Je Mwanamke Kuimba Qasida Mbele Za Wanaume Inafaa?/ Yafaa Mwanamke Kuimba/ Sheikh Walid Alhad Omar

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 ноя 2024

Комментарии • 24

  • @abrahamanintunda6948
    @abrahamanintunda6948 5 дней назад

    Waislam tunahtjika kuisoma dini yetu vzur ili tuwe nauwezo wa kutofautisha haqqi na baatil.

  • @suhaybuthedone4111
    @suhaybuthedone4111 7 дней назад +1

    SHUKRAN MAALIM 👏

  • @suhaybuthedone4111
    @suhaybuthedone4111 7 дней назад +1

    MASHAAALLAH

  • @jumanneissa8226
    @jumanneissa8226 3 дня назад

    jahili murakab hizi nafasi muhimu sana lkn wanaopewa ni majahili kwelkwel some tawheed enyi makhurafy mwanamke atasimima vip mbele ya wanaume ? muongoni ALLAH enyi ma khurafy

  • @Users2523
    @Users2523 6 дней назад

    Quran haimbwi quran inasomwa. Quran is not sang but quran is recited.

  • @Azza-o8c
    @Azza-o8c 6 дней назад +1

    Kama kuimba Kwa ajili ya ujumbe basi taarab inatowa ujumbe pia 😂

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 7 дней назад +2

    kwani mtume madina alifuata nini.et suratu mariyam yani huyu duh.kwani omary huyo mwanamke alikua nani kwake.😂😂.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 7 дней назад

    NILIJUA TU

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 7 дней назад

      Utajua sna na Bdo endlea kuwaftlia masufi uzd kpta elmu,

  • @hamadsaburi3569
    @hamadsaburi3569 4 дня назад

    Wale wali soma hawa kuimba.

  • @medimisi6930
    @medimisi6930 7 дней назад +1

    hahaa😂😂kaka yake na sharifu huyoo hao ndio masufi wanaosema kusoma vitabu ni haramu watajua vipi dini na hawasomi.

  • @Al.habeebAl.habaaib
    @Al.habeebAl.habaaib 7 дней назад

    SHEIKH ANARUKA RUKA
    HAJAJIBU KIILMU.
    TOA DALILI KATIKA KITABU NA SUNNAH

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  7 дней назад

      sheikh kajibu wewe hautaki majibu yake mtume (s.a.w) alivyotoka makka kwenda madina alipokelewa na wakina mama wakamuimbia aliwakataza sayyed omar alisilimu baada ya kusikia quran iliyosomwa na mwanamama

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 7 дней назад

      @@DarsaTV.Jee Hii Athari ni sahihi?
      Na ipo kwenye kitabu gani?
      Mshauri Abukue Atoae kwa nukuu kitabu ukurasa. Nk.
      Ili Tumjibu Kiilmu kabisa Inshaallah

    • @taurehassan7399
      @taurehassan7399 7 дней назад

      Mkiambiwa nyny mtoe dalili kwnye ktbu na Sunna mwakmbia mwaja kw wanazuoni mbn hamueleweki au kwnu fatwa vyvyte vle lkn kw wnznu kitbu na sunna

    • @Al.habeebAl.habaaib
      @Al.habeebAl.habaaib 7 дней назад

      @@taurehassan7399 Msipige chenga
      Mshaurini sheikh leni atoe dalili
      Sio visa vya bunwasi na kamba nyingi.
      Ndipo sisi sasa tutaibuka na dalili na vitabu

    • @5amediaonline335
      @5amediaonline335 7 дней назад

      Twayib

  • @Black_cheeter
    @Black_cheeter 4 дня назад

    Hamna sheikh hapa zaidi ya kuruka ruka tu, Jibu swali je? Inafaa mwanamke kuimba mbele ya wanaume? Kama yaafaa kwa dalili kadhaa na kama haifai kwa dalili kadhaaa? Maana naona majibu yake ni mkorogo tu

    • @DarsaTV.
      @DarsaTV.  4 дня назад

      unataka dalili gani kakupa dalili mtume (s.a.w) katoka makka kwenda madini kapokelewa na dufu na wanawake ingekuwa haifai angekataza sayyed omar kasilimu baada ya kusomewa quran na mwanamke wewe unataka nini