HATUMTAKI HUYO MKULIMA, KAZI YAKE TU SITAIWEZA, ILA NIMEMPENDA - HELLO MR. RIGHT
HTML-код
- Опубликовано: 5 окт 2024
- ►Instagram / stbongotv
►TikTok / stbongotv.tz
►Facebook / stbongotv
►Twitter / stbongotv
ST BONGO TV Channel 401 (Dish) 161 (Antena) on Startimes Decoder - Развлечения
Huyu mkaka siyo mkulima. No mtu kazi yake mzuri sana kila amekuja kupima je kuna wenye mapenzi ya Kweli. CONGRATULATIONS MY BROTHER. Kwa kupima watu.
Kwan mkulima anashida gan
@@esterpaschal6080mi mwenyw nalima huko 😂😅 kwa hyo tunashida gani
@@esterpaschal6080 tena ukulima ukikubali una pesa
@@esterpaschal6080ni wewe hiyo dp
Watu wengi hamjui kama kilimo ni bonge la mchongo....kilimo ni pesaaaaaa
Ila kumjudge mtu kimaumbile ni kumvunjia heshima na udhalilishaji Sijapenda hao wadada walichofanya. Please weken sheria kama mtu hajampendae mr right ni bora akatae! Kwa No bas!
Yani nawaskiliza naona wenyewe ni Mungu asee wana judge had uumbaji 😂,
@@theprincejr1417 na hao sijui madaktar wanaona kawaida tu , ila akifanyiwa hivyo bint yoyote ndio wanajifanyaga wanahasira na mr right , then wanamfukuza. Hakuna binadamu yoyote mwenye haki ya kukosoa! Yan hili limeniuma kama nimefanyiwa mm.
Ni kweli,,hawana adabu kabisa waweke sheria jamank
Kwanza mwanaume mwenye akili zake timamu hawez kwenda hapo na ndio maana hao wanaume wanaowahitaj hawawez kufika hapo
Kiufupi hamna wanawake wa kuoa hapo wengi wanaangalia vitu vya kimwili
Braza katudanganya hakuna mkulima hapa. Ila chaguo alilochagua wala hata hawaendani. Anitha anahitaji mubaba😢 by the way hakukuwa na haja ya kuingiza ufupi, just say No inatosha. Kila mtu kajikuta ameumbwa
Sasa na hao wamalaya wamekuja kuninadi nao wanachagua pumbavu kabisa nyie😂😂
Am proud of you brother and I love that
Huyu kaka nimtu mkubwa kadanganya wanawake hamna bahati😂😂😂
Hiki kipindii wapo serious kweli au ni comed 😂😂
Johar afukuzwe kabisa mbwa huyuu
Ywaudhiii haswaaaa
Kabx afukuzw
Afu sio mzuri 😂
Sio vizuri kabisa hizo lugha wanazo tumia hao wadada waelewe kilicho wapeleka na si kudhihaki watu kama hujampenda kausha tu
Hawa wanawake woote siwo, wanataka wanaume waongo, mana mwanamme akiwa mkweli hawataki wanataka wanaume weny majumba na magari, kaz nzuri lkn wanaume weny kuhangaika na maisha hawataki
Mungu huumba matumboni mwamama zetu atakavyo yeye.....tena kwa mfano wake ,yaani sio kwakufanananaye ,bali kwa namna yake anavyohitaji ,msije mkanifikilia nafananisha mungu na hinadamu , laa hasha .....ila kwa namna atakavyo yeye , so MTU mfupi au mrefu hujikuta tu hapo wala sio kwa mahitaji au kuomba.....huo ndio uweza wa mungu ambao watu huutilia shaka.
Madharau hayoo ndiomaana mkakosa wanaume wakuwaowa.wanawake mlokuja apoo nyote mnaila.
Ko sie wakulima mnatuona watu waajab au sio😢😢😢
Hao ni Malaya wapo hapo
Makosa kuwaita hivo.
Makos gani? wamalay awo@@paulmuhia7781
kabixa kabisa😅😅
Umeniwahi nilitaka kucomment ivo ivo hao malaya tu kwanza mwanamke anayejiheshim na kujua thamana yake awez kwenda kujinadi ivo
plz niunganishe me na huyo kijana plz
Na nyie wanaume bhna kwan huwez kudanganya kama una kazi nzuri unasema kazi ya uongo na kazi mbovu ili wazarau atakekukubali ndio unasema ukweli sasa maana ndugu zangu wanaonekana wapenda pesa
Duh hata hawaendani😂😂uyu dada mwili mkubwa
Uyo dada ana laana ufupi una nn Mungu ampe laana uyo dada asipate mwanaume
Amina
😂
Conglatration
nilkua najiuliza why mr right hawaji kumbe hawataki jichoresha😂
Naomba part 2 ya huyu boy coz lastly atasema kazi yake au mnipe no. Yake
But it hasn't end oooh😢😢😢
Huyo Johari ni mshamba wa KIGOMA
Huyo johar hatopata hata mwanaume wenda awe fara kama yeye make toka nmeanza kumuona hapo anaelekea kuchacha sasa Inaonesha tabia na tu mbov hyo ndoa ataitunza
Mkulima huyu jameni siungeenda kuoa kijijin ili mlime vizur 😂😂😂😂😂😂 Pole au twende tukalime wote
Kwani mtu anajishugulisha na kilimo ni lazima ashike jembee????
