JINSI YA KUPATA KUKU 100 WA KIENYEJI KWA MIEZI 3 TU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2025
  • Mbinu za kupata kuku 100 wa kienyeji kwa muda mfupi. Anza na kuku 12 tu ndani ya miezi 3 utapata kuku zaidi ya 100
    #kuku#kienyeji#ufugaji
    👉Jinsi ya kupata kuku bora wa kienyeji kwa ajiri ya kuanza ufugaji
    • Mbinu 8 za Kupata kuku...
    👉Vyakula vya kuku kutaga mayai mengi, makubwa na yenye kiini cha njano • ZINGATIA VYAKULA HIVI ...
    👉Ujenzi wa banda la kuku
    • MAMBO YA KUZINGATIA K...
    👉Chanjo ya ndui • Jinsi ya kuchoma chanj...
    👉Tiba asili za kuku mimea 12
    • TIBA ASILI KWA KUKU: ...
    👉Ugonjwa wa mafua kwa kuku
    • HOW TO TREAT CHICKEN'S...
    👉Mbinu za kupata kuku wengi
    • Jinsi ya kupata kuku ...
    👉Jinsi ya kulea vifaranga
    • JINSI YA KULEA VIFARAN...
    👉Jiunge nasi telegram /Follow us Telegram via t.me/agalustv
    🙏🙏🙏

Комментарии • 332

  • @elizabethgwakisa260
    @elizabethgwakisa260 2 года назад +2

    Asante kwa kunifundisha

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Barikiwa pia ndugu

  • @MatildaJohakimKessy-wg6oe
    @MatildaJohakimKessy-wg6oe Год назад +1

    Mwenyezi mungu awajalie sana kwa kipaji chenu asanteni sana nimepata somo na nimejifunza vzr mbalilikiwe

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Amina ndugu 🙏🏿 nawe pia ✍️

  • @AthanasNkhuyu-rr9mx
    @AthanasNkhuyu-rr9mx Год назад +3

    Nipo pamoja nanyi naomba kutumiwa video za dawa na mabanda pia hongereni kwa ukarimu wenu. Mungu awatangulie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад +1

      Banda la kuku: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd

  • @oreosmundi1967
    @oreosmundi1967 11 месяцев назад +2

    Ahsante sana kwa upendo wenu❤

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 месяцев назад +1

      Barikiwa Sana ndugu

  • @patrickrichardlimu
    @patrickrichardlimu Год назад +1

    Asanten sana mtatufkisha nch ya ahad

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Barikiwa Sana ndugu 🙏🏿

  • @charlesshilinde4491
    @charlesshilinde4491 3 года назад +2

    Mradi mzuri Sana ningefurahi kupata utaalamu wa kuwalea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Kuhusu vifaranga👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @generozavicent890
    @generozavicent890 6 месяцев назад +1

    Mko vzr hongereni kutugawia maalifa mungu azid kuwapa maalifa naomba kutumiwa dawa za asili ndiyo naanza ufugaji natamani niwe mfugaji mkubwa Sana asanten

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 месяцев назад

      Karibu sana ndugu katika ufugaji KUKU
      Tiba asili/Kienyeji za kuku Aina zote: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0GAj-_RugCAMpIbo4c13kDL

  • @edisonanton8651
    @edisonanton8651 3 года назад +1

    Nashukur Kwa elimu nzuri ninaomba mnisaidie jinsi ya kulea vifalanga naomba

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Jinsi ya kulea vifaranga👇👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @HasanatiMsangi
    @HasanatiMsangi Год назад +1

    Shukrani naomba mwongozo was banda

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад +1

      Banda bora la kuku
      ruclips.net/video/PZKM8CzOpew/видео.html

    • @RhodaKwareh
      @RhodaKwareh 7 месяцев назад

      Naomba hii

  • @johnfrancis8292
    @johnfrancis8292 3 года назад +1

    Asante Sana kwa elimu hii

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Barikiwa sana🤝🙏

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 Год назад +1

    Naomba vodeo ya kuku bora. Ahsante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Hii APA video ya jinsi ya kuchagua mbegu bora ya KUKU
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @philemon8099
    @philemon8099 Год назад +2

