Ndugu zetu twnjua mnawapenda sana masheikh zenu lakini hapa amewaacha njia panda mkiambiwa hawa watu aqidah zao chafu mnatakiwa kuelewa hayo maneno alosema Sheikh Walid hata kichaa hawezi kukubali kirahisi. Allah atuongoze katika kheri.
Maamuma niwazembe sana Yani waokila shekh anachosema wao nikukipitisha halafu na kumtakia kher shekh wao ushauli wangu ukiambiwa usikatae Wala usikubali fatilia kwanza mashekh wamekengeuka makosa nimengi sana hiyo nishiliki kabisa Tena yawazi kabisa
Huyo Sheikh wa Mkoa wa Dar hivyo anavyofanya anaingia katika shirk halafu wanaomfuata hawajui wanapotezwa na wao wanaingia katika shirk. Hebu someni acheni kusikiliza masheikh wa Bidaa wanaangalia maslahi yao binafsi na kutumia rai zao binafsi pasina hoja katika kitabu cha Allah, Sunnah na Hadith za Mtume pamoja na Kauli za Salaf Swaleh
@@abdallahsaid4997 alaf mnajifanya mnasoma balagha,kwa nini hyo si ni (مجاز العقلي) Mtu anaposema linaombwa kaburi hapakusidiwi dhati ya kaburi,kinachokusudiwa ni yule mtu aliyendani ya kaburi,kama vile unavyoona watu husema,SERIKALI IMEJENGA SHULE,kwani serikali ndio inayojenga au mafundi ujenzi,masufi 0 kabisaa😁
@@JailanRamadhan @abdallahsaid4997 alaf mnajifanya mnasoma balagha,kwa nini hyo si ni (مجاز العقلي) Mtu anaposema linaombwa kaburi hapakusidiwi dhati ya kaburi,kinachokusudiwa ni yule mtu aliyendani ya kaburi,kama vile unavyoona watu husema,SERIKALI IMEJENGA SHULE,kwani serikali ndio inayojenga au mafundi ujenzi,masufi 0 kabisaa😁
والحاصل أن هذه القصة ضعيفة السند، وأنه يستحيل شرعاً وعقلاً أن يلقي الشيطان على لسان النبي -صلى الله عليه وسلم- هذه الألفاظ الشركية الفاسدة، وإذا اعتبرنا أن لها أصلاً، فيمكن أن يقال: إن الشيطان هو الذي زاد في الذي قاله النبي -صلى الله عليه وسلم-، وذلك لأن النبي -صلى الله عليه وسلم- كان يقطع قراءته فيقف عند كل آية، فيتبع الشيطان تلك السكتات فقال بعد وقفة "ومناة الثالثة الأخرى" "تلك الغرانقة العلا، وإن شفاعتهن لترجى" فأما المشركون والذين في قلوبهم مرض فنسبوها للنبي -صلى الله عليه وسلم- بجهلهم حتى سجدوا معه اعتقاداً منهم أنه أثنى على آلهتهم.
Komaeni si mmeamuwa kuwafata mashekh wanaowaongoza kwenye moto,,, na akili mnazo,,,uwezo wa kuchaguwa kheri na Shari unao mmekazana kutukana wahabi mtabaki tukana tuuh
Alhamdulillah Mashekh wa Ahlu sunna salafiyyin wao ni kubainisha haqqi tu
AlhamduLILLAH
جزاك اللهُ خیرا شیخنا الفاضل
جزاك الله خيرا يا شيخنا الفاضل
Baarakanllah fiykum wajazakumnllah khairay shekh Abdul Rauf al munawi
Mashaallah Asante sana Shekhe Abdu Rauf Kagimbo Nakupenda kwajili ya Allah ndugu yangu ❤❤❤
ماشاء الله!
Mashallah ALLAH AKUHIFADH pamoja nasisi
Masufi wana hatari kweli Allah awaongoze
AKHY ALLAH AKULIPE KHERY KWA KUITETEA TAWHEED . WALA USITETEREKE AKHY NA KURUDI NYUMA ,INSHALLAH MIMI NAKUOMBEA THABAAT KATIKA HILO.
جزاءك الله خير يا شيخنا الفاضل
❤
Allah akuifadh sheikh wetu kwahakka tunafaidika sana wallah
Ashaaalah
Ndugu zetu twnjua mnawapenda sana masheikh zenu lakini hapa amewaacha njia panda mkiambiwa hawa watu aqidah zao chafu mnatakiwa kuelewa hayo maneno alosema Sheikh Walid hata kichaa hawezi kukubali kirahisi. Allah atuongoze katika kheri.
Ukiyataka hayo anayo ysaema sheikh abdul rauuf,soma (شرح ستة مواضع)ya sheikh swaalihul fauzaan,utayakuta.
