Part |1| RADD KWA SHEIKH WA MKOA WALIDI ALHAADI KWA KUJUZISHA KUYAOMBA MAKABURI YA MAWALII

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 26 ноя 2024

Комментарии • 268

  • @AbduNgarubulwa
    @AbduNgarubulwa 20 дней назад +2

    Mashaalah!!Allah azidi kukupa umri mrefu wenye manufaa

  • @abduliashiru9394
    @abduliashiru9394 26 дней назад +6

    Mi sinaga shaka anaposemaga uyu Shekhe ni anatoa Elimu safi sana na mtu unaelewa binafsi namkubali sana Shekhe Abdu Rauf Kagimbo Allah akulipe khery Duniani na Akhera Amiiin, na hawa ndugu zetu wanazingua sana sijui haya mambo wanayatoa wapi.

  • @AbdulRama-u7d
    @AbdulRama-u7d 20 дней назад +3

    Allaah akubaarik sheikh❤

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 26 дней назад +4

    JAZAAKA LLAAHU KHEIR SHEKH WETU ALLAH AKUBAARIK..KWELI MADARAKA YANALEVYA...SHEKH WALID SI YULE TULIYEMJUA KABLA YA KUINGIA BAKWATA!!!

    • @abdallahmgaya7521
      @abdallahmgaya7521 5 дней назад

      Yaani ukiingia BAKWATA tu basi umekwisha.
      Sheikh Walid wa mwaka 2000 SI huyu wa Sasa.
      HUWEZI KUWA BAKWATA UKAIEPUKA SHIRKI. ALLAH ATUSAIDIE

  • @abuusaady8261
    @abuusaady8261 24 дня назад

    Allah akulipe kheri shekh abdulraufu
    Allah akuhifadhi na akupe umri wenye manufaa

  • @AbuuMuhsin
    @AbuuMuhsin 14 дней назад

    Baarakallahu fiika sheikh

  • @sirajramadhan7542
    @sirajramadhan7542 27 дней назад +5

    Allah akuhifadhi Shekh
    Bainisha hakki waijue awamu nnasi

  • @zanlec7357
    @zanlec7357 27 дней назад +8

    Innalillahi wainna ilayhi raajioun. Sheikh Abdulrauf Allah akulipe khery na kukuhiadhi na husna na Fitna.
    Hakika hawa MASUFI wanaharibu sana Dini ya Uislamu. Yaan Mwanadamu aliehai anamuomba Maiti amuombee dua. Heeee hii n maajabu. Sana

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 27 дней назад +1

      Masufi wanaaribu dini!Huoni nyie mawahabi mnadanganya watu ukijitoa muhanga unaenda peponi!.

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 27 дней назад

      @IsmailSanga Umeyapata wapi Haya?

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 27 дней назад

      Sheikh gani umekaa kabisa eti unamradi sheikh Walid hao mawahabi wenyewe wanafahamu elmu Yako Sasa kutoonyesha mavitabu Ili tuone kuwa ana elmu hiyo inaitwa kujionyesha na inapelekea kuijifanya takburi ni hili ndio linalowasumbua mawahabi mukipata tu mukdima hao mnajirikodi nakutwalii kuwaonyesha waalimu wenu kuwa umeelewa ulichofundishwa darsani mnafeli kjn njoo magomeni darsani usioongelee vichochoroni usomeshwe sheikh wenu wa vetenari alikurupuga akasomeashwa na alhatimi lkn Bado hamtiii ibra kwa kweli nyinyi mawahabi mola awaongoze kwa kweli alhumaamin na hata hiyo hadithi unayoisoma unaelewa malengo yake Nini acha kupoteza Muda Bado wewe ni mudrisu acha kuwavamia masheikh mola atuongoze kwa kweli .

    • @zanlec7357
      @zanlec7357 27 дней назад +1

      @@salimhemed2823 Pole Sana. Kwani ww unaona Kuwaomba MAITI wakuombee wewe uliehai Dua n sawa? . Na jee hivi unakiri kabisa Kwa moyo kua MAITI anao uwezo wakukuombea wewe Dua?

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 27 дней назад

      @QaisMohamed-h3q Kama Mimi muongo embu kamuulize sheik wako.

  • @abuusaalimalmasasiyyu9421
    @abuusaalimalmasasiyyu9421 27 дней назад +2

    Maa shaa Allah sheikh bainisha haqq Allah atailinda

  • @SospeterMathias-i5y
    @SospeterMathias-i5y 24 дня назад

    SubhanaAllah na anasema km hutaki basi dah huu msiba aiseeeee

  • @swahilitherapytv3846
    @swahilitherapytv3846 27 дней назад +4

    Allah akulipe khery nyingi sheikh munawi kwa faida hii uliotoa

    • @BakariiddiLika
      @BakariiddiLika 27 дней назад

      Shekhe katumia tawassali bali hajatumia tawakkal nyinyit ndo hamja muelewa.

    • @warshysaid8564
      @warshysaid8564 27 дней назад

      ​@@BakariiddiLika hakuna tawassul hiyooo

    • @AsampiMpili
      @AsampiMpili 26 дней назад

      ​@@BakariiddiLikakwahiyo wake tunaowomba watuombee Kuna dalili pale Huwa wanasiki a na kupeleka maombi yetu. ?

  • @RashidShela-w8n
    @RashidShela-w8n 27 дней назад +4

    Nilichokigunduw kumbe mawahabi niwazi to sana kuelewana somo Mungu awaongoze ktk hakki

    • @hijazhija316
      @hijazhija316 27 дней назад

      Sikiliza vizuri.relax

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 26 дней назад

      Uislam ni kufata qur an na mtume Muhammad tu. Hatujaambiwa tuwe sufi sijuwi nini

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 26 дней назад

      @@RashidShela-w8n swadacta kwakweli ndugu yangu mtihani yaani ukiwafuatilia Hawa waweza hata kutamani kulia

    • @AsampiMpili
      @AsampiMpili 26 дней назад

      Acheni shirki kuabudu makaburi​@@salimhemed2823

  • @rashidsaid6015
    @rashidsaid6015 27 дней назад +9

    Shekh bwana mimi niwe mkwel ktk kauli ya shekh walid sina shaka nayo sasa cjui ndo kukwama au kufaulu Allah ndo mjuzi ila wewe ktk mashekh wote wanaoradd kila kukicha humu mitandaoni wewe unaweza kumuelewesha mtu akakaa ktk njia una kila sababu ya kueleweka pamoja na ilmu yako lkn humvunjii adabu unaemradd bali unatoa istishhaad za ilmu raha kukuskikiza mwenyezi mungu akuruzuku fahamu zaidi Allahumma Aamin.

