HII HAPA SHOW YA BILION 2 3 ALIYOFANYA DIAMOND MOMBASA KENYA KWENYE HARUSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 145

  • @dorothmsuya1686
    @dorothmsuya1686 3 часа назад +2

    Aliyepewa kapewa! Wily kaa kwa kutulia !
    Huyo ndio Mondi nyota inang'ara bana!❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @beatricejohn1659
    @beatricejohn1659 11 часов назад +7

    Nyota hashushwi Kwa Simba la masimba❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @yunusramadhan2546
    @yunusramadhan2546 6 часов назад +11

    Mombasa bado inawajinga kumbe subhaallah Allah atuongoze

    • @zena6203
      @zena6203 6 часов назад

      Kwani kunasehemu yawajinga kila sehemukunawajingaaaa😅😅

    • @Tasha870
      @Tasha870 4 часа назад +1

      Mombasa werevu
      Kumbuka si Kenya

    • @fredrickipembe8188
      @fredrickipembe8188 2 часа назад +1

      Mombasa sio wajinga kama wewe

    • @anthonykatana3809
      @anthonykatana3809 2 часа назад

      Wew ndio uko na

    • @Mussatz-g2b
      @Mussatz-g2b 2 часа назад

      Sasa hao na wewe nani mjinga kuku wewe

  • @MulangaliroMagalabaha
    @MulangaliroMagalabaha 10 часов назад +5

    Diamond plantnumz salute 🔥🔥🔥🔥

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ 7 часов назад +9

    Nawakubali saana watu wa Mombasa wana roho tofauti saana tena Saaana huwa nahisi kama vile Ni wa huku

  • @BrianMatumbo
    @BrianMatumbo 6 часов назад +3

    TANGU kamwabiye Niljuwa NYOTA YA DIAMOND ITA NGAAA KWA MWANGA MKUBWA❤❤❤

  • @ebengapierre8826
    @ebengapierre8826 15 часов назад +10

    Bwana uyo n'i shida mimi namkubali daimond ana nguvu sn ukiangalia vizuri kuna mezali moja inasema kwenye luga ya kibenbe eti msoshi ele ya lala mahana yake Ni ivi mtu akiwa mkubwa kazi nikutupia kila jiwe kwenye mwili wake

  • @MwantumRashidi
    @MwantumRashidi 5 часов назад +3

    😂😂😂nianze kwa kucheka hongera Simba kwa kutuheshimisha.nilichokigundua kwenye harusi hiyo watu ni wa ifon na sumsung kaliiii so watu wengne wanamakasiriko kikubwa watuuu tutafute pesaaaaaaaaa😂😂😂maskin ndo huwa tunakuwaga na makasiriko muda mwing

  • @dorisNyanda
    @dorisNyanda 9 часов назад +5

    Hahahaaaa,kazi kwao wanaomchukia,mwenzao anazid kupasua.😅😅😅😅Raha sn

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 8 часов назад

      Yn cjui. Wamelazwa uko majirani mana so kwa upendo u jmn

  • @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM
    @NSHIMIRIMANAMARIAMMARIAM 8 минут назад

    Simba nyota inangara sana ❤

  • @munam7104
    @munam7104 7 часов назад +4

    Vijana wa Kislamu waazirika subhana llah

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 часа назад

      Yani mtihani sikumojatu imewatoq iiman wanafanya usweitwani😢

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 часа назад

      Pesazao na zitawachomamoto sikuyakiyama Allah atunusuru na masweitwani

    • @AishaAisha-q4t
      @AishaAisha-q4t 31 минуту назад

      Mwenyewe nimeshangaa sio wanawake tu na watu wazima

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 часов назад +2

    Natamani zuchu nandi na daimond ndo wangealikwa ila sio mbaya nandy kawakilisha piya wasichana

