MTUMISHI WA MUNGU by Annoint Amani (Official music Video )

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 24 дек 2024

Комментарии • 160

  • @Maxwell-z3u
    @Maxwell-z3u Год назад +2

    That's is the man of God like za mtumishi WA mungu 🙏🙏🙏

  • @shadrackosabil6354
    @shadrackosabil6354 Год назад +1

    Ahhh daaah! Mtumishi annoint amani ume change sana👍👍,ahsante pia kwa kazi nzuri🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰🥰

  • @ElizabethMichael-hm5fe
    @ElizabethMichael-hm5fe Год назад +1

    Amen mtumishi wa mungu .wanibariki na nybo ni Elizabeth kutoka Kenya Nairobi

  • @hilarytowett6738
    @hilarytowett6738 Год назад +1

    Amani mungu akubariki sana bro tukutasama kutoka kenya

  • @edimondhatangimana6031
    @edimondhatangimana6031 2 года назад +1

    Hapo sawa umeanza kubadilika Kimavazi na Kiroho yaani Kimuonekano. Mpendwa tunamuimbia Mungu na tuhakikishe tunaenda Mbinguni

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 Год назад +1

    Hakika amebarikiwa.Ameni

  • @abugazachariah9637
    @abugazachariah9637 2 года назад +15

    This is the man of God wapi likes za mtumishi wa mungu

  • @GladysKatiwit
    @GladysKatiwit Год назад +1

    Nakuombea mungu ukae miaka mingi ukiimbia watu waokoke asante sana Annoint Amani baraka irudi kwako❤❤

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 2 года назад

    Daah kijana MUNGU aitunze huduma yako umletee BWANA mavuno mengi.

  • @NickSaigilu-go8vg
    @NickSaigilu-go8vg Год назад +1

    Congratulations bro❤❤❤

  • @amanishiughaaa6345
    @amanishiughaaa6345 2 года назад +3

    Kumbe umenyoah kidog nikusahau ira nmekutambuah kwa sauti ya upako

  • @bhahatmbogela8484
    @bhahatmbogela8484 2 года назад +2

    The devil is in trouble

  • @davidwashibe129
    @davidwashibe129 2 года назад

    Asande kwa waimbaji wakenya wote mparikiwe sana #ipo

  • @davidwashibe129
    @davidwashibe129 2 года назад

    Asante kwa nyimbo sa mafundisho mungu akubariki ,God bless "🍰💛🙏💛💛💛🙏🙏🙏

  • @lumbumbulungu735
    @lumbumbulungu735 2 года назад +8

    Huwa napenda nyimbi zako lakini Leo umeugusa moyo na roho.
    Barikiwa sawa....

  • @mchungaji.mantitho
    @mchungaji.mantitho 2 года назад +3

    Waooo umenifrahisha Sana muonekano wako Sasa wewe ndiwe upako amani yaayayayayaaaaaaaaaaaaa

  • @ZOSIKAHINDI-jl1xl
    @ZOSIKAHINDI-jl1xl Год назад

    Barikiwa xana ndungu mungu azidi kukuinua, waambie ukweli wa mungu,

  • @perisn7469
    @perisn7469 2 года назад +4

    Among the first to watch, God bless you mtumishi wa Mungu

  • @fowardfeleciantv7090
    @fowardfeleciantv7090 2 года назад +1

    Bwana akuongoze katika huduma hii,good exmp for youth am Foward from kagera

  • @gabriellyadam9415
    @gabriellyadam9415 2 года назад +10

    Aisee nimebarikiwa na huu wimbo mpaka najishangaa.ah be blased Man of God

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 года назад +2

      Ina nguvu ya Mungu saana ,Kila siku nikisikia ni kama mpya 🙏🏼

  • @Maxwell-z3u
    @Maxwell-z3u Год назад +1

    God bless song 🙏🙏🙌🙌

  • @johnmshan4017
    @johnmshan4017 2 года назад +4

    Ameni balikiwa sana mtumishi wa Mungu kazi zuli sana

  • @rashealmwikali2424
    @rashealmwikali2424 2 года назад

    🔥🔥🔥🔥🔥 tubadirishe mienendo ujumbe kutoka kwa Mungu

  • @jimmywanzambe3092
    @jimmywanzambe3092 2 года назад +3

    Kijana umegrow kiroho ..level yako ni Kama ya mtumishi wa mungu Angela chimbalonza ,..mungu akupe ufunuo kabiza...

  • @jonaskitabuzi4503
    @jonaskitabuzi4503 2 года назад

    Asante mtumishi wa bwana kazi nzuri ingekuwa nyimbo zakidunia ma commenti yange jaa ubarikiwe

  • @jeremiahjoseph1532
    @jeremiahjoseph1532 Год назад +1

    Be blessed, for the song with mere truth

  • @albertkivinge7996
    @albertkivinge7996 2 года назад +2

    Unazidi kupaa kwenye level ya kiroho,Mungu azidi kua na wewe zaidi mtu wa Mungu

  • @ruthkhalayi5097
    @ruthkhalayi5097 Год назад +1

    Hallelujah 🙏

  • @reyvannyedsoni983
    @reyvannyedsoni983 2 года назад

    Kazii nzuri mtumishi kwkwel

  • @michaelmalaki254
    @michaelmalaki254 2 года назад

    Hapa sitoki. Najifunza mengi.

