Action - CPwaa ft Ms.Triniti , Ngwair, Dully Sykes

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 фев 2025
  • The official ACTION Video, CPwaa ft Ms. Triniti from Jamaica/US ,Mangwear, and Dully Sykes. Tanzania first International Ragga Hip Hop collaboration.
    #Cpwaa #Action #Ms.Triniti #Ngwair #DullySykes #SlideDigital
    (c)Slide Digital
    Cpwaa Songs OUT WORLDWIDE ON MAJOR DIGITAL STORES:
    Written & Performed by Cpwaa
    Follow Cpwaa on:
    / cpwaa
    / cpwaaa
    Channel Administered by Slide Digital
    Instagram: slidedigitaltz

Комментарии • 702

  • @alphoncegadafi1341
    @alphoncegadafi1341 Год назад +116

    Tulio angalia 2024 tukutane hapa❤

  • @officialbenjatz5350
    @officialbenjatz5350 4 месяца назад +36

    Duh ngoma kali tunaoucheki huu wimbo mwaka 2024 mwezi wa 10 tujuane kwa like

    • @NeemaSway
      @NeemaSway 3 месяца назад

      Me niko hapa

  • @emmanuelmwaipopo3039
    @emmanuelmwaipopo3039 29 дней назад +8

    Tuliongalia 2025 tukutane hapa

  • @leylaiddy5815
    @leylaiddy5815 4 года назад +83

    Tulorudi kumcheck jamaa baada ya kupata taarifa za msiba.. like hapa

  • @ElishaSolomoni-kc4zk
    @ElishaSolomoni-kc4zk Год назад +38

    Whose here 2024 dah huu wimbo nlikuaga nampenda balaa jina la wimbo xx ilikua n kipengele kipnd hcho n dg dgo et na sema dully attetion kumbe n action dah balaa🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @BrayanTinge
    @BrayanTinge Месяц назад +6

    Tulioangalia huu mwimbo 2024 mwezi December let's gather here

  • @matikosillamunanka9987
    @matikosillamunanka9987 25 дней назад +7

    Nani yuko hapa 2025?

    • @RehemaSuna
      @RehemaSuna 17 дней назад

      Mie hapa

    • @arlecoboazsote5056
      @arlecoboazsote5056 16 часов назад

      Niko hapa mzee, for sure udongo umejaa rutuba za mastaa na magenius sana yani

    • @zanifahassan2711
      @zanifahassan2711 2 часа назад

      Hapa hapa 2025 Ngoma ya moto🔥🔥🔥

  • @kelvinulomi9629
    @kelvinulomi9629 6 лет назад +147

    Wangapi wanaisikiliza hii hù mwaka 2019 like hapa

  • @alexmakande7980
    @alexmakande7980 4 года назад +5

    Kama umekuja baada ya mwana kufariki gonga like hapa
    👇👇👇👇👇👇👇

  • @muccitronix
    @muccitronix Год назад +5

    Duuh mziki mtamu ulikua zamani

  • @Therealrashyy
    @Therealrashyy Месяц назад +3

    Nimekumbuka wakati Action inatoka sikumskia Ngwair na nilimind kinoma. RIP Ngwair & Pwaa na aliyemvalisha Dully humu tuna kikao nae

  • @djb2kzer0
    @djb2kzer0 4 года назад +38

    January.18.2021 Rest In Peace ☮️ alie rudilia kuangalia wimbo huu baada ya taarifa ya majozi
    Gonga like 😢😢😢

  • @stephenmungure7072
    @stephenmungure7072 5 месяцев назад +13

    Tuliopo hapa kwenye goma kali 2024
    Hi nyimbo ilikuwa mbele ya muda hata ingetoka 2050 bado ingekuwa ya moto

  • @mumylovee1993
    @mumylovee1993 4 года назад +37

    Wangapi tumerudi kuangalia hii ngoma baada ya kusikia msiba wa Cpwaa. duh R.I.P legend

  • @carlosmzena548
    @carlosmzena548 2 месяца назад +4

    Rest in peace 🕊️
    Ngwair and C pwaa

  • @sixbertanton5979
    @sixbertanton5979 4 года назад +6

    Wangapi wamekuja Tena baada kupokea taarifa kwa majonzi 😭😭🙏🙏

  • @KenRazy
    @KenRazy 4 года назад +26

    Hii song ilikuwa kubwa sana mpaka huku Kenya.. just so sad to loose a legend.. and watching this namkumbuka pia The Great Mangwear .. 2LEGENDS in this song GONE... R.I.P CPWAA & NGWEAR. Your legacies will live FOREVER!