  • @lareineminah1353
    @lareineminah1353 54 минуты назад

    Kharusi imekuwa show hadiii rahaaa watu wana hela bhanaa

  • @rubenlengai7195
    @rubenlengai7195 2 часа назад +1

    Mombasa warabu wengi sana

  • @firdaushamid8200
    @firdaushamid8200 6 часов назад +3

    Shaitwaan RRajimm

  • @Sidrasidra636
    @Sidrasidra636 7 часов назад +2

    Inna lillahi wa inna ilaihi rajiun 💔😭

  • @farahali6041
    @farahali6041 7 часов назад +2

    We mweu kwali mwenyewe uwezo mungu tu binadamu hana lolote dakika tu mungu akichukua roho yake huna chako ukasikilize kaburini

    • @mwanahamisikimweri7234
      @mwanahamisikimweri7234 4 часа назад

      Kwa hiyo unamuombea afe...acha kumkufuru Mungu kwa viumbe wake. Wewe unaujua mwisho wako? Fikiri kabla hujaandika na jamii ikasoma ulichoandika.

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 3 часа назад

      Hata wewe usijisahaulishe!!
      Wewe pia waweza kufa muda wowote! Au wewe ni unajikuta nani kwa mfano!😅😅😅

  • @subirahamudu
    @subirahamudu 5 часов назад +1

    Na simba la masimba dangote

  • @omarfadhil7554
    @omarfadhil7554 5 часов назад +4

    Wanawake wa kiislam, wengine wake za watu...waume tumekuwa madayuth

    • @harunsule32
      @harunsule32 5 часов назад +2

      Inna lillah wainailahi rajiun

    • @MohammedAwadh-gq9si
      @MohammedAwadh-gq9si 4 часа назад

      Pengine kwako nyumbani ,au kwenu nyumbani hakuna anayesali ,wooote wanatembea nusu uchi,nk au pengine washirikina ! Na haswaa wewe makombe,zafarani nk kuagua kwa kwenda mbele

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 2 часа назад

      Mtihani huyu shehe ubwabwa na midevu yake anapigaoicha hapo hanaata aibu

    • @shabanmaulana8594
      @shabanmaulana8594 55 минут назад

      ​@@MohammedAwadh-gq9si😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @YusuphShabani-wk5bv
    @YusuphShabani-wk5bv 3 часа назад

    uyo ndosimba la masimba dangote❤❤

  • @AsiyaAsi-c9n
    @AsiyaAsi-c9n 3 часа назад +1

    Kweli hapa hakuna mashekhe 😅😅😅

  • @methewbuzuruga-eg8oz
    @methewbuzuruga-eg8oz 5 часов назад +1

    Ukijumlsha hela za cuf na hii harusi na zile akizofanyiwa vurugu hukohuko kenya atakuwa aeingiza shilingi ngaipi maana sasa hivi diomndi atafuti hela ila hela zinamtafuta diamond alpo tena mabilioni huyu jamaa tumuache kama aivyo yuko mbali sana

  • @meowzna
    @meowzna Час назад

    🎉🎉🎉🎉

  • @AthumaniAthumani6
    @AthumaniAthumani6 15 часов назад +1

    🎉🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤❤❤❤simbaaaaaaa

  • @chrispinmkanda6097
    @chrispinmkanda6097 14 часов назад

    Isee!! Namuona mendez yuko seriously hataki masiala na pesa km bodyguard vilee!!!😂😂😂😂

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 часов назад +1

    basi iyo harusi angefanyia hotel 5star sio ivyo vibanda vya kilioni 😂😂😂😂 eti billion mbili point mnazijua au mnasema tu

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 3 часа назад

    Pesa KALIPWA KWELI . wala sio uongo. Hivi Diamond ukamgaragze kwenye vumbi hivi kwa pesa ya mbuzi ?
    Sio rahisi Simba atumbuize kwenye Harusi kwa kiasi kidogo cha pesa , tena nchi yenye Kenya khaaaaa😅😅😅

  • @JackKisunga-rx3ed
    @JackKisunga-rx3ed 9 часов назад +1

    Hatariiiiiii sana

  • @-thegreat-zawadimmasa307
    @-thegreat-zawadimmasa307 4 часа назад

    Simba lamasimba

  • @AIMEMAS-G
    @AIMEMAS-G 5 часов назад

    Simbaaa

  • @MwitaMarwa-s6u
    @MwitaMarwa-s6u 2 часа назад

    uzuri willy paul anajua english😂

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 часов назад +1

    Unajuwa mombasa tunaudugu nao sana wazanzibar

  • @MussaJovin
    @MussaJovin 14 часов назад +2

    Saruti simba

  • @Mohammedyasia
    @Mohammedyasia 2 часа назад

    استغفر الله العظيم واتوب اليه

  • @shantellemwanakombo3703
    @shantellemwanakombo3703 Час назад

    Mombasa wap?