  • @MsililiHamza
    @MsililiHamza 27 дней назад +2

    Allah akulipe kila la kheri Shekhe wetu

  • @mams1892
    @mams1892 26 дней назад +1

    Jazzakallahu khairan

  • @alisaid9024
    @alisaid9024 27 дней назад +3

    Msiba mkubwa hakuna masheikh wa bakwata ila msiba mkubwa ,,,wamepinda sana ...Allah awaongoze ..wanatumia ujeuri kwa kukosa ilm na kua na jeuri ya kusema lolote kisa wana vyeo ,,,waislam msiba huu ,,,

  • @mahfoudhmabrouk809
    @mahfoudhmabrouk809 27 дней назад +3

    Sub'haana llah!!
    Huyu bwana kabla hajapewa hii nafasi aliyonayo nilikuwa nadhania ni miongoni mwa watu wa bid'ah mwenye afadhali. Na hakuwa na ujinga mwingi wa wazi wazi laakin kwa sasa utadhani kuna ibilisi kamuingia!!

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 27 дней назад +2

      Huyu Bado hajasoma na akitaka hayo asisemee mbali aje darsani wanafunzi tutamuelimi

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 27 дней назад +2

      Tutamsomesha na acha elmu izungumze siyo kutuonesha kwenye vipaza sauti kwenye tv uchwara njooo darsani shida yenu mawahabi munikitu kinaitwa kuelewa kinyume Cha mambo Hilo tu

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 27 дней назад

      ​@@salimhemed2823acheni ushirikina mtaingia motoni Kama hamtaacha itikadi za upotofu,

    • @mussamalekela2107
      @mussamalekela2107 26 дней назад

      ​@@salimhemed2823muogope Allah ndugu kuelewa ukweli wa mambo ni huko? Kwamba umuombe maiti akuombee? ضعف الطالب والمطلوب

  • @NyanyaMbuli
    @NyanyaMbuli 21 день назад

    Zamani mlikua mnatukataza kuzuru makaburi Leo hii mnaturusu Allah MKUBWA kwa kweli👉Kisha nimeona sheikh akikataza kuombeana Dua huu ni msiba 👉Kisha NAONA ANAKUBALI kua Dua kwa maiti ina mfikia vipi tena huko NYUMA mlikua mnasema kua HAIFAI hii ni khatari kwa ulaghai wanao tufanyia MASALAFI JADIDA.

  • @Rukaka_jr
    @Rukaka_jr 27 дней назад +16

    Ukishaingia BAKWATA akili inaruka, Allah atupe mwisho mwema InshaAllah

    • @AdamChogo
      @AdamChogo 27 дней назад

      @@Rukaka_jr ukiwa nje ya bakwata uko nje ya uislamu

    • @abuusufian6506
      @abuusufian6506 27 дней назад

      ​@@AdamChogo😅

    • @almarwazyahaythamy4905
      @almarwazyahaythamy4905 27 дней назад

      ​@@AdamChogohee bakwata imeanzishwa mwaka gani..

    • @medimisi6930
      @medimisi6930 27 дней назад

      kwaiyo ww unaamini kua inafaa kumuomba maiti..@QaisMohamed-h3q

    • @NURUDINIATHUMANI
      @NURUDINIATHUMANI 27 дней назад +2

      SOMENI TU MAWAHABI MBONA MAMBO YAPO WAZI HAYA

  • @ilhamhaji8650
    @ilhamhaji8650 26 дней назад +1

    Kwakweli Allah atuongoze Tupo katika mtihani mkubwa sana hadi huruma

  • @SaidKondo-i2t
    @SaidKondo-i2t 27 дней назад +3

    Shida sana,shekhe anaomba makaburi

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 26 дней назад +1

    Mm nahis shekhe walid alikua hakula alikua na njaa ndio maana maana kwa mtu alieshiba hawez kuongea vile mm sijasoma sana lakin pale shekhe alikosea sana mungu atulinde

  • @rasheedmussa4934
    @rasheedmussa4934 27 дней назад +2

    Innaa lillaahi wa inna ilayhi raajiun! Tatizo la waislam wengi tunan'gang'ania mazoea ya masheikh zetu wa zamani.
    Tusilemae na ilimu za zamani tusomeni elimu haina mwisho, tutafute haqqi, hakuna kitu chenye thamani kama dini.
    Kila siku tunajifunza mambo mapya ya kidunia lakini kuhusu dini yako unaona usumbufu, ibada zote mtume kazifundisha na kuzielezea hakuna kipya labda tulete ibada zetu mpya, na hio ndo hatari ya kuingiza mambo mapya kwenye dini!
    hii ni bidaa na mtume( s.a. w)
    katahadharisha bidaa.
    Naomba masheikh waielezee hadithi ile ya kukataza na kukemea bidaa inaonekana hii hadithi haijaeleweka, ? au ni mazoea.
    Masheikh kuweni makini nyie ndio vioo kwa jamii ya kislam tanzania na duniani kote, sheikh unapozungumza jua unamuwakilisha bwana mtume( s. aw) , mcheni Allah kuweni na uadilifu duniani tunapita tuu. akhera ndo makazi ya kudumu

    • @jaabirbakar2081
      @jaabirbakar2081 26 дней назад

      Elimu zote n zazaman , ww ndio ujue zaid kuliko masheikh wazaman, acha ujinga

  • @mbaroukaljahdhamy3964
    @mbaroukaljahdhamy3964 17 дней назад

    Yupo sahihi Shekh walid

  • @salminkijemkuu4616
    @salminkijemkuu4616 15 дней назад

    Hivi hapo shekh walidi kasema tuwaombe maiti watuondolee matatizo yetuu au tuwaombe maiti watumbee mungu matatizo yetu yaondoke.
    Kuna tafauti na kumuomba mtu alie kua hai akuombee mungu matatizo yako yaondoke.
    Hebu laga zilizo tumika tuzifwatilie tuweke ushabiki kando kwanza.

