Mchekeshaji Neila awaacha hoi Waziri Nape, Joseph Kusaga, Mwana FA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 фев 2025
  • CHEKA PLUS TV CH 414: Huyu hapa @officiallneila
    akihakikisha hakuna anayetoka Mlimani City akiwa amenuna! 😅
    Endelea kufuatilia LIVE #UTV108
    #ChekaTu #ChekaTu414 #ChekaTuPlus #AzamTVBurudani

Комментарии • 118

  • @FarajiAbilahi
    @FarajiAbilahi 8 месяцев назад +36

    she was supposed to be a psychologist, anachekesha same time anaponya misongo ya mawazo, she teaches as well. big up

    • @aureusnchimbi7243
      @aureusnchimbi7243 8 месяцев назад +4

      Kaka ww chimba chumvi

    • @OmanOma-xi3hm
      @OmanOma-xi3hm 8 месяцев назад

      Kweli masikini tunashida presha tupu ila wemdada unachekesha 😂😂😂

  • @futuremistake7886
    @futuremistake7886 8 месяцев назад +7

    Kwa kweli mimi nakupa 9/10

  • @salomemanfred1809
    @salomemanfred1809 5 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂Uyu Mshikaji muongo et ooh temboo😅😅😂😂 Nimekubal San Kaz nzur 🔥🔥🔥✌️

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 8 месяцев назад +1

    I like it 👌

  • @Salhah-v9h
    @Salhah-v9h 7 месяцев назад +3

    Kwel. Jisi. Wanavy. Vaa nivichekesh😂😂😂❤❤

  • @SARAHBONIVENTURE-yw3ke
    @SARAHBONIVENTURE-yw3ke 7 месяцев назад +2

    Congraturations

  • @mashramadhani1989
    @mashramadhani1989 8 месяцев назад +8

    DADA UNAWEZA SANA NA UNAJIAMINI

  • @NageMsuya
    @NageMsuya 8 месяцев назад +4

    Odo kaza Mungu akupe kutimiza malengo yko

  • @mugishadavidsengati5119
    @mugishadavidsengati5119 8 месяцев назад +1

    Yuko vizuri😂😂😂😂😂 very funny

  • @johnnchora3215
    @johnnchora3215 5 месяцев назад +5

    Anajua

  • @CECILIAMAGANGA-sk8md
    @CECILIAMAGANGA-sk8md 8 месяцев назад +2

    Nmechekaaaaaa😅😅😅

  • @NgarasaaJunior
    @NgarasaaJunior 8 месяцев назад +2

    That is magic😅

  • @thierrybisimwa3312
    @thierrybisimwa3312 7 месяцев назад +2

    Nella ni number 1 comedian in tz afu leonard Ana fata

  • @ibrahimjumbe8121
    @ibrahimjumbe8121 Месяц назад +1

    Ana content sema hapangilii vizuri wapi agonge ili aache nafasi watu wacheke

  • @HassanMkwepu
    @HassanMkwepu 8 месяцев назад

    Amazing

  • @YeddaMturi
    @YeddaMturi 8 месяцев назад +5

    Neila anajua anaongelea vitu ambavyo wengi wame experience😅

  • @PrincessHellen-pg1oy
    @PrincessHellen-pg1oy 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂 nimemkubali buree

  • @AsukileMwambuluma
    @AsukileMwambuluma 4 месяца назад +3

    Namkubal sana neilaaaaaa

  • @FaridaOngala
    @FaridaOngala 7 месяцев назад +4

    Nimemkubari uyu dada

  • @nyabwekebabere113
    @nyabwekebabere113 6 месяцев назад +1

    Yuko vizuri😂

  • @rahmahasan32
    @rahmahasan32 8 месяцев назад +3

    Hahaha ❤❤❤❤❤❤

  • @GervasMwageni
    @GervasMwageni 7 месяцев назад +1

    Uyuu ni mwalimu anajisahau sana 😂😂

  • @bupeisaya9063
    @bupeisaya9063 8 месяцев назад +4

    Huyu yuko mmmwaaaa kuliko yule wa purple

  • @auntbebybeby8317
    @auntbebybeby8317 6 месяцев назад +2

    ❤❤❤

  • @queenshoo3884
    @queenshoo3884 8 месяцев назад +7

    Sister umejitaidi mtu mwenye stress hawezi kuelewaah ila umenichekesha sanaaa

  • @lunangabenjamin3121
    @lunangabenjamin3121 8 месяцев назад +6

    😂😂😂 huyu demu asma na mtamanigi kishenzi sana na amini ipo moja tu.

