"ANDIKA 'WASHENZI' WOTE NI UNDAVA UNDAVA, JIWE HALIKAI" MWANRI AKILIAMSHA DUDE

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2024

Комментарии • 183

  • @felixmauk4487
    @felixmauk4487 5 лет назад +61

    Kama umesikia anao cheza nao cha ndimu gonga like🤣🤣🤣🤣

  • @muniraahmed624
    @muniraahmed624 5 лет назад +77

    Huyu ni miongoni mwa wakuu wa mikoa bora zaid hapa nchini. Hongera sana baba

  • @kimwerimwerondo708
    @kimwerimwerondo708 5 лет назад +51

    "Habari kamili Dar es salaam" Fukua fukua beba Kiroba ondoka piga maji sanaa kama umeskia hizo like hapa🤣🤣😂😂😂

  • @edwinelias8554
    @edwinelias8554 2 года назад +2

    Tasfirii ya mshenzii nimeisikia 2022😂😂😂

  • @ngabopro
    @ngabopro 5 лет назад +30

    Kama umeona Pamekuwa Pa Gumu,Ishia,Beba Begi yako.kwanza Begi Huna,Marlboro Tumeshapiga Marufuku🤣🤣🤣🤣🤣.

    • @kivuakyoo226
      @kivuakyoo226 4 года назад

      Me nampenda bure huyu mkuu wa mkoa wa tabora kama umeona nakuskia umeota kipara na bdo unaitwa beby gonga like za kushatoo

  • @bernardchibwana1907
    @bernardchibwana1907 5 лет назад +10

    napenda sana huyu mzee, mungu ampe maisha marefu ma utendaji bora wa kazi yake.

  • @fanbullalukasa486
    @fanbullalukasa486 5 лет назад +14

    Eeeeehee mama yangu alisema utavunaulichopanda!!!!! duuuh huyu mkuu wa mkoa ni kiboko,karibu mkoa wa songwe!

  • @chakkasadick6091
    @chakkasadick6091 4 года назад +2

    Hii comedy jmn nakukubal mkuu mkoa Wang home tbr manyema one love

  • @chikundeboy9450
    @chikundeboy9450 5 лет назад +14

    Gonga yako like ya nguvu kwa huyu Dingiiiii😂😂😂😂😂

  • @dismasgerald3497
    @dismasgerald3497 2 года назад +1

    Mwisho wa kunukuuu😂😂😂😂🔥🔥🔥👏👏👏

  • @tumabhay8576
    @tumabhay8576 4 года назад +3

    Eenhh! 🤔 Majina ya washenzi wote. Heheheeeheee kwa SHANGAZIIIII. HABARI KAMILI DARESALAAM.!

  • @RashidRashid-nc8hq
    @RashidRashid-nc8hq 5 лет назад +7

    Huyu jamaa aki resign akuje Kenya tutampigia kura😀😀

  • @kijangapeter5135
    @kijangapeter5135 4 года назад +1

    Hahaha Huyu dingi hapendi undezi kudadeki,,kuna huyu na yule wa Simiyu ni noma sanaa

  • @aizackkajika5086
    @aizackkajika5086 4 года назад +1

    Aisee huyu mzee nni Raha lakin anapiga kazi kinoma eti💪

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 5 лет назад +5

    Comedy nyingi ujumbe unaingia Mzee Baba Nouma sana😂

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 5 лет назад

    Asante mheshimiwa rais kwa kutupa mkuu wa mkoa safi kabisa, yaani huyu jamaa tunampenda sana

  • @jumamahimbo683
    @jumamahimbo683 4 года назад +3

    Dah huyu jamaa kiboko😂😂😂

  • @mwanaisha522
    @mwanaisha522 4 года назад +1

    Daaaa umenikumbusha hiyoo redio 😆😆😆 niliwah fanya hivooo

  • @shanigadau9338
    @shanigadau9338 4 года назад +1

    Mzee namwelewa xana!

