Waziri Ashindwa Kujizuia "Nitaleta Marks Zenu Hapa"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 10 сен 2018
  • Waziri Ashindwa Kujizuia "Nitaleta Marks Zenu Hapa"
    Waziri wa Katiba na Sheria, Profesa Palamagamba Kabudi amesimama Bungeni leo katika mkutano wa 12 na kutoa ufafanuzi kuhusiana na matumizi ya bajeti yake inayopitishwa Bungeni hapo.
    Install GlobalPublishersApp Android: bit.ly/2AAQe1d iOS: apple.co/2Assf4M Subscribe ww.ruclips.net/user/uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit globalpublishers.co.tz/,
    Suazi1 / uwazi1 WEBSITE: globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari INSTAGRAM: / globalpubli .

Комментарии • 424

  • @dennismalima5365
    @dennismalima5365 4 года назад +16

    Hii ndo maana ya professional Professor... Akili kubwa sana hyu mzee...Mungu azidi kumlinda. Hizi ni talents chache tulizonazo Tanzania hii... Waliomuelewa WAZIRI PROFESSOR KABUDI..., GONGA LIKE

  • @innocentmtondo9656
    @innocentmtondo9656 3 года назад +5

    Nimeelewa kwann magufuri anamkubari sana nakumpa vitengo muhimu sana
    Kama tuko pamoja gonga like

  • @st99ngeni35
    @st99ngeni35 5 лет назад +33

    Prof Jabudi oyeeee! Nakupenda sana. Umejaa hekima, maarifa na umesheheni taaluma

    • @jafaritego9498
      @jafaritego9498 5 лет назад +1

      Atawatajia cozwrk zao af watu wakimbie umo ndani

  • @msyanituntufye3441
    @msyanituntufye3441 5 лет назад +19

    Daah! nafurahi sana ninaposikia hoja zako waziri natumaini watajirekebisha hao ndugu zetu.

  • @jofreykasian7184
    @jofreykasian7184 5 лет назад +25

    Uko vizuri prof.

  • @godfreywebiro4058
    @godfreywebiro4058 5 лет назад +38

    Daahhh kumbe kuna watu bhanaa wameenda shuleee.... Bravoo prof Budi👏

    • @binlahej7221
      @binlahej7221 5 лет назад +2

      Kuna akina Zito Kabwe na vidigrii vyao moko vya mlimani na taarifa za kupenyezewa wanajiona na kujifanya wamesoomaaaa

    • @abdalahfarida2074
      @abdalahfarida2074 4 года назад +1

      Yeye mwenyewe alifeli tunajua kila kitu. Angekuwa amefaulu asingekua hapa angekuwa UN. Atoe mijazba yake hadharani.

    • @shabbymakapane1910
      @shabbymakapane1910 4 года назад +5

      @@abdalahfarida2074 kwani Alivyokua Anahutubia UN Mwaka huu ulikua wapi? Na Aļivyowaambia Wazungu Waindolee Zimbabwe vikwazo huko UN wewe Ulikua wapi? Juzi Alivyohutubia Kenya kwenye BBI ulikua wapi? Mpaka kuwashikisha mikono wa kenya na ķuwaimbisha nyimbo za kuacha siasa za ukabila na Akashangiliwa na unati mkubwa haijawahi tokea Kenya acheni kejeli za hovyom

    • @shekysheky1949
      @shekysheky1949 4 года назад

      K

  • @yohanamaulid6147
    @yohanamaulid6147 5 лет назад +34

    Hahahaaaa baba anapoongea watoto wanaenda kulala, nimekuelewa sana Prof. Kabudi, Kahalima Mdee sijuwi kako wapi?! Hahaha kameenda kulala najuwa hata Kalisu kangekuwepo kangeenda kulala, Gonga like hapo kama uwezo wa Prof. Kabudi ni mara mia ya uwezo wa Lissu

  • @fredkyara.babamunguwambing482
    @fredkyara.babamunguwambing482 5 лет назад +42

    Nnakukubali sana Profesar. Kabud Nannaimani wewe nikati ya majembe muhim Mzee Baba anayoyategemea Ubarikiwe sana.