  • @abdallahmgaya7521
    @abdallahmgaya7521 5 дней назад

    YAANI WAISLAAM TUSIMFATE KILA SHEHE KWA KUWA AMEVAA KANZU, MASHEHE WENGI HAWAMUABUDU MUNGU ILA PIA WANAFANYA USHIRIKINA. SISI TULIO HAI KUWAOMBA WATU WALIOKUFA MAKABURINI NI USHIRIKINA WA WAZI HAUNA TOFAUTI NA WAKRISTO KUMUOMBA MARIA MTAKATIFU

  • @RamadhaniSalimu-r4q
    @RamadhaniSalimu-r4q 27 дней назад +2

    ibada yoyote ambayo muislamu anataka kuifanya asifanye ibada ambayo hakuifanya mtume

  • @HamisiNgonji-ft3ni
    @HamisiNgonji-ft3ni 21 день назад

    Hadithi mbona zipo

  • @IbrahimMohammed-f2b
    @IbrahimMohammed-f2b 22 дня назад

    Aliomba vp ??

  • @HamisiNgonji-ft3ni
    @HamisiNgonji-ft3ni 21 день назад

    Huyu hajamuelewa shekhe shekhe kasema anawomba wale waliokaburini wawaombee kwa mungu kheri kwa kuwa maiti anamnufaisha aliye hai na aliye hai anamnufaisha aliye kaburini kwa ushahidi wa hadithi

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy 17 дней назад

      Acha ushirikina wewe, hakuna manufaa anayopata aliye hai Kwa maiti wake, shirki imekaa katika muj'tamaa mpaka hili linaonekana ni jambo la kawaida tu.

  • @rashidichuri1149
    @rashidichuri1149 27 дней назад +4

    95% yawanaokoment hawana elimu kwahiyo hawawezi kuelewa kichozungumzwa zaidi yakuoiga kelele tu

    • @hassanjuma6144
      @hassanjuma6144 27 дней назад +3

      Kwa hiyo na ww ulie comment hauna ilim sio

    • @hmjunior8140
      @hmjunior8140 27 дней назад

      @@hassanjuma6144 kama hujui maana ya asilimia useme ueleweshwe, sio aibu!

  • @YusufuGoma
    @YusufuGoma 26 дней назад

    Tutamjibu Insh llh.

  • @MohamedAlly-dq2rl
    @MohamedAlly-dq2rl 25 дней назад

    Ukwe upo wazi kabisa ukiikubali bakwata lazima uwe mzushi Kwanza

  • @ayyamirubba5226
    @ayyamirubba5226 27 дней назад +1

    Dalili zote zitolewazo bado watu hawa hawatosheki na mwenendo wa Mtume na maswahaba..من عاش بعدی فسیری إختلافا کثيرا علیکم بستی وسنة الخلفاء الراشدین ...

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 26 дней назад

      Elewa maana ,malengo na sababu zakushuka hadithi ya mtume wetu (S.A.W ) kwanza ushauri tu wabure.

  • @adamjutto5849
    @adamjutto5849 25 дней назад +1

    Najua kuna mijinga itakuja kusema sheikh walidi amezungumza kwa njia kubwa sana,kumyelewa inataka ukae darasani😂😂😂,masufi wanajifanyaga wanafanya taa-wiili hadi kwenye maneno ya masheikh zao😂,

    • @Abuu_Asfiya-Salafy
      @Abuu_Asfiya-Salafy 17 дней назад

      😂 hao mbona wapo wengi tuu, ALLAHulmustaan
      Wana taa'sub zimewajaa

  • @bwagizoselemani8434
    @bwagizoselemani8434 26 дней назад

    Daah kwel walid akili imeruka mait akuombee mungu mm sina elimu lakin hapa bwana walid umetupiga mungu anakuona

  • @rajabunchimbi2842
    @rajabunchimbi2842 27 дней назад +2

    Masufi hadi wakubali kuacha bidaa za maulidi na bidaa zinginezo ndo watakubali kuacha shirki. Allah amuongoze shekhe Walidi na wafuasi wake.

  • @TwahirBurhan
    @TwahirBurhan 26 дней назад +2

    TATIZO LA MASUFI HUWA NI WARONGO NA KTK URONGO WAO HUWA HAWATOI DALILI MF.DALILI YA KUWAOMBA MAITI HATOI LKN ANASISITIZA WATU WAOMBE MAABURI

  • @saidalhinai1131
    @saidalhinai1131 27 дней назад +2

    Hamna kazi mmekaa mitandaoni kufanya radd washenzi hamna kazi

    • @salummwanga8181
      @salummwanga8181 27 дней назад +1

      @@saidalhinai1131 mshenzi mwenyewe kwan uyo alikuwa anaongelea chumban au mitandaoni, sikiliza kinachosemwa ni kwel au uongo, radii ni ktk nasiha

    • @Harunery
      @Harunery 27 дней назад

      Ujinga ni kiza,hujui chochote maskini

    • @salummwanga8181
      @salummwanga8181 27 дней назад +3

      @@Harunery mtu wa bid'aa cku zote ana mashayatwii akikosolewa tu kdgo anakasirika na mashayatwii yanapanda na kuanza kuropoka ovyo

  • @issaabdallah1205
    @issaabdallah1205 27 дней назад +1

    Eee walid hamjui anaesthikikuombwa

  • @HamisiNgonji-ft3ni
    @HamisiNgonji-ft3ni 21 день назад

    Sasa kama hujasoma unawezaje kuseama umedanganywa

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 26 дней назад +1

    HAPO SI BAKWATA TATIZO MAZAYUNI WANAKARIRISHWA ELIM AWANA ,HATA KIDOGO, KAMA KWERI WEWE ZAYUNI UNAJIWEZA OMBA MDAHALO NA SHEKHE WALIDI KAMA AJAKUKAMUA MAVI

