Chege & Temba ft Ferooz - Kama ni Gangstar (Official Video)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 дек 2024

Комментарии • 357

  • @mushy6321
    @mushy6321 8 месяцев назад +26

    Ila kusema kweli chege&temba na ferooz waliimba vzur ila tusimsahau marehem sharo millionea alinogesha sana video 2024🔥🔥🔥

  • @marylaizer
    @marylaizer Год назад +89

    Mtu yeyote anayesikiliza hii 2023 gonga like

  • @AlbertJunior-ln1on
    @AlbertJunior-ln1on 8 месяцев назад +13

    Tunaosikiliza mwaka 2024

  • @LusajoMwakafuje
    @LusajoMwakafuje 11 месяцев назад +66

    Mtu yoyote anaesikiliza 2024 gonga like tafadhari

    • @LoveonTrendedIt
      @LoveonTrendedIt 8 месяцев назад +1

      Mwanzo leo 24th March 2024

    • @LEGENDSBROTHERHOOD
      @LEGENDSBROTHERHOOD 8 месяцев назад +1

      Pamoja

    • @MtuMBard
      @MtuMBard 7 месяцев назад +2

      Tupo mwamba 🎉

    • @erickluca-x7j
      @erickluca-x7j 3 месяца назад +1

      Kama kawa

    • @AmosSindani-fr8gq
      @AmosSindani-fr8gq 3 месяца назад

      ​@@MtuMBard1111q111à❤1qæàq111à1à1q11q1q1❤a11qæ1q2❤❤1111q111q1q1qq❤àqq❤1qàà11q1q1❤11qàqq1111q111àq

  • @h.mau9989
    @h.mau9989 9 месяцев назад +4

    Wangap mm 2024

  • @jmmurage
    @jmmurage 9 месяцев назад +11

    2024 Chege legend! 🇰🇪

  • @mabenzimabenzi4348
    @mabenzimabenzi4348 2 года назад +9

    Sharo alikuwa anaonekana ni mtu ambae angekuja kuivusha bongoflava kimataifa uwezo wake kwa miaka hiyo ulikuwa mbele kabla ya muda

  • @abelard-officiel
    @abelard-officiel Год назад +6

    Kutoka Burundi.
    Ingekuwa Sasa Hawa wajamaa wangekuwa Wana piga 1000.000 views kwa Siku Moja tu🤣💕💕

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 Год назад +17

    Mziki mzuri hauisho utamu...2023 nipo apa outer kisumu 🇰🇪

  • @Creatives254
    @Creatives254 Месяц назад +1

    Watu wangu wa Kenya 🔥🔥 hizi ndio bongo tulikua tunaskiza sio diamond wa sai 2024🤣😂

    • @NgasaMaduhu
      @NgasaMaduhu 18 дней назад +1

      Hizi ndo zili inspire diamond,i think tz tuko blessed na talents the guys were ahead of time.

  • @Bravo254
    @Bravo254 Год назад +3

    Wah sharoooooooooo...... This guy, the time i came to knew sharo is dead wah crazy...... Wapi like za 2023

  • @yasmeenaal4191
    @yasmeenaal4191 2 года назад +6

    Tuosilikiza muda huu 22, 11, 2022.
    R.i.p sharobaro😭🤲.
    Weka like yako hapa

  • @abuunurhan5399
    @abuunurhan5399 4 года назад +21

    Lipe like yangu Moja safi kama unakubali chege anajua kuitumia sauti yake ..... 👍👍👍👍👍😉

  • @richardsaikong1138
    @richardsaikong1138 Год назад +16

    2023 September and still a banger 💣💣

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 лет назад +49

    Nan Anaangalia 2020 january 4 gonga like twende sawa 👌👌

    • @kideboy4605
      @kideboy4605 4 года назад

      Org

    • @FFL-X1D
      @FFL-X1D 3 года назад

      @@kideboy4605 🤝🤝🤝❤❤

  • @jumasaid6073
    @jumasaid6073 5 месяцев назад +7

    Kama umemuona AGNESS MASOGANGE,2:00-2:01aliyevalia gauni rangi ya blue,gonga like tujuane tunaojua kuangalia kwa umakini wa hali ya juu!! R.I.P😭😭😭😭😭😭😭

  • @obeidpol-qp5su
    @obeidpol-qp5su Год назад +2

    Nammis sharo millionea tu jaman

  • @MudMuho
    @MudMuho Год назад +8

    Wangapi mumemuona sharo mje hapa jamani

  • @kingiridavid5789
    @kingiridavid5789 2 года назад +24

    Those days jameni.when Bongo flavor was real and the only music for the party.
    Chege was a star, a legend indeed.