MASUFI DINI KWAO NI MCHEZO MTUPU.
Naam shukurani kwa kutupa faida
KISA CHA ALGHARANIIQ NI BATIL 100% BALI NI KISA AMBACHO KINAIBOMOA QUR-ANI KABISA, KAMA ALIVYOSEMA SHEIKH ALBANI
Hutakiwi kuliomba kaburi wala alieko ndani ya kaburi hata kama alieko ndani ya kaburi ni mtume Wacha waliii
Maamuma niwazembe sana Yani waokila shekh anachosema wao nikukipitisha halafu na kumtakia kher shekh wao ushauli wangu ukiambiwa usikatae Wala usikubali fatilia kwanza mashekh wamekengeuka makosa nimengi sana hiyo nishiliki kabisa Tena yawazi kabisa
Huyo Sheikh wa Mkoa wa Dar hivyo anavyofanya anaingia katika shirk halafu wanaomfuata hawajui wanapotezwa na wao wanaingia katika shirk.
Hebu someni acheni kusikiliza masheikh wa Bidaa wanaangalia maslahi yao binafsi na kutumia rai zao binafsi pasina hoja katika kitabu cha Allah, Sunnah na Hadith za Mtume pamoja na Kauli za Salaf Swaleh
We😂😂 ni mjinga sana Kuna mtu anaeomba kaburi?
Allah akuongoze kuijua haq ndgu yang
mbna untekenyeka kwenye mamb ya haki ebu kuwa serious ktk sheria ya kiislm
Mawahabi akili zao wanafikiria waislamu wanaomba kaburi.
Baada ya hapo wanakuwa wanakuwa madaish kuchinja waislamu kwa madai wanaabudu makaburi
@@abdallahsaid4997 alaf mnajifanya mnasoma balagha,kwa nini hyo si ni
(مجاز العقلي)
Mtu anaposema linaombwa kaburi hapakusidiwi dhati ya kaburi,kinachokusudiwa ni yule mtu aliyendani ya kaburi,kama vile unavyoona watu husema,SERIKALI IMEJENGA SHULE,kwani serikali ndio inayojenga au mafundi ujenzi,masufi 0 kabisaa😁
@@JailanRamadhan @abdallahsaid4997 alaf mnajifanya mnasoma balagha,kwa nini hyo si ni
(مجاز العقلي)
Mtu anaposema linaombwa kaburi hapakusidiwi dhati ya kaburi,kinachokusudiwa ni yule mtu aliyendani ya kaburi,kama vile unavyoona watu husema,SERIKALI IMEJENGA SHULE,kwani serikali ndio inayojenga au mafundi ujenzi,masufi 0 kabisaa😁
والحاصل أن هذه القصة ضعيفة السند، وأنه يستحيل شرعاً وعقلاً أن يلقي الشيطان على لسان النبي -صلى الله عليه وسلم- هذه الألفاظ الشركية الفاسدة، وإذا اعتبرنا أن لها أصلاً، فيمكن أن يقال: إن الشيطان هو الذي زاد في الذي قاله النبي -صلى الله عليه وسلم-، وذلك لأن النبي -صلى الله عليه وسلم- كان يقطع قراءته فيقف عند كل آية، فيتبع الشيطان تلك السكتات فقال بعد وقفة "ومناة الثالثة الأخرى" "تلك الغرانقة العلا، وإن شفاعتهن لترجى" فأما المشركون والذين في قلوبهم مرض فنسبوها للنبي -صلى الله عليه وسلم- بجهلهم حتى سجدوا معه اعتقاداً منهم أنه أثنى على آلهتهم.
Can you translate hadhal-qalaam!
Mimi naona kabisa hamkuelewa, walid alisema ataliomba kaburi au ataambia wale waliokufa wawaombee kwa mungu yaliyo ya kheri?
kwani kumuomba Mungu peke yake haitoshi mpaka upitie kwa mtu aliyekufa ? huu ukatikati ndio shirk yenyewe
Ukatikati ni shirki kwa mwahabi peke yake si ahulsunnah wal jamaat madhehebu manne yaliyokubalika @@ibrahAjili
Hiyo ni shirk kumuomba maiti hamna tawheed hapo na amali zote zitaporomoka kwa hayo matendo ya kumshirikisha Allah
Komaeni si mmeamuwa kuwafata mashekh wanaowaongoza kwenye moto,,, na akili mnazo,,,uwezo wa kuchaguwa kheri na Shari unao mmekazana kutukana wahabi mtabaki tukana tuuh
Wallahi wewe ndio haujiwlelewi kabisaaaa, yaani kumbe nyie watu wa hivi mpo ?? ALLAHulmustaan
Yaani unatetea shirki kabisaaaa
MASUFI DINI KWAO NI MCHEZO MTUPU.