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 26 дней назад

      Akhy nikweli lkn usighazibike mawahabi ndivyo walivyo na Wala usipoteze puumzi Yako ,shida kubwa yahawa ndugu zetu nikupiga kelele mbali nendeni kichangani pale na mukamuulize na mutasomeshwa vizuri tu Bure na lingine nikuwa wanataka kuwa masheikh wa kukaririshwa tu hii ni shida mola atuongoze kwa rehma zake Alhumaamin

    • @khalidshamis6864
      @khalidshamis6864 26 дней назад

      ​@@salimhemed2823
      kwa maana hii kuwa inafaa kumuomba maiti (mtu aliekufa)

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 25 дней назад +1

      Huyo ni mwanafunzi wa sheikh abul fadhli qasim mafuta,na mnamjua ni nani sheikh qasim,huyo walidi hata theluthi hafiki😂😂😂,,pili ktk hilo sheikh walidi hawezi kujibu na wana hana elimu ya kujibu hii raddi mpka qiyaamah.

  • @SalimHamza-w4f
    @SalimHamza-w4f 27 дней назад +2

    Sikuizi ameanza kuchanyikiwa

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 27 дней назад +1

    Tatizo lenu mukishajiona muna vitabu viiingi majumbani mwenu hua munasahau kua bado hamujasoa bali vitabu vinakudanganyeni.
    Yaani unakusanya matabu teleee lakini huyajuwi hata yalivyokusudiwa na kwenda kwa Masheikh kusoma hamutai sasa hapo shid ndipo ulinapopatikana

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад

      Je una ilimu yoyote Ili ututolee au ni maneno matupu tu? tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 25 дней назад

      Na ww leta elimu yako😂

    • @abuusaady8261
      @abuusaady8261 24 дня назад +1

      Jifunze kwanza namna ya kuandika vema ndipo utamuelewa

  • @homeboyvr8184
    @homeboyvr8184 27 дней назад +3

    Ajabu sana masufi wanashida mnooo

  • @kichwaMasta-ys6wt
    @kichwaMasta-ys6wt 27 дней назад

    Huwezi kuelimisha jamii bila kukosoa mwengine?

    • @rijalkaita
      @rijalkaita 27 дней назад

      Shekh walidi anawafuasi nawanamfuata kwakila jambo kwakua hawajui/hawana elimu unavyodhani nani atawatoa gizani? Namambo haya yameenea mitandaoni tunaamalizana hukuhuku

    • @kichwaMasta-ys6wt
      @kichwaMasta-ys6wt 27 дней назад

      Mm naona hata nyie mna mapungufu mengi na elimu zenu ni ndogo mnatafuta ulaji kupitia dini

    • @rijalkaita
      @rijalkaita 26 дней назад +1

      @@kichwaMasta-ys6wt elimu ndogo ndo tusilinganiane Tunapokosea? Acha ushabiki kwenye dini halafu tambua kosa la shirki nikubwa allah hatolisamehe kosa hilo ikiwa atakufa nalo bila kulitubia wangapi kwamaneno ya walidi wameingia kwenye shirki? Nani wakuwatoa na video yake imeshasambaa mitandaoni
      افلا تعقلون

    • @kichwaMasta-ys6wt
      @kichwaMasta-ys6wt 26 дней назад

      @@rijalkaita ulimfwata shekhe ukamuambia kua kakosea au umeamua kukata kipande kwenye mazungumzo yake ujipatie umaarufu au nyie ndo wale aliosema mtume watakuaja watu ugomvi wao ni zidi ya waislamu wenzao hawana haja na makafir

    • @rijalkaita
      @rijalkaita 26 дней назад

      @kichwaMasta-ys6wt unamfata kwake wakati maneno yake yameenea mtandaoni افلا تعقلون

  • @SaidMhando-y5k
    @SaidMhando-y5k 27 дней назад +2

    Someni jaman ipohadithi ya bw mtume inasema tukiwaombea marehemu nawao wanaitikia Kisha nao wanatuombea shida kubwa hivisasa kila mja ni shekhe yani ukijua Kiarabutu someni

    • @abuuFaaruuq
      @abuuFaaruuq 27 дней назад +2

      Tuletee hiyo hadithi nasie tuione hapa na utupe usahihi wa hiyo hadithi ikithibiti hadithi hiyo ipo na nisahihi kwa misingi ya elimu kuanzia Leo namimi nakubaliana na walid

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 26 дней назад +1

      Toka lini waliokufa wakatuombea. Mmh

    • @ExcitedCave-cx9rx
      @ExcitedCave-cx9rx 26 дней назад

      Achana nao hawa mazayuni elim zao za kukaririshwa tu ,kwani nini wasiombe munaqasha na shekhe walidi kama kweri huyu wahabi anajiweza ????

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад +2

      Amesema Mtume wa Allaah Swalla llahu alayhi wasallam " Mwenye kunisemea uongo kwa kukusudia, basi aandae Makazi yake motoni" Hadith Ameipokea Imam Muslim. Ikiwa hayo uliyo yasema ni kweli kayasema Mtume Swalla llahu alayhi wasallam basi tuletee Hadith na ikiwa umezua kwa matamanio ya nafsi yako basi Muogope Allaah na ufute maneno yako na utubie. Subhaallah

    • @salimhemed2823
      @salimhemed2823 26 дней назад

      @@SaidMhando-y5k hakuna haja yakuwaletea hawa nikupoteza muda huyu anatafuta kiki tu ,hawa wameshakaririshwa kuelewa shughuli pevu.wamekalia ushabiki tu kusoma aaah.mola atuongoze alhumaamin

  • @JamaliShabani-j4z
    @JamaliShabani-j4z 26 дней назад

    Mmesoma kwanz nyie ambao mnasema shekh Walid kakosea m naona hamjamuelewa

  • @Rabbihdini
    @Rabbihdini 20 дней назад

    Maneno hayo alisema nani...niballah au ni hadithi

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 27 дней назад

    Kwani Uislamu umenikataza mimi Mwanadamu kumuomba msaada Jinni kama ninavyimuomba msaada Mwanadamu mwenzangu kwakua simuoni?