    Jinsi ya kupata kuku bora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Video ya jinsi ya kupata kuku bora ni hii apa
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @evabikabhai1861
    @evabikabhai1861 2 года назад +1

    Naomba Video ya Kuku bora
    Ahsante barikiwa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Amina 🙏✍️
      Video ya kupata kuku bora wa kienyeji
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @reginangongolo
    @reginangongolo 9 месяцев назад +1

    asante sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 месяцев назад

      Tupo pamoja ndugu

  • @rizikiruwa7116
    @rizikiruwa7116 3 года назад +1

    Kazi nzuri

  • @norbypoltv
    @norbypoltv 3 года назад +2

    🙏🙏🙏Asante sana kaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Barikiwa🙌🙌🤝🤝

    • @zaituninkya2081
      @zaituninkya2081 3 года назад +1

      Shukran sana naomba namba zenu napenda kusoma kwenu zaidi napia kuja kuwatembelea mukiruhusu Asante.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Karibu🤝🤝

    • @jobmasase4253
      @jobmasase4253 3 года назад +1

      Ninaitaji Hiyo Kuku Niko Kenya

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Uko mbali rafiki Sisi tupo Tanzania 🙏🙏

  • @HasanatiMsangi
    @HasanatiMsangi Год назад +1

    Naomba video ya Banda bora.asante

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Banda bora la kuku
      ruclips.net/video/PZKM8CzOpew/видео.html

  • @paschalmagubo6337
    @paschalmagubo6337 3 года назад +2

    Habari, samahani bro, shida yangu ni uleaji wa vifaranga!
    Hili zoezi limekuwa gumu sana kwangu, vifaranga wakifikisha umri wa wiki tatu matatizo yanaanza, wanaugua na vifo vinaanza kutokea.
    Hili limekuwa ni changamoto kwangu kiasi kwamba naona kama nafuga kwa hasara kubwa! Nazingatia ratiba ya chanjo, chakula lkn bado hali ni ngumu, tafadhali naomba elimu ya uleaji wa vifaranga.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад +2

      Uleaji wa vifaranga 👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

    • @paschalmagubo6337
      @paschalmagubo6337 3 года назад +1

      @@AGALUSTV 🙏🙏🙏asante sante brother, ntajitahidi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Pa1🤝

    • @paschalmagubo6337
      @paschalmagubo6337 3 года назад +1

      @@AGALUSTV Samahani, kuna swala linanitatiza kuhusu chanjo ya ndui!
      Ni kweli kwamba chanjo ya ndui haiurudiwi? Na kama hairudiwi inakuwaje pale ninapokuwa nimewapa kuku 🐔🐔 au vifaranga chanjo ya tatu moja ya kwa ajili ya Newcastle/mdondo/kideri, je hapa kuna haja ya kutoa chanjo ya ndui tena?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Chanjo ya ndui hairudiwi ni mara moja. Kuhusu iyo chanjo ebu tuwaulize wahusika, watoe ufafanuz

  • @rodgerushindi85
    @rodgerushindi85 2 года назад +1

    Perfect Class

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад +1

      Thanks 🙏🏿

  • @alfredmaingi3506
    @alfredmaingi3506 2 года назад +3

    Kusema ukweli mko vizuri, Mungu awainue Sana Sababu mnatufanya tutajirike

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Barikiwa pia ndugu 🙏🏿✍️

  • @ThomasMsuguri-ue1jp
    @ThomasMsuguri-ue1jp Год назад +1

    Naitaji hiyoo video

  • @alexntahiraja2974
    @alexntahiraja2974 7 месяцев назад +1

    Asante sana. Nimekuwa nikijiuliza. Je ni wazo zuri kutumia jogo la Sasso kwa kuku wa kienyeji? Au ni bora ukichagua kuku wa umbo kubwa wa kienyeji?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Yote Sawa tu japo upate jogoo anae panda vizuri...

