PROF KABUDI AWARUDISHA WABUNGE SHULENI KWA DAKIKA 13 ASHUSHA NONDO

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 май 2024

Комментарии • 83

  • @oforodidaskimaro4266
    @oforodidaskimaro4266 24 дня назад +11

    Finally, this is Prof. Kabudi we used to know. Your speech today is truly inspiring, Prof. Your advocacy for steering our country towards a future driven by science and technology coupled with indigenous knowledge was not just powerful but essential. Thank you for your visionary, pivotal, brighter and innovative speech. Now the implementation.....remains a question of curiosity...

  • @suleymanimixkatafighter2669
    @suleymanimixkatafighter2669 17 дней назад +2

    profesa tunaona elimu yake hapo tumeona matumizi sahihi ya elimu safi kabiSa Mh prof kabudi kweli prof mwingi wa maarifa heshima yako mkuu ningependa ungekuwepo kwenye baraza la mawaziri maana mawazo yako ni ya thamani sana

  • @user-xc7qj7ze7m
    @user-xc7qj7ze7m 12 дней назад

    Wenye maarifa wako nje ya mfumo kwenye mifumo wapo wenzangu na mm mungu baliki tz

  • @maclucky4149
    @maclucky4149 24 дня назад +3

    Hajamshukuru SAMIA.
    He's not puppet.... Hongera LAProfessor

    • @ebenezerkaaya7345
      @ebenezerkaaya7345 18 дней назад

      These wazee's 🙌
      They mean business, nmemsikiliza prof Muhongo karibia dk 15 sijamsikia akisifia, n kazi tu, nafikiri wanaosifia kila siku wanajambo lao, siamin kama wanatumwa, mtu anapewa mda wa kuchangia10min, dk 3 anasifia na kushukuru dk 2 taarifa kutoka kwa member mwenziie, 5 ndo anachangia mda ukiisha kabla ajamaliza hoja yake anabaki kushamgaa akat mda amepoteza mwenyew

  • @kimandafukitefu2999
    @kimandafukitefu2999 21 день назад +3

    Magufuli watu wake wa karibu walikuwa watu wa kufikiria nje ya box, nimegundua ndio maana na ww ulikuwa mmoja wapo

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 24 дня назад +2

    Well said prof 👍👍👍 tumelogwa na wazungu naona huku kichwani ....

    • @anuarymyekakimolo4785
      @anuarymyekakimolo4785 15 дней назад

      We nawe unachanganya vitu hiyo anayo tengenezea hoja za msingi si misamiati ya kizungu hiyo ! Kataja mkoruba kaulizwa maana yake nin yeye mwenyew ni professor kwa Elimu ya wazungu fikri nje ya hapo ulipo mkuu

  • @dainamo-tz7715
    @dainamo-tz7715 23 дня назад +2

    Ndio Maan Magufuri Alipenda kuwa karibu Na Wewe!!!!

  • @AbshirMubaarack
    @AbshirMubaarack 24 дня назад +3

    Nchi yetu inawasomi weeengi sn,ila ni wachache mno wanaotumika katika kuliongoza taifa. "Hawawezi kufanana wanaojua,na wasiojuaa"

  • @jacobmsigwa383
    @jacobmsigwa383 24 дня назад +6

    We are publishing and perished...but others are patenting and prospering....nondo za Profesa Kabudi

    • @solomonsamuel3584
      @solomonsamuel3584 24 дня назад +1

      Kama huna A mbili huwezi elewe na siyo D Tena😂😂

    • @karyori69
      @karyori69 24 дня назад

      Biotheft ni noma!

  • @Jovahn_company
    @Jovahn_company 24 дня назад +3

    Sasa matunda ya elimu ndo haya achana na I want to ask you one question 😢

  • @user-gp5wx1ev9f
    @user-gp5wx1ev9f 24 дня назад +2

    Dr. Prof Kabudi has articulated very well his submission and he deserves to be given another five years with a ministerial position of Agriculture

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 15 дней назад +1

    😂😂😂 wahuni siyo watu yan mtu hajatajwa ila ana toa sadaka muda ambao si wake nyie

  • @dainamo-tz7715
    @dainamo-tz7715 23 дня назад +2

    Huyu mzee anajua namfatilia sana Natamani Angekuwa rais wa Hii Nchi angesaidia Huyu Mzee kasoma Ana Maarifa makubwa 🙏san

    • @anuarymyekakimolo4785
      @anuarymyekakimolo4785 15 дней назад

      Kelele nyingi sisi mdomo sana na uprofessor wetu upo qualified kweny midomo Mwambie azalishe hicho anachokisema ndo utagundua knowledge know what siyo sawa na knowledge know how and knowledge know why

  • @christinapaul5614
    @christinapaul5614 24 дня назад +5

    Mitano tena kwa professa

  • @felixr.m5084
    @felixr.m5084 24 дня назад +2

    mambo haya yasisemwe tu bungeni, tuone implementation zake kwa usimamizi wa serikali

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 19 дней назад +2

    Professor Kabudi ana akili kubwa ya kufikiri ,sana (criical thinking ) sema siasa za nchi hii za hovyo watu kama akina Kabudi hawafit

  • @simonenkindi
    @simonenkindi 24 дня назад +3

    Waziri wa elimu anafaa

  • @user-gp2kh5pe1x
    @user-gp2kh5pe1x 24 дня назад +8

    Mimi huyu mwamba namkubali sana

  • @kivurichumamwerumungwi9382
    @kivurichumamwerumungwi9382 24 дня назад

    Your the best professor. Your my national father.

