Asante kwa hili,msiishie kuhoji tu,mpelekeni, kwa bitiku,(kigoda cha mwl,nyerere)historia yake iandikwe naamini wapo wengi,hawa ndo wafia nchi,ombi lake lifanyiwe kazi,magufuli Kama utapita waite wazee hawa wa karne,utabarikiwa
Watu ht huruma hawan pumbav sana rangi ya mboga mnamuacha vip mtu namna hii ..c huyu tu wako wengi kama haw ...leo eti kina polepole wanachonga sana pumbav...
Yani mim nikionaga hivi huwa machozi yananitoka kwasababu nafahamu vizur historia ya nchi hii 😭😭😭😭😭😭😭 acha tu maisha yasonge tufe basi lakin mengi yanafanyika daaah haya bhana.
Kwa mara ya kwanza nimesikia asili ya jina la Tanganyika. Niliwahi kumsikia Mwalimu Nyerere akisema alishindwa kabisa kujua jina la Tanganyika lilitokea wapi licha ya kutafiti chanzo chake lakini hakufanikiwa. Mzee leo ametoa asili ya jina la Tanganyika. A remarkable piece of history of Tanganyika.
Historia imefchwa Sana Kama mzee anavyosema ukiifukua sana utajifunza roho zakikatili zaviongoz wetu walio tangulia natoa pole Sana kwamzee wetu pia namshauli akaushe tu Mambo yasiwe mengi
@@hassanmfaume4522peleka Kule,, Hawa walifungwa kwa sababu waliendekeza udini na kutaka kulifanya Taifa kuwa la dini Moja.. Nyerere alitaka usawa kwa Kila mtu bila kujali dini ua ukabila
Wewe ulimjua huyu mzee?au unajuaje kama aliuchuna tuu miaka yote,kumbuka mambo mengi yameanza kujitokeza kuanzi aMagufuri aliposhika nchi,unakumbuka hata yule mzee wa Nembo ya taifa alivyosaidiwa?hakukuwa na mtu aliyemjua, kuna mambo mengi hatuyajui bila ya mwenye jambo kujitokeza atakufa tuu bila ya kujulikana mchango wake
@@timbukwa9771 labda wewe ni mgeni wa mambo ya historia ya tanganyika, huyu mzee amehojiwa muda mrefu na hata video zake zipo humu usitake kumpa mtu sifa isiyo yake.
Kweli kbsa Seikali ilitazame hili, wazo hili ni jema mno kujenga ama kumjengea nyumba si nyumba tu lkn pia mnara ujengwe. Kwa kumbukumbu za nchi hii na pia kumuenzi Mwl. Jk. Nyerere na mzee huu. Lakini kwa sasa nendeni mkatafute history kwa huyu mzee, msije mkamsifu baada ya kifo chake, huu ndio wkt wa kumpongeza mzee huu
Nakushauri milad ayo uendelee kuchukua historia ya nchi hii kwa mzee huyu ana mambo mengi Sana. Na huenda ikawa sababu ya yeye kutambulika hapa nchini na akapata matunzo hata kwa uchache kwa kipindi kilichobakia.
kila siku huwa namlaumu Sana nyerere, na nitaendelea kumlaumu, najua kuna wanaompenda ila mm namshukia Sana, duniani huwez kupendwa na wote , ila mm nnasababu zangu kwann namchukia nyerere
Wakuu,viongozi/Serikali mmemsikia mzee huyu??Hapo mlipo huyu mzee ni mmoja wa aliyesaidia Chama na Serikali hii kuwepo na kunemeka,naomba sana mama Samia Rais wa Tanzania, mama msikivu mtupie jicho la huruma mzee huyu. Mama leo hii unaweza kufanya kitu/wema kwa mzee huyu aliyeisaidia Tanzania kuwa huru mama nakuomba mjengee nyumba huyu mzee,mfute machozi alifanikisha kwa nguvu zake na mali zake kuhakikisha waasisi wetu wa Taifa wanapata uhuru,mama Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuomba nakupigia magoti mvalishe nguo baba/mzee huyu,mkumbuke angalau kwa kujengewa nyumbani na moyo wake utaburudika na atakuombea na utabarikiwa Rais wangu.