  • @danielmwakatuma1438
    @danielmwakatuma1438 3 года назад +1

    Nashukur kwa ajili ya kutuwezesha elimu ya ufugaji.ubarikiwe.ntapateje video ya utunzaji wa vifaranga.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Video ya uleaji w vifaranga
      👇ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

    • @ElyMgaya
      @ElyMgaya 6 месяцев назад +1

      Jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  6 месяцев назад

      @user-qt4kf3dv3b jinsi ya kulea vifaranga
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT

  • @agesag.m2476
    @agesag.m2476 2 года назад +3

    A very educative and enlightening article 👏 cudos.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Thanks 🤝🙏🏿✍️

    • @eliasmaganda5030
      @eliasmaganda5030 Год назад +1

      Hiv kumbe mayai hayaharibiki yanapochukua muda mrefu ukiwa tayar umeyakusanya?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Uyatunze sehem nzuri angalau wiki mbili

  • @dalyuskibonde6
    @dalyuskibonde6 Год назад +1

    Msaada wa video jinsi ya kuchanganya chakula

  • @naomiyegera7742
    @naomiyegera7742 3 года назад +1

    Asante sna

  • @kelvinmulenga2576
    @kelvinmulenga2576 3 года назад +1

    Safi Sana.. I want that video please

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Which video do you want

  • @JuliusWambua-un2jn
    @JuliusWambua-un2jn 7 месяцев назад +1

    Nko pamoja na nyinyi

  • @Jadid.mohamed
    @Jadid.mohamed 2 месяца назад +1

    Nimengeza kitu bro

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 месяца назад

      Tupo pamoja sana ndugu endelea kutufuatilia video zingine zaidi ktkt channel hii ujifunze mengi zaidi ktkt channel hii

  • @paulsato6704
    @paulsato6704 2 года назад +1

    Je awa vifaranga wenye umenyanganya kuku wataitaji jua

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Hapana tu natumia umeme taa za joto au majiko ya mkaa ya kulelea kuku. Jifunze jinsi ya kutumia majiko aya kulelea vifaranga
      ruclips.net/video/fRFMyoB3OgU/видео.html

  • @shadrackwambura5757
    @shadrackwambura5757 2 года назад +1

    Nitumieni vidio za kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video ya uleaji wa vifaranga
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT

  • @josephndunguru6552
    @josephndunguru6552 2 года назад +1

    Safi San naomba video ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video zote za vifaranga utavipata apa
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b

  • @josephgowelle127
    @josephgowelle127 2 года назад

    Msaada jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video yake ni hii
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @masongomchael3470
    @masongomchael3470 Год назад +1

    Naomba hiyo Video.

  • @sitirashid3182
    @sitirashid3182 2 года назад +1

    Nisehemu gani nzuri ya kuhifadhia mayai yakutotolesha vifaranga kwakuekea kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Kwenye box lenye malanda makavu au kwenye trey ila likae sehem nzur

  • @shadrackwambura5757
    @shadrackwambura5757 2 года назад +1

    Nitumieni vidio ya kulea

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Uleaji wa vifaranga
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT

  • @RhodaKwareh
    @RhodaKwareh 7 месяцев назад +1

    Naomba hii video

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Kwa njia gani

  • @HONGESYASANGA
    @HONGESYASANGA Год назад +1

    Naomba mbegu bora ya jogoo kwa uzalishaji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Wa kienyeji AU chotara? Na upo wapi

  • @tulisamwel41
    @tulisamwel41 2 года назад +1

    Kuku ninaowaona hapa ni mbegu nzuri sana . Sijui mwalimu nikiwataka nawapataje ? Naomba ikiwezekana nipate mawasiliano.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Upo wapi

    • @tulisamwel41
      @tulisamwel41 2 года назад +1

      @@AGALUSTV Nipo Dar es salaam, Tabata changombe.