  • @jumaseseme1654
    @jumaseseme1654 24 дня назад

    mzee upo vizuri nnguzo kwa taifa letu

  • @stephenalmas4209
    @stephenalmas4209 24 дня назад +1

    Ifike mahali sheria ya kuingia Bungeni iwe lazima uwe na uwezo wa kujenga hoja kama hawa wasomi, naona hta wanao ongoza kikao nao jawajui lugha yao hadi wafafanuliwe, bado kuna wale waliokuzwa na "you know"...wakijiona kuwa ndio wasomi wwnyewe, wakipigwa nondo wanakaa kimya kama hawapo kabisa Bungeni...ebu vyama vya siasa vituokoe katika hili wimbi la ujinga, maana kwenye sera za wengi wape ndipo tunapopatia matatizo yasiyoisha milele na wapigaji wenye akili kufanya yao bila hata uoga...maana wanajua kura nyingi ni za ndiooo, hususani ukizimegea mkate kidogo tu!

  • @HASSANAHMED-ue9nz
    @HASSANAHMED-ue9nz 25 дней назад +6

    Mzee anajua

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 24 дня назад

      Saaaana huyu nafasi ya uwaziri wa mambo ya njee alifanya vzr sna hasa pale ndege zetu zilipokua zinakamtwa nje kipindi cha magu

  • @user-ch1or6fb3o
    @user-ch1or6fb3o 24 дня назад

    Hongera sana prof, umetupa shule

  • @rabaikatakweba1566
    @rabaikatakweba1566 14 дней назад

  • @jojigeorige1056
    @jojigeorige1056 16 дней назад

    Changamoto yake kubwa ni pale anapoitwa mbele ya Rais kuongea. Huwa anateleza sana, otherwise yupo na madini mengi mno

  • @finiasmaengela2996
    @finiasmaengela2996 24 дня назад

    Mmmh! Kabudi tu the next level

  • @HansiAll
    @HansiAll 20 дней назад

    Yaan shule haidanganyi jmnnn prof kabudi,,dk bashiru wanajuwa hebu rejea mchango wa kapulwa kwenye wizara ya kilimo mwaka janaa ni madini tupuuuu jmnnn

  • @samkoka3
    @samkoka3 24 дня назад

    Mzee yuko vizur sana

  • @bujashidaniel5537
    @bujashidaniel5537 24 дня назад

    Huyu jamaa kchwa sana ,,, ila kuna wabunge wasndkzaj humu

  • @emanuelluke1279
    @emanuelluke1279 24 дня назад +1

    Mama ampatie professor wizara uwezo anao

    • @saidnoumani7244
      @saidnoumani7244 24 дня назад

      Hafai...unaweza kuwa ni professor lakini huna uongozi...si ni huyu aliyesema Mh. Mungu?

    • @anuarymyekakimolo4785
      @anuarymyekakimolo4785 15 дней назад

      😂 kiaz! Siasa bana huoni hata anachosema ameandika kweny karatasi anashindwa kutaja indigenous ana jikaza tu ! U professor wenye akili wa kuzungumza kisiasa tu! Mwambie aseme tafiti yake imefanya nini kweny ulimwengu wa Africa maana tuna uhaba wa Falsafa zetu wenyewe za kisasa na tafiti zetu za sayansi yetu ili zitumike mashulen vyuon na kwny jamii jimbon kwake! Utumbo mazuzu waksoma neno professor na hiyo hoja aliyo kariri usiku kucha wanakuambia apewe nchi, mavijana bana! Wamejaa matumbo kw pesa za Umma kna mmoja yeye ni professor wa uchumi nguli nchini ila nenda kaangalie uchumi wake mwenyew anaishi kwa Pesa za Ruzuku sasa mpe mice usikie akikupa hoja zake mamaaa! Utampenda mwambie fanya hicho unacho ongea kwako na kwa Chama chako

  • @paulkapiki2779
    @paulkapiki2779 25 дней назад +3

    hakika hauishiwi maarifa hongera kwa utalamu wako na uchambuzi wako kwa lengo la kuisaidia Tanzania yetu.