KUNA HAJA YA WASIMAMIZI WA HISTORIA YA TANGANYIKA KUFANYA JUHUDI ZA MAKUSUDI SANA KUANDIKA UKWELI JUU UA HISTOROA NA WANAHISTORIA WA NCHI HII,SIO KUDANANYA WATU KWA HISTORIA FAKE AMBAZO ZINAPOTOSHA WATU.asante Sana ayo tv kupitia ninyi tutajua Yale amaboyo hayakuwekwa wazi.Keep it up.
Tuirudishe historia ya nchi yetu sehemu yake, Tuache ushabiki wa imani zetu. Mwalimu alikaribishwa kwenye harakati za kuleta UHURU wa Tanganyika. Yeye sio mwanzilishi wa harakati za UHURU. Familia ya Sykes na wengine ndio waanzilishi wa harakati za uhuru. Soma kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ndio utaona kuwa historia ya Tanganyika ilipotoshwa!
Ramadhan A Ahungu ni kweli upotoshaji na uongo umetawa hadi sasa na hii imesababisha tuchukiane, inasemekana hata historia ya dini zipo sehem amebadili, maana nabii Suleiman inasadikika alikua mtu mweusi.
Ramadhan A Ahungu Lakini Nyerere hakuwa na makosa kuwafunga baadhi ya waloshiriki uhuru, maana Nkruma,Lumumba,Sankara,Samora,Karume, Gadafi,Hailleselasie nk walichelea kuchukua hatua kama za Nyerere ndio maana waliuwawa.
Yupo pia mzee mwingine anae itwa mzee sugal alikua anaishi kiteto/kibaya huyo mzee alikua Ana gari Lake Land rover alivyo itumia kuchukua nyerere na kumficha
Ukiwa unaandika habari hizi tumia hekima na busara ,huwezi kulaumu upande mmoja bila kusikiliza upande mwengine so msikurupuke tu kuandika bila kujua impact
Nchi hii ina historia kubwa na kuna watu wengi sana walihusika kuitengeneza lkn haikuandikwa wala haiandikwi hadi leo,wazee Kama hawa walistahili kuwa vizuri wamepitia mengi sana magumu wakati mwingine hadi sisi kuikuta Tanzania hivi ilivyo.
Wanajua vizuri ila nahic majina yao yakewaponza maana nilifatilia nikakuta wakina mzee saksi, tapaza, takadiry, kirashti wengi nawalifungwa nawengine kufukuzwa kusaidiwa huyo mzee tusahau. Aliegundua tanzanaity tu kaambulia ml 💯.hataile filam anayoomba Ally kiba sidhani kama itafanikiwa labda iigizwe baada yauhuru. Maana watu wanajua historia yataifa vizuri tu ila hatutaki kuelezea maana italeta machafuko nasiokitu kizuri. Chamsingi tuwaenzi kimyakimya itakua vizuri.
FISIEM badala ya kuwathamini wazee kama hawa wao wako bize kuwalipa wasanii kwenye kampeni dah wenye nchi yao hata historia tu haiwataji wakati shukeni tulitakiwa tufundishwe kuhusu wazee hawa wazalendo. TANGA-Mambo ya baharini NYIKA-Mambo ya nchi kavu TANGANYIKA OUR COUNTRY
Hivi kwa nini viongozi wa selikali hawana mpango wa kuwaenzi wazee hawa wakiwa hai badala ya kuenzi makabuli wakisha kufa.Eeee mungu tufunulie nuru tujue yatupasayo kwanza.Mungu muwekee hazina tele huyu mzee huko mbinguni akija.
namba zake zinapita hapo kwenye screen unaweza kumpigia kuongea nae au kumtumia hela lkn kingine kikubwa ni kutambua uwepo wake na mchango wake kwa taifa letu.