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      OK tupo Mbeya ndugu Sasa kwa umbali uo cjui tufanyeje apo naona ni mbali sana kusafirisha kuku hadi Dar. 🙏🙏 Au una Wazo ndugu

    • @tulisamwel41
      @tulisamwel41 2 года назад +1

      @@AGALUSTV Nitajaribu kuku inbox

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      OK vp unahitaji wa kienyeji au chotara Maana wote tunao

  • @josephatngua7914
    @josephatngua7914 Год назад +1

    Je nawezaje kupata mbegu bora ya kuku

  • @abrahamaniramadhani1185
    @abrahamaniramadhani1185 3 года назад +1

    Naomba unitumie hizo vedio

  • @rosemdea2830
    @rosemdea2830 2 года назад +1

    Naomba video

  • @ElipidiusDonatus
    @ElipidiusDonatus 2 месяца назад +1

    Zipo taa za solar kwa ajil ya kulea vifaranga?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 месяца назад

      Ndio ndugu baadhi ya maduka wanauza

  • @ibrahimjidai8264
    @ibrahimjidai8264 2 года назад +1

    Nitumie video namna ya kulisha na kuwakuza hao vifarangs

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video za Kulea vifaranga Zipo KWENYE link
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b

  • @ayubabwor1804
    @ayubabwor1804 2 года назад +2

    Jinsi ya kuchagua kuku bora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Jinsi ya kupata kuku bora wa kufuga
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @ElipidiusDonatus
    @ElipidiusDonatus 2 месяца назад +1

    Naomba kuuliza kwanin kipindi Cha mwezi wa tano Hadi mwezi wa nane kuku wanakufa wengi sana

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 месяца назад

      Baridi ikiwa Kali uwa tatizo na pia joto likiwa Kali ni tatzo .. jifunze zaidi jinsi ya kuongeza kinga ktk mwili w kuku

  • @ahamadomar8360
    @ahamadomar8360 2 года назад +1

    Naomba munitumie maelezo ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Jinsi ya Kulea vifaranga wa Aina zote
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b

  • @AthanasNkhuyu-rr9mx
    @AthanasNkhuyu-rr9mx Год назад +1

    Tumeni pia na jinsi yakulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Uleaji wa Vifaranga vya kuku: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT

  • @BarakaMichael-sd7kx
    @BarakaMichael-sd7kx 9 месяцев назад +1

    naomba video namna ya kichagua tetea na jogoo kwa ajili ya mbegu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  9 месяцев назад

      Video ya kuchagua kuku bora
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @RehemaMassangya
    @RehemaMassangya 7 месяцев назад +1

    Naomba video ya kuku na mabanda

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Ujenzi wa Banda bora la kuku
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd

  • @merysaimony6526
    @merysaimony6526 2 года назад +1

    Naitaji napataje

  • @reaganpathy8811
    @reaganpathy8811 Год назад +1

    Naomba video ya kuchagua tetea

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Video ya mambo y kuzingatia unapo chagua mbegu ya kuku wa kienyeji
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @juliethnassary8694
    @juliethnassary8694 2 года назад +1

    Kaka habali kwema Kaka angu samahani nimefatilia video zako you tube naomba nisaidie awa kuku nitawapataje Niko dodoma

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Wanaweza was iwe AO maana washauzwa pia iyo video ni ya muda kdogo ila LABDA utuambie unahitaj kuku wa Aina gani

  • @mohamednyituki3785
    @mohamednyituki3785 2 года назад +1

    Sawa endelen kutupa elimu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Tupo pamoja ndugu

  • @sipembogela9605
    @sipembogela9605 3 года назад +2

    Samahan et Kuna dawa ya kukuza kuku kwa haraka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Hapana ila ni mbegu tu kwa wakisasa wana wahi ila wa kienyeji wanachelewa