@@RosemaryPius-cs5lh 😂ndio kilichomkosesha pale aliposem nimkulim yeangesem mjeda wote wangewasha taa
Bora kile kipindi cha Kenya ichi cha uku ni ufala alafu hawana adabu wako kama wanadanga tu atakama niihari ya mtu kuchagua ila hawa wanazalilisha watu,,ata hao waongoza kipindi wanashindwa kumfariji mtu wan mcheka haya tuone kma iki kipindi kitaendelea kwa haya mambo hakuna mwanaume anapenda fedhea
mbona anita mwenyewe nilimama kabisa afu anajishauwa angekuwa mzuri siangelinga
Wasichana mungu anawaona acheni mashauzi mkulima kwani siyo mtu kwani mnakula vilivyotoka wapi! Kama siyo mkononi jamani du!
Johar kaongea pumba😂
Hajuagi hata kuongea kwa utaratbu
Yaani hawo wanawake wa mr right siyo kwamba wanampenda mtu bali huwa wanapenda pesa na kazi ya mtu si kumpenda mtu mwenyewe
Safi Kijana huna Hasira, huo ndiyo Uanaume
huyu jamaa ni mtata, itakuwa amedanganya kwenye shughuli na kuna kitu anapima.
Hata mm nahc icho
Hivi hawajui kilimo kina pesa mno...basi tu hawaangalii pesa zinapatikan wapii
Mmh mbona kama udharirishaji jmn
Uyo johari namuombea asipate mume asugue Gaga apo adi akome anamdomo sana na atakeye mchagua nishida
Kashamba kametoka bush kamekuja mjini kalimbukeni
Mmmmh hicho kidemu kinafanya kinajua ngoja nitokee Mimi nikakikatae pia
Johari utazeekea apo apo😂😂
Huyo nikimkuta yuko na braza nitafukuza , mwanmke hajui kuongea na stara ya mwanmke
Huyu sio mkulima...wadada mnapenda pesa na sio mtu kwendraaaa
Wote watafika mbinguni wamechoka maan hao wantk waume wenye pesa km wazazi wao wanazo
Hapo hakuna wake ni panya road tu wamejaa😂😂
Huyo johari atawapunguzia mashabik wa kipindi hicho hebu jaribuni kupunguza wahuni wengine wateja wetu tunawaona kabisa na mjue kbs kuwa madanguro yashaondolewa kwa sasa wanajitafutia na bahati mbaya kwakuwa ni wameshazoea kila aina ya wanaume ndo maana hawaishiwi machaguo na wanasumbua na kubaki hapo kuwaharibia kipindi.binafc gari b ntakuja hapo kama mr r lkn mtanifukuza kwa kuwachana hao malaya
Mbona uyo johari mjuwaji San na hapo podium hatobowiiii
Haipendezi kumtoa mtu kasoro kama hajakuvutia tuliza kipago
Yani nyie wadada sura mbaya hadi roho gara b shusha hao wanaojiona hapo na mtasubiri sana kupata wanaume kweli mtapata w kuwafunua tu🧐🤔
Hili ni dangulo lililo sajiliwa tuu tofauti kidgoo na aloyavunja Chalamila hili ni official
Mmmmh kwani Mungu haajakosea kuumba muelewe hilo msijaji kuumbwa kwake
Kwan uyo Johar yupo kwaajr ya kulekebisha Mr right
tobhaaaaa Si shangazi yake huyu🤣🤣🤣🤣😂😂😂😂😂
Wafupi wana dudu ndefu sanaaa ❤😂
Wa kwanza leo😊
Huyu Johari hawutapata mwana umme kwa tabia hizo Nakwambiya hawutapata sijuwi unajionaje
Akun mwanamuk mweny heshim Zak utamuona hap wote niwamaraya tu afu johari hatapatag bwana mimi uyu😮😮😮
Atapata wapi na kiburi alichonacho mdomo dharau uso tu unaonyesha akiongea ndo usiseme
Ukiona w,mke kaja kujianika hapo ujue anatatizo Mara kazi yake mby Mara mfup zaa wako akuow
Congratulations keep it up good job 🎉🎉🎉🎉❤❤❤
Alau uyu jokhal.atoke
Me uyo mkaka nimempend BURE aje kwng ao wte malaya tu wanajiuza t