    • @dicksonwanyama1689
      @dicksonwanyama1689 4 месяца назад

      Sana ni bonge moja ya ngoma 😢😢😢😢😢 rest in peace Cpwaa and Albart Mangwea😢😢😢😢😢 iko kwenye pray list yangu ya muda wote

  • @GodfreyNgonyani-g9h
    @GodfreyNgonyani-g9h 24 дня назад +2

    Kesho ni kumbukumbu yako bro 17/1 Rest in peace bro C pwaa

  • @Gdiamond360
    @Gdiamond360 2 года назад +32

    2022 but Action still inabamba! Marco Chali crafted one hell of a beat, the Legends delivered!

  • @DONYAMAMBA
    @DONYAMAMBA 27 дней назад

    Rip music geniuses cpwaa & ngwair lord bless soul❤

  • @juliaskayanda3578
    @juliaskayanda3578 11 месяцев назад +4

    Ngoma kali as if ina week moja kuanzia leo , jamaa aliacha finger print #REST EASY MIAMBA #

  • @KatongaSign
    @KatongaSign 6 месяцев назад +7

    we don't run this town, WE MAKE IT SPIN💥💥💥

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 Год назад +3

    Nimerudi tena anniversary ya kifo cha cpwaa

  • @Ancy_Conscious_Tz
    @Ancy_Conscious_Tz 4 года назад +22

    R.I.P Bro🙏 it was such a pleasure to have you in this industry 💔😪

  • @nasibujamanne5561
    @nasibujamanne5561 5 лет назад +37

    Mziki mzuri utaishi miaka yote 2019 ni🔥🔥🔥🔥🌟

  • @danielmathias160
    @danielmathias160 4 года назад +5

    Nani kaja hapa baada ya kusikia CPWAA kafariki dunia.

  • @DavidKajiru
    @DavidKajiru Месяц назад

    Hii Ngoma ni kali balaaa Yani kati ya Ngoma ninazoziskiliza sanaa hiii

  • @cheguevaramwakanjuki
    @cheguevaramwakanjuki 14 лет назад +9

    Ngwear hajautendea haki kabisa kibao hiki!

  • @KillyMustapha
    @KillyMustapha Месяц назад +2

    Tupo apo tu

  • @eddiearts3713
    @eddiearts3713 4 года назад +15

    this song deserves a serious remix....feat AY,DIAMOND,VANESSA MDEE AND NAVY KENZO....

  • @eviepretty2646
    @eviepretty2646 4 года назад +6

    Nilikuaga nikisikiliza hii nyimbo nilikuwa napenda kukusikiliza cpwaa sauti yako ilikuwa inanikosha daah R.I.P babaaah😭😭😭😭

  • @Itsblackghost
    @Itsblackghost 20 дней назад +2

    2025 big like 90's we blowing up

  • @kibirigeahamed7557
    @kibirigeahamed7557 2 года назад +6

    I think the late mangwear was tanzania's finnest he could sing ,rap and even go down as
    A ragga mafin R.I.p cow boy

  • @melkizedeckmedard2236
    @melkizedeckmedard2236 11 месяцев назад +5

    Iv apa aliopo Hai nimr misifatu mzee sauti km zote wengine wote washatuacha rip ngwea na c pwaa vs Mr trint

  • @realscholarships-bolde.2344
    @realscholarships-bolde.2344 4 месяца назад +1

    "We don't search for old songs"
    "We search for gold memories"🎶🎶
    20...
    Everlasting masterpiece🎉😊

  • @EvvaMontana
    @EvvaMontana 4 месяца назад +1

    Huu wimbo nampnda sana na unanikumbsha.mbali sana cto acha kusikiliza

  • @RamadhanAli
    @RamadhanAli 3 года назад +20

    Rest in Peace CPwaa and Ngwea you made my 2010 bright with your voices.

  • @georgeburchard4872
    @georgeburchard4872 4 года назад +4

    One of the best song ever! Wimbo hauzeeki huu! Kila nikiusikiliza nahisi Kama umetoka Jana!

  • @ChrisMeshack
    @ChrisMeshack 6 месяцев назад +2

    Hii video ilikua mbele ya muda sanaa

  • @zulfasaid8954
    @zulfasaid8954 4 года назад +2

    Pumzika kwa amani C pwaaaa

  • @mimosapudica1894
    @mimosapudica1894 6 месяцев назад +2

    We Run And spin this town 360!! Circa 2024

  • @mimabanda9844
    @mimabanda9844 4 года назад +28

    Two legends gone! RIP Cpwaa😢

  • @fettyalmas691
    @fettyalmas691 5 лет назад +6

    Mimi nitakuwa wa kwanza kusikiliza huu wimbo 20/2/2020... Kama unabisha utakufa mda si mrefu...amini usiamini

  • @kitute
    @kitute 4 года назад +11

    So the legend is gone. So sad aisee.
    Rest in paradise Cpwaa.