    • @mossesgadiye2200
      @mossesgadiye2200 8 месяцев назад

      😂😂😂 utakufa na hamu zako Bure

    • @HidayaMbodze
      @HidayaMbodze 7 месяцев назад +1

      😂😂😂​@@mossesgadiye2200

  • @realestatetnz
    @realestatetnz 8 месяцев назад +2

    Anajua😂😂

  • @hasanimohamedi279
    @hasanimohamedi279 8 месяцев назад +1

    😂😂😂😂 mbn kukojoa😂😂

  • @lewismpangala927
    @lewismpangala927 2 месяца назад

    Namkubali sana

  • @FrankMushi-cs5js
    @FrankMushi-cs5js 8 месяцев назад +2

    Attar

  • @LilianiMeena
    @LilianiMeena 8 месяцев назад +4

    Super star hotel 😂😂😂😂😂

    • @glorymuro5411
      @glorymuro5411 7 месяцев назад +1

      😂😂badala ya five star anasema super star😂😂😂

  • @bullychandy6509
    @bullychandy6509 8 месяцев назад +2

    COMEDY CHANGED INTO INSPIRATION

  • @abdulkheri7322
    @abdulkheri7322 8 месяцев назад +2

    L & R it is still a problem in our tz 😢

  • @official_mpemba
    @official_mpemba 8 месяцев назад +3

    show ikoo poa kinoma but sound ya vyombo kwa tunaotazama mtandaoni iko chini sn

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 8 месяцев назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @godwinkileo7702
    @godwinkileo7702 2 месяца назад +1

    Mimi hata sioni ucheshi hapo

  • @HappynesKaaya
    @HappynesKaaya 6 месяцев назад +1

    Hi guys udoin

  • @witneywilly
    @witneywilly 7 месяцев назад +3

    Anachekesha sana ila anarudia rudia maneno inachosha

  • @kiatu
    @kiatu 8 месяцев назад +2

    Nchi za huko mbele hakuna kulipia vitu cash kila kitu kwa credit - sio sifa kulipia cash. Nyumba mkopo, gari mkopo, nguo mkopo. Muda wa kulipa miaka 5 hadi 20. Na sio kwamba hawana vyeo na pesa ila wajanja wanaona bora kufanyia miradi hizo pesa na kuishi maisha mazuri badala ya kujibana ama kuiibia serkali ili kupata hivyo vitu.

  • @AmirHk-mh1xc
    @AmirHk-mh1xc 8 месяцев назад +2

    ❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂

  • @D-Man.B-Free
    @D-Man.B-Free 8 месяцев назад +6

    Hakuna kipaji kigumu kama live comedy 🎭 kuchekesha watu live😝😝😝

    • @josephmallya5525
      @josephmallya5525 8 месяцев назад +1

      Hakuna kipaji kigumu coz kipaj akisomwi mwenye nacho ni kirahisi kufanya

  • @Jordan-ov4yc
    @Jordan-ov4yc 8 месяцев назад +2

    #kwakingeleza

  • @njuka3515
    @njuka3515 8 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂❤❤❤

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 7 месяцев назад +5

    Komaa na Kiswahili, Watanzania hata kama wanajua haipendi

  • @SimionMtaki
    @SimionMtaki 7 месяцев назад +1

    🎉❤❤❤😅

  • @aretasvitalis79
    @aretasvitalis79 8 месяцев назад

    Upo vizur mdogo

  • @khadijanurdin3163
    @khadijanurdin3163 6 месяцев назад +11

    Mtuache na majuba na madira yetu hayo ni maneno ya mkosaji,na kzuri knajiuza kbaya ndo knajtangaza

  • @JanetiBahati
    @JanetiBahati 2 месяца назад

    Yan unachosema kipo sahii kabisa

  • @graceedasalemba8962
    @graceedasalemba8962 2 месяца назад

    Kazi nzuri Neila

  • @Commentsplus
    @Commentsplus 8 месяцев назад +1

    Umejitahidi 80%

  • @StelaMwambe-o9o
    @StelaMwambe-o9o 7 месяцев назад +8

    Naona ungetumia tu kishahili ambacho unaweza kuongea kwa ufasaha kuliko kiingereza chenye matege but gud work

    • @danielmyahudi1339
      @danielmyahudi1339 7 месяцев назад +1

      ayo matege ndo comedy yenyew, mwache dada etu 🤣😂🤣😂😂

    • @kanankirannko6174
      @kanankirannko6174 7 месяцев назад

      Mbavu zangu hiyo yote ni ili ucheke

    • @siwemasalehe192
      @siwemasalehe192 6 месяцев назад +1

      Ndo namna yake ya uchekeshaji, hayupo seriou

    • @jemanyalusi200
      @jemanyalusi200 2 месяца назад

      Inawezekana anajua kuongea Vzur but inabid aongee Brocken English ili watu wacheke zaid siku

  • @Launego2024
    @Launego2024 2 месяца назад

    Hakuna mtu hapa

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 8 месяцев назад +1

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆

  • @RauwrencMbwana
    @RauwrencMbwana 2 месяца назад

    Kwenye kukojoa sasa

  • @deodadeo2016
    @deodadeo2016 2 месяца назад +1

    𝐒𝐦 𝐲𝐚𝐤𝐨 𝐢𝐦𝐞𝐨𝐳𝐚

  • @danielmyahudi1339
    @danielmyahudi1339 7 месяцев назад +5

    saut ipo chin sana au ni simu yangu?

