Baby Boy where you are my Og Rapper....? 2024 tunakusubiri Bado haujaisha TUPE Ngoma mzeeeee Brother you can kill all rapper fake, tunakuomba kaka tunakuomba Sana urudi
Dah hivi steve na B boy mnajua kama mnajua?mngekuwa pamoja mngepiga mkwanja mrefu mnoo toka muimbe ONE LOVE zote kali chukueni hii mtanitafuta Moro town w
Dah huyu mwamba ni mkali aiseh!! Imagine nilikuwa school now nipo Botswana nafanya kaz. Bro ukiona hiii comment yang jua mashabiki wako una den kubwa la ngoma bro. Rud kweny gam bro angalia madogo wanavyoitawala gam
Now yuko Wasafi ni balozi wa Wasafibet jamaa nakumbuka kipind kile Bukoba tulikua na kiwanja kinaitwa Linas Night club ndo amehitimu Form fourm hamgembe akaja Steve Rnb akachana fresh ndo akambeba to Dar the rest is history....Uyu jamaa alikua anajua ku rapp
Baby Boy ft Steve watoto wa Bukoba from Haya Land wana wamepotea kwenye game nahis Management na utandawazi ila ivi vichwa plus Mr Blue walikua wanajua kuchana vizur Baby Boy a boy from Mayunga Amesoma Hamugembe mwamba
Nimeitafuta sana hii ngoma, dah rudi mwanangu vijana wanazingua.
Naah itatukumbusha mbal kidgo
2023 still rocking... We jamaa ulikuwa fire kinoma.. mwanangu rudi studio maboya wanazingua hatupati vitu kam hzii...unyama mwingi chaah
We Baby wew ndio mtu wa kusimama nafas ya ngwea please rudi kwenye game ninja unajua sanaa
NGWEA ALIKUWA ANAMWANDIKIA
Baby boy ... AKON
............OF TANZANIA
SIJUI NANI KWAMBIA KAMALIZA KULIPA DENI LA KUTUBURUDISHA. YEYE NA STEVE WANAJIHISI WAZEEE. HAWAUMIZI KICHWA TUWALIPE
Nataka muwe nami......niwe nanyi...... ili tufurahi...Daaa!!! sweety song.😘
Nyingine kali inakuja
Baby boy kuchana noma
Lud kwa game bado inakudah.
Baby boy uliua sana halafu shule unayo
Baby boy umepotelea wapi ujue unajua kuchana ww kama Ngwea jamani rudi kwenye game
NGWEA ALIKUWA ANAMWANDIKIA MICHANOOOOO
daaaaah kipind hicho maisha yalokuwa simple sana iseeee nmekumbka mbal sana make ndo wimb nlokuwa naupenda sana
Jamani kama Ngwea nyimbo nzuri
Yaani we amgembe uwez kutoa ngoma tena
B boy rudi kwenye game unajua sana
Used to jam this song back in olevel prime 😭.still listening to this song in USA now❤️❤️
Baby Boy where you are my Og Rapper....? 2024 tunakusubiri Bado haujaisha TUPE Ngoma mzeeeee
Brother you can kill all rapper fake, tunakuomba kaka tunakuomba Sana urudi
Bonge moja la ngoma... he was the best rapper alive
Dah hivi steve na B boy mnajua kama mnajua?mngekuwa pamoja mngepiga mkwanja mrefu mnoo toka muimbe ONE LOVE zote kali chukueni hii mtanitafuta Moro town w
When music was music...kila kona....
Definition of Good music 🔥🎵❤️
Bonge la ngoma...🔥🔥 ila ungempa ngwair angeua kila kitu kwenye io beat
Yaani hii ngoma inafufua makaburi kinoma sana
Today 02/August/2020 ...... Twende sawa it all about GoodMusic alive 🎤🎶🎶🎼 Steve baby Boy this how we doooooo eeeeee....
All love from Zambia 🇿🇲
Being jamming this since 2010...tough joint😊
Mkush back again watoto wanadema
Dah huyu mwamba ni mkali aiseh!! Imagine nilikuwa school now nipo Botswana nafanya kaz. Bro ukiona hiii comment yang jua mashabiki wako una den kubwa la ngoma bro. Rud kweny gam bro angalia madogo wanavyoitawala gam
Now yuko Wasafi ni balozi wa Wasafibet jamaa nakumbuka kipind kile Bukoba tulikua na kiwanja kinaitwa Linas Night club ndo amehitimu Form fourm hamgembe akaja Steve Rnb akachana fresh ndo akambeba to Dar the rest is history....Uyu jamaa alikua anajua ku rapp
R&B legends
Real TBT LIVE LONG LEGENDS
I see you like albert kenneth Mangweha again bro
Ngoma kali sana still hot in 2021
April 2019 remembrable song
Daah uko ap bby boy
Wangu kitambo Sana tena s
One of my best of all time
Huu ndio ulikuwa mzk
No one can realise good good RnB like u bro
Baby boy upo wapi my home boy
Toka 2010 until now 2023 ryhmes kali ujumbe wa kutosha
Big thing ever done
Baby boy umepotelea wapi fanya urudi kwenye game
Jamanni marapa wazamani mpo wapi mnanpa haso mzc umetulia hutumii nguvu baby boy ft Steve saruti kwenu
Noumaaaa
bloo plz lud kweny mzk nyie ndo waasisi wa bongofleva daaaaah
Nyimbo tamsana ilauyodem acngekata kiuno angenesanesa2 ingetosha iyonihipapu
Safi sana boy
Huyu jamaaa mbona aliacha mziki. Sa hv angekuwa mbali .😢😢
Mziki mzuli
Design kama gwair hali miss collaboration ya hii ngoma naona kwenye video kama anatamani verse yake ingekua ya mwisho. Dah RIP brother 😢
2023 once again am just watchinggggggggg
good music
bado ni kali
2024 who is watching 😮
Yuko wap huyu mwamba😢
WHAT A FLOOW
Unanipenda nipe gwara cna bifu na mafala
Good music here. (15/05/2022)
Still enjoying this song in 2020
June8, 2022 rememberable song
we listen to both of you since 2012, always happy to hear a new song 👍
Unforgerable song
Ngoma kali 22/10/2021
Siachi mziki ata ukinionyesha bastola,mzki unaweza sana tatizo ni nn broo mbona hausikiki
G.O.A.T 🐏
My lovely hubby @edson wilson..i love you sincs we met at 2016
🎉🎉
Mayunga
Big time
@bbyboy dah rudi kwa game
Narudi kwenye game soon worry out
Kaka umetsh ww ni mrithi wa ngweya
Baby Boy ft Steve watoto wa Bukoba from Haya Land wana wamepotea kwenye game nahis Management na utandawazi ila ivi vichwa plus Mr Blue walikua wanajua kuchana vizur Baby Boy a boy from Mayunga Amesoma Hamugembe mwamba
Where are you baby boy
Nice song
🐐
Bonge la wmbo but ulichelwa kuweka y tube maana toka 201 naitafuta aise jomvaa uko api
2018
nimo
Nice
♥️🇰🇪
2020
💯@babyboytz