Unajua shida ni pale ambapo WAANDISHI wa historia ya nchi hii nahisi walipotosha Sana,maana wazee Kama Hawa hawaandikwi na Wala serikali wakati zinasherkea miaka kadhaa ya Uhuru wa nchi Mara nyingi hutajwa mmoja tu kumbe Kuna wazee Kama Hawa amabao wameipigania nchi yetu.NAAMINI KABISA TABORA,TANGA,MZIZIMA,ZANZIBAR PANA HISTORIA NZR SANA ILA BADO WAANDISHI HAWAJAFANYA WAJIBU WAO Vzr
Ndugu Watanzania wenzangu .Tumshukuru Mung wetu kwa zawadi ya upendo wake kwetu .Hasa kuilinda nchi yetu kupata uhuru bila umwagaji damu .Sisi sote Watanzania tunapaswa kudumusha undugu wetu yaani kuwa familia moja .Tusifurahishwe na maneno yasiyotujenga .Daima tujue kila mtanzania anajukumu la kulinda Amani ya Tanzania.Tanzania ni yetu sisi Watanzania lazima tushikane tusikubali vibeberu wavunje umoja wetu.
I do not know why the true history of Tanganyika is not told. Why does no body remember Mzee Suleman Takadri. A man who struggled for the independence of Tanganyika, and at the end of his life he was awarded misery and poverty. Sad indeed sad. Also Mr Aly Sykes who was ahead for the independence not even mentioned now.
Even my Grandpa Felician Malunga Sendama (1924-2007), had done manything till he lost his sight when Arusha declaration started 1957. He was amoungst the Ujamaa/(socialist) activist.Due to the struggle he finally got an accident which caused by the boomb explotions which affects his sight, from that date He couldn't be able to view better till he ware his big lenses glasses. May He rest in eternal peace for fighting for independence of our Nation.That is untold story. God bless our strong leaders.Amin.
This man deserves a lot, honor and respect, Tanzania yote huyu mzee ashikwe mkono jamani #kenya watching
Kumbuka kuwa huku ni afrika kijana tena Tanzania
Mzee bilal hajatendewa haki maana wengine wote wako na majina ya barabara na madaraja hadi kina makamba...sio haki
Mr Bilali is the real history of Tanzania. What a shame he has been forgotten for so long.
Kazi nzuri kaka millard, huyo mzee anachosema ni kweli wamtunze huyo mzee anaweza waambia mambo mengi maana ya kale ni dhahabu. Butiama kwetu🙏🙏🙏
Very interesting story huyu mzee afanyiwe kitu hata kama miaka imeenda
USHUHUDA tosha Be Blessed my Grandfather 🙏🏼🙏🏼🙏🏼
Mimi binafisi nampa hongera mzee Wetu pia namshuku mwenyezi mungu kwakumpa kumbukumbu mungu amlindi.
Duuh kweli dunia ainasir Allah ndie mjuzi zaidi allah akulipe baba yaan naumia mpaka basi Allah akupe mwisho mwema baba fimbo ya mnyonge dua zetu dua.
Nchii za wenzetu huyu mzee angetunzwa angeishii vizuriii sana lakinii daaah kasha telekezwaa
Uyu mzee siwakuishi maisha haya lakini ccm mh
Mzee pamoja na kuwa umri umesogea ila kumbukumbu bado yuko vizuri sana Mungu atuwezeshe kuyatunza madini haya
Nyerere pia alikua dikteta hasa kwa waislamu
Historia ya kweli ya nchi iko hapa hakika.
