Kimbunga Hidaya: Tanzania Bara, Zanzibar zasitisha usafiri wa baharini

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 май 2024
  • Mamlaka za usafiri wa majini za Tanzania Bara na Zanzibar zimesitisha usafiri wa baharini kwa meli na boti zinazofanya safari zake kati ya visiwa vya Unguja, Pemba, Dar es Salam, Mtwara na Lindi kutokana na tahadhari ya kimbunga Hidaya ambacho kinazidi kuikaribia pwani ya Bahari ya Hindi.
    #AzamTVUpdates
    Mhariri | John Mbalamwezi

Комментарии • 7

  • @chidi_don
    @chidi_don Месяц назад +1

    Dah sio poa kabisa 😔

  • @omarkapula588
    @omarkapula588 Месяц назад

    Bere bere bere

  • @batashqiraa9936
    @batashqiraa9936 Месяц назад

    Hapa serikali tunapongeza kwa kutoa maamuzi ili kulinda usalama wa raia

  • @user-cg6iy2et7q
    @user-cg6iy2et7q Месяц назад +2

    Hivyo vimajina vyakishetwani ndiomnawapa watoto. Eti hidaya

    • @batashqiraa9936
      @batashqiraa9936 Месяц назад +1

      Ungekuwa unajua maana ya hilo jina usingesema la kishetani, ukitaka kutoa kasoro ya kitu au kutoa sifa ya kitu ni vyema ukawa na elimu ya hicho kitu uskurupuke tu, nenda baraza la kiswahili wakwambie nini maana ya neno hidaya.

    • @ZubeirJuma-up7kb
      @ZubeirJuma-up7kb Месяц назад

      Wanyamwezi asaa mna mashaka mkubwa na ndio maana hatuendan zenji na tanganyika

  • @IjumaaBakari
    @IjumaaBakari Месяц назад

    Kimbunq hiya