  • @sabatoager
    @sabatoager 5 часов назад

    tuache wivu pozee awezimfikia diamond

  • @mukeshimanarose1334
    @mukeshimanarose1334 4 часа назад

    🤔🤔🤔😏😏🧕

  • @BahatiKalama
    @BahatiKalama 5 часов назад +1

    Hii ni uongo acheni kumsifia kiasi kikubwa hicho kwenye harusi haiwezekani

    • @IAMMOSEH
      @IAMMOSEH 5 часов назад

      Davido alipewa7 billion 😂😂 Sasa mbili kitu

  • @HanifaOman-oo4pl
    @HanifaOman-oo4pl 2 часа назад

    Subuhanallah

  • @JohnSasi-oe9mi
    @JohnSasi-oe9mi 5 часов назад

    Ila watu bana mbona kama bafo tupo nyuma sana, hivi kweli east Africa just Africa in general Kuna msanii na Muandaaji wa shows mwenye uwezo wa kulipa Billion 😄😄😄😄 huuu ni upotofu kweli yani, you guys acheni utapeli.

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 8 часов назад +2

    Mwijalu uko wp 😂😂 nahis unakufa uko ulipo

    • @ShakilaOma
      @ShakilaOma 6 часов назад

      Mwijaku bwana 😅😅😅😅

  • @woah.africa99
    @woah.africa99 4 часа назад +1

    Uongo mtupu hv mtu atoe bilioni 2 kwa lipi hapo ni milioni hafiki 80 msi
    Tudanganye hizo sifa tu hiyo arusi ukiangalia sio ya kawaida hata mapambo na juu ya meza kawaida kabisaaaa

    • @dorothmsuya1686
      @dorothmsuya1686 3 часа назад

      Sema na moyo wako bwana!
      Aliyepewa keshapewa!
      Acheni chuki binafsi itawacost!😂😂😂😂😂😂

    • @MwitaMarwa-s6u
      @MwitaMarwa-s6u 2 часа назад

      wewe diamond sio matako yakulipwa mili80😂

  • @irenembura8045
    @irenembura8045 9 часов назад +1

    Willy Paul wapi??????

  • @Lenovothink-b2d
    @Lenovothink-b2d 9 часов назад

    Nataka kujua sherehe ilikuwa ya shngapi na ni billionea gani huyo hongera kaka Mond

  • @winfordmwangonda5375
    @winfordmwangonda5375 3 часа назад

    Jamaa anapiga pesa si mchezo

  • @OmarAli-po2lx
    @OmarAli-po2lx 2 часа назад

    It was narrated from `Imran ibn Husayn that the Prophet (peace and blessings of Allah be upon him) said: “I looked into Paradise and I saw that the majority of its people were the poor. And I looked into Hell and I saw that the majority of its people are women.” (Narrated by Al-Bukhari, 3241 and Muslim, 2737)

  • @sadahgullam8228
    @sadahgullam8228 6 часов назад

    Innalillahi wainnaillahi rajoroon

  • @husseinakichegwa6278
    @husseinakichegwa6278 3 часа назад

    Ataivyo nindogo

  • @yasiniali4363
    @yasiniali4363 5 часов назад

    Ingekuwa TZ hapa ingekuwa kashaibiwa chain

  • @SalmaSaid-v3d
    @SalmaSaid-v3d 10 часов назад

    Diamond wa zamani apo kashabeba dem kashatia mimba 😂😂😂 ila Sasa umeshikika umalaya by by 😂😂