Asante kwa hili,msiishie kuhoji tu,mpelekeni, kwa bitiku,(kigoda cha mwl,nyerere)historia yake iandikwe naamini wapo wengi,hawa ndo wafia nchi,ombi lake lifanyiwe kazi,magufuli Kama utapita waite wazee hawa wa karne,utabarikiwa
Magufuli should talk with him :))
Yuko vizuri huyu mzee,pole mzee kwa kufungwa.
Manshallah Allah amuweke mzee wetu yaani 97yrs anakumbuka vizuri hawa Wazee wamejitunza vizuri ombi langu serikali imtunze Hutu babu yetu
Historia haifutiki mzee mungu akupe miaka kizazi hiki cha wapenda mberigiji wajue tanzania ilipotokea na inakoelekea !
We zwazwa, serikali yenu ndo imewasahau hawa wazee
Watu ht huruma hawan pumbav sana rangi ya mboga mnamuacha vip mtu namna hii ..c huyu tu wako wengi kama haw ...leo eti kina polepole wanachonga sana pumbav...
Yani mim nikionaga hivi huwa machozi yananitoka kwasababu nafahamu vizur historia ya nchi hii 😭😭😭😭😭😭😭 acha tu maisha yasonge tufe basi lakin mengi yanafanyika daaah haya bhana.
Juma namba ako
Mzee wangu leo kaonekana kwa Dunia
Kwa mara ya kwanza nimesikia asili ya jina la Tanganyika. Niliwahi kumsikia Mwalimu Nyerere akisema alishindwa kabisa kujua jina la Tanganyika lilitokea wapi licha ya kutafiti chanzo chake lakini hakufanikiwa. Mzee leo ametoa asili ya jina la Tanganyika. A remarkable piece of history of Tanganyika.
Pole mzee M/Mungu akulaze mahala pema peponi, kwa kweli Nyere kawafanyia dhulma watu wengi sana na bado anaonekana kama nabii why????
Hongera zako mzee bilali,Mungu Skype afya njema sema viongozi wa ccm mkumbukeni huyo mzee
Dah! Huyu mzee alikuwa tajiri Sana miaka hiyo.
Historia imefchwa Sana Kama mzee anavyosema ukiifukua sana utajifunza roho zakikatili zaviongoz wetu walio tangulia natoa pole Sana kwamzee wetu pia namshauli akaushe tu Mambo yasiwe mengi
Kuna mengi Sana lakin uzuri na ushujaa ndio tunaambiwa
Hakuna nchi iliyoanza bila ya makosa mkuu.tena bora sisi kuliko nchi nyingine
Hususan mwalimu alikuwa na roho ya ajabu halafu leo anatangaza mwenyeheri kweli
@@hassanmfaume4522peleka Kule,, Hawa walifungwa kwa sababu waliendekeza udini na kutaka kulifanya Taifa kuwa la dini Moja.. Nyerere alitaka usawa kwa Kila mtu bila kujali dini ua ukabila
Hii interview ilihitaji more time na airtime nzuri. Ni muhimu sana watu tukawa tunajua tulipotokea.
Stories nzuri sana tumejifunza mawili.matatu Asante sana AYO fumua mengine ta Mlima Kilimanjaro
Daaaah ingekua ndo enz hiz Land rover inauzwa 45000 nazan ata nafas ya kupak ixingekuepo😀
Nikweli kabisa huyu mzee anasema mzee wa zamani saaana manshallah
Sio mzee wa zamani ni kijana wa zamani.
Akifa selikali ndo itatoa histolia na kuonyesha imeumia sana kumpoteza mtu muhimi tanzagiza
Wewe ulimjua huyu mzee?au unajuaje kama aliuchuna tuu miaka yote,kumbuka mambo mengi yameanza kujitokeza kuanzi aMagufuri aliposhika nchi,unakumbuka hata yule mzee wa Nembo ya taifa alivyosaidiwa?hakukuwa na mtu aliyemjua, kuna mambo mengi hatuyajui bila ya mwenye jambo kujitokeza atakufa tuu bila ya kujulikana mchango wake
@@timbukwa9771 labda wewe ni mgeni wa mambo ya historia ya tanganyika, huyu mzee amehojiwa muda mrefu na hata video zake zipo humu usitake kumpa mtu sifa isiyo yake.
