yaani kati ya watoto wa nyerere huyu makongoro anatabia ya uchawa sjui kukosoa yeye ni sifa tuu kwa watawala namkubali sana yure mtoto wa nyerere anaeendaga kuwaangaria hadi wapinza yu. na kuwashauri anasimama kwe familia kweli ya baba wa taifa ata baba yao ariwa penda wapinzani kuwakosoa na kuwasifu wapinzani huyu makongoro ni chawa kabisa
Mbali ya kuweza kuwa katibu mwenezi pia angefaa kuwa Comedian kwa kushirikiana na mzee Makamba hapo vipi?Ndio ingetosha kujuwa usanii wa CCM...CCM Oyeee!
Umeme nimependa kwenye umeme
its good
Ww muheshiwa magongoro angekuepo mwenyewe asinge kubali mambohayo maana alikuwa mhh
Makongoro oyee
sauti kamababaako mungu awapumzishe wazee hawa
Pole sana mama Yetu jipe moyo mama yetu
She even looks like her husband🎉
I thought just like you
Umeme unavyotuaibisha mbele za wageni mashuhuri duniani
yaani kati ya watoto wa nyerere huyu makongoro anatabia ya uchawa sjui kukosoa yeye ni sifa tuu kwa watawala namkubali sana yure mtoto wa nyerere anaeendaga kuwaangaria hadi wapinza yu. na kuwashauri anasimama kwe familia kweli ya baba wa taifa ata baba yao ariwa penda wapinzani kuwakosoa na kuwasifu wapinzani huyu makongoro ni chawa kabisa
Kwenye familia siku zote kuna yule mtoto mtambo yaani hamnazo ndio huyu sasa 😂😂
🦅
Hehe..! Wana Maombi mbona hujawapa Kipaumbele..hujui hao ndo Marafiki Wa Bi mkubwa wako hasa
Mungu akutie nguvu mama yetu wa taifa
Haina maana wala haistahili makufuli bora mara mia moja
Umeandika nini?
Hahaha,umeme oyeee
Saut kama y kambarage
Mama yetu huyoo tunampenda sana
Makongoro matani mengi sana mpaka unapoteza Radha ya sherehe
Anapowachangamsha watu. Nadhani ndiyo sherehe kunoga?
huyu jaama alifaa kuwa Katibu mwenezi ccm
Mbali ya kuweza kuwa katibu mwenezi pia angefaa kuwa Comedian kwa kushirikiana na mzee Makamba hapo vipi?Ndio ingetosha kujuwa usanii wa CCM...CCM Oyeee!
Kabisa
Comedian kabisa
Hafai hata kuwatambulisha viongozi hajui
Sisi watu WA msasano tunaomba tuwe tunaomgea na mama Maria hatamwaka mara moja tunajuana nae kwanini tusipigenae Stori Chino ya ulinzi
Mbona mama janeth magufuli hamjamuonesha? Mamaaeee
Hukua na haja ya kutukana ili mradi amealikwa. Wengine nyi sijui mukoje, punguza ushamba
😂😂😂😂❤❤
Sasa Mtu hayupo hai jamani hii sherehe ya Miaka 100 vp
Ni pesa ya serikali 2 inatumika.
Kumbukizi tu kama Xmas na pasaka
@@myunaniniahmad6463 hamna shida ! Nyerere ana haki kuliko wewe ana umuhimu kuliko wewe, hata robo hufikii
Mwenye nacho huongezewa
Macho makali kama ya baba yake
Sasa miaka 100 inakuaje wakati amefariki jaman mm sielewi