  • @peterwabwile8163
    @peterwabwile8163 9 месяцев назад +6

    Ukieka Ferooze Kwa Chorus you can be sure he will deliver

  • @KicheleWambura
    @KicheleWambura Год назад +2

    Sharo millionaire R I P vizuri havidumu

  • @abdulabdallh9506
    @abdulabdallh9506 Год назад +3

    Ferroz kwenye Coras yuko vizur

  • @RobynHellen
    @RobynHellen 9 месяцев назад +17

    Anyone here in 2024😊😊😊😊🎉

  • @NAIPENDALAMU-w4z
    @NAIPENDALAMU-w4z 5 месяцев назад +15

    anaesikiliza hii wakati wa Gen Z kenya 2024 nipeni likes

  • @ragamaedwin5374
    @ragamaedwin5374 2 года назад +8

    Wafalme wa bongo Hadi 2022 much love from Kenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪

  • @mwaafricahalisi5046
    @mwaafricahalisi5046 4 года назад +22

    Kama umemuona sharo milionea acha like

  • @trc-africa
    @trc-africa 4 года назад +43

    Mtu yeyote wa 2020 piga likes. Rip sharo

  • @wycliffmuthuri1927
    @wycliffmuthuri1927 Год назад +2

    Kama ni gangster au sharo love from kenya.. wengine tunazima Kama umeme wa Kenya power

  • @jacksonmoses9428
    @jacksonmoses9428 2 года назад +10

    Ferooz master wa chorus haijawahi tokea🔥

  • @IguranezaSandrine
    @IguranezaSandrine 4 месяца назад +2

    Niko murundi napenda san nyimbo zabongo ten iz 🇧🇮🇧🇮

  • @faidamashala4206
    @faidamashala4206 Месяц назад

    Ferooz ana saut ya vib kinyama 2024 leo nimeamua kujimbusha ujana kidogo

  • @maggiechipepe6091
    @maggiechipepe6091 5 лет назад +32

    Nani bado anasikiliza hii 2019...weka likes twende sawa

  • @KelvinSarapi-bk1gr
    @KelvinSarapi-bk1gr 4 месяца назад +3

    Nipo hapa 2024 true legends tujuane

  • @MariamBilal-qg2fr
    @MariamBilal-qg2fr 5 месяцев назад +2

    Chege na temba ni kama ndugu Masha Allah Mungu awaweke❤

    • @abdallahismael3993
      @abdallahismael3993 4 месяца назад

      Umemsahau wapi yp ?alikua bratha WA chege mno.wakiwa watatu hungemtafautisha yp na chege.

  • @Qqambaa
    @Qqambaa 8 месяцев назад +8

    Watu wa 2024 likes mnabwagia hapa

  • @Raffy-sana
    @Raffy-sana 6 лет назад +51

    Nani bado anaskiliza hii jam may 2018?? Weka likes tukuone?

    • @ayshamahariq6665
      @ayshamahariq6665 6 лет назад

      Mm saahii naxkizaaaa

    • @هواابوهيشي
      @هواابوهيشي 6 лет назад +1

      Raffy affy mm niko hapa nimekusapot honger kwaku lik nyimbo za cheg tuko pamo nove 11 2028

  • @mwangiirungu3670
    @mwangiirungu3670 Год назад +7

    I'm an addict of bongo 👏👏👏👏👏👏👏👏🍔

  • @ayshamahariq6665
    @ayshamahariq6665 5 лет назад +9

    R.l.P sharo R.l.P masogange mbele zenu nyuma zetu mungu awaeke mahali pema kwenye wema Aamiin 😢

  • @husseinabdulrahman3732
    @husseinabdulrahman3732 4 года назад +17

    I almost cried when i saw sharo milionea😥😶rest in peace bro

  • @N.Ricky_Glm
    @N.Ricky_Glm 6 месяцев назад +2

    Watu wa 2024 tunakutana hapa tafadhali.
    Kizazi cha Usafini hawajui enzi hizi ndo kulikuwa na Mziki wa ukweli. Mziki ulojaa upendo

