MWIGULU NA MPINA VITA BADO MBICHI, WARARUANA TENA BUNGENI, SPIKA ANGILIA "TUHUMA NZITO HIZO"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 ноя 2023
  • MWIGULU NA MPINA VITA BADO MBICHI, WARARUANA TENA BUNGENI, SPIKA ANGILIA "TUHUMA NZITO HIZO"
    Mbunge wa Kisesa, Luhaga Mpina na Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba wameendelea kushindana kwa hoja bungeni kuhusu ripoti ya CAG

Комментарии • 46

  • @user-ie2sr4fi4k
    @user-ie2sr4fi4k 29 дней назад

    Kiongoz wangu mwigulu ujumbe umefka uhooo👍👍👍

  • @elibarikimollel7149
    @elibarikimollel7149 7 месяцев назад +2

    Hapa mnajiweka wazi wenyewe muda uende, kisha mwishoni mtarudi pamoja kutekeleza makubaliano ya barazani!,nasi wananchi tutabaki wenyewe, kazi iendelee..lakini Mungu aishiye milele atawaweka bayana mchana kweupee kabla ya siku ya hukumu! Mungu mbariki mama Tanzania

  • @geey7893
    @geey7893 7 месяцев назад +2

    Masauni Kilaza. Kapewa uwaziri kwa ushemeji

  • @mussamagunguli6937
    @mussamagunguli6937 7 месяцев назад +2

    Hivi Rais Samoa unaweza weka waziri was mambo ya ndani uwezo wake mdogo sana na hana anachoeleza chenye mantiki

  • @gretakasembe
    @gretakasembe 7 месяцев назад +1

    Mungu mwema tusaidiesana, Kama Muhimili wa nchi!!Binge ni vurugu mechi, daaaaah inaumiza Sana.

  • @davidurasa6360
    @davidurasa6360 7 месяцев назад +3

    Huyu mwigulu anafokafoka km ana hati miliki ya nchi watanzania wapi wakati wengi tulishaamia burudi.

  • @feiswalsalim2117
    @feiswalsalim2117 7 дней назад

    jeee mkangiibakifanya kaxii nzurii anaprwa zawadi nganii munatakakufanyiwa vyems kishaa haamurudishi butendakaxi

  • @bwilumarigo
    @bwilumarigo 7 месяцев назад +2

    Mwiguru ndiyo jizi la namba moja

  • @MohamedBlanker-jw9qy
    @MohamedBlanker-jw9qy Месяц назад

    Mbaya Sana

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 7 месяцев назад +2

    Wataje hao watu na sio kutuambia mambo ya ajabu

  • @user-vo7yp5gj7x
    @user-vo7yp5gj7x Месяц назад

    Masauni kiukweli Bado sana kwa Nafasi alonayo

  • @victorkisenha5933
    @victorkisenha5933 7 месяцев назад +1

    Mr. Nchema your playing Drama,

  • @ponsianomnyaru9140
    @ponsianomnyaru9140 14 дней назад

    Majz c pamoja naww

  • @bwilumarigo
    @bwilumarigo 7 месяцев назад +1

    Ccm ni ilele majizi

  • @asharajabu5140
    @asharajabu5140 Месяц назад

    9:18

  • @georgemassebu2083
    @georgemassebu2083 3 месяца назад

    Huyu Nchemba hakuna kitu huyu...mbwembwe tu

  • @mkondomkondo4721
    @mkondomkondo4721 Месяц назад

    Mtapiga makofi sana

  • @chadogsichela3528
    @chadogsichela3528 Месяц назад

    Bunge laovyo

  • @user-eh2nz5gw1l
    @user-eh2nz5gw1l 3 месяца назад

    Mwiguru ni msengeremaaaa

  • @bwilumarigo
    @bwilumarigo 7 месяцев назад

    Mwiguru ndye mwizi namba 1 na ccm yote

  • @jesaminzo
    @jesaminzo Месяц назад

    Kumbe huyu jamaa ana weledi mdogo hivi!