  • @fatmahassan9153
    @fatmahassan9153 5 лет назад +4

    Habari kamili dareslam baada ya kupiga kofi👌

  • @filbertkapama8824
    @filbertkapama8824 5 лет назад +4

    Marboro hamna beba sandarusi😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @AkleyChiwa
    @AkleyChiwa 9 месяцев назад

    Mzee wa kazi,apewe wizara ya ujenzi

  • @mwakinhosantos6307
    @mwakinhosantos6307 4 года назад +1

    Radio ya mkulima ni ya zaman sana ikikataaa kuongea piga Kofi moja utaskia...Habari kamili dar es salaam

  • @dizzboss7526
    @dizzboss7526 4 года назад +3

    Eti redio ya zamani ikigoma kulia piga kofi utasikia habari kamili Dar es salaam

  • @saidylikangasimba6518
    @saidylikangasimba6518 5 лет назад +6

    Magufuri mlete mwanry dar atunyooshe

    • @agathathobias8690
      @agathathobias8690 5 лет назад

      Said tutaandamana watuachie mkuu wetu ananyoosha tbr

  • @hasinaafrica149
    @hasinaafrica149 5 лет назад +9

    Huu utalatibu ungeenda na dar es laam. Maana kuna wezi hatari

  • @emmanuelmunanka6137
    @emmanuelmunanka6137 5 лет назад +4

    Hiv how comes watu huwa hawachek😂..ila huyu mzee ahamie dsm tu

  • @idrisaabdallah3824
    @idrisaabdallah3824 2 года назад

    Undava undava undava

  • @joharikashindye8655
    @joharikashindye8655 4 года назад

    Baba mzazi baba ukija simiyu itapendeza zaidi

  • @ابوعبدالرحمن-س5ز3ض

    Mkuu wa mkoa tabora Rc anastahili kuhamishwa mkoa wa daresalaam kazi nzuri unayoifanya tunataka ufundishe Rc makoda kazi kama yako tunakuomba magufuli ufanye hivyo

  • @godfrey3926
    @godfrey3926 4 года назад +1

    Huyu mzee hatari..🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @eliaslema9271
    @eliaslema9271 4 года назад +2

    Habari kamili dar es salaam 😂 😂 😂

  • @yohanabundala9162
    @yohanabundala9162 5 лет назад +1

    Mikoa iliyobahatisha Wakuu wa Mikoa ni Tabora, Simiyu, Mwanza na Iringa. WAKUU wa mikoa na wakuu wa Wilaya Wanawake Mmepoa sana Lazima tuongee ukweli jamani. WANAUME tutabaki kuwa juu cku zote,

  • @sadickchakka6350
    @sadickchakka6350 4 года назад

    Habar kamil dare salaam

  • @yusuphpaulwaryoba8316
    @yusuphpaulwaryoba8316 5 лет назад +2

    Hahahahahahahahahahahahaha unanifurahisha sana kiongozi unachapa kazi sana

  • @castoryondani1214
    @castoryondani1214 4 года назад +2

    mama yangu alinambia utavuna ulichopanda

  • @ejensonjohnson2689
    @ejensonjohnson2689 2 года назад

    Redio ya mkulima daah mecheka hatarii🤣🤣🤣🤣🤣

  • @amosmaiko5523
    @amosmaiko5523 5 лет назад +2

    Safii kabsaa

  • @fadhilsanga2847
    @fadhilsanga2847 4 года назад +2

    Alie sikia habari za saaa agonge like twende sawa

  • @chuihessen3504
    @chuihessen3504 3 года назад

    mzee tunaomba ugombee urahisi

  • @johnsonjusto9564
    @johnsonjusto9564 5 лет назад +6

    hakuna jiwe litabaki juu yajiwe

  • @godfreykirway4324
    @godfreykirway4324 5 лет назад +3

    Hapa ukija kumsikiliza huyu jamaa,,uje na mbavu za ziada na umeshiba vizuri!maana atakuvunja tu mbavu

  • @anethmlakichristom3020
    @anethmlakichristom3020 5 лет назад

    Marlboro tushapiga marufuku, beba sandarus...we baba noma

  • @mohammediallykaboza5862
    @mohammediallykaboza5862 5 лет назад +1

    Mh aise we mh mungu akulinde maana hapo tabora niliisha wahi kuibiwa sim steshen

  • @deodatusdeogratius4910
    @deodatusdeogratius4910 5 лет назад

    habari kamili da ess salaam

  • @uwingeneyeshadia7697
    @uwingeneyeshadia7697 5 лет назад

    Mwanangu utavuna ulicho panda mwisho wa kunukuu😂😂😂😂 uyu baba nampenda mm hakuna jiwe litabaki kuwa juu😂😂😂😂