  • @stevensamwel8987
    @stevensamwel8987 7 дней назад

    😢😢 Sharo jaman Mungu tu Ampuzishe Aliko Kizur hakidumu

  • @tomlinmagwaro8593
    @tomlinmagwaro8593 6 месяцев назад +3

    Leo ndo nimejua kama ni gangster au sharo ...sharobaro😂

  • @petroljames3393
    @petroljames3393 7 месяцев назад +5

    Kama uko bongo oldskool gonga like

  • @safaricharo9667
    @safaricharo9667 4 месяца назад

    Bonge la songi.Hii track ni timeless.Wanangu walikua wanajua sana.Rip to Sharo

  • @paulpaul4493
    @paulpaul4493 5 лет назад +3

    Daaaa chege ni motooo jama kipaji unacho

  • @Dennohmbuu
    @Dennohmbuu Год назад +2

    2023 anyone present??, hii ngoma back in 2010 major tbt

  • @AbdubaqqySelf
    @AbdubaqqySelf 4 месяца назад +1

    Respect Mr chege chigunda

  • @VirginiaMusyoka-kq5lv
    @VirginiaMusyoka-kq5lv 5 месяцев назад +1

    Fanyeni remix. Plus video mpya bana. Tunahitaji hii Ngoma upya

  • @SospeterChambo
    @SospeterChambo 2 месяца назад +1

    2024 kwa temba chege ferooz

  • @aboilanganguvu1011
    @aboilanganguvu1011 6 лет назад +14

    Km ni gang star au sharo gonga like twende sawa mambo ni 🔥 🔥 🔥

  • @Self_ish-l6i
    @Self_ish-l6i 2 месяца назад +2

    If u Still watching and dancing too in 2024 ... nipe like ya upendo

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 4 года назад +8

    Rip sharo & Agnes...jaman tena mlikuwa mmekaa mbele wote 😭😭

  • @dastopadady2402
    @dastopadady2402 4 года назад +2

    Chage mushilikishe ferooz ten ngoma kalii

  • @petermwadime9554
    @petermwadime9554 8 месяцев назад +1

    Hii flavour huwezi kuipata 2024 fire tunes 🔥🔥🔥🔥

  • @rashidyadam8215
    @rashidyadam8215 5 лет назад +23

    Hadi 2019 tunayo

  • @touzysela8060
    @touzysela8060 2 года назад +2

    Jiwe bado alija2a 🔥🔥🔥

  • @dasacollins819
    @dasacollins819 Год назад +3

    Still listening 🎧#2023 1:43

  • @ObaMizo-oc1wq
    @ObaMizo-oc1wq 5 месяцев назад +3

    Temba ana maneno

  • @mwidadikaka4453
    @mwidadikaka4453 10 лет назад +4

    Oe chege mmefinika watu wangu wee na ferooz mnaendana sana kwa sauti

  • @nzwallahprince2616
    @nzwallahprince2616 6 лет назад +12

    Rest in Peace Sharo...Mbele...Yako...NYuma Yrtu

  • @tumainimhesi9689
    @tumainimhesi9689 4 года назад +8

    15.5.2020 bado tunasongesha ngoma kama imetoka jana dah salute kwenu
    R.i.p sharo

  • @rashidmakandi
    @rashidmakandi 10 месяцев назад +2

    2024 and still rocking on this

  • @HafswaSalim-c8d
    @HafswaSalim-c8d 2 месяца назад

    Ferooz umepotea wapi jamn

  • @nehzreal7445
    @nehzreal7445 3 года назад +1

    Goodmusic stays forever outer +254 kisumu pamoja chege goodstaff like hii ije

  • @muimipeter2944
    @muimipeter2944 2 года назад +1

    Namuona sharo milionea rip broo

  • @mudrickatymohamed5572
    @mudrickatymohamed5572 3 года назад +1

    R. I. P mwanetu sharo atutakuona tena

  • @peterbahati5472
    @peterbahati5472 4 года назад +7

    Nakuwa na furaha sana kipindi nikisikiliza miziki hii 2020......

  • @anifa2507
    @anifa2507 5 лет назад +17

    rip sharo and masogange yall in better place now 😭🤕💔

    • @shomary2240
      @shomary2240 3 года назад +2

      Kuna masogange umo kumb ?!

    • @khayraa7374
      @khayraa7374 2 года назад +1

      @@shomary2240 yes yule alova blue dress

  • @saidrajabu9589
    @saidrajabu9589 3 года назад +1

    Hizi ndio heat song sasa huchoki kuangalia 2021 december28

  • @innocentefrancesco5944
    @innocentefrancesco5944 Год назад +4

    Still Banger in 2023 jan

  • @SalimAbdusalam-h7w
    @SalimAbdusalam-h7w 16 дней назад

    Wakati huo kulikua hakuna msani mkali kama feruuuuz haitowahi tokea

  • @mbakitai514
    @mbakitai514 2 года назад

    Gangster bongo loving,ii ngoma yiurusha vinoma...swear

  • @hajihassani7700
    @hajihassani7700 6 лет назад +13

    masogange na shalo r.I.p

  • @petertosh6860
    @petertosh6860 4 года назад +17

    Reminds me of Malindi to Watamu route Matatus.
    And also Club Come Back in Watamu.

