Style aliyoitumia Makongoro Nyerere kuomba kura za ubunge
HTML-код
- Опубликовано: 5 фев 2025
- April 4, 2017 ulifanyika uchaguzi wa wabunge wa bunge la Afrika Mashariki ambapo Wabunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakifanya uchaguzi huo Bungeni mjini Dodoma.
Mmoja wa wagombea alikuwa ni Makongoro Nyerere ambaye style yake ya kuomba kura ilisababisha wabunge wengi kuanza kucheza kila muda alivyokuwa akiongea
Namuona Mwalimu kwa mbaaali ndani ya Makongolo, kama na wewe umeona hivyo like
Ni makongoro, sio (makongolo)
Mh makongoro wewe unafaa kuongoza hata kwa malkia uingereza ! Your very talenting and confidently! Saafi saana
Your so Intelligent person,big up Hon.Makongoro
Nakupenda kaka angu makongoro una Nidhamu ya kale kuheshimu mdogo na mkubwa huna dharau.
Mpo wapi Leo mnaoangalia 2024 dec
Niko hapa
Tupo 2025
Huyu jamaa huwq anaonekana kama comedian kumbe ni mnoma sanaaa😅😅😅
Who is watching this in 2025?
Hahahaha!! big up makongoro! in real I appreciate on how you took the floor!!
Kama unacheki hii kitu 2021.mwezi wa 5 upo timamu mno
2024 December
2025
Huyu jamaaa alipaswa kuwa rais wa nchi tungeinjoy sana sana
very nice Makongoro J.k. Nyerere,, shikamoo mzee!
nimependa aina ya siasa aliotumia hizo ndo siasa zinazotakiwa Tz hongera makongoro kweli umetoka katika nyumba ya wenye hekima na busara
asante kwa kuja Mr Makongoro
Nampenda sana huyu jamaa, anajua sana kujieleza, English yake safi
Sana
Very true..
jamaa anajua sana big up makongoro
Mr.makongolo is very fantastic😄😄😄
Very interesting like his father.
daaaah anajua mpaka raha kumsikiliza!!!!!
Km unanfurahsha hv!!!!! Nmekpenda kngereza chako! Kko vzr Mr.
Kumbe mwalimu alimfundisha kijana kiingereza,safi sana.
Brian Basela ila wengine hajawafundisha..!
Well done..the son of
Baba wa Taifa...I admired
How you handle the floor. Congratulation.
millady ayo !Good job keep it up
Mimi naona kingereza kiwe kinapewa kipaumbele kwenye hili bunge.😃😃😃😃 hivi kweli shikamoo mzee katisha
Frank Sylivestar
Sema Kula Dogan
sorry *kulwa
Swahili Marahaba Shikamo
umetsha makongoro u made a gud speach
Speech
Very very good speech,proud of you
I appreciate
Shkamoo.
Ukitaka kufanikiwa jishushe.ilipendeza sana.
HahahA ndalola amang'Ana ni mazomu ku kingeleza kwazo mwetu. .......big up
Awe hehehe Orasekya kweli
Wow! Intelligent man
Milard mungu akuongoz kweny kazi yako
Good speach
🤣🤣, Daaah namuona Baba wa Taifa kwambaaaali
Marahabaaaaaaa... hujambo MTOTO wa Baba YETU wa TAIFA
Thank you Hon.RC Makongoro Nyerere for a nice speach
😊😊😊😊😊😊😊😊
Upo vizuri sana kakaangu
Makongoro you very happy now! Thank you
Verry funny i like it!.....
.
Today am doing revisions. Big Up Makongoro JK Nyerere
good Mr you makongoro Nyerere
like his father, big up makongoro
very nice mr makongoro
Sema anazeeka harka
duh! hii style👍
He is good and bright!
makongoro this is ccm braza ,, merely shikamooooo
Makongoro anajua kuongea vzr
Huyu jamaa ni bonge la kiongozi
I Really Admire Ur English. It's Fantasy And Good. But Mheshimiwa Umenivunja Mbavu...Eti Shikamooo Hahahahaaaaa
uncle hahahaa u made me laugh
hhhh you made us to remember our first president, Big Up
Makongoro you are my hero...big up !