  • @ramermohamedy4344
    @ramermohamedy4344 11 месяцев назад +2

    2024 niko hapa goma kali sana

  • @DaudMbega
    @DaudMbega 6 месяцев назад +3

    Hii nyimbo still on fire 2024 I still love it😊

  • @SheeKikombo
    @SheeKikombo 4 месяца назад +1

    Daah pumzika kwa aman mwambaa ulikua unajua sanaaa❤❤❤

  • @blezywatino1043
    @blezywatino1043 5 месяцев назад +1

    Bomba la dundo nimerudi Tena 2024...🙌🙌🙏

  • @ukuvukiland2387
    @ukuvukiland2387 Год назад +1

    Jamaa kaacha ujumbe mzuri ,hio kolabi ya waafrica sahauni ukoloni,na utumwa na mipaka..

  • @rosemsafiri7568
    @rosemsafiri7568 3 месяца назад +1

    Huyu video queen bi shangazi asiyezeeka 😅km unakubali like yangu please

  • @KareemHuseni
    @KareemHuseni 4 дня назад

    2025 ckiaa voice y dully🙏🙏🙏cio mwambinooo

  • @tuyizereghadi1619
    @tuyizereghadi1619 4 месяца назад +4

    R.I.P to my boi Cpwaa 💔

  • @EllyvadiazTz
    @EllyvadiazTz Месяц назад

    2025 🎉🎉🎉🎉 hatar ngomaa hii weeeeh wap cpwaa na ngwair

  • @Cyduu
    @Cyduu Год назад +1

    Naweka hii comment leo ili kila mki like nije kuungalia tena huu wimbo

  • @hemedmganga8536
    @hemedmganga8536 7 месяцев назад +14

    Walioirudia kuangalia ihii nyimbo mwezi huu wa6 tujuane

  • @Alvidosa
    @Alvidosa Месяц назад

    Thank you brother Ilunga, bado naisikiliza Action..

  • @blezywatino1043
    @blezywatino1043 2 дня назад

    2025 am hire.❤❤❤

  • @helenorest6406
    @helenorest6406 4 года назад +3

    Cpwa🙏🙏😭

  • @t1910j
    @t1910j 14 лет назад +25

    I'm a Tanzanian currently in the USA... The video is the best. I don't know the artists very well but keep it up guys. The track is clean.

  • @chancesholdan342
    @chancesholdan342 11 месяцев назад +1

    Dully sykes is a monster

  • @miguelmhandoson7336
    @miguelmhandoson7336 5 лет назад +3

    Wangapi tunaikumbuka hii ngoma ikiwa no 2020

  • @moemusa9337
    @moemusa9337 7 месяцев назад +2

    Tulioangalia baada ya kupostiwa kwenye page za marana tv mnipe like zangu 😅

  • @jnr_gong5815
    @jnr_gong5815 2 года назад +1

    Nani bado yupo na hili vibe la wana🔥

  • @frankremmy7426
    @frankremmy7426 6 лет назад +16

    bacAlmost 8 yrs back Adam Juma yo stil the best . Video quality yaani ndo sawa na kinachofanyika now

  • @Official_adasco
    @Official_adasco 2 месяца назад

    December 2024, he was ahead of time. Rest easy champ

  • @loveness101
    @loveness101 4 года назад +7

    R.I.P... this will always be my fav song of his. 🙏🏾😒😒

  • @zuhuramohamed9644
    @zuhuramohamed9644 2 месяца назад

    R.i.p cpwaa...Aya mangoma yalikua yanafaa miaka hii jaman Ila tulienjoy

  • @surusuru1994
    @surusuru1994 Год назад +1

    Allah akurehm kaka yetu❤💞

  • @muhammedabdulah5056
    @muhammedabdulah5056 2 года назад +2

    Nani anatizama hii Ngoma 2023 gonga like

  • @masuseleman978
    @masuseleman978 3 года назад +1

    Huu mkwaju sio poa .watoto wangi wa Leo watasubiri Sana kufika level hiz..r.i.p legends

  • @najmasuleiman7556
    @najmasuleiman7556 4 года назад +2

    R.I.P bro mzee wa action #oneway

  • @demask3423
    @demask3423 2 месяца назад +1

    Rip Ngwea na Cpwaa

  • @THEKUTAMANI
    @THEKUTAMANI 2 года назад +1

    2023 still 🔥🔥🔥🔥

  • @NgasaMaduhu
    @NgasaMaduhu 2 месяца назад

    Rest easy "Big C" and the best rapper of all time in East Africa "NGWEair"

  • @iamnormal8648
    @iamnormal8648 7 месяцев назад +1

    Hii kolabo ilikuwa moto sana. Wakulungwa wote wa Bongo Fleva ndani ya nyumba.

  • @EsperanceNzeyimana-wu8ks
    @EsperanceNzeyimana-wu8ks Год назад +1

    CPwaa alikuwa mu TZ

  • @deskorydominick3218
    @deskorydominick3218 Год назад

    The living hit 🔥🔥🔥🔥🔥
    Who is here again in 2023

  • @deogratiusmaduhu6322
    @deogratiusmaduhu6322 Месяц назад

    Aliyepo January 2025🫶🏿

  • @dizzonofficial2600
    @dizzonofficial2600 5 месяцев назад

    Hahaaha hili gomaaa mamaeee❤❤❤

  • @fadbrowntanzania1583
    @fadbrowntanzania1583 2 месяца назад

    Ila dully bado atujampa maua yake, uyu jamaa ni noma sanaaaa

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 6 лет назад +9

    Kitu bado Gold kama kawaida ya Old.Tisha sanaaa
    R.i.P cow boy

  • @hamisiokazulu587
    @hamisiokazulu587 5 месяцев назад +1

    Tupo pamoja

  • @optatusduqangw1071
    @optatusduqangw1071 4 года назад

    Wangapi tupo baada ya taarifa za msiba

  • @yvesyveldinhomzee.5682
    @yvesyveldinhomzee.5682 4 месяца назад +1

    Rip 💔 😭 2 brothers ngwear and cpwaa

  • @muimipeter2944
    @muimipeter2944 2 месяца назад

    Mchiz cpwaa na ngwea hatari

  • @sararjames566
    @sararjames566 4 года назад +1

    Ril cpwaa and gwair and asante kwa mziki mzur Mungu awapunguzie adhabu ya kaburi

  • @KFCL_
    @KFCL_ 4 года назад +2

    R.I.P C pwaaa waliobakia dully na Ms trinity more life kwao, one of best collabos of 2009/2010

  • @atumwanjala2802
    @atumwanjala2802 6 месяцев назад +5

    Albert aligusa kidogo sana..ila aliuam

  • @allyfatma7359
    @allyfatma7359 4 года назад +1

    😭😭😭😭😭CPWAA,jamaa ameshatutoka,usiku wa kuamkia tarehe 17/01/21.
    R.I.P CPWAA and MANGWEA.
    2021.🙏🙏🙏🙏

  • @keagleeagle821
    @keagleeagle821 4 года назад +1

    So sad. My all time favorite pamoja na nafasi nyingine akiwa Park Lane

  • @susangatunge8162
    @susangatunge8162 4 года назад +7

    Reet in Peace CPwaa, Rest in Peace Ngwair

  • @geffects1141
    @geffects1141 4 года назад +1

    R.I.P Cpwaa, du.!! inauma sana. Pumzika kwa aman dunia
    njia

  • @happyshangali4294
    @happyshangali4294 4 года назад +1

    Huyu mtu si arud kwenye mziki aisee

  • @denisgideon2176
    @denisgideon2176 4 года назад +53

    2020 and I still listen this song 💪💪

  • @Aprilsimba
    @Aprilsimba 4 года назад +6

    Legendaries Are Resting. RIP Ngwea and CP.❣

  • @muhimuhemedy7164
    @muhimuhemedy7164 Год назад +1

    Rest in paradise cp and ngwea😢😢

  • @swahiliwithZita
    @swahiliwithZita 4 года назад +8

    Paying my respect by listening to this song again tonight 17/01/2021. Lotsa memories uni days. Rest in peace Cpwaa.

  • @jamesmzaki6041
    @jamesmzaki6041 2 года назад

    Dah! Bonge la Ngoma,,,R.I.P lagend CPWAA,,,,Nani yupo live kama mimi 2023

  • @joshuamwepesi670
    @joshuamwepesi670 5 месяцев назад +2

    Huyu ndie dully halisi enzi zetu

  • @Breyce4
    @Breyce4 5 месяцев назад +1

    Dully got back vocals 🫡…. CP may your soul continue to rest 🙏🏽