Goodluck Gozbert- AMEN (Official Video)
HTML-код
- Опубликовано: 29 дек 2024
- Goodluck Gozbert presents "I RELEASE" . A declaration song, a reminder of who we truly are in Christ Jesus, That no matter what we are going through, we have been seated with Christ Jesus to Decide our Fates through the word of God.
Watch the Goodluck Gozbert Latest EP "Ushindi" EP: • Goodluck Gozbert - Kin...
Follow Goodluck Gozbert:
Instagram: / goodluckgozbert
Subscribe to RUclips Channel: / @gozbertministries
#IRELEASEAMEN #NOJUJU #goodluckgozbert
Oooh barik8wa mdg wangu inuka angazaaaaa❤❤❤❤
Waooo mama angu, ni upendo na heshima iliyoje kupata comment Yako hapa✍️🎵barikiwa sana. #pombeinamadhara🔥
Rose ubarikiwe sana kwa heshima hii mashabiki tumeiona hii
Wow. UMOJA HUU.
Welcome bro Safi Sana.Mungu akuinue zaidi
Amen mama❤❤❤❤
TEAM GOODLUCK FROM KENYA 🇰🇪 mpooooooo,,piteni ma likes za 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 🙏 no weapon formed against our lives 2024 shl prosper Amen
Sisi tuko kila mahali...to support the gospel every way possible!!
Amen Goodluck to the world
@@AnitaDengwa glory to God 🙏
Wimbo wa harusi❤
First International Song in ENGLISH from Gospel singer Goodluck.🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Wimbo wa kingereza full nice one 💯💯💯
"BARAKAH ELIAS"
GOD BLESS YOU my Gospel singer 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
i like your vision: Goosluck must shine internationally
😂😂😂😂😂😂
Aliye muona Malaika anacheza shu like hapa😂😂😂
😂😂😂😂😂😂❤🎉
😂😂😂
😂😂😂😂😂😂😂
🤣😂
Nlijua nmeona mwenyewe 😂😂😂
Nimepata wimbo wa kuingilia kwenye harusi yetu❤️❤️💪💪🙏🙏
❤
Ahaaaaa tuko wengi nimetoka comment hapo juu mwenzako kila mwaka natafuta nyimbo ila mwaka huu naolewa shetan atake asitake
Mkuje sasa tuwaowe
Nialikeni jaman napenda kula 😢😢
Honger 🙌
No wahala ooh gosh to whom shall we fear. Our life is in hand of God
Moto🔥🔥🔥 Amen in Jesus Name 🙏🙏🙏 barikiwa sana bro
Waooooooooh❤❤❤❤❤
Huu ndowimbo wangu pendwa mwaka 2024🎉🎉
This vibe ,the creativity,the beat.Amen
Hii kali sana kaka mkubwa 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥. Mungu bado yupo kaka Amen 🙏🙏🙏
Toa wimbo mpya wa kusifu yesu watu waamke brother uko kimya sana
Kiukweli tu niseme goodluck ni msanii mkubwa sana wa nyimbo za injili nitoe shukuru zangu za dhati kako kwa kufanya kazi kubwa ya injili kwa njia ya nyimbo Mimi niseme tu hivi wew ni mtu wa muhimu sana kwa nyakati za kizazi hiki acha Mungu akutumie awezavyo sisi kama mashabiki tunaona mchango wako na tunathamini pia AMEN❤🎉
Usimuite msanii 😂😂
Utasababisha mengine muite tu mtumishi
@@michaelezekiel4297 amina amina
Tuliorudia kuangalia zaid ya mara5 tujuane aloo bonge la wimbo nimependa nimepitiliza🤗🤗💘💘💘💘💘💘💘
0
Tupo pamoja nimeipenda sana
Npo nyimbo itaniua hiii
TEAM GOODLUCK FROM EAST AFRICA WHERE ARE YOU?? LIKE THIS COMENT
I ve already created a dance to enter or to exit my wedding day !! Hallelujah!!! Ribashadaraboria!!! Amen
from l love you Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
rasha!!
Abiudi misholi shauri vijana wetu.
