Hongera sana sana San serikali yetu ya Zanzibar na Tanzania bara, Madawa ni hatari sana kwa vizazi vyetu, huku USA west coast 😢 yani huku fai it’s like uncontrollable, madawa ni Adui mkubwa kwa Inchi yetu
Sawa tamarind mmesha nasa hayo madawa ya kulevya hawa ni wale pangu pakavu wanene hamuwakamati je mutaweza kweli kutokomeza kweli wanopitisha haya madawa ni vigogo msitudanganye
Tunashukuru sana kwa kazi kubwa mnayofanya. Allah atakulipeni kwa juhudi zenu
Duu opereshen iendelee jamani mnatumalizia watoto wetu..hongereni sana mamlaka
Masha allah mungu inusur nchi yetu hongeren jeshi la police
Hongera sana sana San serikali yetu ya Zanzibar na Tanzania bara, Madawa ni hatari sana kwa vizazi vyetu, huku USA west coast 😢 yani huku fai it’s like uncontrollable, madawa ni Adui mkubwa kwa Inchi yetu
Serekali ya awamu ya 6 hongereni sana maana ukamataji wa madawa ya kulevya muafanyaka kazi nzuri sana
🎉 👏
Subhanallah wabihamdih subhanallah llaadhiim ❤❤❤❤
Ziko wapi
Good
Kukamatwa Kwa dawa si shida , shida hao waletaji wakuu wapo wapii? Sababu walahihawana FAIDA au muuzaji ,alter anazo zitoa uko kusikojuulikana
Kuna zaid ya hayo wauza unga na maduka yanajulkana hyo walokmta na kusema sio chochte waongeze kazi na jitihada.
O crime não compensa
Good job zanzibar.
Hawa waliokamatwa wanawaharibia watu wakubwa biashara yao ... wauza unga hasa wanalindwa Tanzania
Sawa tamarind mmesha nasa hayo madawa ya kulevya hawa ni wale pangu pakavu wanene hamuwakamati je mutaweza kweli kutokomeza kweli wanopitisha haya madawa ni vigogo msitudanganye
Mtaje huyo laiya wa kigeni jina na nchi husika hao wageni wanao wauwa watanzania
Hee, kwa hiyo fungu langu kete 14 ? Nipewe mwenyeo najua nitazifanyia nini hata kama sivuti
Wasitushuliishe watwana hao wanauwa watu kama kuku mazukum kabisa .Kisa ikiwa kweli kuwakamata na nyongo za bangi.
Baadaye munaziuza nyie
arrooo kamata aoo mijambazi