwa tulijua kutokana na mtu akizidisha umaridadi au mgema anaposifiwa💪💉

  • @sifamugwaneza1178
    @sifamugwaneza1178 5 лет назад +2

    Hapo ndipo utajua kwamba kuitendea haki kazi yako nimuhum au la!! Ambao bado wapo kwenye kiti waitumie nafasi yao vizuri maana mambo hayatabaki kuwa mazuri kilasiku, dah!! pole ako

  • @wisemankitwana213
    @wisemankitwana213 5 лет назад

    Mwanri Mungu anakuona kwakweli

  • @dawillygene
    @dawillygene 5 лет назад +9

    Maguu hoyeeeee, kweli umechagua jembe. Walishazoea ujanja ujanja tu.

  • @ezekielmbazi.8687
    @ezekielmbazi.8687 5 лет назад +22

    bora kujiajiri tuuu

  • @jamesndinda4270
    @jamesndinda4270 3 года назад +1

    Kwanza tangu nianze kuona krip zake sijaona anamuonea mtu ila anafuata sheria Mungu amsaidie mpaka aje kuwa raisi wa Tanzania

  • @comrademlewaisavile336
    @comrademlewaisavile336 5 лет назад

    Super nwanry ww ni zawadi Kwa wanatabora.piga kazi nakuelewa Sana mkuu

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 лет назад +10

    Kama umesikia mtu akianguka akizimia mie sijali gonga like hapa😂😂😂

  • @salumseif5838
    @salumseif5838 5 лет назад +6

    Wabheeja sana bhabha..bhagololage kooi

  • @mussahamissimba6889
    @mussahamissimba6889 5 лет назад +1

    Maamuz mugumu siku zote yana positive impact

  • @barakamarmo8104
    @barakamarmo8104 5 лет назад +1

    Maafisa Elimu ni wababe sana wanapokuwa maofisini,hawana huruma na walimu utadhani wao hawakuwahii kuwa walimu!!!sukuma ndani wote!!!

  • @theonlyonebeautiful3726
    @theonlyonebeautiful3726 5 лет назад +3

    😂🤣😂😂😂yaani huyu baba ananifurahisha sura yake tu hapo hajatumbua 🤣🤣wakomeshe wamezoea kuchakachua kila kitu wamesahau ni uzao wa magu upo kazini.magu hoyeeeeeeee💪💪👊

  • @erickmbise7159
    @erickmbise7159 5 лет назад +2

    dirisha la pili amekunywa apa 😁😁😁😁😁😁

  • @uncledavitv6481
    @uncledavitv6481 5 лет назад +55

    kuzmia kwangu isn't a issue😂😂😂 Daaaah Mwanri unajua Kwamba we nijembe kabisa

  • @annachuma247
    @annachuma247 5 лет назад +7

    Pole patricia

  • @saumuhassan6365
    @saumuhassan6365 5 лет назад

    NAKUPENDA SANA *RC MWANRY*

  • @iamtimothyjackson5338
    @iamtimothyjackson5338 5 лет назад

    Daaaah engineer ww ucnianglie kwa huruma apa

  • @faizabaishe5172
    @faizabaishe5172 5 лет назад

    Alhamdulilah ,pesa fitina

  • @stevoovlogs8645
    @stevoovlogs8645 5 лет назад +7

    Daaaaaah mie ningekuwa mtumishi tabora walahi ningekuwa tayari nishasukumwa ndani maana siwezi kufokewa hvyo kifala

    • @corrolesscps
      @corrolesscps 5 лет назад +3

      Stevoo Vlogs . Jitume vizuri bila kushurutishwa, na kuwa muaminifu na kazi yako, hamna atakae kufokea, hapa kazi tu, uwezi jitoe kaa chonjo wachie wenye kujiweza kufanya kazi kwa nia moja

  • @filbertnashon7160
    @filbertnashon7160 5 лет назад +4

    😀😀😀😀dirisha Hilo INJINIA amekunywa 😀😀😀 Mkuu

  • @jumasuleiman9570
    @jumasuleiman9570 5 лет назад +28

    Injinia amekunywa dirisha.....😂😂😂😂

  • @mwinyimwinyi9171
    @mwinyimwinyi9171 5 лет назад

    From 254 for sure this guy is a good leader to follow

  • @charlittotarimo519
    @charlittotarimo519 5 лет назад +19

    Injiniaa usiniangaliee kwa hurumaa 😂😂😂😂😂

  • @nimrodsigulu6249
    @nimrodsigulu6249 Год назад

    Financial freedom is only hope...

  • @kyambarungwe4453
    @kyambarungwe4453 5 лет назад

    njoo mbeya mzee wa kazi maana humu hakuna kitu wamerara tuu

  • @eddokasanga6338
    @eddokasanga6338 5 лет назад +6

    Duh!!!upele umepata mkunaji

  • @barikinihataringira5113
    @barikinihataringira5113 5 лет назад

    Uko vizuri mzee

  • @mwanaiddaud4224
    @mwanaiddaud4224 5 лет назад +2

    Jaman Afisa Elimu wang mama mbigil pole

  • @athanaserazaro6517
    @athanaserazaro6517 3 года назад +1

    Siku wakikuhamishia mwanza nitafrahi sn mzee nakukubali sn ujanja ujanja hakuna na kazi iendeleee

  • @israelmwanri9412
    @israelmwanri9412 5 лет назад +4

    Huyo ndo Agrey mwandri, Arusha wanamjua alipokua mkuu wa wilaya.