  • @InnocentDbkopa
    @InnocentDbkopa 2 месяца назад

    Ww Acha kupaniki hi nisana 2

  • @remy2559
    @remy2559 8 месяцев назад +1

    Ooh temboo

  • @Bravegirl.427
    @Bravegirl.427 8 месяцев назад +3

    Uturuki walikaa masaa 6 bila kushushwa , hiyo ya kamba

  • @salhaothman8278
    @salhaothman8278 8 месяцев назад +6

    Huyu hajui kuchekesha , ana dhihaaki dini na tamaduni za watu inderectly , kwaio.

  • @vdjgovindajay1723
    @vdjgovindajay1723 8 месяцев назад +2

    Kingereza mingi kuliko kaziyako 😂😂😂 hebu wana weke muna penda sifa walayi wenzako wameongeya kiswahili alafu wewe kingereza thuuuuu

  • @GoldenchipsChips
    @GoldenchipsChips 8 месяцев назад

    🧐mmh

  • @monicasawa5847
    @monicasawa5847 3 месяца назад +1

    Haya bhana

  • @RynoFiree
    @RynoFiree 6 месяцев назад +2

    Mbona anarafudhi Yama mfipa wa sumbawanga huyu!!!

  • @abubakarimussa9131
    @abubakarimussa9131 8 месяцев назад +4

    Mpumbavu kweli kabisa kujistiri huoni umuhim

    • @emmynass7095
      @emmynass7095 8 месяцев назад +1

      Usiwe namakasiriko

    • @Naw89
      @Naw89 8 месяцев назад

      Ni wanawake wasiojielewa
      Kimimi siwezi simama nikatoa sauti yangu mbele ya halaiki
      Kizur chaji uza kibaya chajitembeza
      Mwanamke kukaa ndani ni tunu kubwa sana
      Alhamdulillah najivunia kua mwanamke bora

  • @JofreyZacharia-zz7dy
    @JofreyZacharia-zz7dy 8 месяцев назад

    🤣🤣🤣🤣✋✋

  • @OthanMedia_
    @OthanMedia_ 8 месяцев назад

    Hahahah 😂

  • @JaphetMiagie
    @JaphetMiagie 8 месяцев назад +1

    Hiyo habari ni mbaya,,,,unafundisha tabia mbaya

  • @shuhudiamtasiwa6646
    @shuhudiamtasiwa6646 6 месяцев назад +1

    Unajua kipenzi changu

  • @mwl_bennehemiah
    @mwl_bennehemiah 8 месяцев назад +1

    Ingilishi

  • @denisrukangula2227
    @denisrukangula2227 8 месяцев назад

    Acha kuporomoti ushetani

  • @ericamkoba9101
    @ericamkoba9101 8 месяцев назад +4

    Sijacheka Ila tu anatoa ushauri naona

  • @SeifSalim-x5k
    @SeifSalim-x5k 8 месяцев назад +2

    Hata sijaelewa sana bado kidogo shogangu jitahidi upya hujachekesha

  • @JamesPaulo-oz7tb
    @JamesPaulo-oz7tb 8 месяцев назад +4

    Mi cjamuelewa presentation yake anaongea haraka bila kituo

  • @shakiramshule342
    @shakiramshule342 Месяц назад

    Ueleweki kwani wewe mzungu

  • @ReylaMalambo-qy6ei
    @ReylaMalambo-qy6ei 8 месяцев назад +4

    Sijamuelewa ata kdg hachekeshi bhn

    • @evathomas7907
      @evathomas7907 7 месяцев назад +1

      Una mawazo sana ya maisha yaliyo zidi uwezo wake wa kuchekesha

    • @dolorosakway1411
      @dolorosakway1411 7 месяцев назад

      Km huna D mbili huez mwelewa

    • @CatherineLekule-l7z
      @CatherineLekule-l7z 7 месяцев назад

      Punguza stress za madeni

  • @sulemanmuyomba3524
    @sulemanmuyomba3524 7 месяцев назад +1

    Ila wewe mtoto

  • @esthermapunda5313
    @esthermapunda5313 6 месяцев назад +2

    Psychologist automatically

  • @IbrahimSuleyman-j8n
    @IbrahimSuleyman-j8n 8 месяцев назад +1

    Mpumbavu

  • @francisamon7694
    @francisamon7694 8 месяцев назад

    Hahahahahah

  • @pauldaniel6227
    @pauldaniel6227 8 месяцев назад

    Unaongea upuuzi

  • @KelvinNaftal-q6g
    @KelvinNaftal-q6g Месяц назад

    Mbna. nimremb. hanachekesha. nin

  • @theophilwhiteheart1997
    @theophilwhiteheart1997 8 месяцев назад +1

    😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆😆