Dada martha mimi ni mwenye kubarikiwa sana na nyimbo zako kwa miaka nyingi sana. Simu yangu ina asilimia sabini ya nyimbo zako na hata flash vilevile, hivyo mimi ni shabiki wako mkubwa hata watu wangu wa karibu wanajua. Niko tayari kukuombea katka wakati huu mgumu kwako ila maombi yetu hayatakuwa na nguvu kama hautatengeneza na mama yko. Nasi tutaamini nguvu ya maombi kama mama utampa faraja hata kama kakukosea. Kumbuka mama yenu alifukuzwa bila msaada lkn hakuwaacha alihisi anapata uchizi kwa changamoto. Uwezi jua kama angewaacha kwa watu wasio na huruma ungekuwa wapi. Naomba usameheane na Beatrice na umkemee Joan asimtumie mama sms za vitisho. Nitakuombea maana nakupenda.
Dada mimi ninafsi nakupenda saana, na ninaposikia unasemw vibaya naumia saaana, Ninakuombea kwa Mungu akubebe na akuvushe salama ktk kipindi hiki kigumu. Mungu akutetee.
Matha! Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu bado ingalipo, Mungu ni WA Rehema, mwenye huruma, mwenye Upendo, umeomba tuuombee, nasi tutaomba na Kwa Neema zake kuu na hili litapita, MAFAKANO YAONDOKE KATIKA FAMILIA YENU, UPENDO, USHIRIKIANO, UMOJA, PAMOJA nanyi nyote, usiogope utumaini MUNGU na TENGENEZA palipoharibika BWANA Yu Karibu
Martha Mungu anasema waechimu baba na mama yako siku zako zipate kuwayingi......kama mama Ana tabia ambalo azitaki basi Musahidie ata kwa mbali Bahati B kaimba ONGERA ULIYE NA MAMA..........❤❤❤❤
Dada nikushauri hayo yote yanayotokea mrudie mamako.... kama kweli ww ni mtumishi wa mungu mrudie mamako tumelilia sana tulipoona mama analia na kupga magoti kukuomba msamaha bila Kosa kabla ya tukuombee kwa mungu kamuombe mamako msamaha...lasvyo utapotea dadangu
Martha machozii ya mama yako sio mazuri, anateseka na moyo wake unavuja damu, ataathirika kisaikolojia na kupata magonjwa, akitoweka katika halii hii utapata shida. Mungu akufungue ufahamu, Ni amri ya nne ya Mungu pekee ndio yenye ahadi, Waheshimu baba na mama yako Ili upate siku zilizo nyingi na zenye baraka dunuani. Yesu akukomboe kwa kweli.
Kwa kipande kidogo nilichosikia mama akizungumza, eti awali alikua akienda nyumbani na marafiki zake wakipewa nguo na Martha, Tena alimkataza Martha kutoa nguo zilizotumika alitaka nguo mpya. Ukisikiliza story nzima ni kwa sababu hii familia Haina shukurani haikumbuki mambo mwema waliyofanyowa wanachoangalia ni alichofamyiwa Joan. Huyu mama sio hata kidogo
Pole sana matha family yako imeamua kukuvua nguo kukushusha, pole sana, mzazi wako ayuko sw, awezi tumia nguvu kubwa kiasi, hiki, atakama umtumnzi, alipaswa kukaa kimya yeye nimzazi cheo chake kubwa mzazi, sio kuongea hivi kwenye midia , apna mzazi wako ana shida ya akili, pole kwa kuvuliwa nguo,
Mama ni mama alikubeba miezi Tisa bila kuchoka hata akikukosea niombe samahani jishushe mama ni mama wewe ni msanii mkubwa sana unajua biblia pengine mama haujui kama wewe mshukuru Mungu kwa kila jambo kama sio yeye usinge zaliwa samahani kwa ujumbe huu nisamehe dada yangu❤
Matha utakuwa mtumwa adi lini??? Mtimue uyo binti Joan apo ashakuharibu basi picha wakivujisha yatapita tu Matha ushakosea basi usiendelee na uyo binti anayejifanya kuwa mwema kwako kumbe ni adui wako.
Ni ngumu sana kumuacha hichi kibinti kwa sababu inasemekana kanajua siri zote za Martha. Na kashamtishia ukiniacha namwaga ubuyu wote😢😢ndy maana unakaona kana power nyingi sn na kujiamini adi kanauwezo wa kumtusi mama ya Martha 😢😢ww hujiulizi kanatoa wp ujasiri km huu na yeye sio familia. Kuna kitu kimejificha apa ni mungu2 atakaye thihirisha ukweli upo wp.
Dada tunafarijika na nyimbo zako sana na tunakupenda, ila mama ni mama, akose au la ndiye anaye jua kitovu chako ata wewe mwenyewe ujui, ila binti yako uyo afai, ndie mchawi wako wa kwanza Ana maadili mema ndivyo ulivyo mulea ? na kama sio unamalengo naye ? Mama atabaki kua mama uwezi kulipa garama zake ata siku moja, kumbuka uliko toka rudi ukatubu, kama aujatoka kwenye tumbo lake kiri mbele yake sasa, unatuangusha sana dada, sisi tunabadilika kupitia nyimbo zako leo hii wewe unashindwa kusamee, tuambie ukweli.
Huyo mamaako ni mnoko tu kwann miaka yote hii ambayo matha alikuwa anamtumikia mungu asiseme maneno hayo mpaka iwe leo,ila dada matha kazana kumuomba mungu achana na maneno ya uongo kama hayo,mungu yu mwema kila wakati
Martha mama ,mama yako ni mama kama amekusea msamehe n muombe ili abadilike n kuwa mtumishi wa mungu ,msaadie mama yako hata kw msaada mdogo w laki.mbili au moja kila mwezi ,n mungu atafungia milangoa zaidi
Mrudie Mungu wako, achana na dunia hii itakutupa jehanamu. wazazi ni Mungu wa hapa dunia , usijitete kiri kuwa umekosa,pia achana na watu wanaojifanya marafiki zako kume wanakupeleka kuzimu
Uyu Martha anaogopa kumpoteza Joan sbb anajuwa atamtolea siri nyingi za aibuu. Mungu anataka Urudi utubu ili akumbuke kazi zako Sasa ukishupaza shigo utakufa gafla Sbb Mungu yeye uwa anadili sana na mwisho na Wala sio mwishooo.
Baba na mama ndio Mungu wko wa duniani,uwe muwazi mbele za Mungu,usifiche maana wkt wa kutubu ni Sasa,Martha Mungu halali jiulize kama una kibanzi au boliti?
Minakushauli, kama kweli unampenda Mungu, tafuta watumishi wazuri waMungu, alafu mkae na familia myatatue, lakini kila mmoja akijiona yuko sahihi mtazidi kujichafua mtandaoni, nayaweza kuwa wewe unaejiona uko sahihi kumbe ndio ukawa chanzo cha haya yote, jishushe matha, fanya kitu,
Huu ni ushamba kwa matha si viema kujibu alicho sema mama iwe kweli isiwe kweli alitakiwa amtafte mama au watu wakaongee na mama wayamalize na huyo mama ndio atajitokeza kusema yameisha yy na mwanae wameamaliza..
Hii family inatatizo fishe na akuna wakulaumiwa wote watatu ikiwa mama alilaaniwa lazima pia imfute usihukumu tu Martha bila kujua tatizo iliazia wapi?
MAMA NDO KiLAKITU KUMBUKA BILA MAMA KUKU lea tokea utotoni usingekuwa unamiba atakama nimashariti ya muganga achana nayo omba musamaha kwa mungu na mama mzazi
Kama hukusimama wewe mwenyewe kwa miguu yako na kumlilia Mungu wako,hata dunia nzima ikisimama kukuombea bila wewe kuwa na imani thabiti haisaidii kitu. Kama Mungu alikupandisha hakuna wa kukushusha ila sasa Mungu wa duniani ni mzazi wako kwann umemsahau halafu unasema Mungu akusaidie kwa lipi?
Ukiongea wew unaeleweka , lakin ukimruhusu yule bwege anaejiita mwanao aongee kwa niaba yako, anazid kuharibu hali ya hewa Mie si mfuasi wa hizi dini lakin sauti yako ya kuimba naielewa
ILI MAISHA YAKO YAENDELEE VIZURI KUWA NA BARAKA MUONDOE JOANI ASIENDELEE KUISHE NYUMBANI KWAKO. MSAIDIE AKAENDE AKAANZE MAISHA YAKE YA KUJITEGEMEA. AKAKAE MBALI NA WEWE SI KWA UBAYA BALI NI KUREJEA AMANI NA UPENDO KATIKA FAMILIA YAKO YA DAMU YAKO.
Matha usishindane namama ww tangu mimba mama umemkwaza mangapi mzazi nimzazi da matha habadilishwi na chochote, ayo maombi matha ni ya aina gni mungu ypo lkn mama nimungu wapili acha izo bwana . Alafu mathar yaan we unajiona uko sahihi kweli kwamama uyo beatris achana nae mjari mzazi matha ht kama yukoje
Kweli pia wazazi wetu hatuwez kushindanao ila wazazi wanamambo makubwa pengin hata unamsaidia ila yeye anazira au kukukataa hivyo tuagalie huku na huku ila mzazi ni mzazi usishindane naye
inamaana familia nzima inakusingizia!!! halafu tayari una skendo ya usagaji unakolezea kwa kumuita joan mrembo wako juzi ukitambulisha nyimbo mpya tukueleweje!! tukuombee nini na kashetani umekakumbatia
Mnajuaje mama ndio mwenye matatizo? Msiongee msiyoysjua. Kuna wazazi wengine ni wabaya sana. Na huyu anakubali kuongea kwenye vyombo vya habari hivyo? Anatafuta sympathy ya watu wa mitandao? Mnamuita mtoto wake kahaba wakati wala hamumjui? Na siku hizi mkitaka kudhalilisha mtu mbamuita nsagaji.
Uyo joan atakuwa ni agent katumwa kukuharibia huduma yako sasa ninakushaur urudi kwa mama atakubarik (waheshimu baba na.mama upate miaka mingi na heri Dunia. )
Usimfariji Kwani Mama tena mzazi anaongea hivyo huoni kuna shida Martha rudi tu kwa mama mwambie Akusamehe ndo maana Amri ya tano ipo waheshimu nana yako na mama rudi umwambie mama
@gwamakaadamson131 Kwanza Martha kuwa na maneno machache ni hekima ya Mungu na kwa kuwa tunamwombea hekima hiyohiyo Bwana ampe kukusanya familia na kuzungumza Beatrice pia kutumia mitandao hakufanya vizuri kabisa binafsi simuhukumu Martha ila nilisema tu mpaka mama kusema hivyo alitafakari Dunia ilivyo sasa si rafiki Kwa familia zetu Bwana atusaidie
Dada martha mimi ni mwenye kubarikiwa sana na nyimbo zako kwa miaka nyingi sana. Simu yangu ina asilimia sabini ya nyimbo zako na hata flash vilevile, hivyo mimi ni shabiki wako mkubwa hata watu wangu wa karibu wanajua. Niko tayari kukuombea katka wakati huu mgumu kwako ila maombi yetu hayatakuwa na nguvu kama hautatengeneza na mama yko. Nasi tutaamini nguvu ya maombi kama mama utampa faraja hata kama kakukosea. Kumbuka mama yenu alifukuzwa bila msaada lkn hakuwaacha alihisi anapata uchizi kwa changamoto. Uwezi jua kama angewaacha kwa watu wasio na huruma ungekuwa wapi. Naomba usameheane na Beatrice na umkemee Joan asimtumie mama sms za vitisho. Nitakuombea maana nakupenda.
Kabisaaaaaa
Only God knows the truth about this, God be with you Mather mwaipaja love from Zambia tunakupenda sana groly to God 🙏🙏🙏🙏🙏 amen.
Pole Sana mungu akutie nguvu
Dada mimi ninafsi nakupenda saana, na ninaposikia unasemw vibaya naumia saaana, Ninakuombea kwa Mungu akubebe na akuvushe salama ktk kipindi hiki kigumu. Mungu akutetee.
Matha! Neema ya Mungu iwaokoayo wanadamu bado ingalipo, Mungu ni WA Rehema, mwenye huruma, mwenye Upendo, umeomba tuuombee, nasi tutaomba na Kwa Neema zake kuu na hili litapita, MAFAKANO YAONDOKE KATIKA FAMILIA YENU, UPENDO, USHIRIKIANO, UMOJA, PAMOJA nanyi nyote, usiogope utumaini MUNGU na TENGENEZA palipoharibika BWANA Yu Karibu
Martha Mungu anasema waechimu baba na mama yako siku zako zipate kuwayingi......kama mama Ana tabia ambalo azitaki basi Musahidie ata kwa mbali Bahati B kaimba ONGERA ULIYE NA MAMA..........❤❤❤❤
Dada nikushauri hayo yote yanayotokea mrudie mamako.... kama kweli ww ni mtumishi wa mungu mrudie mamako tumelilia sana tulipoona mama analia na kupga magoti kukuomba msamaha bila Kosa kabla ya tukuombee kwa mungu kamuombe mamako msamaha...lasvyo utapotea dadangu
Kabisaaaaaa
Martha machozii ya mama yako sio mazuri, anateseka na moyo wake unavuja damu, ataathirika kisaikolojia na kupata magonjwa, akitoweka katika halii hii utapata shida. Mungu akufungue ufahamu, Ni amri ya nne ya Mungu pekee ndio yenye ahadi, Waheshimu baba na mama yako Ili upate siku zilizo nyingi na zenye baraka dunuani. Yesu akukomboe kwa kweli.
Ndiyo Martha nenda kwa mama yakooooo maombi yetu bila mama yako kufarijiwa na wewe hayatasaidiaaaa
Dada tunakuombea lakin baraka za mama ni muhimu sana kuliko unavyo fikilia matha..
Kwa kipande kidogo nilichosikia mama akizungumza, eti awali alikua akienda nyumbani na marafiki zake wakipewa nguo na Martha, Tena alimkataza Martha kutoa nguo zilizotumika alitaka nguo mpya. Ukisikiliza story nzima ni kwa sababu hii familia Haina shukurani haikumbuki mambo mwema waliyofanyowa wanachoangalia ni alichofamyiwa Joan. Huyu mama sio hata kidogo
Pole sana matha family yako imeamua kukuvua nguo kukushusha, pole sana, mzazi wako ayuko sw, awezi tumia nguvu kubwa kiasi, hiki, atakama umtumnzi, alipaswa kukaa kimya yeye nimzazi cheo chake kubwa mzazi, sio kuongea hivi kwenye midia , apna mzazi wako ana shida ya akili, pole kwa kuvuliwa nguo,
Martha ako Sawa kwa sababu Kuna mambo fiche tusiyoyajua kuhusa mamake tusiwe wepesi WA kuhukumu Dada yetu
True.. maybe she is not ready to say it
And if she is innocent God is going to fight for her
@@barbratemaei3779 exactly
Mama ni mama alikubeba miezi Tisa bila kuchoka hata akikukosea niombe samahani jishushe mama ni mama wewe ni msanii mkubwa sana unajua biblia pengine mama haujui kama wewe mshukuru Mungu kwa kila jambo kama sio yeye usinge zaliwa samahani kwa ujumbe huu nisamehe dada yangu❤
Matha utakuwa mtumwa adi lini??? Mtimue uyo binti Joan apo ashakuharibu basi picha wakivujisha yatapita tu Matha ushakosea basi usiendelee na uyo binti anayejifanya kuwa mwema kwako kumbe ni adui wako.
Ni ngumu sana kumuacha hichi kibinti kwa sababu inasemekana kanajua siri zote za Martha. Na kashamtishia ukiniacha namwaga ubuyu wote😢😢ndy maana unakaona kana power nyingi sn na kujiamini adi kanauwezo wa kumtusi mama ya Martha 😢😢ww hujiulizi kanatoa wp ujasiri km huu na yeye sio familia. Kuna kitu kimejificha apa ni mungu2 atakaye thihirisha ukweli upo wp.
Only God knows the secret of this scandal. We pray for your family and stay courageous, sister.
Help her to rethink
Huyu bila kuwa na mwanaume bure kabisa.atakulana na huyo demu hadi lini
Utavuka salama Dada, hizi no kelele za Shetani.
Ajuaye ya ndani ya moyo wa mtu ni mungu tu kwa hio msimhukum mtu mungu ndo anayejua ya familia tuyaacheni
Dada tunafarijika na nyimbo zako sana na tunakupenda, ila mama ni mama, akose au la ndiye anaye jua kitovu chako ata wewe mwenyewe ujui, ila binti yako uyo afai, ndie mchawi wako wa kwanza Ana maadili mema ndivyo ulivyo mulea ? na kama sio unamalengo naye ? Mama atabaki kua mama uwezi kulipa garama zake ata siku moja, kumbuka uliko toka rudi ukatubu, kama aujatoka kwenye tumbo lake kiri mbele yake sasa, unatuangusha sana dada, sisi tunabadilika kupitia nyimbo zako leo hii wewe unashindwa kusamee, tuambie ukweli.
Hakuna msamaha mpk ukatubu Kwa mzazi wako..saidia mamako hata kesho watu watakushuku vp...hakuna mtu atakuombea..mungu anakusubir nenda katub
Mimi nilikataaa sitawahi judge mtu until niskie both stories na wakae wote hapo waongee
Martha mm nakushauri mwachie joan aaende atakuharibia maisha na nyota yako itafifia
Anaongea kwa unyenyekevu sanaaaa, kama huyo n mungu anakutumia na ikawe neema kwako kama siyo mungu wa kweli bac mungu akusamehe
Mwenye hekima,utamjua tu!
Huyo mamaako ni mnoko tu kwann miaka yote hii ambayo matha alikuwa anamtumikia mungu asiseme maneno hayo mpaka iwe leo,ila dada matha kazana kumuomba mungu achana na maneno ya uongo kama hayo,mungu yu mwema kila wakati
Martha mama ,mama yako ni mama kama amekusea msamehe n muombe ili abadilike n kuwa mtumishi wa mungu ,msaadie mama yako hata kw msaada mdogo w laki.mbili au moja kila mwezi ,n mungu atafungia milangoa zaidi
we unaweza kumwambia mama yako mnoko mbona huna roho ww
Mtoe joan kwenye maisha yako utaishi kabisaa mtunze mamayako utabarkiwa
Kunamitihani. Kweny hizi family zetu lkn ujue. Wewe. Nimti. Wenyematunda. Hayo nimafuta. Yako. Aise. Mungu awasaidie
Hata mimi inaniuma kama unaendesha magari kubwa kubwa na mum anatoa machozi sanaa.unafurahisha walimwengu na nyimbo za injili na mama kanalia dada.
Mbona umelia sana hadi macho zimefura,. Rudi kwa mama yaishe Martha,
Ni vema mkanyamaza kimyaa kuliko kwenda kwa media still nyie ni damu moja familia zina changamoto ni vema kukaa kimyaa na kumuomba Mungu
Mrudie Mungu wako, achana na dunia hii itakutupa jehanamu. wazazi ni Mungu wa hapa dunia , usijitete kiri kuwa umekosa,pia achana na watu wanaojifanya marafiki zako kume wanakupeleka kuzimu
Mtoto wako humjuiii au umefukahia kusaga????????????😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Hata.shetaji.anasalimiaga bwan asifiwe.kikubwa.mungu.aingilie.kati.myamalize.salama.kama.familiya.kila.chadumiani.kitaachwa.haphap
Uyu Martha anaogopa kumpoteza Joan sbb anajuwa atamtolea siri nyingi za aibuu. Mungu anataka
Urudi utubu ili akumbuke kazi zako Sasa ukishupaza shigo utakufa gafla Sbb Mungu yeye uwa anadili sana na mwisho na Wala sio mwishooo.
Sauti inavyofanaa namama yako hebu mkae chini muzungumze musiendelee kuanika mambo yenu mtandaoni dada
Dada kumbuka uyu ni mama yako atakama amekukosea msamehe ili uhendelee kubarkiwa
Baba na mama ndio Mungu wko wa duniani,uwe muwazi mbele za Mungu,usifiche maana wkt wa kutubu ni Sasa,Martha Mungu halali jiulize kama una kibanzi au boliti?
Wazazi wengine push mtu kwa kufanya vitu zingine only God's know,,,
Minakushauli, kama kweli unampenda Mungu, tafuta watumishi wazuri waMungu, alafu mkae na familia myatatue, lakini kila mmoja akijiona yuko sahihi mtazidi kujichafua mtandaoni, nayaweza kuwa wewe unaejiona uko sahihi kumbe ndio ukawa chanzo cha haya yote, jishushe matha, fanya kitu,
Lakini nyinyi mtakuwa na hekima lini?Sasa Media imekuwa mahakama?mbona musitatuwe shida zenu kinyumbani?kuanika Mambo yenu hadharani sio vizuri,
Huu ni ushamba kwa matha si viema kujibu alicho sema mama iwe kweli isiwe kweli alitakiwa amtafte mama au watu wakaongee na mama wayamalize na huyo mama ndio atajitokeza kusema yameisha yy na mwanae wameamaliza..
Naamini hayo yote yatapita, simama na Mungu, na mimi ninakuombea.
Hii family inatatizo fishe na akuna wakulaumiwa wote watatu ikiwa mama alilaaniwa lazima pia imfute usihukumu tu Martha bila kujua tatizo iliazia wapi?
😢plz go back to ur mum. East or West home is the best
KAOMBEWE NA MAMA, KAPIGE MAGOTI KWAKE, ACHANA NA HUYO SHETANI
Uyu dada martha ajikaze amwendeye mamaye na watengeneze na wata patana muzuri kusiwe mutu mwengine katiyao katika mazungumuzo yawo itakuwa vema
Mrudie Mungu tafadhali huyo joan msagaji wachana naye,repent and come back to God
MAMA NDO KiLAKITU KUMBUKA BILA MAMA KUKU lea tokea utotoni usingekuwa unamiba atakama nimashariti ya muganga achana nayo omba musamaha kwa mungu na mama mzazi
Hayo ndio maneno, najua Mungu ndoo Mweza wa yote nahil litapita
Wewe ni mtoto tu sikio halizidi kichwa tumia njia sahihi ya kumrekebisha mama Ako hata kama amekukosea. Tusisahau kuwa mama nae ana baraka zako
Yeye asubili atapewa sio kutangaza
Kama hukusimama wewe mwenyewe kwa miguu yako na kumlilia Mungu wako,hata dunia nzima ikisimama kukuombea bila wewe kuwa na imani thabiti haisaidii kitu.
Kama Mungu alikupandisha hakuna wa kukushusha ila sasa Mungu wa duniani ni mzazi wako kwann umemsahau halafu unasema Mungu akusaidie kwa lipi?
Mweshimu mama yako mjali mama yako miezi tisa umekaa kwenye tumbo lake akakuzaa kwa uchungu,Epuka laana ya mama
Dua ya mama ndio bora na hakuna anaekupenda km mama na huyo mungu unaemsema anakuamuru kuheshimu wazazi usijifanye we malaika
Ukiongea wew unaeleweka , lakin ukimruhusu yule bwege anaejiita mwanao aongee kwa niaba yako, anazid kuharibu hali ya hewa
Mie si mfuasi wa hizi dini lakin sauti yako ya kuimba naielewa
ILI MAISHA YAKO YAENDELEE VIZURI KUWA NA BARAKA MUONDOE JOANI ASIENDELEE KUISHE NYUMBANI KWAKO. MSAIDIE AKAENDE AKAANZE MAISHA YAKE YA KUJITEGEMEA. AKAKAE MBALI NA WEWE SI KWA UBAYA BALI NI KUREJEA AMANI NA UPENDO KATIKA FAMILIA YAKO YA DAMU YAKO.
Matha usishindane namama ww tangu mimba mama umemkwaza mangapi mzazi nimzazi da matha habadilishwi na chochote, ayo maombi matha ni ya aina gni mungu ypo lkn mama nimungu wapili acha izo bwana . Alafu mathar yaan we unajiona uko sahihi kweli kwamama uyo beatris achana nae mjari mzazi matha ht kama yukoje
Pole ila legebishaa ulipo kosea dada mama Yako zile ndala.anazo vaa na mazingila alionayo ni ngum wat kukuelewa tafazal mukumbuke mama Yako
MUNGU namba moja ni mama jenga na family Yako maana MUNGU hatujawahi kumwona kwa macho
Hunaa maana weweee..shetwanii wewee....unataka tukuombee wakati unamausiano mazuri na mama Yako,usitupotezeemudaa..
Wewe nilitaka kumwona mwaipaja mwenyewe akizungumza muongo kutafuta likes zabure hatusubscribe
Mama yake alimtelekeza jamani,tunakumbea kwa Mungu umefanya mazuri mengi Mungu yupo atakulipia,wazazi nao wanamakubwa jamani
Kweli pia wazazi wetu hatuwez kushindanao ila wazazi wanamambo makubwa pengin hata unamsaidia ila yeye anazira au kukukataa hivyo tuagalie huku na huku ila mzazi ni mzazi usishindane naye
Matha ukimzarau mama yako laana siyo muda mfupi unapata ikiwa ni pamoja na kutembea uchi wa mnyama
Wewe mwandishi chizi tu
Hivi wazaz wanakosea kwa lipi?