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 8 часов назад

      Binaadamu uwa hamuna jema nyie akithlia mnasdma akipuyanga mnasema

    • @AayshaAyash
      @AayshaAyash 2 часа назад

      Amemritisha konde mwane😂😂😂😂😂😂

  • @Walterputin-xn2dl
    @Walterputin-xn2dl 14 часов назад

    Kenya..msiye mpenda kana tena 😅😅

  • @karoltunduli107
    @karoltunduli107 10 часов назад +1

    When they pay enough ,

  • @SuleimanSuleiman-u6g
    @SuleimanSuleiman-u6g 6 часов назад

    Subhanallah

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 часов назад

    Hata mitaa tunafananana

  • @OmaryShop-f6w
    @OmaryShop-f6w 7 часов назад +2

    Huyu si aliliwa huko marekan😂😂😂kapakatwa

  • @Jamila-c7k
    @Jamila-c7k 2 часа назад

    Duh

  • @emmiemmi3861
    @emmiemmi3861 7 часов назад

    Hii ni nchi gani

  • @rhobimedia5677
    @rhobimedia5677 8 часов назад

    sawa inawezekana

  • @nishaabdula5015
    @nishaabdula5015 8 часов назад

    Mondi sio levo yenu akunamsani anae mfikia mondi kwa malipo ya shoo km yy ndo alienzisha kulipwa pesa kunwa kwa wasani wa tzd bc yy anauwezo wakulipwa pesa iyo

  • @BarbaraPatience-qt9cc
    @BarbaraPatience-qt9cc 8 часов назад

    Onesmo hapa alipata wakati mgumu kusukuma wa mama wa Mombasa Bwana......hii ni ya waarabu bwana

  • @LuckymusyokiMueni
    @LuckymusyokiMueni 11 часов назад +1

    Watu wa Mombasa ni weupe si kama wale wamekulwa na na njaa Nairobi wote weusi

  • @PatrickPaul-p8l
    @PatrickPaul-p8l 6 часов назад

    Nimependa mlinzi mdogo huyo arie karibu na mond

    • @P2004-cQ
      @P2004-cQ 5 часов назад

      Me too. U see Diamond is friendly, shaking hands, and treating people with respect.

  • @MwidiniAli
    @MwidiniAli 5 часов назад

    7:27 ...y

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 часов назад

    Mkikubali mkikataa ndo kashalipwa nyiye bishaneni tu

  • @NeemaSamueli
    @NeemaSamueli 8 часов назад

    Mtt wa tandale

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 часов назад

    Sisi tunomkubali tunaamini nyiye msomkubali basi unajuwa unaeza alikwa ukakae tu na ukalipwq utakacho seize yeye kaimba
    Watu wana hela msibishane ujinga watu hufanya mambo kwa ukubwa wao huyo alotowa hela ni tajiri sio panga pakavu

    • @woah.africa99
      @woah.africa99 4 часа назад +1

      Mbona arusi haijapambwa iko kama ya buza

  • @Mumewangu
    @Mumewangu 8 часов назад

    Wasanii wamepanga na wenye harusi ili watangazaji wa mond kuwa amelipwa pesa hiyo ni kiki tu yeye na wanaharusi

    • @FikiriNyanda-y4e
      @FikiriNyanda-y4e 8 часов назад

      Wewe ulikuwepo wakati wanapanga Acha ujuaji

    • @EmmanuelJoseph-q1b
      @EmmanuelJoseph-q1b 7 часов назад

      Kama hauna hela sio kwamba wote hawana hela kama wewe, hauna hela ww tu,

  • @AMBROSSThadeo
    @AMBROSSThadeo 8 часов назад

    Onesmo ataki utani kwa bosi wake

  • @Sokwewax
    @Sokwewax 7 часов назад

    Uyoo paulo wenu yupo wapi sasa mbona atumuoni kufanya kitu chochote

  • @RhodaKibona-w9j
    @RhodaKibona-w9j 13 часов назад

    Wewe muomba mama yako msaamaha,usijitete kwa namna yoyote,mama ni mama,..