    • @nelsonkazaura6954
      @nelsonkazaura6954 5 лет назад +1

      Fred kyara. Baba mungu wambinguni Mfinanga We Fred Umempenda Nini mbabaishaji Huyu? Kiboko Yake Ni Halima Mdee, Na Atamnyoosha tu.

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 лет назад +1

      sio jembe ila wewe ndo unahitaji elimu , anakusomea katiba ya ccm iliyotungwa na nyerere, , ujinga ndo adui wa taifa TZ , kuonyesha vidole na kutoa macho and you are fucking impressed?

    • @johanescleophace675
      @johanescleophace675 5 лет назад

      Huyu jamaa ameshindwa kuweka bayana kuhusu makinikia.

    • @jurmainezaidi739
      @jurmainezaidi739 5 лет назад +1

      +Samater Yussuf zero brain wew aisee

    • @jurmainezaidi739
      @jurmainezaidi739 5 лет назад

      +Samater Yussuf kumbuka waitara na karanga wameshndaa

  • @rashidchembax4315
    @rashidchembax4315 5 лет назад +21

    Ndio mana Rais Magufuli alimteua Professor Kabudi kuwa waziri wa katiba na sheria.... Yuko vizuri

  • @ramadhansylvesta1952
    @ramadhansylvesta1952 5 лет назад +14

    hua nikimsikilizaga huyu MH, waziri najifunza mengi sana kuhusu Sheria BIG UP

  • @edsonlaurencemwagamasasi9074
    @edsonlaurencemwagamasasi9074 5 лет назад +34

    Kama najiona enzi hizo first year bachelor degree of laws kwenye constitutional law and legal system... pongezi nyingi Sana kwako Professor na Waziri kabudi

  • @brysonsabun4657
    @brysonsabun4657 5 лет назад +6

    Thanks for this lesson Professor!! The parliament can only challenge the executive and not the judiciary. Mungu aendelee kukupa Roho ya uvumilivu.

    • @yohanacosmas5273
      @yohanacosmas5273 2 года назад

      Sautiyako tunatamani iwafikie na wananchi wakawaida prof kabudi unaijenga nch kwa elimpana saana. Mungu akuogezee siku zakuishi,

  • @freddymello3227
    @freddymello3227 5 лет назад +1

    Hongera Prof.unapoongea jamii inaenda shule.maneno yako ni shule tosha kwetu sie tulioikosa elimu hiyo.
    Mwenyezi Mungu akulinde na kukuzidishia hekima na busara.

  • @omarwahab7191
    @omarwahab7191 4 года назад +1

    Propher Kabudi muungu akuweke na akupe maisha marefu uwape elimu wapotoshaji

  • @erickchitumbi1308
    @erickchitumbi1308 5 лет назад +16

    Huyu jamaa anajua kuliko tunavyomuona.kasoma anachokizungumza na amezaliwa nacho.

  • @kelvinkamuzora
    @kelvinkamuzora 5 лет назад +15

    Safi sana nimeelewa

  • @mohammedsalim6398
    @mohammedsalim6398 5 лет назад +32

    Leta marks zao mwl Inaonyesha kweli walifeli wengí Wao Kama ni wa ziro tuwajue pia uko vizuri mh kabudi, wamezidi kujiita wanasheria? Kumbe 0

  • @charlesotwalo9335
    @charlesotwalo9335 4 года назад +1

    Watu wenye Elimu zao bwana,professor uko vizuri mzee wetu Mungu akuongoze

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 5 лет назад +3

    Nimemkubali sana waziri, kwasheria hajaribiwi

  • @jenovevadickson3729
    @jenovevadickson3729 5 лет назад +12

    Nimependa safi

  • @AmonMwaijengoForester86Mwai
    @AmonMwaijengoForester86Mwai 5 лет назад +23

    Wapinzania kuleni "public lecture" hiyoo. Mbona mmepotelea vichakani😂😂😂😂😂😂

  • @athumanjuma2772
    @athumanjuma2772 5 лет назад +16

    Professor

  • @muhsinibinfaridi1685
    @muhsinibinfaridi1685 5 лет назад +6

    We mzee uko vizuri saana waelimishe hao wakukimbia bunge hasa huyu mvuta bange wao mdee anajifanya wakati hajui kitu