Una umri gani mpendwa? 😊
Ashauri nn hapo nahisi abiud anataman akampe mauwa yake good luck 😂😂
Ulofa mpaka kwenye kazi za bwana, uyu jamaa mpaka leo bado napotea
Ushamba mingi ndo uko nao mbona Nigeria kina moses bliss wanaimba ivi au kizungu ndo uelewi pole😅😅
Kizungu ndo kimekuacha au? Kazi kukosoa kazi za kwenu wa bongo wivu ndo unawaponza imba na wewe tukusikie
Huku Kenya tumeikubali
Waoh uberikiwe
Huu wimbo naangalia zaidi ya mara 10. Ubarikiwe Mtumishi wa Mungu
Goma fulani kama la Nigeria...❤❤❤ amapiano gospel
Ameeen
haahahahaa bloood umeua
Not me playing this song since sunday and posting it everywhere😅😅the amapiano beat is vibing meeehn,this song inaslap mbaya..much love @goodluck gozbert..nimepata song ya harusi yangu,mungu sasa nibariki na bwana🥰🥰🥰🥰
🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥,,,brother welldone
Goodluck atakae jaribu kukushusha chini atashuka yeye katika jina la YESU
Atakae iwinda nafsi yako .. atakuwa akiiwinda nafsi yake mwenyewe.. atakae kuvuta shati atachoka na kuanguka chini ..
Kwa sababu huduma yako imekuwa njema machoni pa MUNGU
AMEN
International Gospel🇹🇿🇹🇿 God bless you
Sio wimbo wa Mungu huo kuliko kipotrza muda Rudi dunia inawatafuta Watumishi wa Mungu kuwaangusha kwakuwadanyia pesa
Hapo naona unakosea ndugu ukisema sio wimbo wa mungu ulitaka aimbaje mhhhhh
Nieli umesema..huo ndo ukwel 😢😢😢
the song is spiritual
Tuonyeshe wimbo wa Mungu umeandikwa wapi style na maneno tuimbe huo tuu Daima na milele.
MUNGU NDIO ALIENGIA STUDIOO KUREKODI
The afro beats are on fire 🔥 l am blessed and Believing Amen.be blessed Gozbert
Mungu akubariki sana mtu wamgu mimi ni msani wanyimbo za injili kutoka Congo D. R. C ila musichoke kutuombeya amani kutoka kwamungu asate
Love this song! I’m American I recently went to Tanzania 🇹🇿 I loved it! The kids taught us a dance to this song, I wish it were on Apple Music!
Na leo n jumapili jamani tukasali haleluya ameeeeni🙏🙏🙏🙏🙏♥️♥️♥️♥️♥️♥️♥️🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
Who else believe in JESUS. #AMEN
@goodluck gizbert mie binafs kwa siku huwa nasikiliza nyimbo zako kwanza ndipo niendelee na mambo mengine nakupenda mnooooo ani mtu haniambii kitu hata siku ukijaimba utopolo nitaluka nayo hivo hivo kazi nzuri toka mikononi mwako kula chuma hicho ❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉
I've already created a dance to enter or to exit my wedding day!! Hallelujah!!! Ribashadaraboria!!! Amen.
Love from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪💯💯💯💯💯💯
Amen 🙏🙏🙏🙏🤝
Leave alone singing and dancing,
The fact that he can do the songs in English is overwhelming
We love u brother
Mwanangu hongera sana wimbo umetulia mnoooo uko vzr sana hujawahi niangushaaaaaaaaa
Mliosema jodevi amemmaliza mko wapi😂😂😂😂😂😂
AMEN
Kumbee kaka kiingerezaa kipooo
Amen
Good song🎉🎉 from Tanzania🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mungu kabariki uduma yako kipawa chako wewe niwapekee sana braza 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🤴🙏🙏🙏🙏
Barikiwa mtumishi wa Mungu,hakika no juju,no wahala,no zoom zoom,yaani umejua kunikumbusha nipate kuelewa barikiwa sana
umebarikiwa sana my bro
Nabarikiwaaaa na wimbo ninachokupendeaa G.G man of God ni hiki your a good composer be Blessed
Amen 🙏🙏
Huyo ndo goodluck gospel mkali wa stahili yani anafanya kazi zake kwa roho moja yani tena akitulia kinoma nakukubali sana 🙏🙏🙏🙏💅🙏moto wa ku wakia mbali.