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 27 дней назад +1

      Muombe Allah sio jini kwasababu huyo Ni adui yako

  • @SuleimanKombo-i3o
    @SuleimanKombo-i3o 26 дней назад

    Mimi naomba tufanye mambo ya kuleta maendeleo katika dini yetu sio kuchunguzana sisi kwa sisi, huu ni mwenendo unaokwenda kinyume na suna.

    • @MahadKimaro
      @MahadKimaro 26 дней назад

      Hahaha ikhwa kaa chini usome dini ni vipi mtu atangaze shirki aachwe eti hayo ndo kutafta maendeleo hapana huku kote ni kwasababu watu tumekaa mbali na tawhid

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад

      Nyamaza ewe! Jahil usiye jua kitu au zungumza kwa ilimu. Wataka kumaanisha kuwa Allaah anavyo tukaza Katika Qur'an kuwa tusifanye Shirki na Mtume Swalla llahu alayhi wasallam anaposema tumuombe Allaah pekee sio maendeleo? Na maendeleo ni kufanya kinyume na hivyo? Au wataka tusikatazane mabaya na kuamrisha Mema kama tulivyo amrishwa? Una nini sheikh? Una hukumu vipi? Allaahu akbar

    • @MahadKimaro
      @MahadKimaro 26 дней назад +1

      @islaminmyheart9348 ikhwa labda hujanielewq Mimi nimepinga swala la mtu kusem sheikh awache. Kubainisha tawhidi na kukemea shirkiinayotangazwa wazi kwa dai lakusem ni kufocus na maendeleo

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад

      @@MahadKimaro Allaah akubarik

    • @MahadKimaro
      @MahadKimaro 26 дней назад

      @@islaminmyheart9348 amin wa iyyak

  • @saidngubi5302
    @saidngubi5302 26 дней назад

    Salaam alaykum warahmatulah wabarakatul,ndugu zangu waislamu naomba kuuliza kwani Hawa masheikh zetu Wana radiana kila wakati hivi hakuna uwezekano wa kumfuata sheikh mwenzake aliyepotoka na kwenda kumwelekeza baada ya kutumia mitandao ya kijamii.

    • @JumaAbdallah-k8k
      @JumaAbdallah-k8k 25 дней назад

      Waalaykum salaam warahmatullah wabarakaatuh
      Unapaswa kuijua misingi ya kulingania ndo uulize swali km hili
      Yule sheikh kakosea mtandaoni watu wajue alichokosewa ndo maana anaradia hapa km ambavyo kakosea mtandaoni

  • @HamisiNgonji-ft3ni
    @HamisiNgonji-ft3ni 21 день назад

    Hao mnawaita masufi wanaelimu kweli

  • @WadimuharamiAlly
    @WadimuharamiAlly 25 дней назад

    Nani mkweli jamani hapo

  • @maarufumustwapha3055
    @maarufumustwapha3055 26 дней назад

    Uwelewa ni finyu shekhe walid kasema tunaenda kuwaombea ajasema tunaenda kuwaomba

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  26 дней назад

      Sikiliza vizuri kabla hujaleta maoni yako kwenye uwanja wa Comments

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 25 дней назад

      😂😂😂 mnaeleta taawiil mpka kwenye maneno yaliyo wazi😂😂,duuh il masufi!!

    • @MohamedNjechele-j6t
      @MohamedNjechele-j6t 24 дня назад

      Sikiluza vzr ndugu yangu kasema tunaenda kuwaombea kisha tuwaombe wao watuimbee kwa allah

  • @rjqaasam4587
    @rjqaasam4587 27 дней назад +1

    Unatafuta Kiki tu huna Elimu ya kukuwezesha kumkosoa Shekhe Waliid Bin Alhaadi Omar

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 25 дней назад

      😂😂😂😂Walidi yeye naaniii,ni mtume lbda ,au mwanachuoni lbda,au msaniii?!!
      Masalafi wakikujibu hawanaga time babuu,wanakuchapa pamoja na umaarufu wako.

  • @issabaruani4433
    @issabaruani4433 27 дней назад

    Ninachokiona hamjamuelewa sheikh walid

    • @salummwanga8181
      @salummwanga8181 27 дней назад

      Tueleweshe ww

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 27 дней назад

      @@issabaruani4433 unatetea wakati clip ipo wazi mitandao inaumbuwa skuhizi huwezi kutuficha kitu zama hizo zzimepita saivi kila kitu kipo wazi,,, rejea kumsikiliza kwani hatuwajui masufi ndo zenu kuwaomba mayte, hata hapa Mimi nilipo Nina clip kama 3 mombasa apo masufi wanasujudia mayte na kama unavyoswali wanainuka na kuwaomba kaka tunaposema masufi mwaabudu makaburi,hivi unadhani ni ndoto hiyo live tunawaona kwa macho na kuwasikia kwa masikio yetu,, rudini kwa Allah muda bado upo wacheni hizo ibada

    • @BradothAdm
      @BradothAdm 27 дней назад

      Kipi hakijaelewa hapo kaongea lugha ya kigeni au

    • @AbdulbasitAkida-ui2du
      @AbdulbasitAkida-ui2du 27 дней назад +1

      Usijisumbue ndugu yangu, hao masheikh wanaojibu, wana uzoefu wa hayo wanayojibu, hivo walid ameeleweka vizuri, walid alisema tukawaombe wafu makaburini ili watuombee kwa mola, hilo ni kosa analokosolewa, haifai kuwaomba makaburini kwani wao hawastahiki kuombwa wao ni wafu tu, wanahitaji kuombewa sio kuombwa, kuombwa hufanyiwa Allah pekee.