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 5 лет назад +17

    Wafundishe mwalimu hawa wanasheria ni vilaza.......kila siku tunataka mihimili isiingiliwe halafu Bunge linataka kuiingilia mahakama

  • @salmaothman153
    @salmaothman153 5 лет назад +9

    Saluti kwako 💪💪💪💪

  • @mohammediddimwangu9119
    @mohammediddimwangu9119 5 лет назад +2

    Shikamoo Professor Kabudi

  • @rachelbujuli7151
    @rachelbujuli7151 5 лет назад

    Kweli kabisa Mhe. Waziri wasaidie kuwakumbusha sheria kwa walio wengi ni shida tunakupendaga sana Professor P. Kabudi uwe na maisha marefuu katika nchi hii

  • @edwardgwaspika4943
    @edwardgwaspika4943 5 лет назад +15

    Uko vizuri sana mh. Profesa pigs kazi wengine hao sana matatizo binafsi!

    • @samateryussuf5938
      @samateryussuf5938 5 лет назад

      hayuko vizuri ila wewe ndo umekosa elimu , ujinga ni adui mkubwa wa TZ

    • @alphonceatanasio510
      @alphonceatanasio510 4 года назад

      @@samateryussuf5938 ww ndo mjinga na waliokuzaa kwa kukosa elimu moto wao

  • @josephkessy36
    @josephkessy36 5 лет назад +30

    Aisee tz tuna vichwa..... Hiki ni kichwa bwana. Nimempenda bureeee anavyotoa hizo nondo za sheria

  • @emanuelmlowe6854
    @emanuelmlowe6854 5 лет назад +4

    Waziri anajua sheria sana

  • @MrJediahmed
    @MrJediahmed 4 года назад +1

    Kabudi is Tanzania next president .big up sir .you are my best choice to lead our country after JPM's second term. Prepare your Slogan .we will eventually follow your steps .

  • @yonakiza1471
    @yonakiza1471 5 лет назад +2

    Uko vizuri mheshimiwa waziri

  • @tumahamza8972
    @tumahamza8972 5 лет назад +16

    Anapoongea Kabudi watu kimyaaa,kama yuko kwenye chumba cha lecture🤣🤣🤣

  • @daudshaza1221
    @daudshaza1221 5 лет назад +18

    Nimeipenda hii ya miaka Mia kenda asante mh kabudi

  • @AmonMwaijengoForester86Mwai
    @AmonMwaijengoForester86Mwai 5 лет назад +17

    Dhuu!! Kwa mwendo huu "wapinzania" watahemea mashime siku zote za maisha yao. CCM ina majembe hatari. Tukutane 2020😂😂

    • @patrickherman1906
      @patrickherman1906 4 года назад +1

      Hahahaaaaa uko sahihi kabisa

    • @wilfredsimon2531
      @wilfredsimon2531 4 года назад

      Ina maana wapinzani ndio wapo Wanasheria maana naona wengi mnawasema? Au upinzani ni upi naona ccm inapinga vyama vingine na vyama vingine vinapinga ccm wote si wapinzani?

    • @hamisinyagabona1977
      @hamisinyagabona1977 4 года назад

      We need fact and not story about mentioning the marks of the past students mr

  • @neemchilunda9347
    @neemchilunda9347 5 лет назад +6

    I learned something from you

  • @mrishobakari3754
    @mrishobakari3754 5 лет назад +21

    bunge nzima kimyaaaa Tcha anatoa elimu Kwa mambumbumbu Na vilaza ,kumbe yanapiga kelele elimu ziro

    • @yunushamis4839
      @yunushamis4839 4 года назад

      Fala kwel

    • @angeloludovick8465
      @angeloludovick8465 4 года назад +2

      akitoa assement wote watafeli...hawa..bora wakae kimyaa wanyolewee lecture apige pindii

    • @leonardemmanuel9249
      @leonardemmanuel9249 4 года назад +1

      😀😀😀😀😀wewe jamaa umenifanya nicheke kwa sauti

  • @henrichzakayo7908
    @henrichzakayo7908 5 лет назад +16

    Jembe

  • @georgemwenisongole7912
    @georgemwenisongole7912 5 лет назад

    Jamaa Jembe sana nimeanza kumuelewa hongera prof.