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 7 месяцев назад +1

    Mashavu maaakuubwaa uongo mkuubwaaa

  • @rehemageorge9506
    @rehemageorge9506 7 месяцев назад

    Heshimianeni wabunge mnamwaibisha. Raise wa mabunge ya Dunia.mweee.

  • @MagrethMallya-we8ui
    @MagrethMallya-we8ui 7 месяцев назад

    Mnacheza shere bungeni kweli? Au ndo mnatuwakilisha? Nashauri mishahara ya wabunge ishuke , na iwe na kikokotooo. Hatuwaelewi kabisa yani. Cag alikuwa viizuri

  • @jacoblongo6814
    @jacoblongo6814 7 месяцев назад

    Vimeuma hapa wangechukuliwa hatua ccm tunge wasifu sana lakini bado CCM mumefanya inchi hii shamba la bibi

  • @Lubango-gj3ud
    @Lubango-gj3ud Месяц назад

    Nchemba unaposema miaka yote maana yake serikali ya CCM imeshindwa!!!

  • @RaphaelMachinda-ih5we
    @RaphaelMachinda-ih5we 6 месяцев назад

    Mwigulu kamawewe hujahusika wanaohusika waashitakiwe his Indonesia comedian

  • @nedkatunge5702
    @nedkatunge5702 6 месяцев назад

    Jizi hili halina lolote zaidi ya kuwatesa wananchi

  • @kassimsaid4696
    @kassimsaid4696 7 месяцев назад

    Huyu Masauni ni muhuni tu kama jina lake lilivyo

  • @anicethy6978
    @anicethy6978 7 месяцев назад

    Masauni anataka uthibitisho gani?Hivi riport ya CAG inamashaka?

  • @batwelimahenge7850
    @batwelimahenge7850 Месяц назад

    Mwizi mkubwa mwingulu

  • @user-qv2fe3hy2x
    @user-qv2fe3hy2x 7 месяцев назад

    Mwigulu tapeli na mwizi tu

  • @thomaskabungo2211
    @thomaskabungo2211 7 месяцев назад

    Hapa Sasa pazur

  • @daudichoghoghwe5035
    @daudichoghoghwe5035 7 месяцев назад

    Tulia nilikuchukulia poa kwakikao hiki umeupiga

  • @lanezboy7016
    @lanezboy7016 7 месяцев назад

    Kanatoa list ya uwongo kabisa

  • @user-ri8ch2hs3m
    @user-ri8ch2hs3m 7 месяцев назад

    Huyu mama anayegonga meza sijamwelewa yuko upande gan wadau

  • @user-dk5kk4rf3v
    @user-dk5kk4rf3v 7 месяцев назад

    Hii wizara ni kula tu ..ona anavyonenepeana

  • @thomsgrizikikwamungu879
    @thomsgrizikikwamungu879 4 месяца назад

    NMMHu MUNGU WANGU

  • @NassorSalumMengi-jj1nf
    @NassorSalumMengi-jj1nf 4 месяца назад

    Mwiguru anauwaza urisi 2030

  • @scolasticakaduma5143
    @scolasticakaduma5143 7 месяцев назад

    Huyu mama anayepigapiga meza ni mwamba ngoma
    .Hana lolote la maana kwa wananchi.

  • @williamsenkoro2210
    @williamsenkoro2210 7 месяцев назад

    Jestina kazi yake kuteteea wenzake tuu....

  • @samoramussa5336
    @samoramussa5336 7 месяцев назад +1

    Shida ya nchii inafikili kusoma ndio akili.

  • @danielchacha1305
    @danielchacha1305 7 месяцев назад

    Urafiki kwa mambo ya kijinga. Masauni acha ujinga kwa mambo ya tija kwa nchi yetu

  • @user-ly8ti8tu8e
    @user-ly8ti8tu8e 7 месяцев назад

    Ndo mawaziri hovyo,Masauni kapewa kwasababu ya ukanda,hajui anacho jibu