INNALILLAHI WAINNAHI RAJIUUN.
Huu ni msiba mkubwa sana kwa taifa.
MwenyeziMungu amlaze mzee waikela mahali anapostahili Aamin.
Mmmh such a huge history mzee kaongea mengi mno still bado tuko na history
My God, this man deserves to be honoured, he has lived this long to tell Tanzanians untold stories.
Lahaula walakuwata illah billah lialiyu liadhim ndio faida za vyama vya shetan zulmaa tuu munaiyona faida ya zulma watajikosha wanataka kura
In TV Iman youtube channel, this veteran has gone deep in explaining Tanzania's history. Go there u'll ENJOY.
Sio waifanye mnara, nyumba ifanywe kuwa makumbusho (museum).
Ayo Mungu akuzidishie upate views Billion 2 nimeelewa sana..🙏
Kali Sana #SmartSana Mzee 97 yearz halafu Yupo Sharp
Nimependa
Tanga= mambo ya baharini
Nyika= mambo ya nchi kavu
Kweli kbsa Seikali ilitazame hili, wazo hili ni jema mno kujenga ama kumjengea nyumba si nyumba tu lkn pia mnara ujengwe. Kwa kumbukumbu za nchi hii na pia kumuenzi Mwl. Jk. Nyerere na mzee huu. Lakini kwa sasa nendeni mkatafute history kwa huyu mzee, msije mkamsifu baada ya kifo chake, huu ndio wkt wa kumpongeza mzee huu
Nakushauri milad ayo uendelee kuchukua historia ya nchi hii kwa mzee huyu ana mambo mengi Sana. Na huenda ikawa sababu ya yeye kutambulika hapa nchini na akapata matunzo hata kwa uchache kwa kipindi kilichobakia.
ela za kuwapa wasanii chepusheni hata kidogo mzee mmstili apate kajumba
Yaraaaa Mzee kweri Serikari haimushukuru ikamujengea Nyumba nzuri
Nyerere nae Mwenyezi Mungu amlipe kwa matendo yake
Analipwa huko alipo
Aksante sana kwa hii history ya muheshimmiwa MLM Nyerere.
Mungu akutuze baba yangu wewe ni mtu wa nguvu Sana🍁🌺💐☘️🥀🌻🥦
Ni jirani yetu huyu alifariki baada ya mwaka huo nadhan
Dah noma 😢 inasikitisha sana, história halisi imefichwa
Inna lillah wa Inna hillah raajiun,mwenyezi Mungu atakulipa in sha Allah,
kila siku huwa namlaumu Sana nyerere, na nitaendelea kumlaumu, najua kuna wanaompenda ila mm namshukia Sana, duniani huwez kupendwa na wote , ila mm nnasababu zangu kwann namchukia nyerere
Sa sisi zinatuhusu nini hayo niyako wewe na chuki zako binafsi
Zipi izo
Nyerere alibebwa kisha akawageuka wenzie
@@mohdmohd8428uongo!
Hayo ni kwako.. hata uspompenda haisaidia anapendwa na mamilion ya watu na Bado wanamuenzi
Wakuu,viongozi/Serikali mmemsikia mzee huyu??Hapo mlipo huyu mzee ni mmoja wa aliyesaidia Chama na Serikali hii kuwepo na kunemeka,naomba sana mama Samia Rais wa Tanzania, mama msikivu mtupie jicho la huruma mzee huyu. Mama leo hii unaweza kufanya kitu/wema kwa mzee huyu aliyeisaidia Tanzania kuwa huru mama nakuomba mjengee nyumba huyu mzee,mfute machozi alifanikisha kwa nguvu zake na mali zake kuhakikisha waasisi wetu wa Taifa wanapata uhuru,mama Rais wetu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania nakuomba nakupigia magoti mvalishe nguo baba/mzee huyu,mkumbuke angalau kwa kujengewa nyumbani na moyo wake utaburudika na atakuombea na utabarikiwa Rais wangu.