  • @miltonoduori6285
    @miltonoduori6285 2 года назад +1

    Nataka kuanza kufunga kuku lakini kitu sijui ni kuku gani naweza nunua Ile baada ya mwazi mbili hiyo kuku ianza kutaga sasa nafaa kununua kuku yenye iko umri wa Kama mwazi ngapi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад +1

      Karibu kwenye ufugaji wa Kuku. Fuatilia somo hili👇 kuanza ufugaji
      ruclips.net/video/AK7JIIGXjGY/видео.html

  • @FloraBoniface-v8f
    @FloraBoniface-v8f Год назад +1

    Hao kuku unaowafungia bila chakula ni iili wafanyeje sijaelewa hapo?

  • @evarestosimon2910
    @evarestosimon2910 3 года назад +1

    Nitawapate kuku kama hao ndugu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Upo wpi ndugu🙏

  • @janethkimweli114
    @janethkimweli114 Год назад +1

    Utaratibu wa chanjo ya vifaranga chakula ukoje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Chanjo zote za kuku ruclips.net/video/-vBzBc8l6_Y/видео.html

  • @UpendoMkwizu
    @UpendoMkwizu 8 месяцев назад +1

    Naomba nitumie

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  8 месяцев назад

      Video gani ndugu

  • @jacksontimila4517
    @jacksontimila4517 2 года назад +1

    Boss hamna vitabu vya haya masomo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Vitabu vipo vp upo wapi

  • @agnesmashigala5040
    @agnesmashigala5040 2 года назад +2

    Mahitaji video tafadhali

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Somo LA jinsi ya kulea vifaranga
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 месяцев назад

      Ok

  • @amonkasyanju8697
    @amonkasyanju8697 29 дней назад +1

    Hindi ya kupata kuku bora

  • @qassimnkungu8295
    @qassimnkungu8295 3 года назад +1

    Sijui jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Hii apa video ya kulea vifaranga👇👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @chausikurichard2568
    @chausikurichard2568 Месяц назад +1

    Kupata kuku bora wa kuanza nao

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Месяц назад

      Sawa ndugu ila unaweza Andika Jinsi ya kupata kuku Bora by AGALUS TV

  • @peterjacob3727
    @peterjacob3727 2 года назад +2

    Naiomba hiyo video yakuonyesha jinsi gan ya kuchagua kuku wa kufuga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video ya kuchagua mbegu ya kuku wa kufuga
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @hollojumannemlimi4496
    @hollojumannemlimi4496 2 года назад +1

    Nafurahi elimu yenu, je Bata naweza kumwekea mayai ya Bata na akayatotoa vizuri?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Una maana ya kumwekea Bata mayai ya kuku au?

  • @emmanuelrobert5172
    @emmanuelrobert5172 2 года назад +1

    H i naomba kujua namna yakulea vifaranga tafadhari

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Somo LA kulea vifaranga
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @reginaaizak1588
    @reginaaizak1588 3 года назад +1

    naomba video ya jinsi ya kuchagua mbegu bora ya kuku wa kienyeji pls

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Hii apa video ya kuchagua kuku
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

    • @viomum3704
      @viomum3704 3 года назад +1

      Asante Sana kaka naomba video y kulea vifaranga kwanzaa siku Moja tafadhali

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Kulea vifaranga👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @harlodsichone6815
    @harlodsichone6815 3 года назад +1

    Your doing good job thank you.how do you choose good size of chicken?. How many mitres can 100 chicken stay?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад +1

      For size of chicken by taking eggs to icubator machine or buying chicks to those have incubators.
      2. Size of house depend on type of chickens. For Broilers takes 1m to 10 chickens so for 100 takes around 100m squres but for layers chickens and others 1m2 takes 6 chickens. So for 100 chilckens takes around 250 m2🙏_

  • @saidindaile2948
    @saidindaile2948 3 года назад +1

    Nitumie video ya uleaji was kuku was kienyeji

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Hii apa👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @lucykitalika6783
    @lucykitalika6783 2 года назад +1

    Naomba video ya kuchagua kuku bora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      KUCHAGUA mbegu bora somo lake ni hili
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @SuzanYohana-wr8pk
    @SuzanYohana-wr8pk Год назад +1

    Mimi sijui jinsi ya kulea vifaranga hua wanakufa % kubwa yani .