Haya huyo Martha ametendwa lipi na mama yake?
Pumbavu zako mwandishi
Fukuza joan hapo nyumban
Mungu akutie nguvu kwa wakati huu.
Acha ujinga mlee mama Yako Mali ni vitu vya kupita
Nakupa ekoooo dada pambana na maisha yako acha kupambana na maisha ya familia hutokaa ufanikiweee🎉🎉🎉🎉
Ww rud kwa mama yako.sis tukuombee nin sasa
Aca unafiki wako huna lakusema mama ni mama hata awe cangodo nimama tu ata awe mcawi nimama tu
Timua huyo Johan Kwan yeye ndie muharibifu
Kwani ww ni mkongo ongea vizuri Martha f
Kifupi Martha rudisha moyo kwa mama yako rana inakuja moyonmwako achana Joan nimchawi
Hata Mimi nilikaa nabibi
Mama ni mungu wa pili achana na ya waulimwengu
Mama ni kila kitu radhi ya mama itakutafuna hata uombewe vp rudi kwa mama ukapige got
inamaana familia nzima inakusingizia!!! halafu tayari una skendo ya usagaji unakolezea kwa kumuita joan mrembo wako juzi ukitambulisha nyimbo mpya tukueleweje!! tukuombee nini na kashetani umekakumbatia
Msikilize mama hata nimchawi kumbuka huyu ni mama Rudi Kwa mama utajuta huko mbele
Acha drama ...lud sema na mama yako kwanza ndio ujeee kwetu
Mnajuaje mama ndio mwenye matatizo? Msiongee msiyoysjua. Kuna wazazi wengine ni wabaya sana. Na huyu anakubali kuongea kwenye vyombo vya habari hivyo? Anatafuta sympathy ya watu wa mitandao? Mnamuita mtoto wake kahaba wakati wala hamumjui? Na siku hizi mkitaka kudhalilisha mtu mbamuita nsagaji.
Mtangazaji hupo sawa mana hii video ni ya siku nyingi sio ya kipindi hiki kipindi hiki matha hajaongea kitu chochote.
Uyo joan atakuwa ni agent katumwa kukuharibia huduma yako sasa ninakushaur urudi kwa mama atakubarik (waheshimu baba na.mama upate miaka mingi na heri Dunia. )
Lakini ni kweli 🙏🙏
Mimi niko kenya nyimbo za matha zinanihuaa and moyoni ni mzito
👉Hii ni Kiki kama Diamond na Zuchu kuachana naniuongo
Acha drama mtunze mamaako Nkt
Martha shika ulilo nalo asije MTU akaitwaa taji yako
Kwa nini ana gangania huyo binti ana nini? Kwa nini asiondoke?
Utapata laana wewe.mama yako ni mama yako tuu.miezi tisa tumbobu,kakunyonyesha umekua, anakutolea machozi!
Rudi kwa mama ni mama martha
Kwanini mama analia Kwa ajili yako wakati alikulea?
🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏
Mbona huongei kuhusu mama yako ukweli tujue haki iko wapi
matha adui katuma lango uko wapi nataka nilie nawe
Wacha za ovyo saidia familia
Yaani Martha amua tu kurudi kwa Toba. Sasa sisi tutakuombea Nini wakati hutaki kubadilika?
Kabisa
Mambo ya familia tuwaachie wenyewe.
Kani pamoja msameheane mngu atawaponya
Mpuzi uyu
Mum.wewe.nishujaa.wa.yesukunakiwango.mungu.anakupeleka.jushwa.1.8.10.usiogope.mtumishi.wa.mungu.mti.wenye.mabundance.ndiyo.hupigwa.mawe.mimi.nasema.hI've.mungu.akupe.amani
Usimfariji Kwani Mama tena mzazi anaongea hivyo huoni kuna shida Martha rudi tu kwa mama mwambie Akusamehe ndo maana Amri ya tano ipo waheshimu nana yako na mama rudi umwambie mama
Kama Mungu aishivyo
Mungu aliye hai aingilie Kati sakata zima
Hatupaswi kuhukumu Sana lakini ni vyema tukafundishana kweli ya Kristo