Amen❤
😂😂 this Last part is really funny
I receive.... AMEN
Ameen wimbo mzuri sana
Now am pregnant after ten years Every where testimonies glory be to his name is my everything 🙏🏾🙏🏾🙏🏾🙏🏾always have faith guys ❤
Huu mwaka ni me na sir God Amen 👏🏿 Amen in everything 🙏🏿
Godruck penda sana wewe nyimbo nzuli hakika wewe hujawahi kosea kuimba mwenyezi mungu akuinue sana nyimbo yako inafundisha naipata tanzania from oman
Mungu anatuona jamani amapiano swagga
No more shame and pain🇰🇪🇰🇪..A powerful song indeed....God bless you Gozbert
🙏🙏 happy song
Kaka umetishaaaaa👍👍👍
Naona umeamua kutupigia Amapiano
Mungu akubariki sana kitu kali sana naomba like zangu kama unaikubali chuma hilooo❤❤❤
Lina
Daudi
Tahan
Yakobuk
Acha kabiisa cmu imepata motto kisa huu Wimbo huu
In the next two weeks hii song itahit 1million!
Please like this if you believe its gonna bring hope to many!!
Kenyaaaa,🇰🇪🇰🇪🇰🇪
😂bado na ni one month
Nimepata wimbo wa kuingilia kwenye Harusi yangu.....
Acha ushamba wewwee
❤❤❤❤ ameni💖💖💖
Uyu ndo diamond wa gospol hakika tunabarikiwa kwa nyimbo zako🙏🙏
Haahaahha
Mungu wa mbinguni atusaidie sana kweli nimeamini mbinguni tutafika tukiwa
tumechoka sana kweli huuuu ni wimbo unaomtukuza mungu au unaimba ili Mkono uende kinywani? Mungu awasaidie sana
Barikiwa sana hiinyimbo kilasku naisikiliza.
Ni nzuri hongera good luck gozbert
siku moja nitatoa nyimbo pamoja na wewe ameen
Amapiano😂😂💐 eeeh mungu wangu
Amen bro...❤❤❤,achana na negative comments za watu who are they to judge you for all have sinned and fall short for the Glory of God.Continue praising God ❤ from Kenya
Barikiwa Kaka goodlucky Tupo nyuma katika utumishi huu, Mungu akubarikie zaid
Jesus is on my side. No more shame and Pain. AMEN.❤
Sema wewe jamaa upo to gifted 🙌🙌🙌
This is my favourite sijui ni mara ngapi nimeusikiliza tokea umetoka this is a masterpiece
Hapa ni kimataifa zaidi,yaani uko juu
Safi sana Mgaya wangu nimeipenda hiyo
Bariki sana
One of faves,❤ from Nigeria
Matendo ndio kila kitu hongera inuka songa mbele
hapa umetisha sanaaaaaa mkuu God bless you
Bongo flavor au 😂😂😂😂 jamani au injilu
Unajua maana ya Bongo flava au unajiropokea hakuna muziki unaitwa injili....mziki ni mapigo yote ujumbe ndio tunatofautiana
@@HadijaSalum-sk6gw wew ndo unajua niambie
Hadi ama piano style kweli amen
Ameen Glory be to god ameen
Good luck Amen 🎉🎉🎉 weka lika hapa oyiiiiii good luck umepigaje happpppppppppp
Hahahahaha kapiga amina
Mbona Nigeria wanaimba hamuwasemi
Nimebarikiwa sanaaaaa
My brother mungu akubarik Sanaa mpk umenifny nimeenda kull kanisani Leo nilikua mtoro❤❤
Sky is the limit don't worry of those who talk of nonsense and they can't even release anything that can bless people of God. Shikilia hapo kaka. Tabby Maurice from Kenya. Blessing 🎉🎉🎉🎉
nakubali sana sasa unahubiria mataifa yote in Jesus name. amina
Waw waw indeed no juju glory to almighty king Jesus Christ iam from Uganda 🇺🇬
Amina sana kabisa mashaka yalitarakai kwamba Nini kimekupata❤❤
Hongera sana kaka angu kwa kazi nzuri....naomba sapport yako kaka G na mimi nina mtumikia Mungu kwa njia ya gospel natamani kupata sapport yako mtumishi
Ameen mung azid kkuwek kwaajili yet tuwez kumjuwa yeye na kufurah wajin wa mwanangu tang nikiwa na mimb nilikuwa napenda san nyimbo zak mpk nikamwit mwanang jin km lako ameeen
Uko 🔥🔥🔥
Hii ni hatua kubwa ambayo tumeisubr mda mrefu
You're the game changer always
Eimeeeeennnnn....tunabarikiwa sana na kazi zako mtumishi endelea kutumika katika njia impemdezayo Mungu mkubwa muumba wa dunia hii na vyote vilivyomo❤❤❤🎉🎉🎉🎉
Ongeraaa snaaa brother kwa huduma ya mungu
Wow🎉 kaz zuri mtumish wa MUNGU
AMEEEEN