MCH. KIWIA ASIMULIA ALIVYOISHI NA MKE WAKE KWA MIAKA 48 AKIWA HAI
HTML-код
- Опубликовано: 15 ноя 2024
- Kuendelea kupata habari mbalimbali tufuatilie kupitia mitandao yetu ya kijamiii:-
Facebook : www.facebook.c...
Instagram : / mbiuyasautikuutv
RUclips : / mbiuyasautikuutv
Moja ya ma nguli wa Imani huyu Lazaro na Baba kulola Bwana amejitwalia mashujaa💪💪💪💪
Pole sana Mtumishi wa Mungu Baba yangu kwa Kiroho. unaongea ukweli mtupu nakukumbuka sana huduma yako Mtwara na Lindi. Kanisa na Mtwara ulipoanzia lipo palepale limeendelezwa sana sasa hivi. Nakumbuka uliniwekea Mikono/ kuniombea ili nipite mitihani ya darasa la saba ilikuwa Lindi 1976 Mungu alifungua njia mno kwa maombi yale amenijalia maisha ya kushangaza watu mpaka niandikapo msg hii. Hongera kwa maisha ya utumishi pamoja na mama yetu mpenzi. Hakika ana Taji yake kwa Baba Mbinguni. AMEEN
Pole sana baba sintosahau dadangu mke wa mchungaji mbise mmemlea nyie ktk nyumba yenu ktk maadili yakumpendeza Mungu mpaka akafikia umri wakuolewa na leo ni mtumishi wa Mungu mzuri
Pole sana, Roho Mtakatifu awe mfariji wako
pole sana DRna mchungaji kiwia Mungu akutie nguvu
Mungu akufariji sana baba!
Naamini kazi aloifanya imemalizika! Umekomaa sana baba naona mie hata hotuba nisingeweza kumaliza
Nimemfahamu Mchungaji obedi
Pole sana mtumishi
Mungu azidi kukutia nguvu
Dada alimaliza kazi mtu yoyote mucha Mungu akikufa nikazi yake imeisha hapa d uniani
Pole sana mchungaji Kiwia
Pole sana. Mungu yu pamoja nawe. akutunze naba🤲🙏
Pole sana baba kwa kumpoteza mama yetu kipenzi, Mungu akupe faraja
Jamani kumbe ulimpoteza mwenzi wako pole sana
Pole sana pastor
Mungu akutie nguvu baba
Pole sana aisee
Pole baba anguuu uwiii
Pole Sana'a dadiii
Pole Sana baba
Mimi nilishangaa sana ati alikua hajawai oa kumbe alifiwa pole sana
Mwanamke ndio alikuwa hajaolewa
@@sarahgaula2220 unamaana gani? Wakati yeye na matehem walikua wanandoa
Polee Sana baba kumbe ulimpoteza mke wako
Huyo ndio kauo juzi ama macho yangu
@@hilgathjoshua8804 eeh ni yeye
Hakika bwana alitoa na Sasa amemtwaa Jina lake bwana lihimidiwe
Sorry baba
Very sorry
Pole
Pole sana mchungaji, mungu akutie nguvu zaidi.
Pole sana
Pole sana mchungaji
Pole Sana baba
Pole sana baba yetu ,mzee kiwia mungu akupe uvumilivu katika kipindi Hiki kigumu
Pole sana
Pole sana
Pole Sana baba