Nyerere alikuwa mbinafsi sana na aliwachafua sana viongozi aliepishana nao maoni
Yaani Maisha Ya siasa ..unamsaidia mtu ambae sio ndungu yako anakuwa juu alafu anakuja kukufunga.. Pole Dunia tunapita
Mzee anajitaid kuongea kwelii daaah mungu akuweke
Uyo Mzee angetunzwa na viongoz wa tz Sasa mama Samia Ina bidi uchukue jukum la kuakikisha ana pewa matunzo bola 🙏
Izo ndo siasa mwisho wake unyonge
Allah akuhifadh, nawaomba serikali wakutazame kwa jicho la huruma ni mchango mkubwa umetoa kwa taifa let.
KUNA HAJA YA WASIMAMIZI WA HISTORIA YA TANGANYIKA KUFANYA JUHUDI ZA MAKUSUDI SANA KUANDIKA UKWELI JUU UA HISTOROA NA WANAHISTORIA WA NCHI HII,SIO KUDANANYA WATU KWA HISTORIA FAKE AMBAZO ZINAPOTOSHA WATU.asante Sana ayo tv kupitia ninyi tutajua Yale amaboyo hayakuwekwa wazi.Keep it up.
Tuirudishe historia ya nchi yetu sehemu yake, Tuache ushabiki wa imani zetu. Mwalimu alikaribishwa kwenye harakati za kuleta UHURU wa Tanganyika. Yeye sio mwanzilishi wa harakati za UHURU. Familia ya Sykes na wengine ndio waanzilishi wa harakati za uhuru. Soma kitabu cha Maisha ya Abdulwahid Sykes ndio utaona kuwa historia ya Tanganyika ilipotoshwa!
hayo ni yako
Ramadhan A Ahungu ni kweli upotoshaji na uongo umetawa hadi sasa na hii imesababisha tuchukiane, inasemekana hata historia ya dini zipo sehem amebadili, maana nabii Suleiman inasadikika alikua mtu mweusi.
Ramadhan A Ahungu Lakini Nyerere hakuwa na makosa kuwafunga baadhi ya waloshiriki uhuru, maana Nkruma,Lumumba,Sankara,Samora,Karume, Gadafi,Hailleselasie nk walichelea kuchukua hatua kama za Nyerere ndio maana waliuwawa.
The untold history for the struggle of independence
Mzee bilali ,mungu akutunze
Mungu Akupe miaka mingine mingi mzee wangu
Kumbe ushatani ulianzaga zaman Tz duh wacha walisi watu mnapiga kaz pamoja alafu badae mwenzio anakugeuka mungu awachome ote wenye roho ngumu
Yupo pia mzee mwingine anae itwa mzee sugal alikua anaishi kiteto/kibaya huyo mzee alikua Ana gari Lake Land rover alivyo itumia kuchukua nyerere na kumficha
Sante mzee nimeelewa maana ya tanganyika
Hongera sana mzee wetu, serikali ikutazame kwa jicho la tatu.
Magufuli mkumbuke uyo mzee anamuchango mukubwa sana ktk taifa
Nampendaa huyo Babu nipeni namba zake nimsalimie hata nimtembelee
Nyerere aliwageuka wapiganaji wa kweli wa uhuru wa bara na visiwani
Tundu lisu nenda tabora kwa huyu mzee kamwambie Tanzania tunataka iongozwe na upinzani 🤣🤣mzee kashika nini vile??mapovu hayooo
Ww ndio hujui mzee huyu alifungwa kwa kukataa ukiritimba wa nyerere wa kulazimisha fikra za mtu mmoja ziwe kama sheria.