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 25 дней назад

      Katumia balagha kubwa eeh😂😂😂

  • @WaziriSaid-z7m
    @WaziriSaid-z7m 26 дней назад

    Mawahabi mnachuki elimu ni shida ndo maana mnaigawa tawhiidi

  • @husseinomary-dg1wx
    @husseinomary-dg1wx 27 дней назад +1

    MIMI SINA ATA JUZU AMMA RAKINI HUJUI TAFSILI WEWE HAO WANA WAFANYIA DUA ILI KUPA BALAKA ZA MAWALII HAO WANAVYO KUFA SIKAMA UNAVYO KUFA WW NA BABA YAKO ILA ALLAH YEYE NDOO MTOAJI KWAKILA JAMBO EMU TAFUTA MASHEKH WAZURI UPATE ERIMU WEWE 😂😂

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 27 дней назад

      ​@@QaisMohamed-h3qmajahili hayo ndio mengi , utasikia sijui kitu lakini .. .

    • @MtailwaHamisi-u1o
      @MtailwaHamisi-u1o 27 дней назад

      KUNA WATU hawasikilizi kwamakini sheikh hajapinga kuwaombea dua marehemu ! Bali sheikh anapinga KAULI ya sheikh walidi ETI tutawaambia marehemu na wao watuombee kwa allah

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 26 дней назад

      kama huna hata juzu moja usiwe mwepesi wa kuandika comment, sikiliza kisha uwende darasan ukasome

    • @yasiniramadhani400
      @yasiniramadhani400 25 дней назад

      Kuandika Kwenyewe Hujui

  • @HusseinIddi-f4s
    @HusseinIddi-f4s 27 дней назад +2

    Wewe mwenyewe urekebishwe kwa sababu umekosea mwanzo wa muqaddima wako umesema wahdahuu laa shadika na wewe urekebishwe.

    • @HusseinIddi-f4s
      @HusseinIddi-f4s 27 дней назад

      @QaisMohamed-h3q sawa sheikh mkubwa wewe ndo unacho unachokijua.

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 26 дней назад

      alhamdulillah kama katika vyote alivovisema alichokosea ndo hicho tu, achana na alichokosea ufate hvyo vingine

  • @HusseinHassan-p7g
    @HusseinHassan-p7g 26 дней назад +1

    Sasa uyo ndio shekh wamkoa anasema atawaomba ao waliokufa sasa iyo shirki kubwa inayomtoa mtu kwenye uislamu mashekh wengi wabakwata awana elimu sahihi yadini nawamepinda sana ameshindwa kujua iyo nishiriki alafu uyo ndio anatangulizwa mbele afai kuwa shekh

  • @ramadhaninuhumnzava8912
    @ramadhaninuhumnzava8912 23 дня назад

    Huyo Sheikh wa Mkoa wa Dar hivyo anavyofanya anaingia katika shirk halafu wanaomfuata hawajui wanapotezwa na wao wanaingia katika shirk.
    Hebu someni acheni kusikiliza masheikh wa Bidaa wanaangalia maslahi yao binafsi na kutumia rai zao binafsi pasina hoja katika kitabu cha Allah, Sunnah na Hadith za Mtume pamoja na Kauli za Salaf Swaleh

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 27 дней назад

    Shiriki iyo.sheikh mfu ni mfu Tu

  • @khamismaggy6484
    @khamismaggy6484 27 дней назад +1

    Dah… huyu Walidi ni sheikh au shehena? tena ya dufu 😢

  • @AllySibila
    @AllySibila 27 дней назад

    Hamjui tatizo elimu za kusoma markaz hamuwezi elewa shekhe walidi

    • @BradothAdm
      @BradothAdm 27 дней назад +1

      Yani masufi huwa mnajifanya mkiongea hamjaeleweka kwani hyo luga ni kichina

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 26 дней назад

      ​@@BradothAdm😂😂😂😂😂

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 27 дней назад

    Awe ni mwenye kuonekanwa hilo ni sharti?? Jee maelezo hayo yapo Kaitabu gani?

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад

      Ukijua yapo Kitabu gani na ukaoneshwa! Utafata au wauliza kiushabiki tu?

  • @amanifadhi
    @amanifadhi 27 дней назад +1

    Elimu zamarkazi hamuwezi elewa jambo hapo

  • @MikidadiShaban
    @MikidadiShaban 21 день назад

    We waliid mche molawako usiwe unadanganya watu

  • @MIGEZO4542
    @MIGEZO4542 27 дней назад

    Sheikh wa mkoa yuko sahihi

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 27 дней назад

      Nyote Ni washirikina na dhambi ya Kwanza isiyosamehewa

  • @shilingi-Ahmadi
    @shilingi-Ahmadi 27 дней назад

    ما لك من علم بهذا.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 27 дней назад

      Which?

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 27 дней назад +6

      @@ABUUBAAZNYUNGU-j4x Hivi akhy hawa wafuasi wanaowafundishwa na hawa masheikh akili hawana!! Wallah hawa watu ni wapumbavu sana wanashindwa kutumia hata akili za kuvalia nguo kutambua ujinga wanaolishwa?? Allah awape nguvu masheikh wa kisalafy kuendelea kupambana na hawa majaahil.

    • @wajawemaonlineTV
      @wajawemaonlineTV  27 дней назад

      Allahummah Amiin

    • @Hamis-ks1sy
      @Hamis-ks1sy 27 дней назад

      Silence is better than talking if you don't know what you are talking about.Allah atuongoze katika njia sahihi.

    • @ABUUBAAZNYUNGU-j4x
      @ABUUBAAZNYUNGU-j4x 27 дней назад +2

      @@Hamis-ks1sy Absolutely!

  • @hassanWanjiku
    @hassanWanjiku 27 дней назад

    Yaanzaje kumwambia maiti akuombee hio akili kweli ama hakina kitu hicho kichwa acheni kupoteza watu wakuombwa ni Allah subhannahu wa taala Tena wewe na maiti nani akiomba atakua mwenye kuskizwa huo ni ushirikina kama mna hoja njooni washirikina n mumejificha kwa dini

  • @MuganyiziHassan
    @MuganyiziHassan 26 дней назад

    Kwa hiyo kumuomba mwenyezi kwa kupitia mtume ni kosa kwa kuwa amekufa

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 26 дней назад

      unamaanisha nn kusema hvo akhii!! yan unamuomba mtume (saw) akuombee au unamaanisha nn

    • @AlhajjiShabani
      @AlhajjiShabani 23 дня назад

      Ndiooo ,,HAIFAI

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 27 дней назад

    Tutawaomba watuombee...sasa kuna kosa gani?