  • @boniphacelasmah5717
    @boniphacelasmah5717 2 года назад

    Namkubari mzeee huyu ananiongeza sku

  • @hojamathias9989
    @hojamathias9989 5 лет назад +1

    😂😂😂habariii kaaamili daaslaam

  • @giftmusa6543
    @giftmusa6543 5 лет назад +5

    Tupo pamoja hapa na Wakali wa kuunda buti za jeshi,Travolta,viatu vya shule,viwekea siraha(gun holster) n.k kutoka dodoma.
    Tupate Facebook kwa Jina GIFT FASHION,whtsup 0683204206,Istagram-giftfashiontz

  • @najmagudeh203
    @najmagudeh203 5 лет назад +1

    Nakupenda mnoo

  • @mwakisukuli2124
    @mwakisukuli2124 4 года назад +1

    Hahaaaa nakukubari kamanda

  • @markmillian4734
    @markmillian4734 4 года назад

    mkuu wa mkoa safi San krb na ruvuma tupate changamoto

  • @burhan_dumalo
    @burhan_dumalo 3 месяца назад

    kwan huyu jamaa anaongea mada kuhusu nini??😂😂😂😂😂

  • @gabrielmiatus3886
    @gabrielmiatus3886 Год назад

    UNDAVA UNDAVA 😁😁 nani kaskia

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 5 лет назад +1

    Naona mkuu yupo kwenye kata yangu kabisa isevya

  • @Emmanuel-m3t
    @Emmanuel-m3t Месяц назад

    Chandimu kama mmesikia mzee wa weka ndanii

  • @munjy11tutorials
    @munjy11tutorials 11 дней назад

    Hivi huyu jamaa kaishia wapi? Au anko Magu alipokufa kaenda nae mbinguni?

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 4 года назад

    Jmn kama siku 😂 yako haiko pw we msikilizee huyu jamaa utakuja kunisimuliyaaa

  • @ngulathfundikira4205
    @ngulathfundikira4205 5 лет назад

    Safi sana my Tabora RC

  • @jeremiahmasunzu3437
    @jeremiahmasunzu3437 3 года назад

    Teuzi Bora zaidi kwa wakuu wamikoa wakati wa magufuli....Mwanri anastahili Uwaziri.Mfno TAMISEMI

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 5 лет назад +1

    Mwanri forever

  • @furahinimtunguja2668
    @furahinimtunguja2668 5 лет назад

    Yaani huyu Mzee Duh napenda sana

  • @adelitusleonce4281
    @adelitusleonce4281 5 лет назад

    Dah raha sana

  • @obedimwakagali7755
    @obedimwakagali7755 3 года назад

    Huyu jamaa kilasiku nanunua mb ananifirisi

  • @jameschubiri9453
    @jameschubiri9453 4 года назад +1

    Natamani upangiwe mkoa wa Mara

  • @Mrsule255
    @Mrsule255 Год назад

    Hapa utatembea undavaundava undavaundava undavaundava 😂😂

  • @kitovagvankiwele3447
    @kitovagvankiwele3447 5 лет назад +3

    Undava undava. beba hata kisandrus😂😂😂

  • @mwamvuajumanne6090
    @mwamvuajumanne6090 5 лет назад +1

    mwanri unaua huku mbavu jaman

  • @bjzee1981
    @bjzee1981 5 лет назад

    Hahaha bebiiiiiii. Bebi mwenyewe ana miaka 75 na anae mwita ni 25. Sasa aijui nani bebi

  • @mr.mchina152
    @mr.mchina152 5 лет назад +3

    Kama ww siyo mstaarabu basi ww ni mshenzi
    Hahahaahhaaaa
    Pamoja sana mheshimiwa