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Pole sana ndugu.kwenye channel andika JINSI ya kulea vifaranga BY AGALUS ONLINE TV AU video hizi
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b

  • @AnnaNzali
    @AnnaNzali Год назад +1

    Majiko yanapatika wapi??

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Sokoni kwa wauza Majiko y udongo, AU vyungu

  • @SaidKobi
    @SaidKobi 11 месяцев назад +1

    Naomba video ya kuku bora na namba ya cm

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  11 месяцев назад

      Itafute video ktk channel hii AGALUS TV

  • @hassanmlau7686
    @hassanmlau7686 3 года назад +1

    Namna ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Ya vifaranga👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @LuizaMkude
    @LuizaMkude 4 месяца назад +1

    Mfano nikiwa natoa mayai na kuamua kuweka kwenye incubator je wataendelea kutaga tena

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  4 месяца назад

      Ndio japo watataka kulalalia

  • @edgarezden9005
    @edgarezden9005 2 года назад +1

    Naomba mnaambie wapi ntapa mitetea wazur

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Upo wapi tukutumie

  • @adelaanthony6562
    @adelaanthony6562 2 года назад +2

    nahitaji kuku bora wakubwa wa kufuga naomba video

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Mbinu za kutafuta kuku bora ni hii apa
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @ramadhanihassan8440
    @ramadhanihassan8440 3 года назад +1

    Nahitaji mbegu nzuri ya kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Hii apa
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

    • @MS.independent8934
      @MS.independent8934 3 года назад +1

      @@AGALUSTV una patikana wapii apo DAR ilii nije kununuwa mbengu Kwako? Na Bei ikoje? Mm Nina fuga Bata tuu napenda niwekee na kuku pia ila sikapata mbengu nzuri

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Sisi tupo Mbeya. Kuhusu mbegu bora fuatilia somo hili waweza jifunza mengi kabla hujaenda kununuahttps
      ://ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @gideonmkwaya1216
    @gideonmkwaya1216 3 года назад +2

    Naomba video ya namnaya kuchagua mbegu ya kuku bora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Hii apa👇 video ya kupata kuku bora kwa ajir ya kuanza kifuga
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @felistashenjewele680
    @felistashenjewele680 3 года назад +1

    Naomba kujua nyinyi Agalus TV mko wapi napenda kuja kuwaona live ili niweze kujifunza mambo fulani kwa macho pia napenda kuona jinsi ya kujenga banda la Kuku bora

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Karibu Mbeya ndugu. Kuhusu ujenzi wa banda bora LA kuku somo ni hili 👇🙏
      ruclips.net/video/PZKM8CzOpew/видео.html

    • @elikiamligo8902
      @elikiamligo8902 Год назад +1

      @@AGALUSTV
      Jinsi kujengea Banda la kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Masomo Kuhusu banda la kuku utayapata apa
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HzgJrqmWI7cB7pfGKt2sxd

  • @kenethngulo3844
    @kenethngulo3844 Год назад +1

    Naomba unitumie jinsi ya kuchagua mbegu nzuri ya kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Mbinu ya kupata KUKU bora
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @RehemaMgeni-k6m
    @RehemaMgeni-k6m Год назад +1

    Naomba video ya kuchagua kuku borakwa mbegu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Jinsi ya kupata mbegu bora ya kuku
      ruclips.net/video/N-DBOzac8pU/видео.html

  • @wycliffeomondi9429
    @wycliffeomondi9429 3 года назад +1

    Ni vipi nitaweza kulea vifaranga?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Jifunze zaidi jinsi ya kulea vifaranga👇🙏
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @qassimnkungu8295
    @qassimnkungu8295 3 года назад +1