malaya hao
Watupandishe wanaume n sis tuwazalilishe kma walivyo mshusha chalii asee
Kwel kabisaa na wenyewe waone raha
Mmezalilisha mkaka wa watu malaya nyie mtazeeka mkiwa mnadanga pumbavu zenu 😏😏😏😏😏
Kwani hawa wadada wanatafuta wanaume wa kuwaoa au wanatafuta wanaume wenye pesa, wadangaji wakubwa wanaboa sana wanakuwa kama malaya bwana wanachagua utasema wao wanamaisha mazuri vile hawana lolote
Mi napenda kuelewa kitu kimoja je bila kuwa nakipato ni vigumu kupata mwanamke? Wamalaya ndo wanakuja kujitafutia tu
kwel maisha yanaenda Kasi muolewaji anachagu wanataka kuolewa na wanaume wenye pesa wakati huo wenyewe Hali mbay
Anita kamkonyeza huyo jamaa, kashamulewa ila anazuga.😂
Umeona eeee
Ndo maan tunadanganywa kumbee😂😂😂😂😂😂😂
Huyu caren ni mpumbavu sana tena Sanaa tena malaya sana aisew
What's wrong with míchael😂😂😂😂
kujidhalilisha hivii mhmm
Hii entertainment tu
Plz naomba huyo kijana mniunganishe me namempenda plz naomba mc garab
Ila kaz ngum hiii daaaa😂😂
Broo tafuta hela ufupi hutaonekana😂😂😂
Alfu pesa ikiisha ufupi si unarudi palepale
Mtu akikupenda hawezi kuangalia kasoro zako za kimwili
Hawa wanawake wote mafala
Gara B simamia kipindi vizuri baadhi ya hao mabinti hawana kauli nzuri kwa mr right
Huyo luludiva nae hanabwana
Watu awaataki kulima jamani😂😂😂 jembee
Johar anasifa sanaa
Hamna mwanamke wa KUOA hapo wote kahaba tu wapenda pesa😂
Kweli Kabisa
True 👍
sasa nyie wanaume mnaenda kufanya nn kwa malaya awa wadada na waonaga mazingira ya kujiuza alafu mnaenda kutafuta ukimwi2
Hapa kuna makahaba tu hamna mke wa kuoa apa kwa mwanaume anae jielewa hawezi kuja kutafuta mke apa
Ndio mana hawa wasichana wanaishia kuwa vimada kwasababu hawana heshima
Kina Anitha ni wakarimu na wapole sana na wakweli
Huyu johar amnazo diva mtoen atawamalizia pepsi zenu 😂😂😂😂
Hv kwa nini nyinyi watt mnajidhalilisha hv ama kweli dunia hadaa
Nami sijui nice nipate wangu?
Awo madem makuma
Ukiwa huna kazi ya kueleweka usijisumbue kwnda hapa Kila mtu anataka maokoto
Hayo wa dada wote niwamalaya akuna anaye taka mme Wana taka pesa tu
Naomba niulize kwani wazee hawapo mbona vijana tu!
Amina ngade?? 😢😢
😊😊😊😊huyu annitha ni mchaga
Good script!
Mmh hao warembo hata wakiolewa hawawez kudumu kwenye ndoa maana hawapendi mtu wanapenda vituu alivyonavyo mista laiti
Mnaongeza wanawake tu alaf hawatoki😂😂😂 majivuno kabayaa wakati bikra hawana walisha kuliiiiwa hadi wakakuliwa tena lkn majivuno sasa
Si haki kumdhalilisha mtu kimaumbile, pia nyie mnaotafuta wachumba hiyo siyo sehemu ya kupata mke wa kuoa hao ni wachunaji wanapenda pesa tu, naona wengi wanejurudia humo watoke
Muwe na maneno ya hekima wanatazama niwatu wengi
Weng Malaya tu hapo
Joari bado upo 😂 utazeekea apo
Johar jiangalie kwanza na uzee wako
Huyo johari nimshenzi
Wanawake hao hawajafundwa hao maneno machafumachafu
Hivi haya ni maigizo au ukweli mkaka mzuri huyu namna hii hawez kosa mwanamke et afate machangu hao, sasa kama Anitha si jimama ilo changu, linywa pombe
hiyo midem ni mikahaba tu
Igekuwa niwazuri wageishi kwenye ndoa