  • @davidwashibe129
    @davidwashibe129 2 года назад

    Asante kwa waimbaji wakenya wote mparikiwe sana #ipo siku 🤞🤞🙏😂🙏

  • @zawadimuhindo3795
    @zawadimuhindo3795 2 года назад

    Amen kubwa sana. We love you from Butembo DRC

  • @dassustephen731
    @dassustephen731 Год назад +3

    Annoint Amani is blessed.I pray for him to live in the name of the Almighty God,to obey God's commandments and his service to the Lord and the entire world shall prosper.Amen

  • @neemasemkuyu2999
    @neemasemkuyu2999 2 года назад

    Ubarikiwe sana mtumishi na Yesu akuinue zaidi 🙏

  • @janerose6882
    @janerose6882 2 года назад +1

    Amen amen 🙏🙏🙏 kazi zuri sana,kuna watu wako n kiburi Kwa kazi y mungu,mungu akupariki sana mutumishi

  • @kelvingodsonnangwa6162
    @kelvingodsonnangwa6162 2 года назад +5

    Mungu akujaze zaidi mtumishi wa mungu

  • @leahdaniel1117
    @leahdaniel1117 2 года назад

    Oooh hallelujah jina la BWANA liinuliwe amina

  • @zakayoolewa8443
    @zakayoolewa8443 2 года назад

    tamu xana

  • @godsvoiceintheworld1362
    @godsvoiceintheworld1362 2 года назад +1

    Jitu la Mbinguni kwa saa yake 💪💪

  • @Mbabazipasikazi
    @Mbabazipasikazi Год назад +1

    Hallelujah and hallelujah 🙏🙏🙏🙏🙏🙌🙌🙌

  • @nemuelombasa8810
    @nemuelombasa8810 2 года назад +8

    Nyimbo zako hunibariki,mungu azidi kukuongoza katika nyimbo zako zenye ushuhuda,watching from laikipia Kenya

  • @kevobwafula2143
    @kevobwafula2143 2 года назад +3

    💙💙💙🙏 amen bro

  • @EmilyMamadi
    @EmilyMamadi Год назад

    Nyimbo za mchungaji hunibariki na kunitiya nguvu maishani

  • @juridahmauti7314
    @juridahmauti7314 2 года назад

    Good job mtumishi wa mungu never give up God is with you

  • @daviddazel643
    @daviddazel643 2 года назад +1

    Le père des artiste musicien Nabii Bikemwa & Les autres artistes

  • @alexmatata9334
    @alexmatata9334 2 года назад

    I'm Sally from Kenya wimbo mtamu wa yesu

  • @shazcleokiba2296
    @shazcleokiba2296 2 года назад +1

    God bless you so much mtumishi wa Mungu zidi kueneza neno la mungu katika mataifa yote

  • @suleshmacs1286
    @suleshmacs1286 2 года назад

    Barikiwa mtumishi kw wimbo mzuri

  • @wasafiwasafi3500
    @wasafiwasafi3500 2 года назад +5

    Mungu akubariki sana mtumishi wa mungu 🙏🤲

  • @frankmwamlimainjili2071
    @frankmwamlimainjili2071 2 года назад +1

    BARIKIWA SANA wimbo mzuri💪💪💥💥💥 @Anoint

  • @melkiaelisha3624
    @melkiaelisha3624 2 года назад +1

    Shujaa wa Afrika 🙏🏼

  • @katoalouzioue2107
    @katoalouzioue2107 Год назад +1

    Thank u God be with you

  • @aeafilim2025
    @aeafilim2025 2 года назад +1

    Wao....

  • @adamlyambaofficial3812
    @adamlyambaofficial3812 2 года назад

    Barikiwa Sana mtumishi wa KRISTO

  • @marymuduwa9571
    @marymuduwa9571 2 года назад +2

    Your best dear

  • @tembodavidson2640
    @tembodavidson2640 2 года назад +4

    Wooza brother, keep it up blessing us powerful nice songs

  • @faithvaati6621
    @faithvaati6621 2 года назад

    Aki hii wimbo unaimba ukweli uliopo Siku za leo

  • @teresaatieno4132
    @teresaatieno4132 2 года назад +7

    Aaah ! Hallelujah 🙌🙌

  • @masalugusessa3702
    @masalugusessa3702 2 года назад +2

    Ujumbe mkubwa sana! 🔥🔥🔥🔥

  • @chrishnertv3806
    @chrishnertv3806 2 года назад

    Barikiwa mtumish

  • @Diana-te2ft
    @Diana-te2ft 2 года назад +3

    Weuweeee that song it has a message God bless you anoint ,,,, I'm watching day and night