    • @hanifayussuf5915
      @hanifayussuf5915 4 года назад +3

      Rip masogange & sharo melionea

    • @SalahAbdi007
      @SalahAbdi007 2 года назад +3

      Bado uko malindi ama Usha toka

    • @petertosh6860
      @petertosh6860 2 года назад +2

      @@SalahAbdi007 nilitoka. Niko Germany 🇩🇪

    • @mwanashagladys4581
      @mwanashagladys4581 2 года назад +1

      @@petertosh6860 Mm niko dubai😂😂😂

    • @petertosh6860
      @petertosh6860 2 года назад

      @@mwanashagladys4581 sawa...uko Facebook?

  • @RobertMgore
    @RobertMgore 10 месяцев назад +2

    2024

  • @tembaboy7498
    @tembaboy7498 Год назад +1

    2023 big heat from Kenya

  • @shakombomwangauri633
    @shakombomwangauri633 3 года назад +2

    Hata 2021 bado goma twalicheki.Old is Gold.

  • @razackhamis4375
    @razackhamis4375 3 года назад +2

    2021 wajanja wote tuko huku

  • @cutelady3710
    @cutelady3710 8 лет назад +17

    Chege sauti kapewa. i like your songs. your songs are nyc.

  • @PrincessMerry-ps3zi
    @PrincessMerry-ps3zi 8 месяцев назад +1

    Kama Wa2024 Mpo Tujuane

  • @omaryabubakari6199
    @omaryabubakari6199 Год назад

    miaka inaesonga still ngoma zao ziko bora

  • @andrewvoiceofficial8721
    @andrewvoiceofficial8721 4 года назад +3

    Wangapi tunaiangalia Leo June 18 2020

  • @gaudencemaumba7594
    @gaudencemaumba7594 3 года назад +3

    Old is Gold.. This is 2021.. R.I.P Sharo Milionea

  • @stephenyasena418
    @stephenyasena418 Год назад +3

    2023 still rocking

  • @collinsmutugimpanda9907
    @collinsmutugimpanda9907 4 месяца назад

    Niko hapa 2024❤❤

  • @muimipeter2944
    @muimipeter2944 3 года назад +1

    Rip sharo millinea zidi kypumzika kwa amani

  • @rehemabryson5101
    @rehemabryson5101 2 года назад +1

    2022,pumzika kwa amani sharomilionea

  • @khadijajuma7142
    @khadijajuma7142 7 лет назад +3

    Hatareeeeee,kichupa kitaaaaamu
    R.I.P sharo,tunakumiss sana

    • @muttimbui5988
      @muttimbui5988 4 года назад

      Lala kwa amani penye wema sharo/ / 2likupenda bt ALLAH alikupenda zaid

  • @rospiriot7087
    @rospiriot7087 3 года назад +3

    Likes za 2021 ziko wapi. RIP Sharo

  • @nelsonbilali3888
    @nelsonbilali3888 4 года назад +1

    2020 August bado mdundo upo live

  • @deejayaga254
    @deejayaga254 2 года назад +3

    Chege 🔥🔥🔥🔥

  • @ebbychrismatovu5612
    @ebbychrismatovu5612 4 года назад

    R.I.P Sharo & Agness..!Feroos atabaki kuwa Feroos guy is soo tallented...!@25.06.2020

  • @JUSTUSWANGILA
    @JUSTUSWANGILA Год назад +4

    Chege,ferooz and Temba that combination 🔥🔥🔥🔥

  • @mikelmweuc9619
    @mikelmweuc9619 10 месяцев назад +1

    2024 ngoma bado ya moto sana sio cku hizi wanatupigia madebe na miluzi

    • @aminaathuman4919
      @aminaathuman4919 10 месяцев назад

      yani natamani igekuwa maisha yana rudi nyuma wallah..

  • @stevenlugojeremia2323
    @stevenlugojeremia2323 2 года назад +1

    2022 R I P Sharo millionaire

  • @kiluwasalum5002
    @kiluwasalum5002 6 лет назад +7

    daa nakumbuka mbl sana jmn ira hawa w2 wnajuwa sana

  • @idalangitv9489
    @idalangitv9489 3 года назад +7

    2021 we still here much love from kenya

  • @jumasaid6073
    @jumasaid6073 5 месяцев назад +1

    Gusa huo muda usikie sauti tamu1:57-2:16

  • @generalikhanofficial72
    @generalikhanofficial72 Год назад +3

    2023 gangstar party gonga like one ❤

  • @theodolphillip1241
    @theodolphillip1241 2 месяца назад

    Makochali aliitendea haki hii ngoma