    Nitumie jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Somo la vifaranga 👇👇👇
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @newworldvisiontv8998
    @newworldvisiontv8998 2 года назад +1

    VIP ninyi hamuuzi Kuku kwa ajili ya kufuga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад +1

      Tuwasiliane tu ndugu ukiitaji tutasaidiana yawezekana kwetu lakini hata kwenye mashamba mengine 🙏

    • @newworldvisiontv8998
      @newworldvisiontv8998 2 года назад +1

      @@AGALUSTV ok now Niko kwa masomo ntawacheki baada ya kugraduate

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад +1

      Mungu awe nawe katika masomo yako 🙏🙏🙏

  • @jamilamgunda699
    @jamilamgunda699 3 года назад +1

    Nataka kujua jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Kuhusu kulea vifaranga hii apa 👇 video yake
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @ahmadnangwaranya9418
    @ahmadnangwaranya9418 2 года назад +1

    Tuma video ya kulea vifa

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video ya kulea ya kulea vifaranga
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @getrudemhozya9920
    @getrudemhozya9920 3 года назад +1

    Ndo nimeanza ufugaji Nina vifaranga 25 wanaokaribia kutaga 9 bado vidogo. Changamoto niliyoiona Kuna vijogoo vidogo vimeanza kuwika pia kimoja kinawapanda wenzake japo hao wanaopandwa bado hawajui chochote je ndivyo inavyokuwaga?

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      Haina shida ndugu. Ni tabia za sex kwa viumbe pia. Na ni kawaida🙏

    • @getrudemhozya9920
      @getrudemhozya9920 3 года назад +1

      Asante kwa kunitowa hofu maana nilitaka nimchinje

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      😀😀Tupo pa 1

  • @IsikeGerda
    @IsikeGerda 5 месяцев назад +1

    Nahitaji hio video kaka

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  5 месяцев назад

      Kwa njia ipi ndugu

  • @rosekhalid2953
    @rosekhalid2953 2 года назад +1

    Naomba jinsi yakuwapata hao kuku

  • @ramadhanihassan8440
    @ramadhanihassan8440 3 года назад +1

    Nitumia mbegu nzura ya kuku

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  3 года назад

      +255765467484wasap

  • @pacienteraston2902
    @pacienteraston2902 2 года назад +1

    Kwahiyo wanapopatwa magonjwa mnatumia Sawa gani zaidi

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Kila ugonjwa una dawa yake

  • @BakariMatauna-c3y
    @BakariMatauna-c3y Год назад +1

    Nijins gani umalea ivyo vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  Год назад

      Masomo ya jinsi ya kulea vifaranga masomo yote yapo apa
      ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0HoNxv6Z8q2rDM1i8sCH2GT

  • @bridgetngeiyamu6601
    @bridgetngeiyamu6601 2 года назад +1

    Naomba kupata jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      #uleajiwavifaranga

  • @EmmyMagunda
    @EmmyMagunda 7 месяцев назад +1

    Nitawapata wapi kuku bora hao .nijibu

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  7 месяцев назад

      Upo wapi ndugu

  • @macrinamoshy9249
    @macrinamoshy9249 2 года назад +1

    Naomba video jinsi ya kulea vifaranga

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Video ya uleaji wa vifaranga👇🙏
      ruclips.net/video/4xqTBAKBHs4/видео.html

  • @shaniasaid9824
    @shaniasaid9824 2 года назад +1

    Nirushieni video za kujifunza

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  2 года назад

      Ok🙏🏿🤝✍️

  • @JustinKaasa
    @JustinKaasa 21 день назад +1

    Naomba Video ya utunzaji wa vifaranga wadogo

    • @AGALUSTV
      @AGALUSTV  21 день назад

      Uleaji WA vifaranga
      Uleaji wa vifaranga vya kuku: ruclips.net/p/PL8xez8Eh4s0ENNDvJHA3l1dLb6SOmAv3b