YESU NI NANI?/USICHOKIJUA KUHUSU YEYE!!/CHAKULA KIGUMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 9 янв 2025

Комментарии • 25

  • @jamesabraham2757
    @jamesabraham2757 3 года назад +4

    Hallelujah. Mtumishi wangu nimekuelewa vizuri sana.Siri za Biblia

  • @christianmwasakogo5579
    @christianmwasakogo5579 3 года назад +2

    Ahsante Sana mwalimu kwa fundisho zuri la kumfahamu Yesu kristo

  • @awareminoe8325
    @awareminoe8325 4 месяца назад

    Asante sana iyoimenishika roh🙏🙏

  • @byoseasolokoci7257
    @byoseasolokoci7257 3 года назад +1

    Mwenyenzi Mungu akubariki sana kupitia jina tukufu la Bwana wetu YESU Kristo.

  • @lynnkyra4101
    @lynnkyra4101 2 года назад +1

    Ubarikiwe sana mtumishi wa Mungu

  • @nikitalucas2323
    @nikitalucas2323 3 года назад +1

    Amen mtumishi ubarikiwe sana

  • @seebs1156
    @seebs1156 3 года назад +1

    Ameni Mungu azidi kukuinua mtumishi wa Bwana

  • @violetwanunu8255
    @violetwanunu8255 2 года назад +1

    Amen 🙏🙏

  • @hroidaypetro5785
    @hroidaypetro5785 3 года назад +1

    Amina ubalikiwe kwa somo

  • @jackiemaggy2484
    @jackiemaggy2484 2 года назад +1

    Ameeeeeeeeeeeeen

  • @pascalfranci8399
    @pascalfranci8399 9 месяцев назад

    Amen muzazi

  • @chifumapro5066
    @chifumapro5066 2 года назад

    Asante San hapo nimebarikiwa san

  • @work24onme
    @work24onme 2 года назад +1

    🙏🏼

  • @dainesykalinga7133
    @dainesykalinga7133 2 года назад

    Amen

  • @jeandelmasaby5044
    @jeandelmasaby5044 2 года назад

    32 Torati inaweza kukufanya uwe Myahudi mcha-Mungu. Biblia inaweza kukufanya uwe Mkristo mcha Mungu. Korani inaweza kukufanya uwe Mwislamu mcha Mungu. Bhagavad-Gitai inaweza kukufanya uwe Mhindu mcha Mungu lakini ili uokolewe, unalazimika kuamini kwa nabii ambaye Mungu aliye hai atamtuma kwa wakati wako na nabii huyu, mimi ndiye, mimi ambaye ninazungumza nawe. Wakati wa hukumu, wakati Noa atatokea, kutakuwa na wale watakaomtambua, wale ambao aliishi nao kwa sababu alikuwa nabii wao. Lakini je! Utamtambua Muhammad? Wakati Musa atatokea, kutakuwa na wale watakaomtambua, wale ambao aliishi nao kwa sababu alikuwa nabii wao. Na nitakapotokea, mtanitambua kwa sababu mimi ndiye nabii ambaye Mungu alimtuma kwenu na ambaye aliishi pamoja nanyi. Lakini je! Mtamtambua Muhammad? Leo mnajua kimo changu, umbo langu, sauti yangu, kama vile zamani, kulikuwa na wale ambao walijua kimo, sauti, sura ya Musa, wale ambao walijua kimo, umbo, sauti ya Muhammad, wale ambao waliishi naye. Lakini mmenikataa mimi, nabii ambaye Mungu alikutuma. Na kama ninavyowahukumu duniani, ndivyo nitakavyowahukumu mbele za Mungu na mbele ya malaika wake watakatifu na mbele za manabii ambao mnadai. Mahekalu yenu, makanisa, misikiti na masinagogi ni makaazi ya kishetani tu.
    #PROPHETKACOUPHILIPPE

  • @yuzotv458
    @yuzotv458 11 месяцев назад +1

    swali langu naomba unijibu,biblia inasema yesu ni neno ambae ni Mungu na alikua kwa Mungu na akafanywa kua mwili na akaishi nasi.
    sasa naomba uniambie alikua kwa Mungu yupi???!,Manake ukisema yeye ni Mungu na alikua kwa Mungu maana yake Mungu wapo Wawili.
    nijibu ili nijue. Alipokua kwa Mungu na yeye alikua nani???!.

  • @tazbernardmanda5176
    @tazbernardmanda5176 11 месяцев назад

    tambua ukuu wa mwafrika usiwe unaweka mapicha ya ao makabulu

  • @mjitenaziofficial3035
    @mjitenaziofficial3035 Год назад

    FUNDISHO LA TRINITY NI LAUWONGO YESU AKIHITWA MUNGU MWANA TUTAKUWA TUNA HARIBU IMANI. YESU SI MUNGU KI NAFSI ILA YESU NI MUNGU KI ASILI ANA NATURE YA Baba Yule sawa na baba ki nature sio ki nafsi

    • @sirizabiblia5276
      @sirizabiblia5276  Год назад

      kuna tofauti kati ya yesu na yesu Kristo, kuwa makini hapo. jua kwanza nimemzungumzia yupi

    • @mjitenaziofficial3035
      @mjitenaziofficial3035 Год назад

      @@sirizabiblia5276 Ndio brother nimekuhelewa. Ila Nina swali kwako sasa Je Yesu Ni Mwana Wa Mungu kwakuzaliwa na Mariamu au ni Mwana Wa Mungu kwakuzaliwa na Mungu.

  • @owagatonny6558
    @owagatonny6558 Год назад +1

    Unapatikana wap?

  • @juddieemma32
    @juddieemma32 2 года назад +1

    Amen

  • @dianamkombe8767
    @dianamkombe8767 Год назад

    Amina