  • @nelsonkasambala6849
    @nelsonkasambala6849 5 лет назад

    Uyu kweli ni profesa .hongera mzee

  • @rutakihama7599
    @rutakihama7599 5 лет назад +2

    Daaaaah Safi sana Prof

  • @khatibalamin401
    @khatibalamin401 5 лет назад +30

    Akiongea huyu Mh waziri! Naelimika sanaaa! Wee ni nondo kuliko siasa!

    • @henryndosi8569
      @henryndosi8569 5 лет назад +2

      Tatizo wabunge wa upinzani makelele mengi bila umakini,

  • @fransicochunji327
    @fransicochunji327 4 года назад +1

    Special congrats to you sir.
    God bless you.

  • @nellynzau421
    @nellynzau421 4 года назад

    Best East African, if not The Best African mind!
    I'm Kenyan and proud of Prof. Kabudi

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 3 года назад

    i love him soo much, good heart man ever

  • @chambimagele6726
    @chambimagele6726 5 лет назад +16

    Umeeleweka mkuu.....hutakiwi kuquestion mahakama ni muhimili unaojitegemea

  • @ednahamisi7288
    @ednahamisi7288 4 года назад

    Mwenyezi mungu awalinde na kuwaongoza vyema viongoz wetu

  • @mtemialoyce4778
    @mtemialoyce4778 5 лет назад

    kila ninapokusikiliza mh kabudi nazidi kuelimika na hakika wewe ni mwalimu mungu akubariki sana ...sande sana blai.

  • @gilbertotieno3984
    @gilbertotieno3984 2 года назад

    Kabudi yupo vzuri Sana. Mungu ambariki

  • @henrymwalugala3619
    @henrymwalugala3619 4 года назад

    Upo vizuri minister wangu.

  • @petergisabu2994
    @petergisabu2994 5 лет назад +12

    Nimeipenda elimu yako mzee piga kazi

  • @enockshija5512
    @enockshija5512 5 лет назад

    hii ndiyo maana ya professor, sure mwl wangu umenirudisha darasani,na sasa nikuite Mwl wa bunge.hongera sana asiyekuelewa ana matatizo yake.

  • @mikelmasanja2522
    @mikelmasanja2522 5 лет назад +10

    Wanasheria wa upinzani kama nawaona huko waliko visura vimekuwa vidogo kama piritoni, Kuleni public lecture hapo kwa Professor na sio mlivyozoea kubwabwaja tu.

    • @adhuhurisangoda8629
      @adhuhurisangoda8629 5 лет назад

      Ni kwasababu lissu hayupo..

    • @mikelmasanja2522
      @mikelmasanja2522 5 лет назад +3

      Hata Lissu anaujua moto wa Prof. kabudi na anamuheshimu sana, Huyo ndo alikuwa Dean of school of Law UDSM.

    • @restitutamelchiades902
      @restitutamelchiades902 4 года назад +2

      Yaani kama ulikjwa kwenye kichwa changu mapinzani yapo tu wanayumbishaga wasiojua sasa waseme nini tena?