  • @EmanuelJackson-bj6ye
    @EmanuelJackson-bj6ye 16 дней назад

    Madini

  • @mathiasmsila8387
    @mathiasmsila8387 17 дней назад

    Hili Bongo liko njema

  • @matwerangulichedr3985
    @matwerangulichedr3985 24 дня назад

    Big brain

  • @hamisiizadini3938
    @hamisiizadini3938 23 дня назад

    Mumzungumzie na mwalim

  • @CreshaRevelian-wb6ky
    @CreshaRevelian-wb6ky 25 дней назад +1

    Person ability

  • @richardmoses7470
    @richardmoses7470 24 дня назад +1

    Nyumbani hamtuiti hamtupi nafasi, sasa ivi nchi za ulaya zinatuita watupe kazi tuwasaidie kwenda kwenye mwezi, haya sisi hatuna namna

  • @faustinombilinyi9809
    @faustinombilinyi9809 22 дня назад

    Hiki kichwa noma sn mali sn

  • @simonpeter5300
    @simonpeter5300 24 дня назад

    Hazina ya taifa letu 😢

  • @mathiasmsila8387
    @mathiasmsila8387 17 дней назад

    Hakunaga,
    Labda

  • @songombingo108
    @songombingo108 24 дня назад

    Huyu si ndo alisema aliokotwa jalalani? Leo mnamsifu?

  • @thabitngangila8562
    @thabitngangila8562 24 дня назад

    Kuna mtoto wa mmbunge ambae yupo ktk kata?

  • @christopherjoseph8330
    @christopherjoseph8330 25 дней назад

    Wenzetu wazungu wamewekeza kwenye dawa zitokanazo na mimea na sisi tumewekeza kwenye dawa zao za viwandani. Why wanakimbia dawa zao za viwandani? Viongozi wetu wajiongeze.

  • @smsno1415
    @smsno1415 24 дня назад

    Kiongozi huyu ndio anafaa kuongoza Taifa, kiongozi mwenye maono wasiyoona wenye macho

    • @arafatihamza4204
      @arafatihamza4204 24 дня назад

      Wakipewa hawafanyi hayo

    • @smsno1415
      @smsno1415 24 дня назад

      @@arafatihamza4204 hajaanza leo huyu tangu enzi akiwa waziri wa mambo ya nje anafanya vizuri

  • @thubututv.5094
    @thubututv.5094 24 дня назад +1

    Mwamba anapiga nondo

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 24 дня назад

      Mwamba Gani huyu alitapeli alienda kuchukia mizizi madagasca eti ni dawa yakorona tapeli mkubwa huyu

  • @RusiaHamimu
    @RusiaHamimu 25 дней назад

    Ukuruba Duuuhh

    • @FahadAbubakari
      @FahadAbubakari 25 дней назад

      Ni sawa inatokana na neno la Kiarabu Qaribun , kiswahili karibu , unapata ukaribu karibia kurubia ukaribu ni sawa kua ukuruba

  • @mwasoprince3459
    @mwasoprince3459 24 дня назад

    Kuruba , kustanabahi

  • @fredmbossa-kc3qn
    @fredmbossa-kc3qn 25 дней назад

    ukuruba + utabahari =ukubaha😆😆😆😆😆

    • @allyismail455
      @allyismail455 24 дня назад +1

      Ukiponyeza translate ndo utachoka😂😂

  • @johnny.j.nyondo
    @johnny.j.nyondo 15 дней назад

    Yaani hapo wajinga ni nyie wenyewe.

  • @wisdomntruth6085
    @wisdomntruth6085 24 дня назад

    Watoto wenu wanasoma nchi gani?

  • @robertphilip385
    @robertphilip385 24 дня назад +1

    Huyu jamaa ni tapeli wa siasa

  • @charlesmoshi1983
    @charlesmoshi1983 24 дня назад +1

    Huyu ndio Kabudi tunaemjua na kumuheshimu acha yule aliefunikwa na mwendazake akawa chawa na Uprof akaweka kando

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 24 дня назад

    Mzee wa jalalani ... na wa kumuita raisi mungu hovyo kabisa

  • @user-mx2tx5eg9x
    @user-mx2tx5eg9x 24 дня назад

    Misamiati migumu ya nini,tumia maneno rahisi😂😂😂

    • @joshuachimwejo5892
      @joshuachimwejo5892 24 дня назад +2

      Taaluma siku zote huwa na misamiati. Maneno mepesi hutumika mitaani.

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 25 дней назад

    Huyu Mhe ni mlei mzuri wa Roman Catholic, kwa kweli amelelewa kwenye maadili ya Kanisa.

  • @rashdiyange7758
    @rashdiyange7758 25 дней назад

    0:07 😅 0:17 0:17

  • @anuarymyekakimolo4785
    @anuarymyekakimolo4785 15 дней назад

    Kwani mzee Haya mawazo kayaandaa kwa muda gani mbona huja zenyewe zimeandikwa kwenye karatasi na bado a Naongea mpka asome kweny karatasi! Aa professor jifunze kwa Pro. PLO Lumumba yule baba Professor kweli mzee hasomi kipande cha karatasi na hakwami popote

    • @manyakuulaompondelo4419
      @manyakuulaompondelo4419 15 дней назад

      Nyie ndo mnaorudisha maendeleo nyuma. Kwani wapi imeandikwa, Profesa hapaswi kusoma popote akiwa anaongea??? Acha wivu wewe

  • @msafirisaimoni9561
    @msafirisaimoni9561 25 дней назад +2

    Hawa n wasomi tu uwezo wa kutenda n mdogo