I like this man
MH. Makongoro hotuba uliotoa Kwa lugha ya kiingereza ilikua nzuri sana nimekuelewa na hapo wabunge walibaki kunyamaza baadhi Yao walikua hawaelewi lolote ulichoongelea Kwa kua baadhi Yao hawaelewi au lugha hio ilikua inawachenga niligundua Spika ilikua anakupima kama ulikua unajua kuongea lugha ya kiingereza lakini Spika alibaki kuduwaa tu hongera makongoro tumekuelewa
thank you dearly
😀😀😀😀😀😀😀unazeeka na utani wako ,shikamoh
Salute Makongoro
All of you shikamoo 😂😂
mamaaaa iyo lv kiswahili kwa kingereza kinaitwaje nauliza tuu jaman
Denis Matthew Kiswanglish
Denis Matthew Swainglish
Makongoro karibu manyaratena
Mhe magu naomba mpe kazi mhe makongoro
good ma dad
A man is smart.
mama mbavu zanguuuuuu uuwi
baba unajua kujieleza sana
u r good....
Marahabaaa
Natafurahi sana siku huyu jamaa akiwa hata waziri ,tutajua uwezo wake vizuri
Hahaahaa mbunge msukuma yuko wapi mazee wa la saba Sijui hapo anatafasiriwa na nani makogoro
Tanzania still needs a Good Politicians... That Nyerere didn't sell him self very Good to his fellow members of the Palament.....
Gd
he speaks like nyerere
unforgettable speech
this guy is good
very speech
Ni shidaa shikamoo
Jamaaa elimuu watuu wapondaa hajasomaaaa buree anafaa uongoziii
Hon Makongoro MARAHABAAA
Hahaha kweli bungeni kuna wasomi kweli kweli
Makongoro nyerere shikamooo
Rais ampe kazi, Jamaa yupo vizuri
mtu anapigwa interview ya kingereza hapo, kwakua ni E. Africa. hapo kuzuga watu lakini kikubwa MTU anapimwa uwezo wa lugha ya kigeni
angel mwanaidi VEE
Very funny man
yuko sawa anamanisha yuko chini yao,, na ndoo maana harisi ya shikamoo
Kiukweli jamaa kama Baba yake hadi sauti.
Kabisa
Makongoro unajua sana asee mpaka kero hahaha
regardless of your age shikamoo.....hah hah hah
Marahaba
Nimefurah baada ya kuona wabunge wengi wapo kimya nikagundua shida sio maneno hayajawapendeza shida hawaelewi kinachoongelewa
Leo mjuba ni RC maisha yanaenda kasi
Wabunge wengine wanaulizaa kwa kukomoa kwa kuona et hajuii,anajua bhana political federation
Ulabu 😂😂
Ahahaha hata mm nimecheka
Safi sana Makongoro
Makongoro umetisha
Ujinga tu watu wanakuza lugha zao sisi tutabakia watumwa.
Tokeni hapa
manina kweli hawa nyambavu zao
+mlakapolo mzenji09 kiingereza ndo lugha inayotumika kwenye EALA
Evarist Mrosso sasa hapo eala?????
+mlakapolo mzenji09 Kuna wawakilishi kutoka mataifa yote ya EAC wako hapo
Kiingerezaa sio cha kubabahishaa
Redemption seriously
uko vizuri sana
Waliokuja kuona hii baada ya uteuzi wa Samia tujuane
alikuwa na mengi ya kuzungumza. na ile shikamoo bila kujali ukubwa au udogo wa mtu alikuwa na maana yake pia. kamwamkia waziri mkuu kamwacha spika wa bunge!!! siasa bana!!! uongozi una siri nyingi sana. napita jamani. asante spika wa bunge na makongoro nyerere pia
Stedius Bernado kasalimia wote
Huyu mtu hataree sema umri tu umemuacha
nimependaaa
Sasa kiingereza cha nini mpo USA au pumbavu ..
Umeongea vizuli sana na umejibu vizuli sana.