  • @hajjisanga789
    @hajjisanga789 25 дней назад

    Shekh walid yupo sahihi na anacho kisema anakusudia hasa ila ndugu zetu wahabi hawajiulizi kwa nini shekh anasema hivi wao ni kutoa dawa yao ile ile ya shirki sasa nyinyi someni mjue hasa hayo ndio yale yale kwahiyo maneno ya shekh walid yapo sahihi wewe kama unataka nenda ukaulize vizuri upewe somo

  • @abbaspaziaog2188
    @abbaspaziaog2188 27 дней назад

    Masufi niwashirikina tu

  • @twahahamidu6246
    @twahahamidu6246 26 дней назад +1

    Bakwata watapeleka watu motoni

  • @AllyHozza
    @AllyHozza 27 дней назад +1

    yaan ukishaaingia bakwata umekwishaa wewe na dini yako vile vile iko mashakani

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 27 дней назад

    Wewe bwana kafiri today hapo unpiga kettle, shekhe walid yuko sawa mean wew kafiri nenda kanisani

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI 27 дней назад

    HAWA NI WEHU TU
    ELIMU HAWANA KAZI YAKO
    KUKURUPUKA TU
    KAMA MAITI HANUFAISHI
    HZI SWALA 5 ZILIPUNGUAJE KAMA SIO KWA MSAADA WA MAITI WW

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад

      Maiti gani aliyesaidia kupunguza swala 5. Lete ushahidi wako ikiwa wewe unasema kweli

  • @AbdulIssa-o7e
    @AbdulIssa-o7e 27 дней назад +2

    Mara nyingi swaala zetu zinakuwa batwili kuswali nyuma ya waomba mayte wanatangaza hadhharani kabisa ushirikina wao waislamu bado swala zetu zina mitihani kabisa, swala za kuswli nyuma ya masufi waomba mayte 😂😂

    • @IsmailSanga
      @IsmailSanga 27 дней назад

      Unashangaa hilo!Ibni taimia anasema mungu alibebwa na malaika,Hilo hushangai!

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 27 дней назад

      @IsmailSanga ni maadui wa shekh islamu ni wengi yeyote mtu wa batwili utamskia tuuh akimradi shekh islamu kwa dhulma na uowongo na shekh islamu hamuwezi mfikia hata kidogo,,,nyi watu wa batwili mmezulia urongo kwakuwa alipinga ushirikina wenu na uzushi baazi ya masufi,,mkamtungia uongo shekh islamu hata mashia, wakamtungia vitabu kumchafuwa daawa yake, kama mlivyo fanya kwa shekh muhammadi Abdul wa haby suffiyu kuburiyun waliichukia dawa ya shekh islamu muhammadi ibn Abdul wahabi na kumzulia uongo kwa kuwa alipinga shirki na kuvunja makaburi walokuwa wakiyaabudu masufi,,, hivyo akawa adui yao,,,na akaeneza tahweed na kukataza shirki na bidaah Sasa watu wabateil wakamtungia majina kumchafuwa ili daawa yake isikubalike na watu ndo mkaanza kuwaita walokubali daawa yake kuwa wahabi wahabi kumbe ilikuwa chuki watu walivunjiwa biashara zao bwana ww Nini hujui kitu umepotea soma vitabu na fatilia kwa wanaojuwa lasivyo utabaki na umbumbumbu wako, hizo propaganda za watu wa batwil siku zote hutumia propaganda kuizima Nuru Sasa mmechelewa hii Nuru toka kwa Allah hamutoweza kamwe kila siku watu wanaingia kwenye sunnah pamoja na kuwazuia watu kisiasa hamjafanikiwa bado

    • @twahahamidu6246
      @twahahamidu6246 27 дней назад

      Duuuu Allahu mustahaan

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 26 дней назад

      ​@@IsmailSangatobaaa

  • @ismailsoud3634
    @ismailsoud3634 27 дней назад

    Yatima ile iliyozungumzwa ndani ya Qur'an moja maana yake NI SISI UMMAT. MUHAMMAD NI YATIMA maana kiongozi wetu Mtume Muhammad saw hatunaye., ndiyo sababu ja matokeo haya.

    • @BakariiddiLika
      @BakariiddiLika 27 дней назад

      Hamjamuelewa shekh walidi shekh walid anatumia tawassali bali hajatumia tawakkal hamkumuelewa.

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 27 дней назад

      ​@@BakariiddiLika
      Duh wewe kweli kipofu Kuna tawasul ya kutawasul na makaburi na kuomba maiti

    • @BakariiddiLika
      @BakariiddiLika 27 дней назад

      @abuurayaan3902 Kama unauza dagaa uzadagaa zakot shekh huku kwenye ilmu waachi wat wa ilmu sawa

    • @ramadhanramadhan4948
      @ramadhanramadhan4948 27 дней назад

      ​@@BakariiddiLikaKuna tawakkal au shirki? Kumuomba maiti si shirki?

    • @abuurayaan3902
      @abuurayaan3902 27 дней назад

      @@BakariiddiLika
      wewe jahil kweli tena murakab
      Mtu analingania shirki wazi kabisa Kisha unataka kuleta talbis au hicho kiswahili alicho ongea unadhani hatuelewi masufi sijui mtazinduka lini na Ibada zenu za shriki na kufru

  • @Harunery
    @Harunery 27 дней назад +1

    Ukiwa mtu wa bidaa ni ngumu kuepuka shirki

  • @ZubeirHamada
    @ZubeirHamada 27 дней назад

    Sasa kwani sisi hatufaidiki na Maiti??