  • @CharlesRehani
    @CharlesRehani 15 часов назад +1

    SIMBAAAA

  • @PeninaAdam
    @PeninaAdam 7 часов назад

    Kama uku na waaarbu na kanzu wanaruka nyimbo za DAIMOND

  • @KevinOduor-xb3kk
    @KevinOduor-xb3kk 8 часов назад +2

    Wakenya mpeleke tena Mombasa vita chuki tu . Mbona wakuitaji msani mkenya . Mtabaki nyuma tu na chuki

    • @hakimkhamis-b8f
      @hakimkhamis-b8f 7 часов назад +1

      Ww msenge Sanaa mambo yashaisha bado uko nayo

    • @hakimkhamis-b8f
      @hakimkhamis-b8f 7 часов назад +1

      Vita vya wanamuziki watutia ss iyo billion achukua akupa Ata sumni

    • @NazraHamza-tw7hp
      @NazraHamza-tw7hp 5 часов назад

      @@hakimkhamis-b8f kweli kabisa huyo vp

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 6 часов назад

    Mwinjaku anakufa roho huko

  • @Kiyama-g8f
    @Kiyama-g8f 14 часов назад +1

    wewe umeziona hizo pesa au unajisemea tu? HAWA WASANII NI WATU WA KIKI DAIMA

  • @Sakina-j2b
    @Sakina-j2b 2 часа назад

    Yani munasherekea munadhalilisha vazi la kislam wanaume jamani

    • @AishaAisha-q4t
      @AishaAisha-q4t 28 минут назад

      Mtihani sana

    • @Sakina-j2b
      @Sakina-j2b 19 минут назад

      @AishaAisha-q4t Allah Akbar atujalie mwisho mwema Inshallah

  • @ArafatSaido
    @ArafatSaido 9 часов назад

    Mombasa na Tz ni moja ,, this ur home Bro 🎉

    • @Ali-gk5mv
      @Ali-gk5mv 6 часов назад

      Sana Wallahy ❤️💯🙏Watu wa Mombasa wana imani vile vile kma Tanzania

    • @harunsule32
      @harunsule32 5 часов назад

      Mombasa si tz usijitoe ufaham

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist 4 часа назад

      ​@@Ali-gk5mv
      Imani ni kusifu Diamond

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 часов назад

    wewe mtangazaji acha kutangaza ujinga billion izo unasema au unachekesha hata Chris brown mwenyewe awezi lipwa pesa iyo kwa siku moja itakua mwambino danganya ao mashabiki wake😂😂😂😂😂

    • @maulidipazi6770
      @maulidipazi6770 7 часов назад

      Weee Chris brown kalipwa dollar milion 10 south sawa na bilioni 23.ndio itakua yeye bi 2 tu

  • @Abusssa-l7h
    @Abusssa-l7h 2 часа назад

    fake news acheni uongo

  • @LizBeth-f1x
    @LizBeth-f1x 4 часа назад

    Wamama hoyee apa kila mtu mweupe..thezea make up wewe

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 часов назад +1

    sasa hao wajinga na kujificha full uso wao wamekwenda kufanya nini harusini ndo wanao dhalilisha dini ya kislam na mabaya yao kuficha uso na maibilisi yao

    • @thethejuma3119
      @thethejuma3119 4 часа назад

      Jiepushe na dhana ndugu...waombee na ukiweza walinganie wawe kama wewe...

    • @trutharchaeologist
      @trutharchaeologist 4 часа назад

      Wewe Kila kitu ni Dini Hadi choo

    • @anthonykatana3809
      @anthonykatana3809 2 часа назад

      Usitusi mtu kila mtu ako na level yake. Ya kuelewa

  • @KhalfanSalim-v1x
    @KhalfanSalim-v1x 8 часов назад

    iyo holy yenyewe inaonyesha bei rahisi alafu msani billion Moja mwambino bado basi Chris brown alipwe ngap acheni ushoga danganyeni watoto wadogo ao mashabiki wake sio sisi 😂😂😂😂😂

    • @BarbaraPatience-qt9cc
      @BarbaraPatience-qt9cc 8 часов назад

      Wewe endelea kujiuliza na njaa....huna hata Mia yako ni maneno tuu

    • @xmtg254
      @xmtg254 6 часов назад

      Hiyo ni private party sio show. 😂😂
      Kama ile ya Rema alifanya India. Fanya bidii uitwe private show na wewe ndugu Wacha wivu.

  • @BintimohamedMlatso
    @BintimohamedMlatso 2 часа назад

    Subhanallah