Mzee nyumbani kwake Kuna bendera ya cuf au chadema kama sikosei angalia vizuri acha maneno..
Tukijifunza kusoma na kutafsiri mtu alichokiandika itatusaidia zaidi kuliko kudandia kitu ambacho hujakielewa
@@tareqhilal6750 ruclips.net/video/mVzftMxHBvg/видео.html
8:08
Ukiwa unaandika habari hizi tumia hekima na busara ,huwezi kulaumu upande mmoja bila kusikiliza upande mwengine so msikurupuke tu kuandika bila kujua impact
Serikali imwangalie mzee wetu walallah
Nawakubali saana kwakuwa munaupembuzi halisi na munajitahidi kufuata vyanzo halisi vua habali hongereni saani
Haina mwendelezo hii Mr Ayo? Maana imekatikia pabaya.
Asante sana.
Huyu mzee ni muhimu sana kwa Taifa.
Tunataka more of this please
Nchi hii ina historia kubwa na kuna watu wengi sana walihusika kuitengeneza lkn haikuandikwa wala haiandikwi hadi leo,wazee Kama hawa walistahili kuwa vizuri wamepitia mengi sana magumu wakati mwingine hadi sisi kuikuta Tanzania hivi ilivyo.
Wanajua vizuri ila nahic majina yao yakewaponza maana nilifatilia nikakuta wakina mzee saksi, tapaza, takadiry, kirashti wengi nawalifungwa nawengine kufukuzwa kusaidiwa huyo mzee tusahau. Aliegundua tanzanaity tu kaambulia ml 💯.hataile filam anayoomba Ally kiba sidhani kama itafanikiwa labda iigizwe baada yauhuru. Maana watu wanajua historia yataifa vizuri tu ila hatutaki kuelezea maana italeta machafuko nasiokitu kizuri. Chamsingi tuwaenzi kimyakimya itakua vizuri.
FISIEM badala ya kuwathamini wazee kama hawa wao wako bize kuwalipa wasanii kwenye kampeni dah wenye nchi yao hata historia tu haiwataji wakati shukeni tulitakiwa tufundishwe kuhusu wazee hawa wazalendo.
TANGA-Mambo ya baharini
NYIKA-Mambo ya nchi kavu
TANGANYIKA OUR COUNTRY
Jamani mjengeeni huyo mzee nyumba
Hivi kwa nini viongozi wa selikali hawana mpango wa kuwaenzi wazee hawa wakiwa hai badala ya kuenzi makabuli wakisha kufa.Eeee mungu tufunulie nuru tujue yatupasayo kwanza.Mungu muwekee hazina tele huyu mzee huko mbinguni akija.
Nchi wamekuja kula mapimbi wengine kabisa huyu mzee ana history kubwa ya nchi hii
Mimi daima nyerere simpemdi Kabisaa
Sasa uyu mzee tunamsaidiaje kwa mfano tu labda ? Au tunamuhoji tu
namba zake zinapita hapo kwenye screen unaweza kumpigia kuongea nae au kumtumia hela lkn kingine kikubwa ni kutambua uwepo wake na mchango wake kwa taifa letu.