    • @twahahamidu6246
      @twahahamidu6246 27 дней назад +1

      Wamekufa awana msaada tena

    • @Yu-jr9uf
      @Yu-jr9uf 26 дней назад

      wewe jitahid uwanufaishe

  • @mkubwamasoud2776
    @mkubwamasoud2776 26 дней назад

    Masufi hawana akili

  • @hajikomora703
    @hajikomora703 27 дней назад +1

    Astagh firu llah

  • @HamzaAdam-z3c
    @HamzaAdam-z3c 27 дней назад

    bakwata makafilitu

  • @AhmadRibaat
    @AhmadRibaat 27 дней назад

    Nyinyi makafir masalafi ni makafiri wakubwa damu zao halal kutolewa

    • @twahahamidu6246
      @twahahamidu6246 27 дней назад

      Utajua siku ya kihama

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 26 дней назад

      Wakina nani si makafiri

    • @twahahamidu6246
      @twahahamidu6246 26 дней назад

      @@AhmadRibaat uwezi shiaa ww ulaniwe

    • @AlhajjiShabani
      @AlhajjiShabani 23 дня назад

      Hahahaaaa ,, ungejua uzito wamaneno uyasemayo , ungekesha kumuomba allh msamaha mpaka mwisho wauhaiwako ,
      Allah akuongoze nduguyangu ,

  • @mohamedally121
    @mohamedally121 27 дней назад

    Hivi bakwata ina sumu gani? Mbona hata mtu akiwa mzuri nje, ila akiingia tu makwata akili zake zinafyatuka

  • @ExcitedCave-cx9rx
    @ExcitedCave-cx9rx 26 дней назад

    Izo shart kawena nani ???? Ukiwa wewe uoni wenzio wanaona ,rudi shule tena ,bado nyny wazayuni bado elimu amna ata kidogo mnapenda kukurupuka ,muulize kwanza msema alikuwa anamaanisha NIni????

    • @islaminmyheart9348
      @islaminmyheart9348 26 дней назад

      Je! Una ilimu yoyote ili ututolee au ni maneno matupu tu? Tueleze kwa ilimu ikiwa wewe unasema kweli!

    • @khalidshamis6864
      @khalidshamis6864 26 дней назад

      elimu ya kinachozungumzwa apo haipatikan shuleni

  • @YaziduIddy-u7p
    @YaziduIddy-u7p 25 дней назад

    Tatezo lenu mawahabi mnajifanya kujua kila kitu je kuna sehemu shekh walid kasema umuombe maiti mbona mnageuza mada hamjui kutawasali na kuomba vyote mnavyikusanya sehemu moja kwa mfano ukienda kwenye kaburi la mtume kisha ukaomba haja zako kipitia utukufu wa mtume Allah anakujibu

    • @Mtalis
      @Mtalis 25 дней назад

      Hili umelitoa wapi weye jisufi

    • @YaziduIddy-u7p
      @YaziduIddy-u7p 25 дней назад

      @Mtalis we ndo liwahabi mkumbo hata historia yenu ya uwahabi hujui

  • @IssabakariMagwa-ps3qe
    @IssabakariMagwa-ps3qe 27 дней назад

    Ukiwa bakwata wewe unakua mkatoliki wanaemuabudu maria kwasababu bakwata ameianzisha nyerere Allah amzidishie adhabu huko kwahiyo walid upo sawa kwa imani yake ya kikatoliki

    • @Catherine-mh8sw
      @Catherine-mh8sw 26 дней назад

      Nyerere kakukosea nini
      Kweni kalazimisha mtu awe bakwata

  • @MkindiJujan
    @MkindiJujan 27 дней назад

    Nyinyi mliomwelewa Shekh Walid tufahamisheni ambacho hakijaeleweka????????????
    Usiishie tu kusema hajaeleweka watu wa markazi hawajaelewa
    Mawahabi tufahamisheni ambacho Sheikh Walid alicho kisema????????

    • @sharfumbarouk6168
      @sharfumbarouk6168 27 дней назад

      Sio hapo sheikh ameeleza vzur hapo lipi uelezwe tena

  • @AllySibila
    @AllySibila 27 дней назад +1

    Hamjui tatizo elimu za kusoma markaz hamuwezi elewa shekhe walidi

  • @NURUDINIATHUMANI
    @NURUDINIATHUMANI 27 дней назад

    HAWA NI WEHU TU
    ELIMU HAWANA KAZI YAKO
    KUKURUPUKA TU
    KAMA MAITI HANUFAISHI
    HZI SWALA 5 ZILIPUNGUAJE KAMA SIO KWA MSAADA WA MAITI WW

    • @adamjutto5849
      @adamjutto5849 25 дней назад

      Leta dalilia,usiongee kama unatumia makalio kufikiria😂,masufi mnakera wallahi,dini yetu ipo wazi na nyepesi,lkn nyie mnajifanya mna taa-wiilii nyiingiii

  • @AllySibila
    @AllySibila 27 дней назад +1

    Hamjui tatizo elimu za kusoma markaz hamuwezi elewa shekhe walidi

    • @mwawekomiuda9779
      @mwawekomiuda9779 27 дней назад

      ​@@QaisMohamed-h3qKwa hiyo sheikh wako anaamini ushirikina?

    • @salummwanga8181
      @salummwanga8181 27 дней назад

      Akili yko iko na makengeza.

    • @AbdulIssa-o7e
      @AbdulIssa-o7e 27 дней назад +1

      @@AllySibila unatetea nini clip ipo wazi na so huyo tuuh ndo tabia yenu, mimi hapa nna video kama 3 mombasa hapo,, masufi wanaligombania kaburi,, wanasujudia pale mayte na kumuomba ya fulani ya sharifu saidi nadhani unatuski,, tunakuomba baraka zako ya sharifu saidi subuhana llah ama yushirkun ametakasika Allah na mnayomshirikishs nayo astaghafiru llah astaghafiru llah

    • @AllySibila
      @AllySibila 27 дней назад

      @@AbdulIssa-o7e nikufundishe?

    • @AllySibila
      @AllySibila 27 дней назад

      @@QaisMohamed-h3q nikufundishe?