  • @jumamnyanda847
    @jumamnyanda847 5 лет назад +4

    Asante kwa shule mzee

    • @nassorobushiri2359
      @nassorobushiri2359 5 лет назад

      Mueshimiwa raisi ange pata mawanzi Kama Hawa hichii ingefikambari kwautendaji wake Safi sana

  • @jackposio1707
    @jackposio1707 5 лет назад +16

    Kwa uhakika mheshmiwa umetoa darasa hata huko lisu aliko amebaki mdomo waaaaaziiiiiii na anashukuru kutokuwepo kwaninangeaibika

  • @subiramohd885
    @subiramohd885 5 лет назад

    Mungu Akupe uhai mrefu sana Nakupenda sana

  • @solomonmasanja7111
    @solomonmasanja7111 5 лет назад +21

    hahah safi sana ...wamezoea kukurupuka bila kusoma na kelewa. Wakina Mdee wamesepa walijua watakuja kuumbuliwa

  • @siamakundi5362
    @siamakundi5362 5 лет назад +8

    Professor n level ingine aise duu

  • @innocentpaulchillu1512
    @innocentpaulchillu1512 5 лет назад +4

    katiak wizara ambazo zimepata vichwa ni hii ya katiba na sharia,well done to jpm.

  • @cachybest3879
    @cachybest3879 5 лет назад +1

    Mungu akupe nguvu Mh kabudi akika wewe nimtu muhimu ndani ya Taifa hili sheria unaijua okoa taifa

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 3 года назад +1

    i love him a millions

  • @ndebilemathias7115
    @ndebilemathias7115 5 лет назад +1

    da ! kweli kabudi hakukosea kuwa professor good explanation bigger up

    • @thomaslukubi7299
      @thomaslukubi7299 5 лет назад

      Mwalimu wa communication skills nawe achilia madini

  • @kisulaabas2614
    @kisulaabas2614 5 лет назад +7

    Duh najihisi nipo lecture jamani

  • @abdullahrashid6297
    @abdullahrashid6297 5 лет назад +15

    Huyo ni msomi mnamtaja Lisu na kabudi ndio alikuwa mwalimu wake hata Kama angekuwepo Lisu angepinga makofi tuu

    • @thomaslukubi7299
      @thomaslukubi7299 5 лет назад

      Bahati mbaya kabudi hajawai kumfundisha Lisu, mwakyembe ndiye kamfundisha Lisu ,tafuta taharifa sawia

    • @ibrahimgwasma235
      @ibrahimgwasma235 5 лет назад +1

      Ha ha h Lisu yeye Ni mpingaji Wa kila kitu huwa anataka jambo lake tu ndo lifanikiwe

    • @gabrielkitia6767
      @gabrielkitia6767 5 лет назад

      Hakuwai kuwa mwalim wake

    • @shabbymakapane1910
      @shabbymakapane1910 4 года назад

      @@ibrahimgwasma235 sawa kabisa

  • @teddymwageni1763
    @teddymwageni1763 3 года назад

    Amina kuu,nakupenda buree

  • @fredkyara.babamunguwambing482
    @fredkyara.babamunguwambing482 5 лет назад +4

    Hongera Mh. Kabudi.

  • @mohdyussah825
    @mohdyussah825 5 лет назад

    Nice waziri kabudi

  • @cyrilologe
    @cyrilologe 4 года назад

    Bwana vizuri kweli...

  • @husseinkarim7839
    @husseinkarim7839 5 лет назад +5

    Ina maana hao wanaojiita wanasheria walikuwa wala maandazi tu, walifeli. " IAM A LAWYER BY PROFESSION " wanajigamba.

  • @gidionseleman7318
    @gidionseleman7318 5 лет назад +9

    "I'm indeed flabbergasted, I'm indeed perturbed with this kind of behaviour"
    Professor Palamagamba Kabudi

    • @leonardemmanuel9249
      @leonardemmanuel9249 4 года назад +1

      If we condemn with this behaviour we aren't to being called a parliament

    • @hellenandronique9761
      @hellenandronique9761 3 года назад

      Hapo kwenye flabbergasted 😂 english ni shidaa

  • @jamessanga7120
    @jamessanga7120 2 года назад

    Yes profesor

  • @jaffarimguwa6869
    @jaffarimguwa6869 5 лет назад +6

    Wafundishe HAO nyumbu wanapayuka tu

  • @jumaedward7110
    @jumaedward7110 5 лет назад

    ooh ! Ahsante sana professor kumbe Rais anauwezo wa kutunga sheria peke yake.0

  • @neemajavan4125
    @neemajavan4125 5 лет назад +8

    ulikua wapi jaman siku zote we baba ,Tz inawatu makini

  • @williamhalinga3584
    @williamhalinga3584 5 лет назад +20

    Kimsingi mheshimiwa umeenda shure nimekukubali

  • @theodanielmuhirwa1094
    @theodanielmuhirwa1094 5 лет назад +1

    Aksante kwa kuniongezea neno lingine la kimombo"flabbergast" Indeed i'm very flabbergasted