  • @cathrinekimilu4009
    @cathrinekimilu4009 2 года назад +1

    Natamani kuimba kama wewe

  • @cecilyakasekelo711
    @cecilyakasekelo711 2 года назад

    Ubarikiwa brother Annoint napenda sana nyimbo zako

  • @samwelmulingeofficial5306
    @samwelmulingeofficial5306 2 года назад +3

    Woooh so nice 👍💞 💞 i love most keep it up bro.
    I love the ministry in you

  • @beatricewambui3921
    @beatricewambui3921 2 года назад +2

    Annointed song very Good God bless

  • @bethwambui4740
    @bethwambui4740 2 года назад

    Balikiwa mtumishi I love you so much

  • @DeboraNeno-s5o
    @DeboraNeno-s5o Год назад

    Kweli kabisa Mtumishi MUNGU atusaidie

  • @leahlongor2217
    @leahlongor2217 2 года назад

    very true Mungu akusidishie

  • @elshamahwashira
    @elshamahwashira 2 года назад +4

    Naipenda huduma yako Mtumishi,hongera

    • @bikemwayowele
      @bikemwayowele 2 года назад +1

      Ongera KUBWA ƙwakweli Mtumishi wa Mungu elshamah washira
      UDUMA yako piya Nzuri
      MUNGU akuinuwe atuwa zaidi kwa atuwa

    • @afrikaone9609
      @afrikaone9609 2 года назад

      Haunizidi mimi jamani 😅😅😅🙏🏼

  • @graceada2881
    @graceada2881 2 года назад +1

    Amen barikiwa sana 🙏👌

  • @furahaclaudinewakiso5167
    @furahaclaudinewakiso5167 2 года назад

    Amen amen

  • @magrete483
    @magrete483 Год назад

    Nikweli tuko siku za mwisho mtumishi

  • @dorcaschepchieng8396
    @dorcaschepchieng8396 2 года назад +5

    Nyimbo zako inabariki saana,may God bless you abundantly

  • @nancywachiran6544
    @nancywachiran6544 2 года назад

    I love this song true but most of the pastors am sure they will not like this song ukweli kabisa

  • @joyluka4315
    @joyluka4315 2 года назад +1

    Blessings Mtumishi,,

  • @adijasuleimani4941
    @adijasuleimani4941 2 года назад

    Aleruyaaa mungu akubaliki kazi yako ibalikiwe

  • @musanyanje3942
    @musanyanje3942 2 года назад

    Ubarikiwe Sana nyimbo zako hunibariki Sana God bless you 🤝🤝

  • @winnyrocha190
    @winnyrocha190 2 года назад

    Amen Amen nice massage

  • @petronjowela6670
    @petronjowela6670 2 года назад

    Barikiwa Sana....

  • @kiptoobett1263
    @kiptoobett1263 2 года назад +5

    This is a great song,it's a revelations to the New Testament Churches,your are great our brother kuisuta kanisa.

  • @silaotieno3523
    @silaotieno3523 2 года назад

    Ubarikiwe kaka

  • @kelvingodsonnangwa6162
    @kelvingodsonnangwa6162 2 года назад +2

    Nasubiri

  • @mrnickmusician7139
    @mrnickmusician7139 2 года назад +1

    God bless you Mtumishi wa Mungu

  • @greenmedia002
    @greenmedia002 2 года назад

    Annoint wanibariki sana

  • @carolkangogo8168
    @carolkangogo8168 2 года назад +2

    Oooh yes be blessed man of God

  • @paulinmari3722
    @paulinmari3722 2 года назад

    Âme

  • @nathan_ireri
    @nathan_ireri 2 года назад

    Nice song

  • @directorvendeko8229
    @directorvendeko8229 2 года назад

    Safi

  • @geovaneustace9211
    @geovaneustace9211 2 года назад

    Ubarikiwe kwa nyimbo bora

  • @CrossieTchauyah
    @CrossieTchauyah Месяц назад

    Nice song

  • @GULF444
    @GULF444 2 года назад

    Faya

  • @carolinenduku9340
    @carolinenduku9340 2 года назад

    Amen

  • @bwirenelson4045
    @bwirenelson4045 2 года назад

    AMEN AMEN HALLELUYAHA

  • @irinewavinya3756
    @irinewavinya3756 2 года назад +5

    Hallelujah hallelujah 🙏 God bless you man of God 🙏

  • @Moses-Modekai
    @Moses-Modekai 4 месяца назад

    Unaupako mzuri sana

  • @annesonye4977
    @annesonye4977 2 года назад

    Good work bro

  • @giftikakule8902
    @giftikakule8902 Год назад

    Amen amen baba MTUMISHI barikiwa sana na bwana

  • @naomycherono5540
    @naomycherono5540 2 года назад +3

    Hallelujah amen powerful message 🔥🔥🔥🙏kazi nzuri sana bro may God lift you up in Jesus mighty name 🙏🙏keep it up am blessed 🙏🙏🔥🔥🇰🇪🇰🇪

  • @mercykache4235
    @mercykache4235 Год назад

    Mungu ambariki tu ju mm Sina la kusema nyimbo zako zanimbariki sana

  • @ndundaedith1687
    @ndundaedith1687 2 года назад +2

    God bless you always