Unajua shida ni pale ambapo WAANDISHI wa historia ya nchi hii nahisi walipotosha Sana,maana wazee Kama Hawa hawaandikwi na Wala serikali wakati zinasherkea miaka kadhaa ya Uhuru wa nchi Mara nyingi hutajwa mmoja tu kumbe Kuna wazee Kama Hawa amabao wameipigania nchi yetu.NAAMINI KABISA TABORA,TANGA,MZIZIMA,ZANZIBAR PANA HISTORIA NZR SANA ILA BADO WAANDISHI HAWAJAFANYA WAJIBU WAO Vzr
Sijuw kwann viongoz wa serikali hawaoni habar km hiz ,
Anapoishi Hy Kuna Mkuu wa wilaya, mkoa hata viongoz wa mitaa wapo lkn waapi!🤔🤔
Kajieleza vizuri mzee Mungu akujaalie ufikishe miaka hata 200, sjui kama mimi nitaifikisha hiyo miaka 🇹🇿 🤔🤔
Kuishi miaka mingi ni adhabu unajua
Mzee mpaka sasa anamvua zake 97 bado tatu afikishe mvua 100
Selekali sikivu huyu mzee ashuudie mafajikio japo kidogo akiwa hai
Jamani alikua amejipata mwenyewe miaka hiyooo alikua tajiri mwenyeweee dhambiiiiiiiiiii maisha hayaaaaa dah😢
Masha allah babu
mungu akubrk sana AYO
Ndugu Watanzania wenzangu .Tumshukuru Mung wetu kwa zawadi ya upendo wake kwetu .Hasa kuilinda nchi yetu kupata uhuru bila umwagaji damu .Sisi sote Watanzania tunapaswa kudumusha undugu wetu yaani kuwa familia moja .Tusifurahishwe na maneno yasiyotujenga .Daima tujue kila mtanzania anajukumu la kulinda Amani ya Tanzania.Tanzania ni yetu sisi Watanzania lazima tushikane tusikubali vibeberu wavunje umoja wetu.
Hiyo namba ya simu haipo. Mnazngua bhana
Daah aisee kumbe bado kuna watu humu nchini ambao hawajafa ispokuwa tu hawaonekani.
Bilal mzee wangu Meenyez mungu atakujaalia kwani maumivuyako tunayajua kutokana na huo mfumo kandamiz () ( ) 😡😡😡😭
duh kweli tanzania noma thana ha kujengewa kanyumba ka tutofal
Hão wana harakati walikuwa wengi saana sema walipotezwa ujue duuuuuh nomaa sana
Huyu mzee icon..afanyiwe jambo
Babu alikuwa tundulisu enzi zake labda au ccm sio watu wazuri jama
Kuna haja ya historia ya kweli ya Tanzania kuandikwa. Tuachane na historia ya uwongo tuliyoisoma
Jamani jamani 😩😩
Sasa nawaza Sana huyu mzee kanufaikaje na taifa hili au mpaka awe na kadi ya chama
Leo akina mugilo ndio mchemba ndio wanakula nchi na kupost watoto wao
I do not know why the true history of Tanganyika is not told. Why does no body remember Mzee Suleman Takadri. A man who struggled for the independence of Tanganyika, and at the end of his life he was awarded misery and poverty. Sad indeed sad. Also Mr Aly Sykes who was ahead for the independence not even mentioned now.
Even my Grandpa Felician Malunga Sendama (1924-2007), had done manything till he lost his sight when Arusha declaration started 1957. He was amoungst the Ujamaa/(socialist) activist.Due to the struggle he finally got an accident which caused by the boomb explotions which affects his sight, from that date He couldn't be able to view better till he ware his big lenses glasses. May He rest in eternal peace for fighting for independence of our Nation.That is untold story. God bless our strong leaders.Amin.
@@phantyrhymes9536 wacha uongo 1957 azimio la arusha?
Wekeni namba sahihi ya Mzee Bilali..
Legendary 🙌🏽🇹🇿
Mh magu muangalie uyu mzee utasonga mbelee atakupa mengi sana
malongo una mapungufu makubwa ktk kuboji ili kupata habari ilokamilika kabla hujamaliza usharukia Jambo jingine jaribu kuliangalia
Unamuacha mzee km uyu ana hata maali pakull unaenda kumjengea rais wa miaka kumi yani Mungu atusaidie tu maan kiukweli hatujitambui hata kidogo
Ulikua una upeo ndio mana nyerere hakupenda akawabakisha wasio na akili
Ndiyo hivyo nchii hii walimterekeza tatizo mzanaki alikua mbinafsi😂😂😂😂
Watu km haea serekali ingewaangalia japo kumjengea nyumba nfogo tu ht ya vyumba 2