  • @vascodagama3695
    @vascodagama3695 5 лет назад +2

    Safi professor

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 5 лет назад +17

    mzee uko vzr nakweli rais alikuona vyema hy ndio fan yako

    • @francishoza7979
      @francishoza7979 5 лет назад +1

      Nimejifunza kitu leo kutoka kwa prof nice speech

  • @alexjosephat9030
    @alexjosephat9030 5 лет назад +1

    Nimekukubaliiiiiii,

  • @emmanuelbonifas3517
    @emmanuelbonifas3517 4 года назад

    Hy prof tumtumie vzr anakichwa kizuri sn cha elimu na nimuelewa mzr god bless you

  • @selesaid4367
    @selesaid4367 3 года назад

    God love be with you brother

  • @josephkafumu3006
    @josephkafumu3006 Год назад

    Baba chambua wafundishe baba nakupenda sana

  • @emmanuelmgina8838
    @emmanuelmgina8838 5 лет назад

    Hongera sana

  • @TheBlkk100mk
    @TheBlkk100mk 5 лет назад +2

    We can interfere if speaker’s decision violates Parliament rules, says SC
    The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament.
    Updated: Feb 13, 2017 19:59:33
    By HT Correspondent
    Speaker,Mukul Rohatgi,Parliament Rules
    Attorney general Mukul Rohatgi had told the Supreme Court that a speaker’s decision cannot be challenged in court. (PTI File)
    The Supreme Court told the government on Monday that it can interfere with the Lok Sabha speaker’s decision if it violated the rules or procedures of Parliament.

  • @annamutta7312
    @annamutta7312 4 месяца назад

    Nimelipenda darasa lako muheshimiwa.

  • @mussamtakati7432
    @mussamtakati7432 5 лет назад

    Ufafanuzi mzuri sana

  • @omarwahab7191
    @omarwahab7191 4 года назад

    Prf kabadi hongera

  • @sophiashayo1996
    @sophiashayo1996 5 лет назад +4

    💯💯💯💯

  • @wilsonnyabagaka2265
    @wilsonnyabagaka2265 5 лет назад

    Excellent

  • @nickmaina4482
    @nickmaina4482 4 года назад

    He has a. Great minds

  • @stevestephano5043
    @stevestephano5043 4 года назад

    Nimependa

  • @bahishaalexander3641
    @bahishaalexander3641 5 лет назад

    shikamoo professor

  • @charlsmwamlima6767
    @charlsmwamlima6767 4 года назад

    Sawa sawa

  • @asianataliamhina3987
    @asianataliamhina3987 5 лет назад +2

    👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏

  • @giftmkumbwa1331
    @giftmkumbwa1331 5 лет назад +1

    %%% kwake waziri

  • @francischiko3752
    @francischiko3752 5 лет назад +8

    Zaburi ya 15😃😃😃😃😀😀

  • @eventelias3566
    @eventelias3566 4 года назад

    Kabudi ni nomaa I appreciate his words and wisdom.

    • @yohanacosmas5273
      @yohanacosmas5273 2 года назад

      Uerevu wako mzee uwasaidie wanyonge waliokuamini. Kulinda hakizao,malizao, na kutetea unyonge wao pia

  • @yugakiyumbi9909
    @yugakiyumbi9909 5 лет назад +8

    Darasa

  • @josianenagito7578
    @josianenagito7578 4 года назад

    It was in December 12 . on Virgin Marie of Guadeloupe !

  • @ephlahimmdemu135
    @ephlahimmdemu135 5 лет назад +1

    Kila mtu ni expert kwenye eneo Lake,