  • @robertigohe9338
    @robertigohe9338 5 лет назад

    Kiasi ,pole pole kaka

  • @suleimanamiri4321
    @suleimanamiri4321 2 года назад

    ..miuziki

  • @mussataliye7815
    @mussataliye7815 5 лет назад +5

    Fukuafukua nimekukubal RC

  • @yusuphwella9651
    @yusuphwella9651 5 лет назад +6

    Chandimu 😂😂😂😂

  • @bakarimashi848
    @bakarimashi848 5 месяцев назад

    Habari kamili daslaam..😂

  • @patsonmwalwiba3423
    @patsonmwalwiba3423 5 лет назад

    Namkubali Sana huyu kiongozi chapakazi baba

  • @thomasmitabile741
    @thomasmitabile741 4 года назад

    Naiona Musoma nikiwa Tabora

  • @daemuularmmy5280
    @daemuularmmy5280 5 лет назад

    ghaiiii huyu alikuwa
    capten kweli

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 5 лет назад

    Huko Tabora nahisi akipita mtaani watu wote baru, mwenye uvungu wa kitanda haya, ndani ya shimo la choo jifiche, juu yabati ka mwewe pandaa. Mana ni mndava anafanya undava kwa kwenda mbele. Hao raia kama hawajanyooka mpaka leo hii basi kweli nao ni manunda tena manunda konkodi. 😁🤭😁🤣

  • @maulinomgaya206
    @maulinomgaya206 4 года назад +1

    Duuuu hatali

  • @eliasjohn1072
    @eliasjohn1072 5 лет назад +3

    Huyu dingi angekuwa hana kaz cjui ingekuaje huko mtaan

  • @abubakarinurdini113
    @abubakarinurdini113 5 лет назад +3

    Mkuu ntaonekana nacheka cheka

  • @kagomabhihusi391
    @kagomabhihusi391 5 лет назад

    Mmhh,Unatisha mzee!!!!!!

  • @abdallahyusuph9151
    @abdallahyusuph9151 5 лет назад +5

    Chandimu

  • @kilimanjaro77international26
    @kilimanjaro77international26 11 месяцев назад

    Ndio dawa undava undava tuu, hawa ni wahuni wa zamani eanajua janja ya nyani yote

  • @abdukalembo788
    @abdukalembo788 5 лет назад

    Undava undava tu nani amesikia hilo neno

  • @deadcrush
    @deadcrush 5 лет назад

    Bangi..... Tamu Sana.

    • @namlessnamless1207
      @namlessnamless1207 5 лет назад

      kama mama yako anavuta basi tambuwa kuwa siyo kila mtu anavuta

    • @deadcrush
      @deadcrush 5 лет назад

      @@namlessnamless1207 Ujuzi Na Thamani..

  • @lamecktheonest225
    @lamecktheonest225 5 лет назад

    Huo wimbo alioimba dah😁😁

  • @bebisheni4380
    @bebisheni4380 5 лет назад +2

    kumbe unajua kuimba

  • @jitubovu681
    @jitubovu681 Год назад

    Huyu mzee hatar namkubali

  • @khadijadiwani5330
    @khadijadiwani5330 5 лет назад

    Uyu mzee balaaaa.?

  • @exaudswai
    @exaudswai Год назад

    Huyu alizani nchi yake akujuwa wakati ukuta alikabiliwa rungu

  • @selemaniabdallah2621
    @selemaniabdallah2621 4 года назад +1

    Mwanriiii

  • @sifamwakaniemba443
    @sifamwakaniemba443 5 лет назад

    Eeeet mawatu na mamvi wataitwa beib kweli Rc

  • @lupironewstv4645
    @lupironewstv4645 5 месяцев назад

    Dah.😂😂😂😂

  • @josephmuchiri3180
    @josephmuchiri3180 5 лет назад +2

    Mbona miradi haulet video za wakuu wengine wa mikoa?au ndo uchaga?

    • @aboudmsonde886
      @aboudmsonde886 5 лет назад

      Wewe nenda kafanye interview Moro kwa kabwe

  • @lucasmhagama8166
    @lucasmhagama8166 5 лет назад

    Eti ipige tap utasikia habari kamili Dar Es Salaam

  • @sosojay3783
    @sosojay3783 5 лет назад

    Afrika tuko mbali ya kuwa kitu kimoja

  • @salehsuleiman1218
    @salehsuleiman1218 5 лет назад

    Hapa ni breek

  • @stanleyfocas8250
    @stanleyfocas8250 5 лет назад

    Oyooooooooo kzi kzi