  • @abou2607
    @abou2607 5 лет назад +1

    Huyu jamaa tuletewe Dar as salaaam ... Bashite apumzishe majukumu yake kupisha uchunguzi 😂🤣🤣

  • @mako331
    @mako331 5 лет назад

    Watu wengi hawajaelewa hii serikali si ya miaka ile, unabembelezwa unakoroga hapa unahamishwa badilikeni fanya kazi yako kwa weledi

  • @ezekiellugali305
    @ezekiellugali305 5 лет назад

    Uko sawa mzeee

  • @radhiasalum7156
    @radhiasalum7156 5 лет назад +40

    Washazoea maisha ya ujanja ujanja sasa inakula kwenu😂😂

  • @mbondokambi8053
    @mbondokambi8053 5 лет назад +21

    Hamna kitu hapo wamekukimbia kijanja

  • @jovinemnzava5972
    @jovinemnzava5972 5 лет назад

    Ninavyopenda dili ningefungwa mm

  • @gabrielishmael5956
    @gabrielishmael5956 5 лет назад +38

    Kukosa ugali na hujajipanga ni noumaaaa....lazima uzimeee

  • @sharifaabubakari6372
    @sharifaabubakari6372 5 лет назад +6

    Mtakuja kuua mtu cku iwe kizaa zaa..Mwl. aliona mbali akakataa swala hili zipo taratibu maalum za maadili ya utumishi wa umma

    • @pitargamba9208
      @pitargamba9208 5 лет назад

      Kabisa Mungu akubariki

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 5 лет назад

      Sharifa Abubakari kwani Wamefukuzwa?

    • @reubenbusanji2904
      @reubenbusanji2904 5 лет назад +1

      Huyo afisa angekuwa msafi asingezimia maana uaminifu wake ungemtetea bila shaka anajua makosa yake atavuna alichopanda

  • @kajjd40
    @kajjd40 5 лет назад

    Mkuwamkoa 👏👏👏👏👏👏👏👏👏😀😀😀😀😀😀

  • @awadhirajabu7754
    @awadhirajabu7754 5 лет назад +1

    Airtel Mbona Habar Za Serikali Zinafunguka Nusunusu Kwanini Inakua Ivi

  • @matildamalinganya3284
    @matildamalinganya3284 5 лет назад

    Hapa kazi tuu 💪💪

  • @fabianjulius5274
    @fabianjulius5274 5 лет назад

    Very smart ...

  • @burtonsatshop2061
    @burtonsatshop2061 5 лет назад +1

    🤣🤣😅😅😅😂😂 daaah!!!...mkuu hatari sana,anamchukua ustaadhi na swaumu njoo usigope haya mambo hayahitaji chuo kikuu

  • @abubakarikisuju5374
    @abubakarikisuju5374 5 лет назад

    Wanaofanya vizuri"umemsahau mwingine wa mbeya

  • @hafidhramadhan3942
    @hafidhramadhan3942 5 лет назад +31

    Wazee wa Bodi naomba muje hukuuu hahahahaha

  • @frankongete9396
    @frankongete9396 5 лет назад +7

    When submission become a law resistance is inevitable. Thanks

    • @juniorkillo8591
      @juniorkillo8591 5 лет назад +2

      Bro nimependa haya maneno na kusoma kwangu kote aisee sijaelewa plz nitsfsirie

  • @SafeHaven_TV
    @SafeHaven_TV 5 лет назад

    Mkuu wa mkoa uko vizuri mno baba

  • @mbarikiwambarikiwa3988
    @mbarikiwambarikiwa3988 5 лет назад

    pole sn mama ndo majukumu ya kazi

  • @angelamushi8868
    @angelamushi8868 5 лет назад

    Anaedhan inahitaji elimu ya chuo kikuu ni chachu mbaya sana kwenye fedha.Mwangalie kwa jicho la3 Mh.Mwanry.

  • @solomonimkwere498
    @solomonimkwere498 5 лет назад

    Nimekupenda bule

  • @andrewmhagama1042
    @andrewmhagama1042 5 лет назад

    RC wotewakifikia standard anayo set mzee huyu tutakaa vizuri.Hasa wale RC vijana walioota mapembe na mikia.

  • @thadeoevod
    @thadeoevod 5 лет назад +1

    Amekunywa dirisha 😃😃😃😃

  • @masoudrashid6180
    @masoudrashid6180 5 лет назад +2

    Shikamoo serikali ya awamu ya tano

  • @restutazimbeiya3806
    @restutazimbeiya3806 5 лет назад +1

    Hbr ndo hiyo hapa kazi tu hamna mambo mengine