MAMA FATMA KARUME AMTEMBELEA RC MAKONDA ARUSHA, AONGOZA DUA NZITO KUMUOMBEA KHERI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 дек 2024

Комментарии • 32

  • @benedictogodfrey7712
    @benedictogodfrey7712 6 часов назад +3

    Mwenyezi Mungu azidi kumlinda kiongozi huyu. Anafanya kazi vizuri sana

  • @BakaryBekq
    @BakaryBekq 6 часов назад +5

    Hakika makonda mungu yupamoja nawe iposiku utamiambia.

  • @JabeliMusa
    @JabeliMusa 7 часов назад +4

    Mashallah Rc bahati ilioje Duanzito kweli iliyo

  • @menelus911mene5
    @menelus911mene5 6 часов назад +2

    Masha Allah mungu akulinde kwa duwahilo nikubwa sana inshaallah mama mungu nimtowaji kwa anaeombewa na watu wazima Amiiiiina

  • @BeatriceKitembe-gs9si
    @BeatriceKitembe-gs9si 13 минут назад

    Yaani Mh Makonda utafika mbali snaaaa aaaa c kwa hizi DUA.. Sijawahi kuona kiongozi anaombewa kama wewe na Baraka kila siku..... MUNGU akutunze. 🙏🙏

  • @rahjah5882
    @rahjah5882 6 часов назад +1

    Ma Shaa Allah!
    Makonda amepata Qursi leo
    Kwa dua hiyo wabaya wote watu na majini hawatakupata kabisa

  • @moddy8744
    @moddy8744 5 часов назад +2

    Dua kubwa sana Makonda Anastahili tumuombee sana kupata kiongozi mzuri kama huyu ni duniani ni wachache sana kila mtu anampenda

  • @maicojilili
    @maicojilili 5 часов назад +1

    Duuuuh Mungu aendelee kukubariki makonda na akulinde na maadui wote

  • @Abdulmateleka
    @Abdulmateleka Час назад

    Maombi ya mama na dua yana pasua mbingu kwa haraka sana na mungu anapokea kwa haraka amini

  • @DanielMagonya-fv9eg
    @DanielMagonya-fv9eg Час назад

    Mungu akutangulie kiongoziii

  • @MdaluLipanda
    @MdaluLipanda Час назад

    makonda ndani ya moyo wako una roho mtakatifu mungu akuweke

  • @ZuberiSadi
    @ZuberiSadi 4 часа назад +1

    Amin,

  • @HarithSalim-l1x
    @HarithSalim-l1x 9 часов назад +2

    Mashaallah, Makonda akiw raisi itakua raha sana

    • @Brunn-mh2bq
      @Brunn-mh2bq 6 часов назад

      Ndoto yako itageuka kuwa jinamizi la nchi hii siku moja.

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 3 часа назад +1

    Amiin Amiin Amiin inshaallah

  • @innocentkanyata9923
    @innocentkanyata9923 5 часов назад +1

    What a blessing prayers❤

  • @SelijusiMalambo-z2b
    @SelijusiMalambo-z2b 7 часов назад +3

    Hapo mkuu lazima wakuonee wivu lazima kabisa ila Mimi nakuomba sana

  • @SharifaOman-bf1bn
    @SharifaOman-bf1bn 2 часа назад

    Amina amina amiin

  • @cidewashington670
    @cidewashington670 Час назад

    Amiina

  • @mussaelias3535
    @mussaelias3535 8 часов назад +1

    Asante mungu

  • @AlHamra-k4u
    @AlHamra-k4u 6 часов назад

    Alhamdulillah 🤲

  • @hassaniabdi3991
    @hassaniabdi3991 2 часа назад

    Raisi.mtarajiwa makonda

  • @hopemungure9263
    @hopemungure9263 7 часов назад +2

    Jiji la maombi

  • @SaidMwendabwillah-v3z
    @SaidMwendabwillah-v3z 6 часов назад

    Blessed

  • @robertzamani5612
    @robertzamani5612 5 часов назад +1

    Haijawahi kutokea

  • @shabaninayopa-nw9cf
    @shabaninayopa-nw9cf 6 часов назад

    Mashallah

  • @BahatiLewis
    @BahatiLewis 6 часов назад

    Mataper wa nchi hawa

    • @MaedaMm
      @MaedaMm 6 часов назад

      Matapeli gwa nyoko

    • @samwa9496
      @samwa9496 6 часов назад

      Ndio ninyi wazazi wanaongea wewe umetoa mimacho kusikiliza umbea @@MaedaMm

    • @EmmanuelMlowe-u1v
      @EmmanuelMlowe-u1v 5 часов назад +1

      Wivu unao, unatamani ingekuwa wewe lkn bahat mbaya wewe hujulikan

    • @YusuphMwangobola
      @YusuphMwangobola 3 часа назад

      Ww kichwa box kabisa